Тёмный

MISSION IMPOSSIBLE [3] 

CHADO MASTA FILM
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 245   
@MekyArosto-os5gt
@MekyArosto-os5gt 16 дней назад
Daah kajichanganya Kwa wahuni so poa big up sana 🙏🙏 chado mastar kitengo nakubali damu yangu inabidi muwe pamoja na Baga mnaendana sana kitengo askari wangu
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 16 дней назад
Napenda sana chado akiwa na uyu mwamba nawapenda ila kunipa laki aaaaah
@SelemaniIddy-nc1nf
@SelemaniIddy-nc1nf 16 дней назад
Kazi nzuri lakini dakika chache chado master
@Pandeehuncho16
@Pandeehuncho16 16 дней назад
NDIO UZURI WAKITU SKUZZOTE HUA KIFUPI CHENYE MAANA
@willyobiike5500
@willyobiike5500 16 дней назад
Brother chado unatishaaa sanaaa blood
@user-fw2jk3mx7g
@user-fw2jk3mx7g 16 дней назад
Kadaya ulikosea baada ya kuona hayo ulitakiwa unyamaze kimya ulitakiwa uende kwenye tukio ili ukamkamate
@MohammedAbbas-xe1eo
@MohammedAbbas-xe1eo 16 дней назад
Yhu a the real champion ma young one💪🏽
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 16 дней назад
Baga lakini huo sio usela mzee,mbona ssa unataka kuharibu urafiki....
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 8 дней назад
Chado kama clam vevo au konde boy nmekuelewa mwanangu . Ila baga mmbea🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MohdRashidkassim-rc6ul
@MohdRashidkassim-rc6ul 16 дней назад
Oya chado master, baga mtemi nawakubali sana wadau yani sana.. Big up Kwa kaz nzuri... Oya mungu barik kazi zenu..
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI 16 дней назад
Chado. Gozi. Clam. Doko. Kicheche. Sopa raha. Bravo Genius. Ydon. Juma jicho nawakubali sana❤❤❤
@Yakshayaksha-do6tw
@Yakshayaksha-do6tw 16 дней назад
Uyu mjinga ana mov Kali kinoma
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 16 дней назад
Kinoma yani chado ni levo ingine kabisa ❤❤😂
@malikaelvis-vn8ry
@malikaelvis-vn8ry 16 дней назад
Dude Kali sana
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev 16 дней назад
Hii kolabo kali sana bagaa unajuwa broo dah chado hapo umepata mtuu
@AhmadChibalula
@AhmadChibalula 16 дней назад
😂❤❤ iyo furani siyopowa mumetisha Sana iramunacherewa kutuma
@AishaHussein-sv5vk
@AishaHussein-sv5vk 16 дней назад
Waoooh nzuri sana
@JastinMaginga
@JastinMaginga 15 дней назад
Kaz kazi kaka nipo south Africa lakini nikiangalia hii movie naona kama nipo bongo maana hii stoli nmepitia mimi kaka ivoivo
@user-yv2qq7my7c
@user-yv2qq7my7c 14 дней назад
Dude kali lakini alie chukuliwa mke amebugi hakutakiwa kua mnyonge ivo amezingua
@IsdoryEssau
@IsdoryEssau 12 дней назад
Mmetisha sana chado master bravo, 🤝🤝💪💪
@NasraKingazi
@NasraKingazi 15 дней назад
Chado nawapenda Kaz yenu nzr ila jmn sehem inayoitaj tusi tumieni ata maneno menginge jmn
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 16 дней назад
Chado unatisha kabisa ila sasa dakika ndogo saaana 😊
@abdullatif053
@abdullatif053 16 дней назад
Oya weee gonna like mm Leo wa kwanzaaa sichekeshi unajua 🤓🤣
@OfficialBawa-yn3zn
@OfficialBawa-yn3zn 9 дней назад
Nakutambua chado,,,,,ila Baga hana mbambamba na mabishoo
@AnithaStiven
@AnithaStiven 9 дней назад
Rafiki wa chado kacheza vizuri sana ❤❤
@MaulidAmri-zt2gv
@MaulidAmri-zt2gv 15 дней назад
Chado wewe ni familiar respect 🎉🎉🎉
@ShamsaGao-nn1ge
@ShamsaGao-nn1ge 16 дней назад
BagA punguza ukal Wa maneno
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 16 дней назад
Kumuweka Banga hujakosea kabisa🌹🌹🌹
@MzeeRaca
@MzeeRaca 15 дней назад
Safi sana kazi nzuri 💯
@ChuxDaniel
@ChuxDaniel 16 дней назад
Baga na chado mmejua kujipata movie Kali sana, Sema Baga oya legend ni legend tu
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 16 дней назад
Mapema saaa
@focusnjagala6777
@focusnjagala6777 16 дней назад
Uyo dogo ana kipaji kipaji sana
@user-rj8zh8ok7q
@user-rj8zh8ok7q 13 дней назад
Jechi la mtu be❤❤
@YusuphHobokela
@YusuphHobokela 4 дня назад
nakubali mwanang chado 🎉🎉🎉
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 16 дней назад
Next plz 🎉🎉❤
@Shakila-pq2gv
@Shakila-pq2gv 16 дней назад
Khaaaaaa baga had neti umekata kwa kuchangamkia mboga😂😂😂
@jacksoneverlist5073
@jacksoneverlist5073 15 дней назад
mwamba anajuah kuonyesha uitajih wake wa bikra mpaka net😂
@nasrinahirwete8111
@nasrinahirwete8111 16 дней назад
Mdogo wangu Saidi chine kwenye nyimbo umeua balaaa
@RamaWanaman
@RamaWanaman 16 дней назад
Like wa kwanza now
@user-fw2jk3mx7g
@user-fw2jk3mx7g 16 дней назад
Wewe kaka mzima lakini hutumii akili umwamwita mwizi shemegi yako unatakumkanyaga mwenyewe
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 16 дней назад
Kubali sana kazi zako chado🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@YONAMASUNGA
@YONAMASUNGA 15 дней назад
Chado master nimeikubali sema episode kuanzia ya 4 kuendelea sizioni mm kaka kama Kuna mpango nitumie
@smileempirefilm255
@smileempirefilm255 16 дней назад
Speaking of bagga "nyie chupi tu tunawavaa na kuwavua
@arimtekerdivalwamadush7517
@arimtekerdivalwamadush7517 16 дней назад
Masta kweli movie genje👊👊👊
@jamesdaudi
@jamesdaudi 16 дней назад
Chado umetisha kwenye hii movis hakika huumda niwako piga kazi mwanangu nakuaminia
@Ally-to2sx
@Ally-to2sx 16 дней назад
Hatal8iii
@kenethofficial2196
@kenethofficial2196 8 дней назад
❤❤ kali kinyaama🎉
@EurickMwangunda-wb9wo
@EurickMwangunda-wb9wo 8 дней назад
Baga ... Mi Ndo napenda bikra 😅😅sema muuni unafeli wanaume hatuishi ivo😢😢
@selemanisozi936
@selemanisozi936 13 дней назад
Mnaweza 🎉🎉
@YusuphKitaja-pm9cs
@YusuphKitaja-pm9cs 16 дней назад
Mtoto kapenda kaka hataki
@ÚnicothaGente-x5n
@ÚnicothaGente-x5n 10 дней назад
kazi moja kubwa
@user-sj8rg2ro7z
@user-sj8rg2ro7z 16 дней назад
Kaz nzuri tatizo fupi xana
@Walawi_Movie_Official
@Walawi_Movie_Official 14 дней назад
Bro chado ❤❤❤❤
@edgarlaurian-d8w
@edgarlaurian-d8w 16 дней назад
TEAM CHADO MASTA WEKA LIKE NYINGI PLEASE 🙏🙏🙏
@zeezain6601
@zeezain6601 15 дней назад
i wasnt a fun...but this series pulled me,u made it boy❤
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 16 дней назад
Mmbo imechmka 😂😂Ila Chado kaz nzur bro kipaji kiendlee 😊😊🇰🇪🇰🇪
@aishaomar2287
@aishaomar2287 16 дней назад
Iloooo chado😂😂😂 wapat nguvu mpya baada ya baga kutokelezea😅 bless...unyama ni mwingi aisee
@Kasimuhakimukasim
@Kasimuhakimukasim 16 дней назад
Oya we oya we ko.ety hpo ❤
@HusseinTz-zt1mh
@HusseinTz-zt1mh 16 дней назад
wakwanza mm leo namba lik zenu
@IsayaTarakwa
@IsayaTarakwa 16 дней назад
Haijanoga hata ungekua unaongeza dakika hapo sawa weka dakika 20 fresh
@dablejay6404
@dablejay6404 15 дней назад
huyu jamaa ambaye kaliwa mkewe kamfanana Ibra
@thalesyokim1730
@thalesyokim1730 16 дней назад
Kazi nzuri Sana🎉🎉🎉
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi 16 дней назад
Kwa kweli chado mwenzio nimewahi pambana kaka utafika mbali sana tuko pamoja
@JordanJohnson-ni7iw
@JordanJohnson-ni7iw 16 дней назад
Mko poa jamaa Zang ila apo kw mda sasa
@JairosyEriasy
@JairosyEriasy 9 дней назад
Ow master noma nom
@VictorAlphonce
@VictorAlphonce 16 дней назад
Daah mtot kaelew yan duuh hatar
@user-bl5nt5cm3m
@user-bl5nt5cm3m 9 дней назад
Hii movie iko poa❤❤❤❤
@user-vi9yo8sb6u
@user-vi9yo8sb6u 16 дней назад
Bagaa nkukubali sanaa
@JackJackmakamu
@JackJackmakamu 8 дней назад
Kweli hii movie nikali kinoma
@hansboytz7494
@hansboytz7494 16 дней назад
Kaka Chado tuongezee vipande ni vifupi kaka lkn kazi zako ni nzr sana
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 16 дней назад
Thenks Walla muendelezo tena twasubir ❤❤❤mstukawiz
@mcnabwina
@mcnabwina 16 дней назад
Chado ft baga nawakubari sana
@Mrsmick712
@Mrsmick712 16 дней назад
Mapema tu
@hunainamudhiry
@hunainamudhiry 16 дней назад
Muendelez jmn iko motooo❤️❤️❤️
@rhamlaally6930
@rhamlaally6930 16 дней назад
Yn hicho kitoto ningekichapa mpk kikojoe
@johnosoro6033
@johnosoro6033 16 дней назад
Aisee mwizi huyo Chado Masta unatisha sana.
@MilajiShabani
@MilajiShabani 16 дней назад
Oy Chado pamoja sana sema nin mi nimemwelewa sana mchumba huyo
@feyplanet5719
@feyplanet5719 15 дней назад
uyo ndo mwanangu aina kutili tili
@user-gk5oe5vk6c
@user-gk5oe5vk6c 16 дней назад
❤mwanangu Dua mwanetu juhud muhim saf sana
@user-vu6wk7bt5y
@user-vu6wk7bt5y 16 дней назад
Good job chado❤
@kennedybundala8892
@kennedybundala8892 15 дней назад
Sema bi mkubwa mtu wa maana
@JohnKims-k2w
@JohnKims-k2w 16 дней назад
Good work Mr chado❤
@RichardKalunde
@RichardKalunde 16 дней назад
Wanangu mmetisha
@PatrickMatofali
@PatrickMatofali 16 дней назад
Wa kwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y 16 дней назад
Kazi nzur sana ❤❤
@seleheHassan
@seleheHassan 16 дней назад
Naombeni comment zenu❤
@ForeverYoung-v6e
@ForeverYoung-v6e 16 дней назад
Uhakika bro🎉🎉🎉
@salamaslaim6678
@salamaslaim6678 16 дней назад
Bonge Moja la muvi mzuli sana ❤❤
@SabitiMwishaa
@SabitiMwishaa 16 дней назад
move kali sana hii
@Ummy-cr9nf
@Ummy-cr9nf 16 дней назад
Chado ❤ it munawez sanaa 😮 mashallah
@HoseaChanga-p2g
@HoseaChanga-p2g 15 дней назад
Good work
@user-rj8zh8ok7q
@user-rj8zh8ok7q 13 дней назад
Dogo 😂❤❤❤
@user-xm2wm2oc5w
@user-xm2wm2oc5w 16 дней назад
tenaaaaa!!!
@mbilinyijr
@mbilinyijr 16 дней назад
Oyaa weeee 🔥
@user-bj5ss4pt8m
@user-bj5ss4pt8m 16 дней назад
Bagga Home Boy Umeznguaaa Mkulu 🤣🤣😳
@omaryseiph2132
@omaryseiph2132 16 дней назад
MWAMBA UYUAPA🔥🔥🔥
@JaydenWarship17
@JaydenWarship17 15 дней назад
Twapenda episode 4 mapema kweliii ,,ili utamu wa movie usipotee
@user-to3jq1eb7s
@user-to3jq1eb7s 16 дней назад
Mwanangu baga ndan noma
@GabrielSeraphin
@GabrielSeraphin 12 дней назад
chado master unatisha
@user-kf7my4bi8e
@user-kf7my4bi8e 16 дней назад
Chado nakubali kwakumuweka bags uyo ni mnyamwezi kaka
@macatao
@macatao 16 дней назад
❤ hi Kali kabissa 🎉
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 16 дней назад
BONGE 1 LA DUBWANA AISEE WEKA MBALI NA WATOTO....KUBABABAKE BAGA💪💪💪
@IlyasaJuma-cc3ee
@IlyasaJuma-cc3ee 15 дней назад
Milioni 10 na bikra😮😮😮
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [4]
15:01
Просмотров 65 тыс.
NAKUJA | Full Movie | Staring Kibonge Mayele & Mwakatobe
2:31:57
Выпускаем трек? #iribaby
00:14
Просмотров 137 тыс.
STUDIO  CHUMVINYING MAINA KISOFA
5:45
Просмотров 4,5 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [11]
15:04
Просмотров 30 тыс.
MGANGA KOMASAVA
15:16
Просмотров 20 тыс.
SIRI YA MAPENZI-EP 9 LOVE STORY ❤️ ❤❤
23:44
Просмотров 19 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [2]
18:13
Просмотров 72 тыс.
THE SPY | Mpelelezi | Full Movie
34:25
Просмотров 37 тыс.
SWAUMU NGUMU (EP 1)
17:44
Просмотров 59 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [10]
15:33
Просмотров 45 тыс.