Тёмный

misemo na mafumbo yote ya NABII MSWAHILI semi za madebe lidai 

KEYTO KAE
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 272 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@KassimOmar-sn3yd
@KassimOmar-sn3yd 2 месяца назад
Uezi kua mzuri kwa watu wote chapa kazi bro napenda sana misemo yako mombasa twakukubali bro
@KwiniJoel
@KwiniJoel 3 месяца назад
Nilifurahi sana siku tumekutana pale Sumbawanga mwaka 2022 Kipekee napenda na nafurahia sana kazi zako.
@sammyremi7494
@sammyremi7494 Месяц назад
Hongera sana nabii mswahili ni mkulima nikiwa mikinduri meru Kenya.
@adamumyala-js9fh
@adamumyala-js9fh 4 месяца назад
Napenda kazi zako mungu akulinde.
@SopiLimbu
@SopiLimbu 9 месяцев назад
Madebe uko vizuri wanaokupinga ni wanafiki tu. Unawachoma na bado.
@Emmanuel-b4g1n
@Emmanuel-b4g1n Месяц назад
Hongera sana, napenda kazi zako bwana mkubwa nipo Mombasa Kenya 🇰🇪
@AllanKanumba
@AllanKanumba 2 месяца назад
Mr Madebe bila unafiki wewe ni Talented person Tena kipaji chenye nguvu
@AliBakari-k1e
@AliBakari-k1e Месяц назад
Semi zako kaka zatufunza mengi , shukran, kutoka Mombasa Kenya.
@TruevenaCatalina
@TruevenaCatalina Месяц назад
Shukurani sana kaka madebe.napenda kazi zako
@OrigèneVyaluva
@OrigèneVyaluva 3 дня назад
Safi sana Brown from DRC/Mangina
@DanvenDante
@DanvenDante Месяц назад
This guy is one of the best actors I ever seen before.
@rajaburamadhani-gs9ye
@rajaburamadhani-gs9ye 3 месяца назад
Nakukubali sana brow,mungu akubark na akuzdixhie
@emmanuelKitur-q1x
@emmanuelKitur-q1x 14 дней назад
Hi inafunza sana naitazama nikiwa kericho Kenya
@Patrickshukuru-l1e
@Patrickshukuru-l1e 2 месяца назад
oya nakukubali sana mzee wng 🇨🇩🇨🇩💪💪💪
@KamandaKiruku
@KamandaKiruku 2 месяца назад
Kaka uko sawa
@TresorNoblesse
@TresorNoblesse 3 месяца назад
Unafanyanga kazi nzuri brother
@simbabenney3560
@simbabenney3560 3 месяца назад
kazi zako kaka madebe nazielewa sana,
@BonfaceKiteme-v1s
@BonfaceKiteme-v1s 2 месяца назад
nabii mswahili ninoma sana ua anasema ukweli kabisa hao wanawake sii
@CelvineFloriani
@CelvineFloriani 3 месяца назад
❤❤❤ nakupenda uanifundi sha san kaka nakupenda sana mama
@JaphetJames-t7g
@JaphetJames-t7g 2 месяца назад
Usiache elimu iendezake? Hongera kwasababu unajua kwavitendo
@HABIBU-n4e
@HABIBU-n4e 25 дней назад
Broo Asante
@FRANKIssa-qy5pg
@FRANKIssa-qy5pg 13 дней назад
yani huuu madebe ni mwamba wa dunia❤
@johnkalibonamchungaji3082
@johnkalibonamchungaji3082 3 месяца назад
Sio mpenzi wa move rakn bwana huyu nampenda namisemo yake
@innocentnkeshima
@innocentnkeshima 3 месяца назад
Nakubali misali yako Mr Madebe
@MREBO-kc8zj
@MREBO-kc8zj 2 месяца назад
Tunakuk balisana naimswahili ❤😂
@Razaki-g5w
@Razaki-g5w 3 месяца назад
Napenda sana kazi zako kaka
@Nshashi-b2e
@Nshashi-b2e Месяц назад
Nakubali kaka hapa simiyu baliadi
@JamalHakika
@JamalHakika 17 дней назад
madebe swahiba ukiacha alie kuleta duniani na mswahaba wake bs duniani hakuna msaniii kama wewe pamoja wangu
@dukeonyw.3993
@dukeonyw.3993 Месяц назад
nabii Swahili unaweza
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 3 месяца назад
Mimi tofauti yangu ni kujiita nabii .unabiii Hakuna umeisha zamn wewe ni mswahili tu
@EmenediSanga
@EmenediSanga 3 месяца назад
hongera ukweli mtupu
@jamalkishangu
@jamalkishangu 3 месяца назад
Mwanaume na mwanamke wote watalaumiwa kwa kujubaliana katika machafu. Wewe mwanamke kama ukikataa mwanaume hawezi kukulazimisha
@simbabenney3560
@simbabenney3560 3 месяца назад
acha kufwatilia maisha ya mtu,unavyomwita mwenzio mbwa wejibwa?anaependa kazi zake azifwatilie utaki kaa pembeni waigizaji wapo kibao ,
@GaelKabungel
@GaelKabungel 3 месяца назад
Mimi nime furaishwa sana na uyu nabii
@MaziwaFuraha
@MaziwaFuraha Месяц назад
Unawez bro
@PauljackMrpaul
@PauljackMrpaul 10 месяцев назад
huyuubjamaa the best sana
@PATRICKMUUO-pz8gr
@PATRICKMUUO-pz8gr 10 месяцев назад
Napenda sana mafumbo yake
@BenitoNyambo
@BenitoNyambo 3 месяца назад
Upo vizuri kaka
@BenitoNyambo
@BenitoNyambo 2 месяца назад
Duu we jamaa ni noma misemo yako hatari
@AmosyMhagama
@AmosyMhagama Месяц назад
Ubarikiwe kaka
@almazmohammed9003
@almazmohammed9003 28 дней назад
Punguza ukali wa maneno Nabii Mswahili
@RizikiKarisa-z8p
@RizikiKarisa-z8p 9 месяцев назад
Kweli ww ni mwalimu wa darasa
@MicheckMwakapenda
@MicheckMwakapenda 3 месяца назад
Pamoja mukali wangu
@nurajamal1650
@nurajamal1650 9 месяцев назад
kwa hakika nmejifunza mengi
@antonymusembi3873
@antonymusembi3873 3 месяца назад
❤napenda
@Jastn-yb8hq
@Jastn-yb8hq 5 месяцев назад
Uko vizuri
@BinoJeshi
@BinoJeshi Месяц назад
UK vizurisan
@StevenSadock
@StevenSadock 3 месяца назад
Nampaka mseme na mstasema
@MwakaHajji
@MwakaHajji 2 месяца назад
Alokuwahamkubali mnafik
@NduwayezuJaenmarie
@NduwayezuJaenmarie 3 месяца назад
Nakukubari madeb
@gershomsiundu-ri1xu
@gershomsiundu-ri1xu 7 месяцев назад
Daaa madebe huyo
@AllyMndima
@AllyMndima 6 дней назад
Noma sn.
@QasammaMachibya
@QasammaMachibya 29 дней назад
ukovizur sana madebe tuko pamojasana
@GodfreyJuma-l7o
@GodfreyJuma-l7o 6 месяцев назад
wasema ukwli
@KennedyWesonga-c5v
@KennedyWesonga-c5v 9 месяцев назад
Hakika ww n mwalimu
@MREBO-kc8zj
@MREBO-kc8zj 2 месяца назад
Waambie ukweli wasiojitambuw
@IsmailiAebecha
@IsmailiAebecha 4 месяца назад
❤nimeielewa
@rajabubwakila1977
@rajabubwakila1977 4 месяца назад
Yako nzuri?
@BenjaminShilikale-i1h
@BenjaminShilikale-i1h 3 месяца назад
Hauna mbaya usiahidi ukiwa na furaha😂😂😂😂
@MaikoKaleamarossecl
@MaikoKaleamarossecl 7 месяцев назад
❤uzid shiwe
@emmanuelsamsonMaboche
@emmanuelsamsonMaboche 3 месяца назад
Kaka hakika ulisoma ukaelekea bigafu sana
@CharlesSafary
@CharlesSafary 3 месяца назад
Umeupiga mwing sana
@Mashomboabed
@Mashomboabed 4 месяца назад
Safi sana
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 5 месяцев назад
Sura mbayaaaaa😂
@johnkuria300
@johnkuria300 Месяц назад
Wapiga Kazi njema Madebe
@BenitoNyambo
@BenitoNyambo 2 месяца назад
Maneno yako yanafundisha
@suleimanmbugi-l7h
@suleimanmbugi-l7h Месяц назад
Apo sasa kaka
@MubarakaSaid-w7w
@MubarakaSaid-w7w 4 месяца назад
madebe funzo . kwa waelewa
@BenisonJohn
@BenisonJohn Месяц назад
Nakubal
@IssaMsukuma
@IssaMsukuma 2 месяца назад
Sn madebe
@IsaacOmuse-i7x
@IsaacOmuse-i7x 2 месяца назад
Daaa jamani huyu jamaa
@simbabenney3560
@simbabenney3560 3 месяца назад
chukieni mpaka mfe ila madebe atabaki kuwa madebe tu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 месяца назад
👍👍
@simbabenney3560
@simbabenney3560 3 месяца назад
wakikupenda 10 na wakikuchukia 2 una hasara kaka piga kazi,kama umpendi ulifwata nini huku
@Allyabdulrhamani
@Allyabdulrhamani 2 месяца назад
Povizurisana bwana madebe drc twakukubali
@SambaishaMwanyula
@SambaishaMwanyula 3 месяца назад
Haya madebee
@MichaelJastine
@MichaelJastine 5 дней назад
Hakika unanena mkuu
@DelightfulFields-wf8gt
@DelightfulFields-wf8gt Месяц назад
Burundis tunaapenda
@tonypuka1883
@tonypuka1883 4 месяца назад
Madebe wewe ni mhenga wa kizazi kipya.
@ShabaniShomari-v7x
@ShabaniShomari-v7x 9 месяцев назад
Movie gan iyo
@engomaryshibe8445
@engomaryshibe8445 8 месяцев назад
Nabii mswahili
@FrankYakobo
@FrankYakobo 3 месяца назад
Madebe safi
@CleophanceMundeba
@CleophanceMundeba 3 месяца назад
Safi madeb
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 9 месяцев назад
Huyu jamaa alo acty nabii mswahili anatabia mbaya mbwa huyo ana chezea wanawake na kuwadhulumu ana laana
@mgalatinojengo3663
@mgalatinojengo3663 8 месяцев назад
Wanachezeana,Xababu wanashirikiana hvyo kama ni laana itaambatana na wote
@engomaryshibe8445
@engomaryshibe8445 8 месяцев назад
Wewe unajifanya msafi au vile yako hayajatoka hadharani
@KingDiscover
@KingDiscover 5 месяцев назад
Tamaa ina waponza
@ELIAKAJEMA
@ELIAKAJEMA 3 месяца назад
Punguza tabia ya kukosoa Sana angalia ujumbe unao wakilishwa
@laninjeje8290
@laninjeje8290 3 месяца назад
Unatombwa na wachawi wewe sio bure hao wanawake anaowachezea anawafuata nyumbani kwao au kwenye ofisi zao, shida zao zinawapeleka kwa madebe
@ErastoMilanzi-r5q
@ErastoMilanzi-r5q 2 месяца назад
Madebe mwamba wa misamiati
@HOSEAHALLAN-tt3gx
@HOSEAHALLAN-tt3gx 3 месяца назад
Du wewe kipoko 😅😅😅😅😅
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q 3 месяца назад
Wacha kutukana watu na wewe tabia mbaya zako ni zipi taja tujue
@ShakuruJadu
@ShakuruJadu 2 месяца назад
Mh
@gabriellerobert9178
@gabriellerobert9178 2 месяца назад
Sinaubishi kska
@LukaLuka-n4r
@LukaLuka-n4r 3 месяца назад
Achen unafik jaman
@SalimWare-w9x
@SalimWare-w9x 9 дней назад
Ukimchukia mtu usifanye Kila amchukie
@NasedNasef
@NasedNasef Месяц назад
It's a bit more than you
@SusanWANDA-h7p
@SusanWANDA-h7p 22 дня назад
Uko poa
@KhalidAshjaie-cz7vg
@KhalidAshjaie-cz7vg 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@hassanhussein6891
@hassanhussein6891 9 месяцев назад
Mafumbo kweli eeh
@MaireMwajuma
@MaireMwajuma 4 дня назад
Naku balisana tu
@JamesOgango-t7q
@JamesOgango-t7q 13 дней назад
🚯
@isaacwanyama-q8j
@isaacwanyama-q8j 12 дней назад
Utamu tupu
@ChukiNjilinge
@ChukiNjilinge 9 месяцев назад
Lina roho mbaya sana ili libaba nimelichukia.
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 8 месяцев назад
We ndio unarohombaya
@engomaryshibe8445
@engomaryshibe8445 8 месяцев назад
Wewe ndio katili
@SamiaMasika-p6w
@SamiaMasika-p6w 5 месяцев назад
Chuki yako peleka kwa nyanya yako
@emmanuelKitur-q1x
@emmanuelKitur-q1x 14 дней назад
Hi inafunza sana naitazama nikiwa kericho Kenya
@paulocostantenmisungwi4274
@paulocostantenmisungwi4274 3 месяца назад
Uko vizuri
Далее
MPOKI MUHUDUMU / BROTHER KEY TAJIRI
30:27
Просмотров 152 тыс.
MVUVI | FULL MOVIE | MPYA 2024
1:43:13
Просмотров 111 тыс.
PESA NA MATATIZO (Ep 01)
35:20
Просмотров 1 млн
SIMANZI #new #film  #nabiimswahili #korongo #madebelidai
1:32:24