Тёмный

Miriam Lukindo - Sipimiwi (EP) 

Miriam Lukindo
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 1,7 тыс.
50% 1

Sikupimii Sikupangii
Sikupimii Bwana Sikupangii Wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako
Sikupimii Sikupangii
Bwana Sikupimii, Wala Sikupangii
Wewe wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako
VC
Iwe kwathoruba kali Ehee Bwana fanya
Ama upepomkali We Bwana fanya
Iwe kwa shangwe ama Kwauzuni
Nivile upendavyo.
Bwana minapendaga wewe ukiwa juu ya vyote
Kwakujaa nakushindiliwa , kusukwa sukwa , pasipo kipimo hata kumwagika
Mawazo yako si mawazo yetu
Njia zako si njia zetu,
kama ulivyo juu sana wawezakufanya ya juu sana, Sikupangii Bwana fanya.
Sikupimii Sikupangii
Sikupimii Bwana Sikupangii Wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako
Sikupimii Sikupangii
Bwana Sikupimii, Wala Sikupangii
Wewe wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako
VC
Ulivyo fanya kwa Musa, kukipitia kijiti
Kwa Yusufu kulipitia gereza
Kwa Ibrahimu kumpitia Isaka,
Ehee Bwana fanya kwanguleo.
Ulivyo fanya kwa Musa kukipitia Kijiti,
Hata kwa Yusufu alipitia gereza
Kwa Ibrahimu kutumia Isaka Ehee Bwana fanya Sikupingii.
Sikupimii Sikupangii
Sikupimii Bwana Sikupangii Wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako
Sikupimii Sikupangii
Bwana Sikupimii, Wala Sikupangii
Wewe wawezakufanya katika ukubwa wa Jinalako

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
Далее
Liko Lango - Miriam Lukindo (Official Music Audio)
3:31
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
Miriam Lukindo - Umenikumbuka (Live Music Video)
9:45
Taarab: Khadija Kopa - Mjini Chuo Kikuu . Audio
17:59
Просмотров 914 тыс.
Miriam Lukindo-Umekuwa mwingi mno live video mwanza
11:10
Wapeni Njia Warembo
13:06
Просмотров 874 тыс.
AMBWENE MWASONGWE_MOYO WA IBADA
8:10
Просмотров 306 тыс.