Тёмный

MISSION IMPOSSIBLE [40] 

CHADO MASTA FILM
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@AmosSinkala-lx4sl
@AmosSinkala-lx4sl День назад
Unatoa episode kwa wakati hii ndio i like ❤ Tupinge mauaji na utekaji.
@TabbyAbby-e6d
@TabbyAbby-e6d День назад
Kama unakifwatilia mission impossible toka episode 1 mbka 40 nautaendele kukiangalia mbka mwisho ebu gonga like apo🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳 mm nko Kenya 🇰🇪 lkn apo kwa CHADO namkubali sana mwanangu 😊😊😊😊
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk День назад
Cheusi😂😂😂😂😂😂
@MariamChiwala
@MariamChiwala День назад
𝑀𝑚 𝑛𝑖𝑛𝑎𝑐ℎ𝑜𝑜𝑜❤❤
@Sebastian-gg3lh
@Sebastian-gg3lh 15 часов назад
Iendelee
@KidumeRashid
@KidumeRashid День назад
Leo mimi ni wakwanza chado kikofia bonge najma ngengwe cheusi mama ngengwe na kaka yake najima na wengine wote nahitaji like zenu zote
@DalilaHasani-m2i
@DalilaHasani-m2i День назад
Sasa nyiye laki za nini mnao omba jamani mnatiya hasira
@mweroruwa6339
@mweroruwa6339 День назад
Kitengoooooo
@KidumeRashid
@KidumeRashid 16 часов назад
@@DalilaHasani-m2i kwani hujawahi kuzionja ukizikaanga hizo ukilumangia na ugali kesho hautaenda kazini jaribu uone
@RashidOmary-c4g
@RashidOmary-c4g День назад
Mungu awajalie ote humu ndani bila kumsahau chado mungu azidi kujalia afya njema bila wewe hatuozio kuona mwendelezo Asante km up pamoja namim gonga laiki
@alhamod5597
@alhamod5597 День назад
Amiiin
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 День назад
Amin
@MingYou-o9w
@MingYou-o9w День назад
Nais uyo boss nimpelelezi wa kifo cha mama najma kama naww unaamini ivyo gonga like
@TausRaj
@TausRaj 22 часа назад
Nooo coz ajauwawa
@mwanahabibimsham9306
@mwanahabibimsham9306 21 час назад
Anapeleleza madawa ya kulevya
@mwanahabibimsham9306
@mwanahabibimsham9306 21 час назад
Au anataka mtu wa kumuuzia
@MingYou-o9w
@MingYou-o9w 20 часов назад
Kweli inawezekana labda anataka kumpa kazi ya madawa yakulevya
@RaiyyanAli-sl4fs
@RaiyyanAli-sl4fs День назад
Hongr kw kututolea muv kw wkt n kutupa burudan mzr Allah awajlie mukuze kipaji chenu🤲✍️
@GetrudaMamba
@GetrudaMamba День назад
Wakwanz mm Leo from 🇹🇿gonga.like hap kama unamkubari chado
@MasoudAthumani-qk8oe
@MasoudAthumani-qk8oe День назад
anae furahi chenga kukamatwa angusha like yako hapa
@YeriKahindi
@YeriKahindi День назад
Mr chado.. vitengo wote nawahitaji kwenye next new move akiwema anifa...❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@OnesmusCharo-dd2si
@OnesmusCharo-dd2si День назад
Chado nakupenda sana kwa kaz zako natoka kenya
@khawiapauline1429
@khawiapauline1429 День назад
Watu mnawai jamani 😅😅😅😅ila mama ngwengwe nakupenda kinoma jay once again
@rizmarramadhan1483
@rizmarramadhan1483 День назад
Bonge na cheuse mwana kulifind mwana kuliget iyo ndio yaitwa i like it ..when you come geto dont kam with polis😅😅😅😅😅😂😂😂
@PENETRATOR.002
@PENETRATOR.002 День назад
Watching from Mombasa Bamburi.... Sisi kama wana Mombasa Tunawapenda sana.....❤❤❤ Tuonyesheni ushirikiano wenu kwa kutupea likes
@Abdulwaheedomar
@Abdulwaheedomar День назад
Cindio
@JumaMohammad-nt3jl
@JumaMohammad-nt3jl День назад
Pamoja mwanang kitaa kimoja apa
@PENETRATOR.002
@PENETRATOR.002 День назад
@@JumaMohammad-nt3jl pamoja bro
@hidayyakassimtz
@hidayyakassimtz 20 часов назад
Haya wa bamburi tujuane sasa bashir apo😂😂😂
@ramadhanmbwana2603
@ramadhanmbwana2603 16 часов назад
Bamburi mm pia
@SappyRemmy
@SappyRemmy День назад
Oyah chado wee ni mwamba nakubali kinoumah broo
@JamilySamson
@JamilySamson День назад
Daha chado nimekukubali sana
@MerianNyoha-bg5cb
@MerianNyoha-bg5cb День назад
huyo boss nimependa anakula uradi natasubihi yake MASHAALLA
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti День назад
Leo wa kwanz Mimi like 50 kwa chado master mung mbariki Kila mtu atakae soma sms hii tuseme Amen 🙏
@IreneTarimo-hb9ww
@IreneTarimo-hb9ww День назад
❤❤❤❤❤❤
@mishy_wizzy61
@mishy_wizzy61 День назад
sasa like wewe za nn
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti День назад
@@mishy_wizzy61 hamasa tu
@AishaSura
@AishaSura День назад
Amen
@VivianMlenga
@VivianMlenga 17 часов назад
Amen
@teamrashid6837
@teamrashid6837 День назад
Chado chado chado masta haupoi hatuboi nakubali kazi 💯 zimekuja nyingi ila hii mission 🔥
@jumahamisi1953
@jumahamisi1953 День назад
Bonge na cheusi wameyatimba kama mnakubaliana na mimi like kidogo
@mashakidegera5214
@mashakidegera5214 День назад
Nimecheka Leo peke yangu Yan cheus na bonge mbona yamewakuta makubwa
@SiwemaHalfan-df8qx
@SiwemaHalfan-df8qx День назад
Wameumbuka jamani
@PaschalIdelphonce
@PaschalIdelphonce День назад
Nimetoka kufundisha tu nimekuta k2 teyari like zenu kwangu 100 zinanitosha
@KeyHAkizimana
@KeyHAkizimana День назад
Oyaa wanangu chado kauwa umo ndani ✌️✌️
@annaki318
@annaki318 День назад
Hahahahah kumbe cheusi ni kidume Cha TABORA Tunaoiangalia tukiwa tabora tujuane😂
@RajabFeruzi
@RajabFeruzi День назад
Sema chado unazingatia mda hongela kwako
@ZayNiyonzima
@ZayNiyonzima День назад
Sanaaa
@AhmadAhmed-xr7gd
@AhmadAhmed-xr7gd 23 часа назад
Nimefulahi sana uyu chenga kakamatwa
@judithnyenga7327
@judithnyenga7327 День назад
😂😂bonge na Cheusi mmeyatimba
@DonaldBelenaldo
@DonaldBelenaldo День назад
Naqbali sanaaaa yaan eeee yaan 🔥🔥
@JaguarEscobar
@JaguarEscobar 22 часа назад
Kama unajua chado hapingwi kivovote wote apa chado it's 🔥🔥🔥🔥
@JamesiIsaya
@JamesiIsaya День назад
Wahuniiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BraitonKagoma
@BraitonKagoma День назад
Kikofia kaya timbaa Leo hahaha🎉 jmn
@FatimaKhan-o3d
@FatimaKhan-o3d День назад
Ila cheusi😊😊😊namipango yak yote hajawah kufanikisha
@MoonlightHashim
@MoonlightHashim День назад
Ndio maan ya mission imposible🤭
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 День назад
Ndio maana ya mission impossible
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 День назад
😂😂😂
@VeroJohn-mz7hu
@VeroJohn-mz7hu 23 часа назад
😂😂😂😂😂😂
@Elizabet2694
@Elizabet2694 21 час назад
😂😂😂😂
@Binsongoro-gs6ps
@Binsongoro-gs6ps День назад
Oya chado master kuwa makini kuna watu wanatumia jina la siris yko kuwek michezo yao🎉💪
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 День назад
Kweli hata Mimi nimeona
@AngelPeter-p9k
@AngelPeter-p9k 23 часа назад
😂😂nyny wambea
@prezgal8869
@prezgal8869 22 часа назад
Yani wanakera
@mwanamisi1808
@mwanamisi1808 17 часов назад
Kweli tena no wengi wananiudhi sasa
@AminahMbarak
@AminahMbarak День назад
Ngwengwe babake chado
@Maarifasnr-gu6dp
@Maarifasnr-gu6dp День назад
Sawa tambitambi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 День назад
​@@Maarifasnr-gu6dp😂😂😂
@user-li1fl4jp3r
@user-li1fl4jp3r 22 часа назад
Kabsa😂​@@Maarifasnr-gu6dp
@mwanaeddyson5983
@mwanaeddyson5983 22 часа назад
​@@Maarifasnr-gu6dp😅😅😅 tambitambi
@YusuphKitaja
@YusuphKitaja День назад
Nimekuwa wa kwanza lio like bhc
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v День назад
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉
@DamarisDammie
@DamarisDammie День назад
Chado hiyo courage ndio i likey ila unachukia cheusi aky kichapo kila mara yawa 🤗🤗🤗🤗
@salamaslaim6678
@salamaslaim6678 День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 cheusi jaman
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 День назад
😂😂😂
@EvalineKelly
@EvalineKelly День назад
Mr chado master napenda hizo asira zako mtu wangu❤❤❤❤❤❤ roho mbaya, roho ngumu,😂😂😂😂na roho ya huruma ,,mastar chado 😅😅😅❤❤❤
@LollvGreyze
@LollvGreyze День назад
Likeeee kumi tu...
@DeusEkelege
@DeusEkelege День назад
😅
@ZahraAlly-wq4ku
@ZahraAlly-wq4ku День назад
Ndo kwanza naona leo Raiya kakamata Askari😂😂😂😂
@KulthumAbdalla-l7k
@KulthumAbdalla-l7k День назад
Karibu bongo nchi ambayo raia anampeleka askari polisi😅
@RizikiZiki
@RizikiZiki День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@FaustaKessa
@FaustaKessa 23 часа назад
😅😅😅😅
@ZuhuraAbdallah-u9o
@ZuhuraAbdallah-u9o День назад
Kutoka oman naomba like 😅alafu cheusi umbea tuu unakuponza😅
@user-li1fl4jp3r
@user-li1fl4jp3r 22 часа назад
😂😂😂😂😂
@suleOficialtz8451
@suleOficialtz8451 День назад
Wanaoamini ngwengwe ni mtot wa chado gonga like tuondoke
@mrmsomitz
@mrmsomitz День назад
wameyatimbaa vibaya hawa mbwaaaa kitengoo tuundie group la shabik zakoo
@GdHc-ct3dh
@GdHc-ct3dh День назад
Yan Leo wameyatimba syo poa😂😂
@KmssKkss
@KmssKkss День назад
Kabisaa yn tu enjoy zaid 😂😂
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 День назад
Kabisaaaa
@AugustinoWilson
@AugustinoWilson День назад
Kiuno chako cheusi kubabaakoo😂😂😂
@DestinNondo-sc9qq
@DestinNondo-sc9qq День назад
Nakubali san chado mast mana hakawizi kuachia mzigo sio chinga media mpaka wiki mbili ndo wanaachia✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️👌👌👌
@annaki318
@annaki318 День назад
Hahahaha hatimae chenga afande kikofia Leo kimemlamba😂😂😂😂 Tumzomeeeee wooooooooooo Tumcheke hahahhahahahaaha😂😂😂 Leo ameyatimba😂
@mwanahawabedui-c3k
@mwanahawabedui-c3k День назад
Jmn mmi pia nimewah leo haaa wat wa humu ndani hawalal ht kdg nipen na mmi like zng kaz nzur kaka chado
@biommy6700
@biommy6700 21 час назад
Kaka dady ukiwa mpole unapendeza sanaa, hadi natia huruma...
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂leo mmejuq kuniuwa mbavu wallah mama ngwengwe kafurah kumuona kikofia bonge uliambiw utalia ww kazi unayo sasa😂😂😂😂😂
@Ayshunnah
@Ayshunnah День назад
Tiketi zimeisha😂😂😂😂😂
@Mineralist21
@Mineralist21 День назад
Kama unamkubali chado nipe laik zangu
@KhanifaJacoub
@KhanifaJacoub День назад
Hizo apo chukua ❤❤❤❤
@AnnyMunyao-dd4oo
@AnnyMunyao-dd4oo День назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kingwanderacommedies8595
@kingwanderacommedies8595 День назад
Chado ni jamaa wa usani🎉
@mishy_wizzy61
@mishy_wizzy61 День назад
sasa tukupe like zako au tumpe chado acha ushamba dihaa
@TridgeTanzania
@TridgeTanzania День назад
❤❤❤❤
@MerianNyoha-bg5cb
@MerianNyoha-bg5cb День назад
chado naomba uvae suruali kama uliovaa wakati unamkamata chenga umependeza sana yani sana vikapula vinakua hovyo namiguu miembamba sana
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz День назад
Ila Jmn Akivaa Kamptula miguu Mirefu ,,ni Golliath😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 День назад
😂😂😂
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 23 часа назад
😅😅😅😅
@TausRaj
@TausRaj 22 часа назад
😂😂😂😂😂😂 niachie baby wangu
@prezgal8869
@prezgal8869 22 часа назад
Anakua km nagwa vipensi na miguu mirefu😅
@TausRaj
@TausRaj 21 час назад
😂😂😂😂😂chado bhnaa nawewe unamuonea sana cheusii mbona baga humpigagi sio vzr mxwiiiii
@shukranismaely6045
@shukranismaely6045 21 час назад
Cheusi ❤❤❤ wee noma unajua na unajua tena
@TausRaj
@TausRaj 22 часа назад
Cheusiii😂😂😂😂😂😂anaham mjiiiiii bonge ndio namuonea huruma zaidiiii maskinii 😂😂😂😂
@MariamShaban-q5k
@MariamShaban-q5k День назад
Chado unatuchelewesh wadau wak tupo hot hot na mission impossible
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 День назад
Mhh uwr nashukran naww kila ck inatoka anacheleqesha nn
@petermalale9740
@petermalale9740 День назад
Chado master umetisha kinomaa yan🫡🫡
@sitisule6812
@sitisule6812 День назад
Zimekwisha heee kwani hujasikia ama😂
@SwabraHabibuOmar
@SwabraHabibuOmar День назад
Big up chado masta
@michaelmsouth45
@michaelmsouth45 День назад
WA kwanza kaka gonga like kwa chado✊🏽
@ShixThegreat
@ShixThegreat День назад
Ila wanangu Chado na Mama Ngwengwe kunak2 Kati yao
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 День назад
ira cheusi na bonge leo mmenichekesha sana jaman mana nimecheka adi machozi yana nitoka😂😂 ❤ chado nakupenda sana jaman naomba mungu azidi kukulinda siku zote l love you baby chado 💋💞💞💞💞💞💕💕💕💕
@Kitufemiwashofilm
@Kitufemiwashofilm День назад
Leo wakwanza mm Leo stak shobo na like Tuchek kwanza unyama huu hapa 🎉🎉
@FATMARAHMA12
@FATMARAHMA12 День назад
Wanao woa boss akifika kwao najima atamupenda najima nipeni like
@gabu_8
@gabu_8 День назад
Big up chado masta haukai sana unapost haraka haraka hadi mtazamaji anafurahia❤
@SamouOman
@SamouOman День назад
chado master kukupenda t mungu akuongoze my love🌹🌹🌹💯💋💋
@MujaahidMazruy
@MujaahidMazruy День назад
Oya nyie namshukuru mungu nimekua wa 800
@naomysella
@naomysella День назад
Master chado ujeñgewe sànàmu lako❤❤🔥🔥🔥
@DommyJohn-wv8bh
@DommyJohn-wv8bh День назад
😢😢😂😂❤❤ maana😢 kufinyia kwa ndani
@PiliHashiraki
@PiliHashiraki День назад
Daaah chadoooh bongenacheusi wajichimbie kabuliwenyeweeee😂😂😂😂
@kingjunior3898
@kingjunior3898 День назад
Wa kwanzaa leo
@AmisseBuraimoCanamo
@AmisseBuraimoCanamo День назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chado from mozambiq nakupenda bureee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Homecookin2024
@Homecookin2024 День назад
Mm ndo wa kwanza leo
@AgostinhomateusAgostinho-h2z
@AgostinhomateusAgostinho-h2z День назад
Salute for you my young boy chado masta
@TausRaj
@TausRaj 21 час назад
Mjomba😂😂😂😂😂😂😂yn utasema yeye ndie alitombewa mke jmniiiii😂😂😂
@scotawizzymrplanb
@scotawizzymrplanb 17 часов назад
😂😂😂😂 noma
@SabrinaKhamis-u7j
@SabrinaKhamis-u7j День назад
❤❤❤❤Yan naipenda jamn move hy hatr
@DanielMasumbuko
@DanielMasumbuko День назад
Kudadeki leo afande kikofia kapoa😂😂
@RehemaShindo-px7gt
@RehemaShindo-px7gt 23 часа назад
Nmemkubali chado kweli ni masta
@Babanasri194
@Babanasri194 День назад
Next episode 🙏🙏 broo
@VxvDbv
@VxvDbv День назад
Leo nmewahi mashallah tabarakallah
@EvelinaKasalile
@EvelinaKasalile День назад
🤣🤣🤣bonge Leo kayataka hahha chado anauaa bonge leo
@mulambamadeleine-hi4lh
@mulambamadeleine-hi4lh День назад
Kaka chado nakukubali saaana ikitizama tu iyi movie Yani nafurai sana kihukweli hote munaweza iyo kudi kali sana
@LeylaKhamis-j5x
@LeylaKhamis-j5x День назад
❤ hiy ndo ilike
@user-rm3ml7cd7c
@user-rm3ml7cd7c День назад
Hongereni kwa kazi nzuri team chado ❤❤
@MariamAmir-x3k
@MariamAmir-x3k День назад
Oyooo kitu iko😂😂🎉🎉
@SalmaMakita
@SalmaMakita День назад
Chado master me ndo I like it
@MukrmAbdalla
@MukrmAbdalla День назад
Wakwanz mm leo naombeni like❤❤❤❤❤❤❤
@JeniEmmah
@JeniEmmah 22 часа назад
Cheusi na bonge 🙌🙌😅😅😅
@YusufuLamazani
@YusufuLamazani День назад
Wanao mkubali mzeee wa uchumi tuonane hap like zak ❤❤❤❤
@BensonJackson-y2t
@BensonJackson-y2t День назад
Nakubali kazi yako broo tunataka vitu Kama hv
@ChazzChazz-z6q
@ChazzChazz-z6q День назад
Leo wa kwanzaa naomben like zang🎉🎉
@IdhulKhalu
@IdhulKhalu День назад
Iam witching from kenya nice brother chado
@SakinaKhalifa-pd6hr
@SakinaKhalifa-pd6hr День назад
Cheusi na bonge kimewaramba😂😂😂😂😮😅😅😅
@AllyMaganga-cd8qm
@AllyMaganga-cd8qm День назад
Oya wanaomkubali chado master gonga like hapa
@juliusstanley905
@juliusstanley905 День назад
Ila cheusi bhn namkubali sanaaa
@mwanamisi1808
@mwanamisi1808 День назад
Chado anamjua mm ngwngw mm ngwngw ndio hamjui yeyote kati ya hao wahuni lakini wao wanamjua mara nyingi walikuwa wakimwambia ngwngw mmko hataki uje hapa
@MarionNatasha-l1i
@MarionNatasha-l1i День назад
Asante kaka nilikua nimemiss already ❤
@voicdesition897
@voicdesition897 День назад
Mzee wa misumali eh ukwasi ni fedha nyingi umetulisha matango poli
@AyshaMussa-xs2ut
@AyshaMussa-xs2ut 23 часа назад
Alitaka kumaanisha ukata
@NajramAbdi-g7b
@NajramAbdi-g7b День назад
Kila mtu umu ni wa kwanz!!!!
@AgnessMirisho
@AgnessMirisho День назад
mzee wa misumar leo amekuwa mpole mhnn
Далее
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
Просмотров 31 тыс.
СМЕЛОЕ РЕШЕНИЕ #shorts
00:14
Просмотров 23 тыс.
Ice Bear would appreciate some cheese 🧀
00:18
Просмотров 13 млн
MISSION IMPOSSIBLE [39]
1:55
Просмотров 3,2 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [39]
27:06
Просмотров 136 тыс.
JAM | Part 1 | Karikku | Comedy
12:31
Просмотров 4,2 млн
Jua Kali Leo Jumatano Full HD video
24:14
Просмотров 10 тыс.
HOUSE GIRL EP 02  | S3 | Love Story 💕💞
38:22
Просмотров 30 тыс.
JAMBAZI (who is the killer) EP 1
17:39
Просмотров 38 тыс.
Maveli from Tamilnadu /comedy /kudosmedia
5:51
Просмотров 919 тыс.
Huba Leo Jumatano Full HD video
22:15
Просмотров 7 тыс.