Asante Baba God kwakutufikisha kumwisho wa movie letu pedwa snack boy Matondo mingi po na Director na nga KAKOSO na BOSS n’a nga CLAM CHRIS po na mosala nzambe apambola yo 🤝🤝💪VEVO BEND Toujours LIKOLO🫵💪💪💪💪💪ndeko na nga MWAKOTOBO ( ZINGA) matondo mingi nzambe apambola yo
Yaani hili ni bonge la series hongereni sana kwa team VEVO you did the best all of you 🎉, jamani mwageni like za kutosha kwa ajili ya kuwapongeza wahusika wote kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
Kiukweli, movie hii imenifunza mengi sana❤, mimi ni mwalimu wa kiswahili ambaye ameingia uwanja miezi michache na nimekuwa naifuatilia na wanafunzi wa kidato cha tatu na wanafunzi wengi wanaojifunza lugha ya kiswahili katika shule ya upili Bugamba wilayani Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬,,, tumekuwa pamoja mwanzo hadi mwisho. Mengi tumepata hasa maudhui na mbinu za usani. Zaidi ya hayo, tumepata njia tofauti tofauti ambazo tumepata kuhusu uigizaji. CLAM VEVO na kundi lako, Mungu awapatie lolote mnalolihitaji. Kiswahili mbele tusongeeee nyuma haturudi Gonga like ikiwa wewe umekuwa unafuata🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Pak Patriot 💞
Yaani hii tamthilia siku penda kabsa iishe aisee. Pia nimependa sana huu umoja wenu wote mlio cheza hii snake boy. Pili ni shukuru clam vevo kwa kuwa shika mikono wenzako wote kwa kuwafungulia you tube chanel zao. Hata kama hii inaisha lakini umeacha kizazi nyuma kitakachokushukuru umeacha wafuasi wengi sana Hongera na uendelee na moyo huo huo. Na pia naomba wote tuendelee kuwa sapoti hawa wenye you tube chanel zao
Daah 😭😭😭 nilitamani snake boy iendelee lakini ndio imefika mwisho all in all snake boy 🐍 ni yamoto zaidi ni kali sana mmetisha sana timu nzima pamoja na clam vevo umetisha sana 🔥🔥🔥🙌🙌🙌👍
Kwa kila aliyeipenda hii season na kumtaka clam na team yake walete kali zaidi ya hii kama zote wagonge like.... Hakika clam na team nzima ni mafundi kwelikweli kuwahi tokea Africa.
Mungu awabaliki wote mliofatilia movie hii mwanzo na had leo mwisho nawaombeq mungu awabaliki sana na awafungulie milango ya lizki zenu amina nawapenda nyote
Kwa wale wote walioshiriiki Kwa move pendwa ya snake boy Mungu awabariki sana namuendelee kutuletea movie nzuri kama hii pongezi kubwa Kwa clam sasa tunasubiri big boss episode 2🎉🎉❤❤
Shukrn kwa uongozi wote na wahusika wote walio jitoa kufanikisha uhondo tulio upata kwa muda wote kwass ngoja tusubiri ujio wa laza nyingine wakati tukiburudika na the game 💪
Ahsante sana tumeshukuru na nimeshukuru kua na mtu kama tanu mwenye hakiri thimamu kabisa mwisho amekua chief na mkiweza kutuletea movie nyingine za kijijini na sio mjini itakua nzuli pia zaidi za mjini sio nzuli sana kama za kijijini ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Safari njema na maisha mema kijana nyoka pamoja na director Kakoso pamoja mbwela pamoja na mbea kibara na sengo big love ❤❤❤ ninawa penda wote Team Vevo gan 💋💋💋 Ak style 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Tulioanzaaaa kuifatiliaaaa snake boy season two mwanzo mpaka mwisho tujuaneee🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tujuaneee kwa likeee hapa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿gonga likeee hapa 🎉🎉🎉🎉🎉
Tungojeeee season 3 snake boy kwa walee wanaokubaliana na mm wanisapoti hata kwa like mana mzigo wa season 3 utakuwa sio powaaaaa kabisaaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaa
Clam Vevo kazi nzuri sana ongereni Sana wewe pamoja na timu Yako yote mzima namipa ma uwa yenu ila historia mumekata kati sio mwisho inatakiwa iwe na Season 3 tu one tano naye
na hakika kwa jinsi mnavyo pambana mwenyezi Mungu haezi kataa kuwasaidia nawatakia kila la heri kwa juhundi zenu Mungu awape maisha bora zaidi hadi mfikie ndoto zenu na pia tutazindi kuwasupport kadri ya uwezo wetu ili mfikie matamanio yenu