Тёмный

MISSION IMPOSSIBLE [53] 

CHADO MASTA FILMS
Подписаться 115 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 515   
@Aaqwe-yi6qn
@Aaqwe-yi6qn Час назад
Tusio mpenda manyonga like zenu
@TausRaj
@TausRaj 36 минут назад
😂😂😂😂😂me nampenda
@BucumiErick
@BucumiErick 28 минут назад
Chagufanya chado mstaa manyonga alikatia mke wako ndo anamufanyia hivyo lakini chado nakuamini sana utamusaidia kipenzi chako alafu chado mstaa ujue kung fu nikitu amana mahali unakaribia shikuzuri❤❤❤❤❤❤
@KanalidaOg
@KanalidaOg 2 часа назад
Jaman chado masta dakika ndogooooooo ongeza mda kwenye mission impossible ombi tu🙏🙏🙏🙏🙏
@jemmy793
@jemmy793 Час назад
Kabisaa yaani
@rigeiyeawadh9325
@rigeiyeawadh9325 Час назад
Na alisema alikua anasbr tu aone kama ana watu Ataweka hata lisa kwann chado tuweke lisa mtu mwenyw unachrelew kutoa
@isaqislem872
@isaqislem872 Час назад
kweli kabisa dakika chache sana
@Puchuanitz
@Puchuanitz 2 часа назад
Eeeh mwenyezi mungu tusamehe waja wako na adhabu ya kabuli na kila atakae Soma comment hii Bax mungu ampe maisha mengi Amin ❤
@MwanashaSuleiman
@MwanashaSuleiman Час назад
Amiin nae pia dear
@StephMbilinyi-bf7ph
@StephMbilinyi-bf7ph Час назад
Amen🙏
@AbuuHozza-ys7mf
@AbuuHozza-ys7mf Час назад
Amen
@sakinahasani3108
@sakinahasani3108 Час назад
Amina🤲
@SalmaIddy-t3h
@SalmaIddy-t3h 57 минут назад
Amini
@RauDogo
@RauDogo 41 минуту назад
Chado sijapenda ulivyompiga gwegwe😢
@kidd_alpha_kidd_money6626
@kidd_alpha_kidd_money6626 16 минут назад
Kula chuma iyooo...manyonga mtu mbayaa sanaa dadek😂...gonga like nyingi kama movie inanoga
@Vintonekaveli
@Vintonekaveli Час назад
❤wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 wapi likes zake #chado_masta_film
@AgostinhocosmeNambanga
@AgostinhocosmeNambanga 2 часа назад
Najuwa sijawahi sana na ata sijachelewa sana but please naomba like zangu from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@BucumiErick
@BucumiErick 39 минут назад
Chado mstaa nashukulu sana katika maisha yako na mke wako muko uhai.jambo nataka kusema manyonga aliuza kaka ya najuma alimupatia pesa amupelekee kwa ofisi ya Akiw amepanga na wizi
@SamwelMjema-e7u
@SamwelMjema-e7u 2 часа назад
Yani aminini kwamba bongo tunaendelea vizuri Sana washirika wote respected kwenu ❤❤❤
@GreyAloyce
@GreyAloyce 29 минут назад
Aah. Chado master 🎉maua yako nakubr sana hizo pigo zenyewe kabsa uko poa mwamba
@KilindiBoy-ql6gm
@KilindiBoy-ql6gm 30 минут назад
Umetisha kitengo nawapendea apotu hamcheleshi episod kazinzuri alafu mnatumia muda mchache hongereni tuko pamoja bega kwa bega❤❤
@MauaKasulwa-k6y
@MauaKasulwa-k6y 2 часа назад
Namm leo nimekuwa wa kwanza🎉🎉🎉 yote kwa yote tumshukuru mungu kila jambo na kila wakati
@nasraN-c8l
@nasraN-c8l 35 минут назад
M Leo WA kwanz jmn like zang
@JessicaIrakoze-w4e
@JessicaIrakoze-w4e Час назад
Tena ten millions 😢😢😢😢 Chado ebu towa basii kila siku
@ShamsaJumbe
@ShamsaJumbe 2 часа назад
Wooow wakwanza leo 🎉🎉🎉jamn ❤❤❤❤❤❤
@masanjalutubija9638
@masanjalutubija9638 Час назад
Nakubar chado master 🎉🎉 weka nyingine
@ShakilaJuma-x6b
@ShakilaJuma-x6b 50 минут назад
Hii movi ikiisha maisha yatakuwa magumu sana nzuri
@TausRaj
@TausRaj 23 минуты назад
Ngwengwe😂😂😂😂😂😂😂😂pole mtt wangu Baba unae
@Taus-t7p
@Taus-t7p 2 часа назад
Leo mi ndiyo wa kwanza nipeni 👍 zangu 💃💃💃💃💃
@Protasfred1
@Protasfred1 13 минут назад
Wa 24 jamani naomben laik zangu
@berthillegatoni9404
@berthillegatoni9404 2 часа назад
Ngwengwe 😂😂😂😂😂kimbia konzi zitakuuwa😂😂
@kibibimlaula2526
@kibibimlaula2526 51 минуту назад
😂😂😂baba ataki mchezo
@TausRaj
@TausRaj 18 минут назад
😂😂😂😂😂😂
@LeeCapajr-yj1wg
@LeeCapajr-yj1wg Час назад
Huyo mlinzi si ndo yule mwizi
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 51 минуту назад
Ni mipango tu ya mr manyonga
@latifamubba100
@latifamubba100 47 минут назад
Ndouyo uyo
@eshamohd7268
@eshamohd7268 21 минуту назад
​@@latifamubba100yan ni yeye huu nimchezo aliucheza manyonga
@EzekielKyara-i1x
@EzekielKyara-i1x 2 часа назад
Dady has gone...!!! Jamaa amemzunguka mwamba. Dah amezingua
@HabibtyMalhotra
@HabibtyMalhotra 2 часа назад
Yni huwez imagine yote kisa anamtaka najma ddaahh
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 6 минут назад
Chado Mwamba na Nusu😂😂😂 wadau tukimaliza kuichek hii kuna goma linaitwa Maumivu oya ni shidaaaa🔥🔥🔥🔥
@SaadaHaroun
@SaadaHaroun Час назад
Huyo kaka sndo alkùa na yule albino ila manyonga sio mtu aseee😢😂🙌 mzee wa misumar kimemrambaa kachezewa mchezo
@RizikiZiki
@RizikiZiki Час назад
Nikweli niyeye
@user-yw6rb2oi4b
@user-yw6rb2oi4b 2 часа назад
Mm wakwanza jmn naombeni like jaman🎉
@mwanidimavale
@mwanidimavale 2 часа назад
Kweli ulikuwa mtegoo
@WardaCadey
@WardaCadey 2 часа назад
Cjawah kukoment humu ila leo nmefurah kuwa wa kwanza.❤❤team chado👋👋
@HidayaHamisi-w5k
@HidayaHamisi-w5k 2 часа назад
Leo sijachelewa sana jmn kwa kweli nimejitahidi
@ChingaKenboy-fz8yr
@ChingaKenboy-fz8yr 2 часа назад
Dàah kazi ipo apo kwa mzee wa mìsumali😂🎉🎉
@KpFamily-n2r
@KpFamily-n2r 2 часа назад
Wakwanza jmna naombeni like zangu
@LaurentLukome
@LaurentLukome 2 часа назад
Chado unaenda kuwa shemeji wa kaka dady 😂 Oya so pw kutoka Canada nawapenda sana team chado na watanzania kwa ujumla ❤ gonga like hapa
@PeterJonathan-y5l
@PeterJonathan-y5l 2 часа назад
Leo wa kwanza jamn like zangu hapa from tz🇹🇿
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 часа назад
Niliona kama leo ni mbali inshaallah kwa uwezo wa mwenyezinungu tumefika amiiiin ya rabbi
@HabibtyMalhotra
@HabibtyMalhotra 2 часа назад
Yni Jana nlikua nawaza j3 yafika lini😂😂😂 mashallah
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Час назад
😂😂😂😂 kama mm tuuu​@@HabibtyMalhotra
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 2 часа назад
Wakwa mimi leo jamani sijawahi kupata laiki hata moja naombeni hata tano plz
@hunterpictures3549
@hunterpictures3549 2 часа назад
Wakwanza jamani naomba like zangu 😂
@RoseBonnie-r8f
@RoseBonnie-r8f 2 часа назад
Yan manyong huyu jaman anamsingizia Mzee wamisumali mpak hurum
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 2 часа назад
😢😢😢😢😢😢 inatuma San hyu jmaa sio mzur
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Час назад
Masikin mzee wa misumari waminifu wake umemutia pabaya,jaman ,😢naomba serekali ichuguze atoke
@latifamubba100
@latifamubba100 46 минут назад
😅😅😅😅😅😅
@TausRaj
@TausRaj 16 минут назад
😂😂😂😂😂
@AjuayeMohamedy
@AjuayeMohamedy 2 часа назад
Nipen zangu nimekua wakwanza
@FaridaAthuman-uv5zi
@FaridaAthuman-uv5zi 2 часа назад
.mm wa Kwanza from Kenya
@AdamSadick-ik5jg
@AdamSadick-ik5jg 2 часа назад
Namim ntafte nchi ya kutokea... Kutokea Afghastan... Love kwa chado master
@ThimaDafazz
@ThimaDafazz 2 часа назад
Woow leoo nimewahi nipeni like bac
@noelygodiwe6923
@noelygodiwe6923 2 часа назад
Kazi nzuri
@KasimuFrank
@KasimuFrank 2 часа назад
First like japo 5
@leladege1500
@leladege1500 Час назад
Sijawahi kuwa wakwanza jamn naomben like jamn hat 5
@jofreyburton3595
@jofreyburton3595 2 часа назад
HATA NINGEKUWA WAKWANZA. MSINGELIKE MNA ROHO NGUM SANA😂😂😂😂
@KizzImuh
@KizzImuh 2 часа назад
Jambazi kuu hilo hapo wakuu
@BettyGitari-n8m
@BettyGitari-n8m 2 часа назад
Nimewai mapema tena wa kwanza leo...Kenya woiyeh
@izerebrandon
@izerebrandon Час назад
Chado masta Courage mon frère.
@annaki318
@annaki318 2 часа назад
Tunaokuga viherehere kucoment dakika za mwanzo bila kuangalia full movie tujuane Nasoma comment 😂😂
@SnoshaJamaly
@SnoshaJamaly Час назад
Siyo pouwah hiii silizi hatal xana 👊🏽👊🏽
@chachumoo5178
@chachumoo5178 2 часа назад
From 254 Kazi nzuri
@Naahleey
@Naahleey 2 часа назад
Ssa apa naanza kuhofia kam chado na yule jamaa kam ndugu alaf kam yule ndo baba ake ngwengwe jamn mbon kesho kutwa mbali😢😢😢
@sofiyamohamed5019
@sofiyamohamed5019 Час назад
Tenaa
@MimahKenzer
@MimahKenzer Час назад
Hii ndo commnt nlikua naitafta yaani Ivo ndo itakua 😂❤
@MeryMpmba
@MeryMpmba Час назад
Hujakosea kabisa na hisi ndiomana mama ngwengwe alisema asinge kimbia mtoto wake angakufa
@Cute_mamuuh
@Cute_mamuuh Час назад
Yaan huyu manyongaa hana hata sura ya aibuu tena anarosokaa😢😢 kweli huyu manyonga cheki na huyo baunsaaa
@MariamHasani-n1t
@MariamHasani-n1t Час назад
Huyo jamaa simuzuri najima chunga sana
@RaphaelDaniel-ys9lb
@RaphaelDaniel-ys9lb 2 часа назад
Chado bhan chukua maua yako kaka unafanya kaz nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JumaMaulidi-e8h
@JumaMaulidi-e8h 2 часа назад
Jamani chado namkubali san san ila hii tena ifabye imalize utoe nyegine ñzurinzaidi
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 2 часа назад
Nyingine tayari inaitwa maumivu
@TausRaj
@TausRaj 29 минут назад
​@@patriciaboniface9975Sio ya chado ile ni yazamanii😂😂😂😂
@CynthiaSaaban
@CynthiaSaaban 9 минут назад
Dah!!!!aiseee sijapenda ulivyo mpiga gwegwe jamani😢😢😢 so vizur dauh
@GraceRehema-p9f
@GraceRehema-p9f 2 часа назад
I was waiting for this episode...napenda kazi zako huwa hazichelewi
@kadegeolesaita6515
@kadegeolesaita6515 2 часа назад
Kushaanza kuchangamkaa😊
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 часа назад
Manyonga shenzi sana acha ukutane na kitengo ndo utaisoma😢😢
@dtv6734
@dtv6734 Час назад
Dah!!! Kitengo, Chado, Anthony Fanya jambo juu ya hili jambo la Mzee wa Misumari.....🥲
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 2 часа назад
101.,Jamani namtaka ngwengwe 😅😅😅😅😅😅Chado masta sijapenda.😮😮
@ZakiaAlRamadani
@ZakiaAlRamadani 2 часа назад
Kazi nzuri❤❤❤🎉
@SifaFilibeti
@SifaFilibeti 2 часа назад
Mi Nataka sehem zote acheze chado na kidem jau bas❤❤
@kibibiabdul5312
@kibibiabdul5312 2 часа назад
Mm pia😅😅
@NaomiRaymond
@NaomiRaymond 2 часа назад
Yan ww kam mm
@MissFreeda
@MissFreeda Час назад
😅😅😅
@RizikiZiki
@RizikiZiki 59 минут назад
Wakiwa wawili move itakuaje sasa Manyonga atampataje Najima😂
@AngelMbelle-l6x
@AngelMbelle-l6x 24 минуты назад
😅
@AminaOman-v8x
@AminaOman-v8x Час назад
Mbona mie nachelewa kupata😢😢😢😢 jamani kila siku wamwisho😢😢 ila nawapenda bure bupa mungu awabariki😊😊😊😊kwa kipaji chenu❤
@yusuphsule4798
@yusuphsule4798 2 часа назад
Uyu solo sindo aliyemkaba mzee wamisumali uyu yeye na manara😂😂
@AminaMussa-bw2jh
@AminaMussa-bw2jh 2 часа назад
😅😅😅ndy
@evodiamdendemi9652
@evodiamdendemi9652 2 часа назад
🤣🤣🤣 jmn manara
@TausRaj
@TausRaj 29 минут назад
😂😂😂😂manara
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 2 часа назад
:Jamani Msipende kukaa Madirishani Kwenye daladala Nimepigwa kibao Na mpiga Debe Kisa Konda Hajampa Hela yake😢
@Deloveally-o8g
@Deloveally-o8g Час назад
😂😂😂😂😂😂
@WycliffeOnkundi
@WycliffeOnkundi 2 часа назад
Bwaza from Kenya likes zangu
@EsmailSalimo-u8x
@EsmailSalimo-u8x 2 часа назад
Nimewai wa kwanza kama unankobali kitengu gonga like ❤ CADODO🇲🇿🇲🇿
@PabloGracia-xn9xm
@PabloGracia-xn9xm Час назад
Chado niseme nakupenda lakini video Queen mkubali UW kaka yake
@RehemaBakari-u7x
@RehemaBakari-u7x 2 часа назад
Mzee wa misumari wame zunguka
@SteveChaselss
@SteveChaselss 47 минут назад
Mista manyong moongo xan anamliza najima
@Kakerluder
@Kakerluder 2 часа назад
Kutoka MOMBASA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Unyama
@FauziaAmeir-y6e
@FauziaAmeir-y6e 50 минут назад
Kwa kweli chado ni master kwa hii movie
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru 2 часа назад
Nimewahi Leo from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much 💚
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 8 минут назад
Nakubali sana 😂😊😂😊😂
@hope30807
@hope30807 2 часа назад
Watu Huwa mnalala humu eeh😂😂
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c Час назад
Kwani Leo cheusi Kwa kujiuliza wewe ni nani😂😂😂 kwa taarifa yako wewe ni mke mwenzangu😂😂🎉❤
@natasharummy8991
@natasharummy8991 Час назад
Nmewahi n mimi leo nimewahi😊
@LollvGreyze
@LollvGreyze 2 часа назад
Ni kali mnoo hii moovie kama unaielewa like apa
@AbedSada-s5h
@AbedSada-s5h 26 минут назад
Chado tuongeze dakika maana unacheza vizur sn ❤ iyo ndo chensi yako ya mwisho yakukubaliwa na kaka dady kuwa na najma fanya mambo tumia akili ufaanikishe kumtoa mu ilo shimo kaka dady
@MwanashaGanzallah
@MwanashaGanzallah 2 часа назад
Wa pili jamani all the way from Kenya...lots of love chado master group
@SharifuAlbughuli
@SharifuAlbughuli Час назад
Chado umeanza kuzingua Kaz inachelewa afu dakik chache....... 😢
@barakasiriwa566
@barakasiriwa566 45 минут назад
Aiseee Chadoo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@exsavermateus2670
@exsavermateus2670 2 часа назад
Wa kwanza Mimi Leo nipeni like zangu Ata mbili wadau
@AtherAndrea-u2h
@AtherAndrea-u2h 2 часа назад
Nilijua nitakua wa kwanza duh😂😂😂
@RjRj-p3e
@RjRj-p3e Час назад
😂😂😂kitengo na mwanae mnaniuwa mbavu🤣🤣🤣
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Час назад
😅😅😅
@goliatyfesto5118
@goliatyfesto5118 2 часа назад
Move qariiii sanaaaa
@JacksonJoseph-h9n
@JacksonJoseph-h9n 2 часа назад
Sijui ata nakuwaga wangapi humu 😂😂
@Shijamsukuma13
@Shijamsukuma13 Час назад
Hii movies tamu sana yaani mpaka natamani isiishee daaaaaaah saruti kwenu teams kitengo
@HabimanaArstide-ut9ty
@HabimanaArstide-ut9ty 2 часа назад
Kitengo vp mimi mushabiki wako niko hapa 🎉🎉
@JumaIsmail-wd2xm
@JumaIsmail-wd2xm 2 часа назад
Leo wakwanza mm
@jazaenergy-j1s
@jazaenergy-j1s Час назад
Nawapenda jmn❤ shado sideme jau
@IdayLams-d
@IdayLams-d 2 часа назад
Wa kwanza Leo 🎉🎉❤
@yohanamwombela
@yohanamwombela Час назад
Mmmhh!!!namshauri ngwengwe ajiunge urafiki na mwakipesire maan ayo makwenzi siyo pw!!!
@MailaKimaro
@MailaKimaro Час назад
Daaah imeishia patamu
@Wagondo26
@Wagondo26 2 часа назад
Huyu manyonga co mtu mzur
@AlexAlexjohn
@AlexAlexjohn 2 часа назад
Wa kwaza mm munipe maua yangu
@ZainabuBachu
@ZainabuBachu 2 часа назад
Wa kwanza jmni siamini leo kuanzia like mpk coment
Далее
MY MOTHER EP 30 |FINAL EPISODE  | Sad Story 💔💔
23:54
DIFFERENT FROM OTHERS 2
1:06:57
Просмотров 43 тыс.
Day 2 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
6:11:51
UBAYA UBWELA  ¦ EP 1 ¦   SENGO MK ~ NEW BONGO MOVIE
26:28
MISSION IMPOSSIBLE [51]
23:39
Просмотров 184 тыс.
Episode 3 || Pastor Seun Osigbesan
29:57
Просмотров 5 тыс.
SARWAT -  MALKIA WA BAHARI Episode 15
24:05
Просмотров 12 тыс.
MR MONEY_EP14
22:00
Просмотров 60 тыс.
SEUN KUTI ON CURIOSITY MADE ME ASK!
27:48
Просмотров 261 тыс.
ALL THE ബെസ്റ്റ് | KUDOS | Comedy
5:44