mnao mlalamikia vee kuhusu lugha nawashangaa we umezaliwa manzese ukijua cha darasani shida mwenzako kajifunza English Kama lugha ya kwanza but still anajitahidi kuongea kiswahili, acheni wivu after all much loves to yoo vee
In first season ma best interview was #team_mkasi and brother masoud kipanya but thz interview ts awesome .. #vanessa_mdee #simple #funnygal #team_focuse .. ma best interview kwa huu mwezi .. big up #team_mkasi
Since the first time i heard dc girl nlikubali, she is simple,, cherming, ana confidence,, beatiful,,, I really like you Mdee! but cjaridhika cz cjapata really background bt c mbaya next time uje tena.
salama umeboa sn hii show,inamaana hana mtu anae date nae???mmekosa maswali mpaka yeye anawasaidia kuuliza kwamba anasikia anatoka na wewe ,mara mtoto wa raisi lakini hata hukujibu wala hukumuacha ajibu hilo limeshangaza ila wengine unawabanaga sn mfano diamond umemuuliza mpk jana yake kalala na nani?pia mama yake anatoka na vibwana vidogo hiyo sio haki..kwataarifa yako sisi tuna maswali tunataka umuulize vanessa bado arudi tena hapo
dont get me wrong i love vanessa!! but this whole interview -___- i wanted to know more about her! not what she things about education n all this other stupid question, i wanted to know how she got to interview all these people in US n what she is doing now and the future. I was sooooooo excited about this interview but naaahhhhh they had to ask the boring question that has nothing her life apart from the few times
kwa mara ya kwanza kipindi kimeboa sana alafu salama hujiamini unapomuuliza huyo binti maswali,vanessa kakufunika mbaya kwanza yeye anauliza maswali we unashangaa shangaa tu maswali mengi hayako kitechnique kabisa umeogopa hata kuumuliza kama anatoka na millardayo