@@SaidMwashambisisi atugandamizwi ban alafu sisi atupendi maugomvi coz Kuna watoto wadogo wanakufa bila hatia kisa kufanya mambo yasiyokuwa na msingi ili kumaliza matatizo yenu inatakiwa itumike busara na sio nguvu ndugu zetu Kuna watoto wanaowategemea
Nakukubali san chado ila mbona gozi simuoni muuni mwenxio umemwacha wap,naipenda san cup yenu,alf tena apo umemleta baga umetisha sanaaaaaa,muongeze kitale apo kati ase utatisha zaid brooooo
Chada Huyo jamaa ulomuweka kama muhuni fulani anaevaa madude masikioni mwambie kwenye movie zako atowe hayo madude mtu unaweza kuekti uhuni bila ya kutia hayo madude....