Kicheche na group lako mnatuletea vitu vizuri vya tofauti tena ni maisha halisi kabisa hongereni sana endeleeni kutuletea vitu vizuri zaidi nawatakia kazi njema.
ila kicheche nimeona kabisa maisha yau maskini inaumiza sana tena sana sababu matatizo inazidi mpka imenitiya uzuni sana kicheche ila ongera sana kicheche tunapenda kazi zako kaka ila umekuwa tafauti n'a clam vevo yeye anavuma mu vitu vya mzimu ila wewe unapambana n'a vitu vienye avinaga mzimu apo uko poa nau ndo usani sasa baba ila mimi nakufata sana kutoka Congo DrC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche huu mwaka umetisha sana mwanangu nakukubali ume mufanya rutamani anakuwa musani mkubwa sisi tuko kongo tuna fatiliaga sana mambo yako naitwa imani tokeya pande za bukavu & kamituga
Kicheche wew ni tumbili, kenge, hanangwe,kongoro, supu ya pweza, zumbukuku, yai vinza na kashata, big up from rugombo Burundi 🇧🇮 kwao zungu la unga, natowa shikano hata kama nakuzidi umri salute 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aiseee dada angu unapitia matatizo makubwa sanaaa wazeee vijana tutafute heraaaa wake zetu wasizalilishwe ivoo .. magonjwa mengne yanasababishwa kwaajili ya umasikini Kama Apo vai kalala na wanaume wawili kuokoa familia na mwingne kwaajili ya Kodi tutfteni heraaa jmn kunusru haya matatizo🙏...@