Тёмный
No video :(

ZUHURA YUNUS " Nilipata kazi BBC miaka 12 iliyopita | Sijaolewa,sina mtoto | sipo kwenye mahusiano. 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 579 тыс.
50% 1

Matangazaji wa Idhaa ya Kiswahili kutoka BBC Zuhura Yunus leo amefunguka mengi kuhusu kazi na maisha yake kwenye #LeoTena

Опубликовано:

 

27 фев 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 912   
@restitutamelchiades902
@restitutamelchiades902 4 года назад
Asante sana sio kila mwanamke anataka kuwa na mume na sio wote wametendwa. Asante Zuhura
@rosemarydeograthius7041
@rosemarydeograthius7041 4 года назад
Nami nimejifunza kupitia zuhura,kuolewa na kuwa na mahusiano ni maamuzi
@selejecha2320
@selejecha2320 4 года назад
Watangazaji wanauliza wao , wanajibu wao . Bizura wape lesson vijana za utangazaji
@yohananjoekipada4737
@yohananjoekipada4737 2 года назад
Hongera sana mama zuhura japo tuta kukumbuka bbc sana tuna kuombea maisha mapia
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g День назад
hongera mama,zuhura yunusu,nisaidie mwanangu anataka kuwa mtangazaji .
@burkardkayombo5271
@burkardkayombo5271 4 года назад
Namkumbuka Zuhura Yunus, alinifurahisha sana, alivyombananisha Edward Lowasa wakati anamsindikiza Jembe Rais wa Tanzania JPM.
@abouhafs2891
@abouhafs2891 4 года назад
Majirani zetu mumebarikiwa Alhamdillah.....hongereni sana kama sjakosea Bi.Sluma Kassim pia niwe kutoka Tz.....254 ndio kwe2
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g День назад
yupo mwanangu Zakia,aniuliza sana zuhura baba ni mtangazaji mzuri,anakupenda sana,aliipenda kazi yako.
@helenamwaipopo967
@helenamwaipopo967 4 года назад
Nampenda sana Zuhura Yunus ni mtangazaji mzuri anasauti nzuri inshalaaa mwenyezi Mungu mjalie afya njema aendelee kutuelimisha ndani ya BBC in swahili
@karolinamasawe8978
@karolinamasawe8978 2 года назад
Ana miaka mingapi??
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 года назад
Yaani nampeda Zuhura kasauti kake uwa kananikosha rohoni
@richardkirenga1112
@richardkirenga1112 2 года назад
Happy birthday Mama samia tunasherekea siku moja mwezi mmoja na mwaka pia ni huo huo ,Hongera Mama
@abdallahlastb5355
@abdallahlastb5355 3 года назад
I like so much this girl.. Zuhra yunuss ...Allah bless you
@Cheetah837
@Cheetah837 4 года назад
“SINGLE BUT NOT AVAILABLE”simple but tactical answer.Only genius can catch it 🤞🏼
@edsontennie8622
@edsontennie8622 4 года назад
AMMY CARDO you don't need to be genius to catch that shit bro
@Cheetah837
@Cheetah837 4 года назад
Edson Tennie yes I don’t need coz am genius already 😃😃😃😃#
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 2 года назад
Basi wataolewa wakiwachwa
@hoseabichila255
@hoseabichila255 2 года назад
Watangazaji wetu bado sana wapo nyuma mno!!karibu Tanzania dada zuhura yunus hao ndio watangazaji wetu wape shule mpya
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Duh fikila za kusema nimechelewa kuolewa nizifute kabisa 😊😊 mungu nipe mume mwema
@sharifahmed7346
@sharifahmed7346 2 года назад
Zuhura Yunus, tutaku miss kweli, nakukumbuka khasa ktk Mwezi wa Ramadhan nakutakia kila la kheri na fanaka
@saidmboya40
@saidmboya40 4 года назад
MTU mzima hatafuniwi dawa,Dada Zuhura inshalah kujisitiri na kuzingatia maadili na utamaduni wa mtanzania na Mwafrika
@allymgosi2851
@allymgosi2851 2 года назад
Huyo dada mtu mzima ana akili zake sasa huwezi ukamfungukia bila kuonana nae lazima nionane nae je kaolewa au ana mtu
@stanleygeorge6638
@stanleygeorge6638 4 года назад
Hivi hizi like hua zinapikiwa na chakula gani maana kila mtu anaziomba
@saidwayawaya5356
@saidwayawaya5356 4 года назад
As alykum hbri zako. Dada Zuhra yunus.
@moodychanday9220
@moodychanday9220 4 года назад
Mi nampenda sababu ni Mwanamke mwenye Stara zake
@mahmoodallyturkman6523
@mahmoodallyturkman6523 4 года назад
Na like ukiwa na Salim kikeke Kwenye matangazo fantastic
@colinehelmas1458
@colinehelmas1458 4 года назад
Ninampenda sana binti kiziwi maisha ni safari akiteleza kakiri kosa kaelimika katumikia kifungo na sasa yuko huru kwa rehema za mwenyezi mungu sisi ni nani tuhukumu,welcome sis binti kiziwi
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 года назад
Mbona hamkumuuliza umri bi zuhura yunus, ila nimependa kipindi big up
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 4 года назад
Umri na ni kabila gani
@amrkellykelly1382
@amrkellykelly1382 4 года назад
Mama zuhra Kama hujabahatika kupata mme Bc Allah akufanyia wepesy inshaAllah
@husnajohn7466
@husnajohn7466 4 года назад
Insha Allah
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Hajasema hajabahatika, kasema HATAKI na hayupo available elewa basi. Sio kila mtu anatamani ndoa
@ramakazina170
@ramakazina170 4 года назад
Muache aendelee kuwakataa waume kunasiku atakumbuka lkn atakua kachelewa kwani haja zake anatimizaje Dunia inamdanganya sana Allah atujalie mwisho mwema Inshallah.
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 4 года назад
@@ramakazina170 sio kila mwanamke anahitaji kuolewa wala kuwa na watoto
@halisiherbalandnaturalremedies
@halisiherbalandnaturalremedies 4 года назад
Rama Kazina Kila mmoja anampangilio wake wa maisha, usikalili kwamba kila mwanamke ana haja ya mwanaume maishani mwake, wengine wako tayari kufa bila kukaa na mwanaume, wanaume wenyewe wako wapi! wapo kuwapa stress tu wanawake, huo ni uamuzi mzuri kwake hukumu anaijua Allah na sio wewe.
@hatujuanisalum9354
@hatujuanisalum9354 2 года назад
siangalii habari tv yoyote zaidi ya Zuhra Yunus Wallah naipenda sana
@omarnzeyimana1973
@omarnzeyimana1973 4 года назад
Assalam Aleykum, dada Zuhura vizuri kua wazi Alhamdulillah Basi mimi ninaujumbe wako naomba namba if you don’t mind please
@selejecha2320
@selejecha2320 4 года назад
Hawa watangazaji full zongo maswali mabaya heri wangemuwachua Bi zuhra tugelefaidi kutoka kwa binti kiziwi . Bigup zuhura yunus
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Ndio sababu hatuendelei. Utaona tofauti ya kufanya kazi Ulaya na Tanzania. Zuhura katokea huko huko , lakini baada ya kufanya kazi na wazungu sasa unamuona.... hakurupuki tu.
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Mahojiano na zogo la mziki
@karnerashid9504
@karnerashid9504 4 года назад
Unaomba like uipeleke wapi, mm ctaki like zenu aah
@mashakaisinika7434
@mashakaisinika7434 3 года назад
Bi Zuhura inamaana hujpata kweli basi mi nataka.
@user-zq1hy1ec5n
@user-zq1hy1ec5n Год назад
Hongera Zuhura inaonyesha wazi umelelewa na wazazi vizuri Mungu. Akupe maana maswali ya wa siojua maadili umeyajibu vizuri
@tawakaliramadhani1352
@tawakaliramadhani1352 2 года назад
Sister Zuhura uko vizuri nakubal iitikadi zako .. hongera.
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 4 года назад
Zuhura nakukubali Sana,na binti zangu Karen (7)na Given (10)wanakupenda sana,na wameanza kuipenda taarifa ya habari ya BBC.na lejendary Salim Kikeke.
@mkutubikijanaonlinetv4342
@mkutubikijanaonlinetv4342 4 года назад
Waandishi wa kibongo aisee wanapenda sana kuhlji vitu vya mahusiano sana kuliko mambo mengine ya kimaendeleo zaidi
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 4 года назад
Mausiano ndio msingi wa maendeleo make kila mtu anafanya kazi sana ili familia zipate mahitaji muhimu,sasa kama hauna anayekutegemea unafanya kazi kwa ajili ya nini?
@fadhilidamson4956
@fadhilidamson4956 4 года назад
Hapo ndo tunapofel vitu vya msing awahurzi
@mkutubikijanaonlinetv4342
@mkutubikijanaonlinetv4342 4 года назад
Angalia interview za zuhura akiwa anahoji mtu mpaka mtu unataman kukimbia waoo wana deal na uhusiano tu
@mombamedia5904
@mombamedia5904 2 года назад
Mashaallah mashaallah dada zuhura nakupenda kwaajili ya Allah, nakuombea Dua Allah akupe mume achana na mawazo hayo
@salamamohd9653
@salamamohd9653 4 года назад
Dada angu zuhra yunus nimtangazaji mzr cn pmj na kaka Salum kikeke nawapenda cn na kila ck napenda nitizame BBC habar kila ck na sipendi nikose kutazama hongera kwa kipaji mlichonacho Allah barik
@gabrieldevid9
@gabrieldevid9 4 года назад
Nampenda sana huyu zuhura yunis jaman.
@officialstoner771
@officialstoner771 4 года назад
Mashaallah
@sharifahmed7346
@sharifahmed7346 2 года назад
Zuhura Yunus namkumbuka sana katika BBC Swahili Service MashaALLAH
@user-ps3fz7od7m
@user-ps3fz7od7m 8 месяцев назад
Our teacher used a listening material today, the anchor is Zuhura and I saw this video about Zuhura today.
@Itarusii
@Itarusii 4 года назад
Maswali ya watangazaji wetu kwa Zuhura yanaonyesha kiwango kilivyo kidogo. Mmekazia mahusiano!.
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 года назад
Napenda sauti yake pia nafikiri ndio maana alipata kazi.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 года назад
Sijaona maswali ya msingi mlomuuliza legendry wa tasnia ya habari Zuhura Yunusi!! Wabongo bwana!!
@onesmomayala370
@onesmomayala370 2 года назад
Hongera sana zuhura Yunus kwa umahili wako ulionao wa utangazaji
@johnkanuda9355
@johnkanuda9355 4 года назад
Zuhura.tunakuhitaji xna nyumbani hukuhuku wa kukuoa tupooo.!---One love kwa zuhura yunus..........
@bravojuma7715
@bravojuma7715 4 года назад
Watangazaji/waandishi wa Habari wabongo wengi wao mnauliza weak questions mumejawa na maswali ya umbeya tu.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Uyu Dada nampenda sana, najiuliza mbona ckuoni kwenye taarifa ya habar, Kumbe uko TZ, Namuona *Wazir hamsini* na *Salim Kikeke* nawakubali sana team kikeke 😍😘
@bindawood978
@bindawood978 4 года назад
Zuhra Yunnus yuko makini sana na ni mcha Mungu, Maashaallah na pia c mtu wa kuropokwa nimemfahau vizuri sana
@ramakazina170
@ramakazina170 4 года назад
Kwakigezo kipi au kwakipimo gani ulicho kipima.
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 4 года назад
Umejuaje ni mcha Mungu?
@bindawood978
@bindawood978 4 года назад
Anavyojistiri na namna anavyojistiri na muonekano wake, lakini yeye ndo anajuwa zaidi, hayo ni maoni yangu
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 4 года назад
@@bindawood978 sasa mkuu siku nyingine usimuangalie mtu anavyojistiri ukasema mcha Mungu...wangapi wanavaa mabaibui lakin ni mafox wakutupwa? Hii ni siri yake yeye na Mungu wake..
@bindawood978
@bindawood978 4 года назад
@@tumlakimwaitumule Ahsante nimekuelewa.
@maryumhijja9037
@maryumhijja9037 4 года назад
Nakupendang wew dada
@nanjanjau3467
@nanjanjau3467 4 года назад
Maashallah Zuhra Yunis kwel ni mtangaji anayenivutia sana.Allah akuongoze zaidi.Amiini
@mauaomar3692
@mauaomar3692 4 года назад
Huwa natamani Sana zukhra ungeolewa na Salim kikeke 😍
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 года назад
Zuhura kaoa mzungu na ana watoto pia
@swaumumshamuswaumumshamu1155
@swaumumshamuswaumumshamu1155 4 года назад
Salimu kikeke ana mke
@abdulhalim3840
@abdulhalim3840 2 года назад
Majina ya heruf ZU achana nayo kwa msimamo utachok wew yeye yupo pale pale nakupnd san zuhra yunus Allah akuhifadh na kila baya Na akupe mwish mwem amin
@mutalemwagabriel3525
@mutalemwagabriel3525 4 года назад
Binti kiziwi mzuri jamani 😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘
@nacsuleyman6541
@nacsuleyman6541 4 года назад
Daaaaaah kwl kbx
@alkenyjanson4778
@alkenyjanson4778 4 года назад
Nimependa ZUHURA ulivyosema kuwa ulidhani ni maswali ya kitaaluma zaidi ila wabongo maswali yao ndo ayo
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 года назад
Nimempenda sana huyu dada kuhusu mahusiano nimependa mno ana busara sana nimemuona anavyocheza mziki wow God bless you my sis
@fidelismrosso4300
@fidelismrosso4300 4 года назад
salma luhombero aje kwangu
@johnmollel8885
@johnmollel8885 4 года назад
Mm nampenda naomba awe mke wangu nimsalie watoto john Arusha
@pongwebeachhotel2806
@pongwebeachhotel2806 2 года назад
@@johnmollel8885 Kumsalia mana ake no kumuombea lugha unaiharibu ya kiswahili kaka, sa na za huaga zinabadilisha maana
@bahatihthoya8997
@bahatihthoya8997 4 года назад
favourite news anchor!!!
@dismasdonald745
@dismasdonald745 4 года назад
Hizo like huwa mnakula?
@omaryndali6238
@omaryndali6238 4 года назад
😁😁😁🙌
@samirasalumu8378
@samirasalumu8378 4 года назад
🤣🤣
@ladytatu2139
@ladytatu2139 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka Sasa
@ashaali7154
@ashaali7154 4 года назад
Like zingekuwa zinaliwa watu wangavimbiwa wa kweli.
@raymondmelele1911
@raymondmelele1911 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 eti wanakula
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 4 года назад
MUNGU AKUHIFADHI ZUHURA
@mangishop6643
@mangishop6643 2 года назад
Mashallah Allahumma baarik laha wajiaal khaira fy hayatiha
@mutalemwagabriel3525
@mutalemwagabriel3525 4 года назад
Maamuzi yako nimeyapenda sana
@mnubimnubi9664
@mnubimnubi9664 4 года назад
Gheri sana
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 4 года назад
Ila jamani Dada Zuhura Ni mzuri jamani
@djmeza411a58
@djmeza411a58 4 года назад
Duu ikali number aipatikani👊🇹🇿
@nicokabonge197
@nicokabonge197 5 месяцев назад
Nampenda sana....
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 2 года назад
Pole Sana Binti Kizi Ajallikazi Nakuombeni Tuu Vijana Acheni Tamaa...
@hamadbajaj6663
@hamadbajaj6663 4 года назад
Hongera sana kwa kuhangaikia maisha ila kumbuka mchumba juani hulia kivulini maskini na watoto tajiri na pesa zake je unategemea mwanao kuwa mjukuu wako
@mahmoodallyturkman6523
@mahmoodallyturkman6523 4 года назад
Mashallah zuhra mtoto wa kitanga
@adambritish435
@adambritish435 4 года назад
Mtoto wa kizanzibar uyo
@mwakahassan7685
@mwakahassan7685 2 года назад
@@adambritish435 mzanzibar mwezangu wapemba tunajuana
@ngulowitness171
@ngulowitness171 4 года назад
Nakupenda sana bi zuhura, unasauti nzuri sanaaa.
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 4 года назад
Maashallah
@arkammuslekh6582
@arkammuslekh6582 4 года назад
Good
@fettyameir4514
@fettyameir4514 4 года назад
Nakupenda Zuhra jinsi unavyotangaza 💞
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Год назад
Hayo ndio matatizo kuionea Dini yako aibu ni sawa nakuto kuridhia chaguo la mola wako
@ramadansaid4525
@ramadansaid4525 4 года назад
mashaalha uko sawa
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 2 года назад
Pole saaana bint kiziwi, na zuhura yunus. Huaga tunawafuatilia saaaana
@edwardmusuti3085
@edwardmusuti3085 4 года назад
Jamani watangazaji muuliza awe anakuwa mmoja siyo wote mnapiga kelele ,halafu mnashindwa kuuliza vitu vya musingi mnauliza mahusiano
@isackkiteve5975
@isackkiteve5975 4 года назад
Ukimsikiliza vzuri Zuhura utagundua ana mtazomo tofaut kuhusiana na mahusiano ukilinganisha na wanaomhoji. Mahojiano yanaboa kwani wanainglia wakat Zuhura akihojiwa. Pia wanaonekana kama wana free style maswal yao n km vle hawakufanya utafit wa kutosha kwa ajiri ya kumhoji ukiachilia maswal yaliyoulizwa na wasikilizaji. Kiswahil chake kmenyooka zaid ya wanaomhoji ambao ambao tunashnda nao na kuamka tanzania
@isackkiteve5975
@isackkiteve5975 4 года назад
Wangemuachia Zuhura kumhoji Binti Kiziwi tungefrahia zaidi. Zuhura akihoji ainglii ktk ya maelezo ya mhojiwa. Ss wanahabar wetu wakibongo dah
@salehsaleh548
@salehsaleh548 4 года назад
She is so romantic
@mikidadiaboubakar315
@mikidadiaboubakar315 2 года назад
Mashaallah upo vzr sana karibu sana
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Mashallah
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Mtu Professional utamjua tu ebu ona maswali anayouliza zuhura 😃
@abukheri2054
@abukheri2054 4 года назад
Haya ndo maisha mwenzako anahojiwa mafanikio yako mwingne anaulizwa ulifel wap
@hamadichambo1856
@hamadichambo1856 4 года назад
Kama umemuona kiziw mpya from chaina gonga like hapo
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 года назад
Ma shaa Allah
@allykigatta7564
@allykigatta7564 4 года назад
Kawakomesha...wao wanadhani kila mwanamama lazma awe mzinifu tu...HUYU KAPOKEA MALEZI BORA TOKA KWA WALEZI WAKE..YEYE C MWAMKE MZINIFU BASI!!!..
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 года назад
Hata hivyo si lazima aeleze habari zake hata kama ana mahusiano,maana ni maisha yake binafsi
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 года назад
Mashaallah may Allah bless you' lkn you are v pacinality lady!!!
@zuhurahussein
@zuhurahussein 3 года назад
Mashaallah somo yangu nakupenda bure majina ya zuhura wataratibu na wakarimu nasauti mashaallah
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 2 года назад
Mmmh jamani
@ZUHURAARABELLAHABDALLAH-gv2op
Kabsa yaan jina zuhura....ni utajir wa hekma....ubarikiwe sana somo
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 года назад
Ana sauti nzuri saana
@mailacamillius
@mailacamillius 4 года назад
Mzanzibari huyo!! 😂, halafu pia anasema yupo SINGOOOOOOOOOO
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 года назад
sauti yake ndio
@alaintoriteka6905
@alaintoriteka6905 2 года назад
Nani ukizungumzia?
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 4 года назад
Huyu mama amewazidi kuepeo wa akili na ujanja wa kujibu maswali na uzoefu
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 года назад
Safi sana...very interligent
@lindatogether
@lindatogether 2 года назад
Intelligent
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Ulaya hakuna izo za kujuana kama nyumbani. Huku elimu, kujiamini na usmati wako. Single but not available, it is a very smart answer. She doesn’t miss anything you guys don’t you get it? Ulaya hasa Uingereza wanajali sana heshima na dini ya mtu bila upendeleo. Ukitaka utavaa hutaki sio lazima kuvaa hijabu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Waeleze hao wabongo, hata mie mbongo lakini naelewa. Pia swala la mahusiano nje single au kuwa na boyfriend kitu Cha kawaida Sana. Nyumbani kuelewa dili hata kama hufaidi mahusiano
@officialstoner771
@officialstoner771 4 года назад
Basi tunakuombe na ww inshallah upate mume na ww uanze family panapo majaliwa
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 4 года назад
Nampenda sanaaaa
@themagnet4236
@themagnet4236 2 года назад
Mwenyezimungu,akubariki!!uko Mwisilamu wakweri,siyo kama huyu Salima refer wakinyarwanda hataki kujistiri
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Watanzania baada kuuliza masuali ambayo yatawasaidia katika kazi zao wameng'angania masuali ya mapenzi.
@alhaji6094
@alhaji6094 4 года назад
Nampenda sana Bi Zuhura Yunus
@venancytesha126
@venancytesha126 4 года назад
Uko sawa
@farajakivuyo9389
@farajakivuyo9389 4 года назад
Bi.zuhura uko vizuri kweli kwa utangazaji
@chiefjafarysantos9435
@chiefjafarysantos9435 4 года назад
nice interviews to both bi zuhura + binti kiziwi
@honorykwahhay4364
@honorykwahhay4364 4 года назад
Bi.Zuhura Yunus bado hajaamua kuweka mahusiano yake wazi, ujue wengine hawataki kuanika mambo ya ndani hadharani!!
@jumameya5911
@jumameya5911 4 года назад
HONORY KWAHHAY Kweri asee
@siwemamitingimahenge5270
@siwemamitingimahenge5270 4 года назад
Hawa wamezoea kuwahoji akina hamorapa, huyu ni next leval
@selemanilisecamp3349
@selemanilisecamp3349 4 года назад
Nakumbuka solotheng ndio Mtu wakealikuwa
@haidaromar2079
@haidaromar2079 4 года назад
Honger mama
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 4 года назад
Namkubali sana zurah 3 no yangu africa
@samkyando2332
@samkyando2332 4 года назад
Congration dada
@abdulrazakyussef3177
@abdulrazakyussef3177 4 года назад
Hata mimi ni mshabiki sana was Zuhra Yunus, Salim Kikeke na wengineo….na BBC Swahili kwa jumla.
@barakakibiriti5934
@barakakibiriti5934 4 года назад
Like wanazitakiaga za Nini kwa mfano
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 4 года назад
Dada Zuhura Yunus pesa hazikuzilimu wala hazina kikomo namba ni zero hadi tisia kwa hivyo umri umeenda sana inshaallah fanya maamuzi yanayofaa na kuifaa jamii.
@issabomary7460
@issabomary7460 4 года назад
Nduguyangu katikaimani bi Zahra nakupenda kwaajili ya allah kama ukosawa akuomba ubadili msimamo uwolewe. Mw/MUNGU akuongoze
@janeyphersuma3982
@janeyphersuma3982 4 года назад
Umri ni nin wangapi wamekufa na hawakwenda kaburin na waume wala watoto kila mtu anamamuzi yake binafsi
@janeyphersuma3982
@janeyphersuma3982 4 года назад
@@issabomary7460 dini ni ya duniani hakuletwa na Mungu na kila mtu ana mamuzi yake katika maisha
@piliserikali6187
@piliserikali6187 4 года назад
Kwahiyo wew umri ndo umeona mhimu kwako
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 4 года назад
@@piliserikali6187 ili tu useme kwa vile unajua kuandika na kusoma mashaallah kwa kupata hayo kwani wapo wengine hawakufanikiwa. Umri ni wakati na nisiri ya Mola ndio jambo utalokwenda kuulizwa mbele ya Mola ya je mtu ameutumia vipi umri? Je nini mbaya mim kusemea umri. Cos we have this plateform so we comments even though you dont know any body online so one can say what he or she wants. You can do or say anything you want to say but be mature and keep your mb for ushambenga yaani as you are simple mind discussing people instead of daily basis and well contract your decentive future. Poor like nowflakes. Be real and mind you and respect may go back to school.
@bennie7239
@bennie7239 4 года назад
Kiswahili chako tuu Bi Zuhura...🙌.
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 4 года назад
mi namshauri amuogope allah zuhura,
@mwanaidimuhindi6671
@mwanaidimuhindi6671 4 года назад
Daah yani binti kiziwi ni mzuri MashaAllah 😍😘
@daprince7545
@daprince7545 4 года назад
Zuhura yunus wee mrembo Sana nakupenda mpaka naumia moyoni mwangu 😢😢😢
@rosemarydeograthius7041
@rosemarydeograthius7041 4 года назад
😁😁
@daprince7545
@daprince7545 4 года назад
@@rosemarydeograthius7041 nampenda zuhura nivile hajui tu . Hua sikosi kutazama habari za BBC kwa ajili yake nimuone tu moyo wangu utulie.
@ericbahizi6526
@ericbahizi6526 Год назад
Hongela sana dada ya ngu zuhura nasi wa nyarwanda tu mefuata mno
Далее
Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1
28:06
Просмотров 341 тыс.
Help Barry And Barry Woman Scan Prisoners
00:23
Просмотров 3,2 млн
Как похудеть на 10 кг ?! БЫСТРО!
07:06
CV YA LUHAGA MPINA WASIFU NA HISTORIA YAKE
13:24
Просмотров 40 тыс.
MTIZAME KIJANA ALIYE HIFADHI QURAN KAMA GOOGLE
16:14
Просмотров 516 тыс.
Help Barry And Barry Woman Scan Prisoners
00:23
Просмотров 3,2 млн