Leo jemsi kapatikana jemsi umeona jinsi vinavyo kua vitamu unavyo umiza wanawake njoukome lakini pole Tina atakua sawa ivi ameenda kuomba ushauri kwa Vicky japokua sijaimaliza
😂😂😂😂😂😂 nacheka venye james anashanga venye tina anamupokea amekuwa amezowea vituko kira siku nimependa veny umebadirika tina na kumupokea mme wako na heshima ❤❤🇧🇮