Тёмный
No video :(

MIZENGWE- MSTAAFU 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Mzee Matata ni mstaafu, anawatoto wawili ambao ni wakubwa wanaojitegemea Safina na Mkwele, lakini bado wamekuwa tegemezi kwa Baba yao mstaafu ambae nae pamoja na ustaafu wake hakuwahi kujenga bado anaishi katika nyumba aliyowekwa na rafiki yake kwa miaka mingi ili aiangalie, baada ya kustaafu alipata mafao yake na stahiki zake zote, lakini watoto wake walimlaghai kwa kwenda kumkopa na mwishowake kushindwa kujenga na kuendelea kuishi katika nyumba aliyowekwa, mwisho wa siku mwenyenyumba anagundua kuwa Matata amestaafu na kuamua kwenda kumwambia ahame na ashindwe la kufanya na kubaki mdomo wazi mbele ya watoto wake.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 2 года назад
Jamani wanani chekesha eti mumefiwa
@issamsumi538
@issamsumi538 4 года назад
Meri imezama na magari yangu safina oyeeeee√
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 6 лет назад
Hahahaaa nipo nalalaaaaaaa maringo saba bana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 года назад
miichezo ya zamani ilikuwa mizuri siku hizi mnaanza kuharibu
@yesusimungu9084
@yesusimungu9084 7 лет назад
Unajuwaga Congo kuna Nini. Mcongo Nouma sana hhhhhhhhhh kkkkkkkkkk
@mizumo6935
@mizumo6935 7 лет назад
Nawakubali sana kwa kaz zenu kikweli mnafunza sana tena sana dah mungu awaongoze
@jamalmohamed7636
@jamalmohamed7636 7 лет назад
Mko sawa wote jamani
@jamalmohamed7636
@jamalmohamed7636 7 лет назад
Nimewakubali
@mussamdoe1556
@mussamdoe1556 6 лет назад
.
@mussamdoe1556
@mussamdoe1556 6 лет назад
Nice
@hadija846
@hadija846 4 года назад
Nawapenda wote jamani Yaani wanatowa mafunzo tosha🙏🏼😍
@juliuszb208
@juliuszb208 8 лет назад
daaah kwel kazi ipo
@mtitagirloriginal6890
@mtitagirloriginal6890 3 года назад
😁😁
@hassanichijumba7222
@hassanichijumba7222 6 лет назад
Niko nalalaaaaaaaaa😂😂😂
@yesusimungu9084
@yesusimungu9084 7 лет назад
Different about youuuuuuuu mzee Nouma sana hhhhhhhhhh kkkkkkkkkk
@alexs.mramba5920
@alexs.mramba5920 6 лет назад
Yesu ni Mungu na ni mwanadam
@alexs.mramba5920
@alexs.mramba5920 6 лет назад
Yesu ni Bwana
@youngrapper8437
@youngrapper8437 5 лет назад
M po poa sana ivi ni vipaji
@jimmymusti165
@jimmymusti165 6 лет назад
Sumaku fundi sana
@balelemtungwa4448
@balelemtungwa4448 6 лет назад
safi
@ramadhanwaziri2218
@ramadhanwaziri2218 7 лет назад
hahaahhaahhahahahah... ET different about you hatareee
@rajabusungi5050
@rajabusungi5050 6 лет назад
Super
@pastorychokala2795
@pastorychokala2795 7 лет назад
mmenikumbusha mbali San japo siri yangu ,ilaninacho waomba endeleen kutoa somo kama hili (mbalikiwe sana ktk kaz yenu)
@mizumo6935
@mizumo6935 7 лет назад
Dah kaka Mimi Mwenyewe nakumbuka mbali sana kikweli dah
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 8 лет назад
aaanhaaaa
@mizumo6935
@mizumo6935 7 лет назад
Jamaa wapo poa sana yanu
@deogratiusdominick4969
@deogratiusdominick4969 8 лет назад
ni kisanga
@omaryahya6427
@omaryahya6427 7 лет назад
tunatak mupost mpya au haziko mbona hamuziweki video mpya bwana
@jumaidd9064
@jumaidd9064 6 лет назад
Hata mtu akinipigia namwambia Mm iko nalaaaaaalaaaa
@jumaidd9064
@jumaidd9064 6 лет назад
Mkongo unibamba saaaana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 года назад
😅😂
@emiltonjoseph7935
@emiltonjoseph7935 6 лет назад
Ahahhhh mkwele
@syamonpetaepeta510
@syamonpetaepeta510 8 лет назад
hiii8ooi
@sirbucrever5573
@sirbucrever5573 6 лет назад
ziko gud ila tupeni mpya
@technicalrf7770
@technicalrf7770 7 лет назад
hahaha
@bibotv1732
@bibotv1732 7 лет назад
hahahahaha
@syamonpetaepeta510
@syamonpetaepeta510 8 лет назад
hiii8ooi
Далее
ITV MIZENGWE-MSIGOMBANE.
22:46
Просмотров 168 тыс.
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
Просмотров 13 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 13 млн
MIZENGWE- FUNDI
18:35
Просмотров 298 тыс.
ITV MIZENGWE- MWENYEKITI
19:15
Просмотров 139 тыс.
ITV MIZENGWE- WA KUJIKWEZA
19:12
Просмотров 236 тыс.
Mkasi | S15E06 with Mkude Simba Extended Version
1:07:42
Просмотров 682 тыс.
ITV-MIZENGWE     DENI KULIPA
18:57
Просмотров 122 тыс.