Baada ya kusikiliza elimu yote hii ..hivi kweli mtu unaandika koment inayouhusu maisha persornal ya mtu..usungi ndio unaongea ?yaan uchawi sio lazima ubebe dungur jmn hata midomo jmn loh wabongo tuache negativity lets support
Shida ni kwamba, Dating sites Tanzania watu wanazichukulia kama Prostitution sites! imagine mna match, unaanzisha Conversation ila responce inayokuja ni "100k for 1night" mweeh