Daaaaa uyu dada yuko poa..very good story. Mungu hatakubariki dada.uko poa....sana unatowa ya moyoni..yahani mimi nakuangari hapa south africa..unajielewa.hasante kwa interview yako so best...imeeleweka makufuri oyeeeèee.m south africa ja
Aslm alaykum dada yangu Kwanza nikuombeeni dua kwa Allah awaondoshee dhiki awape faraja Ila la Pili Allah ametwambia tutubu madhambi yetu nanyeye atatusamehe mumeo ametubu anachotakiwa aendelee kufanya mema na ww umuhimize acfikirie kurud kuimba akaharibu hija yake kwa Mambo ya dunia nibora umaskini wa duniani ili ukapate utajir wa akhera
SubuhanAllah mtoto wakiislam unasubutu kusema ulishtuka na kulia ati mume kenda msikitini kutangaza anatubu kwa Allah. 😟 wallahi huu ni msiba kwa sisi waislam
Tena msiba mkubwa na mzee Yussuf anataka kurudi kuimba sababu itakuwa huyu huyu mkewe!! Yaani hautakuwa makini mwanamke aliyekuwa kuwa hamkhofu MOLA wake basi ukizubaa na mapenzi atakutia motoni
Sio Kila mtu ana mkono wa biashara kama ambavyo sio Kila mtu ana kipaji Cha muziki. Angalia fursa na nguvu Yako iliko ktk kujenga uchumi wako binafsi usikariri na kuiga wafanyayo watu wengi,huwezi jua nyuma ya pazia,fursa na nguvu zao walizonazo. Binadamu ni mmoja lkn Kila mmoja na hulka na vipaji vyake
kwa mnaomshauri aache muziki Mbona hamumpi matumizi mnafurahi anavyotaabika Muziki ni kazi kama kazi nyingine chamsingi wajiheshimu. Muzik ni biashara, Ajira
@@sabinaonline6575 kanywe soda nakuja kulipa!! Watu hawaelewi kuwa hakuna mkamilifu na hakuna ajuaye wakati wa mauti ya mtu ataongea nn na Mungu wake!! Anaweza akaacha mziki akafanya kitu kibaya sana kwahyo hakuna dunia bila dhambi na hakuna dhambi bila dunia ndo maana kuna toba
Mzee Yusuf na Leyla mnahitaji kua na subra ndugu zanguni. Allah amewapa mtihani huo ni mpasi au mfeli. Nawaombea wepesi katika hayo mazito yenu yalowafika ili huyo baba ashikane na Dini
Muhimu kula na makaazi Na mavaz kumbe mnapoz mnataka manene muingize mamilioni yaliokuwa ya haram shukuruni na mjue Kama huo ni mtihani wa mungu na nikipimo Cha Imani jitahidini msifeli
Sasa huyu ndio mke wa kuoa japo kua mapungufu hakosi kama mwanadamu,, but kuna mijiwanawake mengine iko na mdomo Sana Kisha eti umuangalie tu aki kutusi
So mlijidai na mumeo ohhhh hatuimbi, oooh tumemrudia Mwenyezi Mungu, oooh nime enda hijja kwa hivyo acha tu nibaki kwa Allah. Kwa hivyo Hijjah ilikua kwa ajili ya usanii
Mzee Yusuuf Kurudi katika Muziki wa Taarabu siyo Suluhisho la Kujikwamua Kiuchumi. Nakushauri ubaki katika Twa'a ya Allah, Biidhinillah Atakufanyia Wepesi, Aamiin. Vuta Subra usirudi huko Muziki ni Haraam.