Тёмный
No video :(

MKE WA DR. MWAKA ANADAI TALAKA BAKWATA, AELEZEA KUKAMATWA NA POLISI, MWANASHERIA WAKE AZUNGUMZA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 256 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@maryamm7765
@maryamm7765 Год назад
Mtihan sana Mungu akufanyie wepes! Mwanamke akisema basi ujue kachoka sana
@zaytunimkwata6949
@zaytunimkwata6949 Год назад
Daah nimejiskia vibaya, Nampenda sana huyu dada, Be strong my dear.. Mwenyezimungu asaidie mufikie muafaka kila mtu apate haki yake...
@Awatee
@Awatee Год назад
In shaa ALLAH
@danielmwamahonje9852
@danielmwamahonje9852 Год назад
Mapenzi yanatutesa sana tena sana mungu tu wewe ndo jibu kamili 🙏🙏
@ednaJF1028
@ednaJF1028 Год назад
Ni uonevu tu kwasabu kama imeshindikana kuishi pamoja kubari na yaishe
@rashid1860
@rashid1860 Год назад
siyo mapenz iz zingine ni njaa tu na tamaa ya ella
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 Год назад
Ila😆👐
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 Год назад
Bro amka kumekucha,hao wote wanafuata pësa na maisha Hakuna mapenzi hapo
@fatumajeneby5449
@fatumajeneby5449 Год назад
1) MWANAMKE KABADILI DINI YAK.. 2) KAKUBALI UKE WENZA, 3) MWAKA HUTOWI HUDUMA! 4) POLE YAKO, MYANYASAJI🙏
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Mm ni mwanamme ila ss wanaume hatuko imara ktk ndoa zetu hatuwapi upendo na heshima ipasavyo wake zetu tunapenda kutongoza tongoza ovyo halafu tunawalaumu wanawake ss ndo tunowaharibu wanawake tusipowatongoza na tukatulia ktk ndoa zetu na wao wasingeharibika nasema tena ss ndo wachafuzi
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Год назад
Mungu akutunze maana umeongea ukweli mtupu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Maashaallah kwakujuaukweri
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Kaka umeongea ukweli ila sio wote alhmdullah mumewng ni mume bora kwa familia yng na kwake na watoto alhmdullah
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 Год назад
Duuu mkuu nimekupata Ila sio wote ni baadhi yetu Tu
@daud405
@daud405 Год назад
acha usenge ... ndo nini umeongea bila shaka utakuwa mwanamke. haijakukuta
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Год назад
Mungu akusaidie mwanamke mwenzangu upate haki yako jaman
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
Amiin
@RashidAli-ft2om
@RashidAli-ft2om Год назад
Haki gani?
@profs.a5412
@profs.a5412 Год назад
😂😂😂😂😂kweli mganga hajigangi 😂 Yani dr.mwaka,SI ndio mshauri wa mambo ndoa na mahusianooooo🤣🤣🤣
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Ni malaya balaa bado monalisa nae
@rashidyally8715
@rashidyally8715 Год назад
Kishaumana hapo kungwi kaachwa ,askali wa usalama barabarani kagonga ,hakimu kahukumiwa ,askali magereza kawamfungwa 😄😄😄😄😄
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Год назад
@@MohammedAli-rh5si monalisa gani
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
@@rashidyally8715 hhhh
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Год назад
Hahahahahaha Dr anapiga bia,
@aminakibwana8343
@aminakibwana8343 Год назад
Dah jamani 🙌 pole Sana queen wng, Allah atakufanyie wepes
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Kama kadhi ana presha basi hafai kua kadhi ateuliwe mwengine
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Год назад
Kadhi hana baraza,vikao vya vitu kama hivi anakaa peke yake?kama ndivyo hivi,kutakuwa na kwsoro nyingi ktk kusimamia ndoa zetu kiislamu,na kwa usumbufu huu,matatizo ya ndoa yatakuwa yanapelekwa kusiko sahihi.Allah atusimamie kwa haya.
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 Год назад
KWANI BAKWATA WANASEMAJE?
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 Год назад
Sister umefanya vizuri sana kuwaumbua bakwata.
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Год назад
Pole sana my ule ukewenza uloukumbatia nakulala namume wenu pamoja ilikuwa khatwari ile.... nayule alokuchukulia mumeo ukamfanya pachaako nlijuwa mwisho wake ndohuu ajuwa alichokifanya bimdogo mmmh pole sana dadangu mtihani inshallah wepesi utapatikana aameen yarabbi
@halimafaber3685
@halimafaber3685 Год назад
P]ppp]
@siaammo1104
@siaammo1104 Год назад
Huyu siyo yule huyu ni bimkubwa wale niwake wadogo
@fatmaabeid1155
@fatmaabeid1155 Год назад
@@siaammo1104 unamuona kavaa stara ndio maana umeshindwa kumtambua huyu ni queen mke wa pili ni wale wawili wanaopendana sio bi mkubwa
@benedictarweyemamu9531
@benedictarweyemamu9531 Год назад
huyu ni mmoja wao wale wa masare walikuwa wanapendana madai yao mdudu kaingia
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Год назад
@@benedictarweyemamu9531 eeh kwerr wamefanania na huyuuu
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 Год назад
Duhhh kwa kweli maneno sio kutenda Dr Mwaka nimekuwa nakusikiliza sn kwny mijadala yako unaonakana mshauri mzuri na unajua ndoa vzr Sasa leo na mimi nakushauri hivi 1.Km mwanamke umezaa nae na hana tatizo kubwa basi kaeni chini muyamalize kiungwana tu kuliko kuja on public huku mnajiaibisha 2.Km nyumba kaamua kujimilikisha kwa kuiba nyaraka basi mkubaliane kuwa iwe ya watoto wenu basi isiwe ya yyte na mama asikae hapo akaishi huko atakakoenda 3.Kwa ajili ya watoto nakushauri wachukue watoto waweke boarding shule nzuri kuliko kushuhudia hii migogoro yenu 4.Licha ya ugomvi wenu basi tunza wanao km ni kweli hutoi huduma basi wachukue ukae nao na hyo mkeo mwingine 5.Katika mambo yenu yote achaneni kwa amani km mmeshindwana kabisa kila mtu asepe na alichojitafutia ili aendelee na maisha yke sio mtu hela yake awekeze saloon na mwingine anajenga hlf mwishoni wa kuwekeza saloon atake nyumba hyo hapana kila mtu abebe chake cha halali alichotafuta Note: Achaneni in peace tu
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 Год назад
Mambo yamechachamaa sasa,mkunga nae ndoa yamyumbisha😂🤣😂🤣
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Год назад
Hahahaha kazi yake kukaa na kufunda wenziwe ila yeye yake inamshinda .kweli mganga hajigangi
@joeldallas6491
@joeldallas6491 Год назад
Yawezekana dct mwaka Hana nguvu za kuwatbu hao viumbe
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Год назад
@@joeldallas6491 nalo neno
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 Год назад
😆😆😆😆😆😆
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
Polesana dada hakiyamtu haiyendagi ivi ivi Allah atakupa lako fungu insha Allah 🙏
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
Haki gani unayo ongelea ww
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
@@kassimali2273 ukaye unajuwa uyo ni mke na sihawara
@kassimali2273
@kassimali2273 Год назад
@@kamikazisalma5209 ni mke ndio uantaka haki gani apewe labda na mumewe au Bakwata tafadhali nieleweshe
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Mungu bariki ndoa zetu zidumu milele, aminaa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Subhannallah, mtihani kwakweli, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
SubhanaaAllah Allah Allah ni Mwenye haki atamlipa Kila Moja Kwa Haki pole dada sie hatuyajui yaliyopo ndani ya mioyo yenu ila tumtangulize Allah Kwa Kila jambo Amiin yarrab 🤲
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 Год назад
Mnaomba talaka mkiishaona mmepata mali au mwanaume akiwa ana kitu ndio maana mnaomba taraka
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
@@mohammedsalum3502 sio kweli jmn talaka inatokea kunapokosekana maelewano baina ya wà2 wa2 ktk ndoa Mali si kigezo
@NDEWARA
@NDEWARA Год назад
Pole sana Queen. Huyo ndiye tapeli "Dr" Mwaka😭😭
@rumemerumeme8659
@rumemerumeme8659 Год назад
Pole ya nn hata huyo queen nae nitapeli njaa ndio inamsumbua
@rukiaissa5225
@rukiaissa5225 Год назад
Manara na Dk.Mwaka,Hakuna ufundi kwa hili.
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
@@rumemerumeme8659 njaa gan inamsumbua yeye anadaitalaka yake
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 Год назад
Tapeli ni dada mwenyewe
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Mapenzi shikamoo 🙏 ha! Ila wanaume zetu asilimia kubwa ndivyo walivyo inafika muda sisi wengine hatutaki kuvutana na mtu tuna Kaa kinywa na kutabika mwisho wake unazoea na unaendesha maisha peke yako, ila ukisha sahau maumivu mungu ndio ana muwazibu Sasa mara una sikia apepata mitihani hii mara hii? Mungu ndio kila kitu na hukumu ni hapa hapa Duniani amini Hilo jamani
@habibaomary3834
@habibaomary3834 Год назад
Kwakweli wanaume shikamoo wengine tumesamehe kila kitu nini wewe mwaka mmoja wengine 3 years pole dada
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 Год назад
Wakati wakristo tukijiuliza imani yetu Iko wapi Kwa sakati la Mchungaji wetu Kimaro ... Sasa huku Kwa wenzetu Nako Kuna shida tena.. naombeni mwenyi jibu atusaidie🙏🙏🙏🙏🙏
@mankacharles4559
@mankacharles4559 Год назад
Jibu ninaliyetuumba,dini zenu hazina MUNGU wa kwelibzinaongozwa na taratibu za watu na wanadamu aziongozwi na muumba wa yote
@himidijenga535
@himidijenga535 Год назад
Kulikuwa Kuna haja Gani ya kuoa wake wengi angali huyu dada ni mrembo haswa. Very very nice woman.
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Год назад
Ila wewe lini mwanaume akaangalia urembo? Yan wanaume tamaa tu wanataka tu kummiliki kila mwanamke wanaemuona
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Alitaka na mwingine ambaye sio mrembo😂
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 Год назад
Yaani kweli Ni mrembo kingine inaonyesha kweli kavumilia mengi
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Год назад
@@TM.Sullusi hatari sana
@softena100
@softena100 Год назад
Huyu ni mke wa 3,wengine 2 walimtanngulia,nyumayake huyu yupo mke mmoja wa mwisho
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 Год назад
We dada mwanasheria ni mzuri lkn kinguo chako mtihani
@zuhrazuuvenus3705
@zuhrazuuvenus3705 Год назад
Nikukumbuka ile roho yako nzuri na ucheshi wako wala hustahili haya Allah karimu rahimu utapata haki yako inshallah
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 Год назад
Dada mzuri Sana mrembo aswaa ,,daah, Mwenyezi mungu atakusaidia dear
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Год назад
Aje nimuoe.mie
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Uzuri wake aende akaolewe na malaika basi, si hataki kuishi na mwanadam mwenziwe.
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Год назад
@@Sheba4651 🤣🤣🤣ila wanaume mnafanyaga matukia. Mwanamke akichoka anataka kuondoka hamtaki
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
@@abdallahabdulaziz3683 🤣🤣🤣
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Saana
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Год назад
Mi ndomana kwenye swala la ndoa, sisikilizi mtu sijuw mwanasaikolojia, pastor au sheikh. Natumia akili yangu tuuu.
@mudhihirissa274
@mudhihirissa274 Год назад
Wewe kama mimi
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Kweli kabisa
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Mwanasaikolojia kazi yake sio kukurudisha kwa mpenzi wako, anaweza kukusaidia hata tiba ya akili uishije huko baada ya kuachana na huyo mpenzi wako. Usichukulie negative in general brother.
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
😂 😂 😂 😂 Kabisa
@husna34562
@husna34562 Год назад
🤣🤣🤣
@leymanleyman7426
@leymanleyman7426 Год назад
Mmmmh. Sasa hapa ndio najua kweli mapenzi sio hela. Shikamoo mahaba.
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Год назад
Marahabaaa
@jemimahaule1519
@jemimahaule1519 Год назад
Dada atakukumbu huyo wanawake wainayako niwachache Pomoja nayote umeongea kwasta sana allah akulipe
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Allah amlipe nini huyo. Wenzake wamemzidi kete. Mara nyingi wanaokimbia ni mabiwadogo na si bimkubwa.
@newvoicetutorial2131
@newvoicetutorial2131 Год назад
Allah akukhifadhi dada yangu na akujaze sublla kwani hayo c mapito madhulli na in'shaallah utafanikiwa
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Год назад
Mdada mzur MashaAllah kushinda wake zake wote
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Allah atampa haki yake Insh'Allah
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Ndio maaan hataki kuitoa talaka eti ana wake zke wale sura za jeshi anaona mh tabu kumuacha uyu mwanamke
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Maa Shaa Allah Mzuri Anaongea kwa kituo Na akili ipo kichwani! Mke mkubwa
@madinamahuba
@madinamahuba Год назад
@@malak-lz6kx Kwani sianao wake 3
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
@@madinamahuba kabaki mmoja tu yule sura ya babu yke
@rayanaabdallah6580
@rayanaabdallah6580 Год назад
Mtihani Wallahi, walio nje ya ndoa watamani kuingia kwenye ndoa na walio kwenye ndoa watakani kutoka nje ya ndoa. Mungu atuongoze jamani
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Kwel ni queen maashallah
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Mzuri sana
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Год назад
Mtoto mzuri , kazi kukushanya wanawake lakini hawayawezi kazi kutaka umaarufu tu achia ngazi Dr mwaka tuchukue mama huyo
@twahaissack7887
@twahaissack7887 Год назад
Ww huyuuu ajafanyiwaa ukatiliiii huyuuu amejienguaaaa unabwabwajaaaa TU ,wamamaa wa mjinii haooo mtaingiaa motoniii wengiiii wanawakeeee duuuuuu
@hasnamustapha7774
@hasnamustapha7774 Год назад
Dada poleee sana Ktk hyo point mwanamke ukiamua kujivua ndoani unaonekana hauko sawa,unatakiwa uwe stable Ktk hili na haswaaa ukiwa na divorce na mwanaume wa aina hyo. Mwanaume siku zote huwa anapenda Aache yy na syo aachwe na mke Queen stay strong Maa. #Ndoa si kifungo#
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 Год назад
mtt wa kiislam ndo unakaa kusema hvo.. Subhanallah 🙉
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 Год назад
@@feezdidthis2220 😂😂si kwasbb hayaja kufika.
@mansurmohamed5752
@mansurmohamed5752 Год назад
Be strong Queen.
@saraenock7600
@saraenock7600 Год назад
Mmmmh pole Mungu akutie nguvu
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Год назад
Mungu akusaidie mwanamke mwezetu
@abdulbandidu119
@abdulbandidu119 Год назад
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za wanawake ndio wanaoharibu hao wanawake. Dr Mwaka ni muislam na mkew ni muislam,iangaliwe dini inasemaje katika haya,wanawake wa kiislam wa siku hizi mnapotoshwa na ufeminist,na hiyo itawapeleka Jahannam
@merinaemmanuel3593
@merinaemmanuel3593 Год назад
Pole sana dada yetu, MUNGU akusimamie sana.
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Wanaume konyo aiseee yani dada mzuri ivi na kaachwa vipi kuhusu Mimi Ashura mwenye sura ya baba 😫😫🙌🏻
@rhodachristopher4398
@rhodachristopher4398 Год назад
Mwanamke ndio kachoka kasema
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
@@rhodachristopher4398 ni Sawa lakini inaonesha mwanaume ndo alianza vituko ndo mana mwanamke akachoka
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
@@ashurajengela3926 Hakuna vituko huyo mwanamke kazidiwa kete na wake wenza wale 2. Aliamua eti kuishi na watoto wa wake wenza ili apate kupitia watoto nao wakakauka Sasa kawarudisha na anamba taraka ili agawiwe mali. Dr. Mwaka anaakili Sana kamkaukia na kesi ya swizi juu.
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Год назад
Jamani tatizo la wanawake wanafiki sana amuwezi wanawake watatu wakaolewa na mwanaume moja mapenzi ayagawanyiki lazima utaegemea upande moja tu
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Год назад
Mie spend watu wanooa wake wengi japo mie n muislam ila jambo hilo kwakwel huwa silikubal hata kdogo! Wanawake wanaumizwa Sana katka hili 😢😢😢😢
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Kwani waisilam wanaume walivyoamrishwa kuoa wake zaidi ya mmoja kwa mwenye uwezo waliambiwa wagawane penzi sawa kwa wote? Hakuna jambo hilo hata Mtume s.a.w hakueza kugawanya sawa kwa wote. Kilichoamrishwa ni uadilifu wa kuwahudumikia kwenye mavazi, malazi, chakula na usiwanyanyase.
@missclementsemizigimisscle7458
Ndo mana hskupost Pole Mungu atakulipia inshallah❤️❤️❤️❤️🤲🤲🙏
@halimakuju6076
@halimakuju6076 Год назад
Jamani ndoa nongum sana kwetu wanawake ningum sanawanawake tunaonewa sana miaka nenda rud mwanamke unaambiwa vumilia to inaumixa sana mie huyu dada hapa alipo fiakia nimaamux magum sana kwake ila ameona bola hiyo kuliko ndoa
@abduomar8438
@abduomar8438 Год назад
Sio ngumu tatizo waliiharibu toka mwanzo mitandaoni
@annajulius9940
@annajulius9940 Год назад
Kwanza umependeza Masha Allah uko kwenye taraka dada 🤗🙄🤔🤐🤐
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
Maji yamezid unga hapo ni mkanyagano tu mimi nasema hiv mwanamke ni mmoja tu
@ibrahimsalmin6884
@ibrahimsalmin6884 Год назад
Usilete hayo na hata mmoja matatizo yanatokea
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Год назад
Mnaweza sasa
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Mwanamke mmoja anakua mama yako tu aliyekuzaa, hawa wengineo hata kama unao mia moja na imani yako kidini inaruhusu tatizo liko wapi. Hata Seleman, Daudi, Ibrahim hawakua na mmoja, ukiwa huna nguvu za kiume hapo shida ni juu yako, akisimbua huyu anaongeza mpya.
@mariamumariamu5737
@mariamumariamu5737 Год назад
pole sana Tonka kabisa logo wangu uishi maisha yako mwaka ninini Toka waisilam niwabaya sana wanagandamiza kisa dini
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 Год назад
M/Mungu ampe subira na kusimamia ktk suala lake inshallah
@motomototv5301
@motomototv5301 Год назад
Dhambi Huzaa Dhambi na dhambi ikikomaa Huzaa Mauti na huu Ndiyo Mwisho wa Dhambi Mungu Hakushindwa kuumba Amina Eva Wawili Wala akina Adami Wawili Mungu Atuwezeshe Kuzishinda Dhambi Tuishi Maisha Matakatifu
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Kesi yako sawa sawa na ya kwangu. BAKWATA hupati haki. Hayo mashiroka ya haki za wanawake ndio watakupa njia yabkushinda. Nilisaidiwa kisheria na SUWATA nimeshinda
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Bakwata gelesha tu
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Год назад
Huyu mke kwel amemvumilia sana maana huyu Dr mwaka alikuwa anawaleta Malaya ktk nyumba yake pale ilala maana na anafanya nao mambo machafu kwenye kitanda kimoja anacholala huyu mke kila jambo Lina mwisho wake.
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 Год назад
Ww jirani yake au?
@drsilo
@drsilo Год назад
Huku kuna rushaynah huku kuna mwaka🤣🤣
@husna34562
@husna34562 Год назад
Mtihan
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Wao yao wanatangaza, sote tupo shidani tu.
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 Год назад
Queen mzur jamn aiiiiiiiiiiiiiiiiii
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Год назад
Nilimwambia doctor mwaka hata ifanye nn mwanamke akikuchoka kakuchoka tu
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Год назад
Una maanisha mwanamke yupi Tena huyu huyu,
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Sio kamchoka broo, tunavumilia mengi sana ambayo hata wanaume hawezi kuyavumilia, mnatuumiza sana😢😢😢😢😢😢😢 yanatufika shingoni unaona sasa wazama.-😭😭😭😭😭 tumwaa chie mungu mwenye hukumu ya hakki.
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Dr Mwaka nakufuatilia sana, ila kwa hili umeniangusha
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Год назад
Dr Mwaka hapo umefeli
@mkohoexperience7322
@mkohoexperience7322 Год назад
Nyie mnasikiliza upande wa mlina asali, na kusema ameumia kwa kung'atwa na nyuki lakin hakuna aliyeongelea upande wa nyuki, kizazi cha nyuki waliopotea Don't drop into conclusions alaf hayo n mambo ya ndoa
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Год назад
@@mkohoexperience7322 mwaka alisema KUINGIA kanisani sio koa sijalisahau hilo Yule kanjanja mbahatishaji tu.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Год назад
Hapa tumesikia upande mmoja tu. Ukisikia upande wa pili, utachanganyikiwa.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
@@mkohoexperience7322 Nikweli, ila kwa asilimia 99 wanawake tunaumizwa sana, na tunayo yavumilia kwa waume, waume hawayavumilii kwa wake.
@happinessmtalika16
@happinessmtalika16 Год назад
Pole sana dada wanawake wengi tumeyapita hayo.lkn kikubwa uzima tu kama Mungu amepanga utapata vingi kuliko hivyo
@saadomar2480
@saadomar2480 Год назад
Hayo mmeyasikia niyamwaka, Sasa namwaka akija akasema mapungufuyake huyomama mtasemaje? Punguzeni lunwa ninyi wamama ninyi!
@saadomar2480
@saadomar2480 Год назад
Mambo yandani yamajumba nimagumu umdhaniae siye kumbe ndiye
@madinamahuba
@madinamahuba Год назад
@@saadomar2480 kwann aombe talaka alafu amfungulie kesi nyingine na amletee polis waje wamkamate anaamana.anamkomoa mkewe kisa kuombwa talaka haliyakuwa hana huduma yoyote na mkewe na watoto .kama unadada na akawa anapitia changamoto kama hizi ungejiongeza
@madinamahuba
@madinamahuba Год назад
@@saadomar2480 kuachana ndio amwambie arudishe kilakitu bado kesi juu ok anamnyanganya hiyo nyumba haliyakuwa anawatoto wataenda kukaa wapi usimtetee kwakua nimwanaume mwenzio ila angalia hoja nahaki
@harrysonfidelis500
@harrysonfidelis500 Год назад
daah hawa viumbe ogopa sana, pole sana dr mwaka nikikumbuka enzi zile kwenye mahojiano yako kuhusu kutunza mwanamke zako na leo yalio kukuta ninakupa pole sana dr
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Mungu akikupa neema jitaidi kuificha kama ikiwa kuna uwezekano wa kuificha. Mtu anakuhusudu mtandaoni na inakupata.
@jeremiahkilato295
@jeremiahkilato295 Год назад
Mara kadhaa kesi ambazo wanawake hukurupuka kuwahi kwenye vyombo vya habari kulia lia huwa zinakula kwao.. Huyu anajua alichofanya, Dr. Mwaka ni mtu smart sana sio mjinga asijue anachofanya..Huyu mwanamke amezingua
@kashinjepius4096
@kashinjepius4096 Год назад
Maswala ya kuoa wake wengi haya... haya bhana na imani zenu... nachoamini hamna nafsi ya mwanamke ikafurahi mmewe kuoa tena
@ibrahimsalmin6884
@ibrahimsalmin6884 Год назад
Huo ndio ubinaadam hawa kukamilika
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote Год назад
Dr Mwaka nae msenge tu. Uislamu unasema ukiachana na mke kila kiru ulichompa mwanamke si chako unamuachia
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Год назад
Dr mwakaa buanaa khaaa mapenzi magumu na ni Vita kubwaa Sana Ina vipengere
@williammgalla7774
@williammgalla7774 Год назад
Zakia Msangi@my class mate. Big up sana
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Subhanallah Yani ni mtihani baadhi ya wanaume wanalilia kuongeza wake haliyakuwa majukumu hawayawezi Allah atustiri kwakwel 😰
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Ameen
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
@@khadijahali4837 wew hukosagi 😁👋
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@khadidjasuleiman8006 😁😁 sy kila pahala
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
@@khadijahali4837 Hmh 😸 wew
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@khadidjasuleiman8006 😁😁
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Год назад
Loh mwaka ukisikia unyanyasaji ndo huo mungu atakulipa unachofanyia wtt wa watu.mwanammke keshakua hakutaki sasa kwa nini hutaki kumwacha .hilo linaonesha umsumbufu sana docta.
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Год назад
Dr yupo zake marekani anazurura na bi mdogo wanakula maisha,ila hii dunia jaman
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw Год назад
Mhhhhh sasa huyo Kadhi kama ana Pressure amekuja Kazini kufanya nini Duhhh sasa tuende kutafuta haki zetu wapi kama Vitengo vya Dini nao ni Ubabaishaji. Mwenyezi Mungu akusimamie Upate haki yako Queen.
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Kadhi inawezekana kuna Intrest na huyo Dr Mwaka hatuwezi kujua labda pengine ni Presure tu.
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 Год назад
Tunataka kuiona nadokter mwaka nae ahojiwe ili tujuwe wanawake wengi Sana sikuiz unatafuta Mali nabaada yakupatikana mwanamke anaaza kutaka talaka Sasa bakwata inesema Kama niwewe umeamuwa haya wasalimie Sasa ugovi wanini
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Год назад
Tatizo ni kusumbuana na tajiri
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Kadhi hajisikiii kuongea 🤔 Subhaana Allah Mtihani ,kwelii Mtihani Sasa kadhi kama hajisikiii kuongea si ajiudhuru hiyo KAZI awaachie watu ambao watakaojisikia kufanya izo KAZI waweze kusaidia watu?
@hodgebukaya5112
@hodgebukaya5112 Год назад
Muongopeni mungu katika sheria. Hiyo nifisi ya Dini kazi unatakiwa ulimalize hili jambo kidini na kisheria.
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Год назад
Bakwata wanatutia aibu watatusababisha hata jitihada zetu za KULETA MAHAKAMA ya kadhi kushindikana kutokana na njaa zao, wallahi tukipata MAHAKAMA ya kadhi NI lazima makadhi easier wa kuchaguliwa Bali wa ku apply na awe amesoma degree ya kiislamu sio Hawa makadhi njaa njaa.
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 Год назад
Pole sana Allah atakujalia ulee wanao peke yako watoto 2 sio wengi ukipata kazi utaweza endesha maisha yako unless otherwise atakutesa sana sana trust me .
@justinecom7461
@justinecom7461 Год назад
Tatizo ni Rushwa,,utakuta Kadhi kashalamba mzigo Kwa Dr hapo patakua na shida hak haitapatikana
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Yaan hilo km goli la penalty 🤣🤣
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Год назад
Mwaka mshamba sana eti rudisha kila kitu halfu ukaanze maisha mapya na mwengine utakae anza nae, huwa kila siku nasemaga watu wanaongea sanaaaaa huwa wana vitu wanaficha ni wasanii sana. Sasa mtu mzima umemtumia bint watu kwa zaidi ya miaka kumi halafu ukampikonye kila kitu na kumshitaki juu, kujigamba kote kumbe bure kabisa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Hujui sheria za kiislam wewe. Ukimuacha mwenzako unaondoka kama ilivyo ndugu. Tena wanawatoto ndio kabisa
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 Год назад
Queen mzri MaashaAllah,,anafanana na Zari
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Jaman had wewe dk. Mwaka. 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Aiseee maisha yana usiri. Sna.
@akinyindege7178
@akinyindege7178 Год назад
Social media sio real life 😂
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Год назад
Kwa style hizi za maisha!!!, tegemeeni asilimia kubwa ya watoto watakosa malezi mazuri kwa wazazi🏃‍♂️🏃‍♂️, hakuna mwanaume ambaye anaweza kushindwa kuhudumia familia yake pasipo sababu yeyote. Hapo kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
@hafswaabubakary
@hafswaabubakary Год назад
Tunaambiwa hata km mneachana kukaa eda n lazma lkn mume anatakiwa amuhudumie kwa nahtaj muhimu km chakula ,mavaz,naakiumwa amuuguze hyo n talaka Ss huyu wamegombana u asusa familia yako mpaka WATOTO mwaka mzma hujui wanakula nn WANASOMA au la na he hawaumwa Hawa KUNA SHIDA MAHALA
@iman_thedon9548
@iman_thedon9548 Год назад
Daaah pole sana Mama yangu, haki ya mtu aipotei na kila lenye mwanzo alikosi mwisho hilo litaisha kwa uwezo wa Mungu Inshaallah
@asiamirajimtemingombe4975
@asiamirajimtemingombe4975 Год назад
Baradha ilo linausumbufu sana
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Kila mtu analilalamikia
@faustinirichard8645
@faustinirichard8645 Год назад
Pole sana mwana mama
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 Год назад
Kiukweli Ndugu zangu Swala la kuwaonyesha wanawake zetu mitandaoni sio jambo zuri na kiwasifia mitandaoni sio jambo zuri. Ndo yanawakuta hayooooo, Allah atuongoze sote Inshaallahu taala
@ngoiedward4176
@ngoiedward4176 Год назад
Naunga mkono hoja kwa 100%
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Год назад
Yani office hizo ndio zilivyo kawaida Dada angu
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 Год назад
Allah atamsaidia koz kama allah aliyo ahidi hakika penyeuzito nawepesi upo
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 Год назад
Dr Mwaka atoe taraka tu mwenzie aoliwe. Riziki kwake imeshaisha Ao wake aliobaki nao wanamtosha
@jasiminjasimin7694
@jasiminjasimin7694 Год назад
Duuu mungu tusimamie wanawake
@jumannekombo7430
@jumannekombo7430 Год назад
Pole best njoo nikuoa mm
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Tuacheni kushangilia kwa jirani kunawaka moto wakati nasisi kuna fuka moshi.
@egospeltz9486
@egospeltz9486 Год назад
Pole sana, maana na wewe ulichangia kuwaaminisha wanawake vijana kuwa kulala kitanda kimoja na mumeo wanawake wote wawili ni sawa? Haya ni matokeo ya maigizo. Ila uzuri una support nyuma yako Mungu akusaidie.
@morogorodoll397
@morogorodoll397 Год назад
Maisha haya jamani mkiona mtu Anadai taraka mmuache hayupo anayependa kuona watoto wake wakae tofauti na baba au mama ndoa mtihani sana cku izi
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
###
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Dr mwaka atakua kaenda kuizima kesi yeye sianajifanya boss KUBWA Yani Boss wa Dunia.Dada unajielewa na mungu atakusimamia ktk hili. Ila AJUE kaacha Mwanamke jembe ☑️☑️
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Год назад
Huyu ndio mwaka originally sasa, Mungu ni mkubwa sana, nadhani tukubaliane tu ukamilifu ni wa Mungu pekee
@muhsinirasuli2473
@muhsinirasuli2473 Год назад
Kwan yy aliwahi kusema ni mkamilifu
@dorithjoseph3209
@dorithjoseph3209 Год назад
77⁷
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
@@muhsinirasuli2473 🤣🤣
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Год назад
Mwaka huu tutaona mengi kama haya , funga mkanda tulia tuyaone
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Год назад
Hakika🤝
@tatubadi9010
@tatubadi9010 Год назад
Mke mzuur mashallah..Kwan Kavurugwa na nini jmn yule mbaba..
@sein.208
@sein.208 Год назад
Allah ni mjuzi zaidi kwa yalifichikana na yaliyo dhahiri
@neemasanare3474
@neemasanare3474 Год назад
Mungu akusaidie
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Akupe haki yaki, aache mbamba zake fala huyo
@kaitabaamin7175
@kaitabaamin7175 Год назад
Hivi mpaka ofisi ya Khaadh ambayo Qur an imeiidhinisha kusuluhisha masuala Ya jamii ya KIISLAM ndo inafanya uhuni kama huu?kweli UISLAM UMEANZA KANAJISIWA NA BAADHI YA WATENDAJI, pole sana bibie mungu atawawekea wepesi mtayamaliza kadri alivyopanga.INSHAALAH.
@afyandogo
@afyandogo Год назад
Dah hizi haki zimebadilisha sana maisha ya ndoa,kwenye maelezo ya Queen ni kwamba ameshindwa kuvumilia ndia yake lakini wakili amesema alikuwa anapitia ukatili🤔
@christinadeus2583
@christinadeus2583 Год назад
Kwan hujamsikia Queen kasema hawezi kusema yote means kapitia mazito jiongeze ndugu
@christinemurithi6471
@christinemurithi6471 Год назад
Amesema Hana haja kuongelea ukatili aliopatana nao katika ndoa
@King_186
@King_186 Год назад
Daah Dr Mwaka usimuache huyu Mama,unless km kuna jambo kubwa sana please
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Год назад
Huyu dada Mzuri sana. Akipewa divorce saa 4 asubuhi saa 4:30 Anapata Milionea South Africa Anamuoa
@sumiegeeb2111
@sumiegeeb2111 Год назад
Na ndo mana wanaume wanakuaga wagumu kutoa talaka wakifikirikia hivyo
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 Год назад
Millionea aoe mwanamke aliekaa kwa mwanaume miaka 10, kwan hakuna mabinti wadogo wazuri?
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
@@anoldpotentin2446 hata angekaa miaka 20
@akinyindege7178
@akinyindege7178 Год назад
@@anoldpotentin2446 hovyo kweli wewe
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 Год назад
@@lifeinmiddleeast8179 Hakuna mwanaume mwenye akili tena hana hela, aoe mwanamke alieshindikana kwa mme wake. Nile makombo ya mwanaume mwenzangu na hela ipo😂nachukua binti mbichi
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 Год назад
Jifunze hukmu za quran kuswali kwa vitendo kiarabu gusa maandishi ya bluu youtube.com/@muhammadkipangatv2674
@subirakakwela727
@subirakakwela727 Год назад
Kwa ajili Allah doctor amrejee kweli Allah atekeleze aliyoamlisha Kwan pumz c kitu Cha kujidai nacho akichelew kukatka
@Awadrat
@Awadrat Год назад
Pole sana asikutishe,nenda mahakamani
@kinyamal8201
@kinyamal8201 Год назад
"Fika sasa Foreplan clinic matokeo utayapata naamini utanipenda." Sasa zaidi ya suluhisho amefanyaje tena?😊😊
@himbehimbe4266
@himbehimbe4266 Год назад
Mwaka muhuni sana
Далее
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 500 тыс.
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 63 тыс.