Тёмный

MKE WA MSECHU:NILIMPENDA PETER AKIWA NA MWILI WA KAWAIDA/ ALINILETEA PESA ALIZOPATA BSS NILIFURAHI 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Ni Mke wa msanii Peter msechu ambaye wamefunga ndoa hivi karibuni lakini kabla ya kufunga ndoa wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka 9 .Mrs Msechu anasema kipindi wanapendana na mumewe hakuwa na mwili wa unene kama huo lakini hata hivyo bado anampenda hivyohivyo...!
Nimezungumza nao mambo mengi fwatilia vdeo hii ujionee kisha utoe maoni yako
#GeahTv #UmbeaWaafya #geahhabibu
:
Istagram @geahhabib

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Da geah weka kiti unawachosha wapendwa wetu jaman, halafu msechu unamke mzur sana yaan mpole mwenyewe Mashaallah
@rachealkitawa2153
@rachealkitawa2153 4 года назад
hongera msechu ndoa njema
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Mashaallah mke mzuri mpole mwenyewe hongera Msechu
@elicanageorge1319
@elicanageorge1319 Год назад
MIMI NASHIKA SIMU KAMA NI MKE WANGU AU MTU WANGU NASHIKA NA AOMBE NISIKUTE UBAYA. NA YEYE ASHIKE YANGU AKITAKA. KWA MIMI😂😂
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 года назад
Hongereni na ndoa yenu lakin broo jitahid sana kufanya mazoezi maana ilo tumbo linatisha hatar
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 4 года назад
Nawapenda, Mungu awabariki sn.
@kisalaTV
@kisalaTV 4 года назад
Unene uwo hapana, kwa mimi lakini sijui kwa wengine, mungu awabariki katika ndoa yenu
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
ata mimi apana
@kisalaTV
@kisalaTV 4 года назад
@@dorislema1814 😂
@sele2507
@sele2507 4 года назад
Nyie wanawake wengine mna roho mbaya
@sele2507
@sele2507 4 года назад
Masister hmn UPENDO wa dhati
@siwemamichael690
@siwemamichael690 4 года назад
Kwa upande wa kuhoji gea hujui
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
Siwema anachojua ni Heka heka tuu lkn huku Big NO kweli
@scolastikanjau1891
@scolastikanjau1891 4 года назад
Binafsi jamani sipendi mambo ya simu yangu yangu ya mwenzangu ya mwenzangu! No!! Kuishi pamoja kama familia hampaswi tena kuwa na ubinafsi wa chochote! Mimi siwezi kwa kweli. Nikipata nafas lazima niikague simu ya mwenzangu! Na nashauri wanawake wenzangu ili kuwa na Uhuru wa moyo ni vizuri kupunguza siri ktk mahusiano!?
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 года назад
Mwache na unene wake mradi wewe maisha yako yanakwenda
@asiaboki8625
@asiaboki8625 4 года назад
Duuuh Peter punguza tumbo jamani.
@ladytatu2139
@ladytatu2139 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@faridabakari8511
@faridabakari8511 4 года назад
Vzur Mashallah 😆😆😃😃💕💕💕💕👌🏻👌🏻🔊🔊🔊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👈
@kilungodionizi1865
@kilungodionizi1865 4 года назад
Jaman mbn uliwasimamisha 😁😁😁😁😁au ndy kulikuwa amna kiti peter ambacho angefit 😂😂😂😂
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 года назад
Ili kibonge kionekane vizur
@futurehomevibes2870
@futurehomevibes2870 4 года назад
😀😀😀😀😀😀
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 года назад
Poa sana CM ndio chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika eti wivu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Da geya weye eti hujamuambiya apunguwe
@mariachales3283
@mariachales3283 4 года назад
Anaogopa atamkuta baba levo 😂😂😂😂😂😂
@siwemamichael690
@siwemamichael690 4 года назад
Huyu bint anamoyo jamani huyo ni mume mfuko jamani hilo tumbo jamani
@mrsdon415
@mrsdon415 4 года назад
😂😂😂😂 kasema ni brand yake
@sele2507
@sele2507 4 года назад
Mwili wa asili
@pennyjohn2816
@pennyjohn2816 4 года назад
Nice family
@pennyjohn2816
@pennyjohn2816 4 года назад
Nawapenda sn
@beatycosta6352
@beatycosta6352 4 года назад
Mama LOLO?!!!
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 4 года назад
Uzito uliopitliza peke yake ni ugonjwa sasa cjui unakimbia maradhi gn wkt maradhi tyr unayo
@rukiamwakinyo5324
@rukiamwakinyo5324 4 года назад
Mashallah vumilia mwaya hata kama kibamia usiwe kana mke wa Roma🤣🤣🤣
@namsamson3443
@namsamson3443 4 года назад
😀😀😀😂🙂🙂yaani wewe
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 2 года назад
Mhhh.Rukia Kwan ww hupendi kibamia?Anaweza akawa na kibamia lakin anajua kukitumia vizuri Anaweza kukuzimisha kabisa.
@mrsdon415
@mrsdon415 4 года назад
Atumie dawa ya wema Sepetu..alafu Geah maswali gani hayo unamuuliza mtu ya ubwanyenye? Yani peter was very uncomfortable...Geah we mwenyewe kibonge jamani kwani mzee Habibu halakamiki???😂😂😂😂
@smartstationery5223
@smartstationery5223 4 года назад
Tumbo limelendemka sana
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 года назад
😂😂😂🐍😂😂😂😂
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Da ghea mpna😂😂
@adamsadams-yi4hb
@adamsadams-yi4hb 4 года назад
😆😆😆😆
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 года назад
Chibonge🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🇴🇲
@shamimuabubakari3508
@shamimuabubakari3508 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama mwarabu tukunyema
@adamsadams-yi4hb
@adamsadams-yi4hb 4 года назад
Mbona km wako mahakamani
@chauchauakter9428
@chauchauakter9428 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 года назад
Eti hata hawajapewa viti vya kukaa
@abuibra
@abuibra 4 года назад
UKIWA UNASHAKA NA MKEO AU MKE ANASHAKA NA MMEWE HAKUNA TABU KWA KUITAZAMA SIMU KWANI KUNAUBAYA GANI NA WALA ISIWE SIRI,MOYO UPATE BURUDIKA.
@daudkihava8528
@daudkihava8528 4 года назад
Mbona kama wanaongea uongo.
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
acha uzoba nyie mazuzu anaachaje kushika sim ya mkeo zoba wewe
Далее
YAFAHAMU HAYA KUHUSU MWIJAKU NA MKE WAKE...!!
7:01
Просмотров 15 тыс.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Просмотров 1,9 млн
ФОКУС -СВЕТОФОР
00:32
Просмотров 211 тыс.
AZUMA APEWE NAFASI YAKE KILA KITU AZUMA
5:03
Просмотров 3,5 тыс.
FURAHA YA BABU NA BIBI BAADA YA KUMUONA MJUKUU WAO
5:14
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Просмотров 1,9 млн