Тёмный

MKRISTO AKIRI KUWA ANA DHAMBI ZA KUWACHUKIA WAISLAMU 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. Simu +254722600533

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 Год назад
Mashallah sheikh. Nashukuru mwenyezi Mungu kwa mawaidha yako ambayo tumekuwa tukitazama na mke wangu hadi akaslim pia
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
MASHAALLAH
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Mashallah, karibu sana kwenye dini ya haki
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Год назад
MashaAllah
@barasasilali9600
@barasasilali9600 Год назад
MashaAllah
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
Sheikh Ramadhan the legend
@martymcfly9232
@martymcfly9232 Год назад
Mashallah, wakikuyu watakuwa waislamu wazuri sana
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Aameen yaarabb
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
Mungu awape umri mrefu wenye kheri na nyinyi timu yote ili mzidi kuwalingania ambao si waislamu
@sarboko
@sarboko Год назад
Masha Allah sheikh ramadhani. Mungu akubarik naakupe umri mrefu. Unafanya kazi kubwa sana
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Sheikh wetu ,ma sha Allah naappenda line yako ya daawa
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Год назад
Mashallah sheh ramazan mungu akupe heri na akulinde nakila lashari shehewetu endeleuya kutufunza
@fardammadi2839
@fardammadi2839 Год назад
Mtihani eti anatuchukia Mngu akuzidishie nguvu za kutetea uislam insha Allah
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Год назад
🤣🤣🤣wallahi nacheka kama mazuri mama anavyoimba wala hajali, kweli pombe sio chai🤭😂subhanallah Polen sana waalimu wetu masheikh wetu Allah awajaze kheri awape subra na ujira uliomzuri juu yenu, barakallahu fiiqum,nawapendeni kwa Ajili ya ALLAH ❤
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
From 255 Tanzania hongera sana shekh ramadhan
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰 Allah awafanyie wepes Kwa kila hatua ya kueneza dini ya haki In shaa Allah 🤲
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Год назад
Unawafanya watu wanakuana hamu na maandiko na Maneno ya Mungu
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
“When the Missionaries arrived, the Africans had the land and the Missionaries had the Bible. They taught how to pray with our eyes closed. When we opened them, they had the land and we had the Bible.” Jomo Kenyatta.
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Год назад
😂😂😂😂
@suleish003
@suleish003 Год назад
Thank you for reminding them the truth
@hassadube225
@hassadube225 Год назад
Masha ALLAH
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Год назад
Sheikh Ramadhani Mimi nipo comores ila nakusoma sana siku ukifika dar es salaam tuambiane nimefurahi sana mafundisho Yako na ufikishaji wako nakukaribisha sana nyumbani kwangu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Shukran jazeelan, number zipo kwenye screen
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Год назад
Mashallah sheikh
@samxx411
@samxx411 Год назад
Sheikh Rama unajuwa unawapenda kweli hao watu mana unawambiya ya kweli ya ndani ya kitabu ili waepukane na adhabu ya moto.
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Год назад
ALLAH AKUBARIK SHEIKHE RAMADAN MASHAALLAH
@millicentwawira1779
@millicentwawira1779 Год назад
Sheikh wangu Leo kalibu Stoke mbio juu upepo,Mach lave from EMBu
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
👉Qur'an 29:2 Do people think once they say, “We believe,” that they will be left without being put to the test? 👉29:3 We certainly tested those before them. And ˹in this way˺ Allah will clearly distinguish between those who are truthful and those who are liars. 👉29:4 Or do the evildoers ˹simply˺ think that they will escape Us? How wrong is their judgment! 👉47:31 We will certainly test you ˹believers˺ until We prove those of you who ˹truly˺ struggle ˹in Allah’s cause˺ and remain steadfast, and reveal how you conduct yourselves.
@abdiabdullahi2937
@abdiabdullahi2937 Год назад
Mashaallah sheki Allah akuzidishie
@samuellubunga
@samuellubunga Год назад
1 Wakorintho 1:18 kwa sababu neno la msalaba kwa walio potea ni upuuzi mbali kwetu sisi tunao okolewa ni nguvu ya Mungu Wagalatia 6:14 Usipoteshe
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 Год назад
Mashallah Allah sheikh Kwa kazi yako
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
Assalam Alaykum Shekh Ramadhan Mwenyeez Mungu akulipe kheri kwa unachokifanya Shekh Ramadhan Yesu wa Tongren nasikia kakimbilia police kwa kuhofia kusulubiwa siku ya Pasaka nilipoiona nilicheka habari zake nikakumbuka siku ya mwisho ulipomuji na manabii wakeYesu alipoanza kuimba na wale manabii wake sijui wako wapi tunaomba uende tujuwe kinachoendelea eti wanamtishia Amani 🤣🤣🤣🤣
@munasayed8657
@munasayed8657 Год назад
Maa shaa allah Tabarakallah
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Kumbe uyo mzee kama yule marehemu mzee daudi alie fariki ila usimuache huyo mzee huwenda akasilimu. Isha ALLAH
@omarsulaymanali7380
@omarsulaymanali7380 Год назад
Maashaallah Ramadan May Allah reward you Jannatul Firdaus you are doing good brother
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Год назад
Subhanallah yaani wanamchukia alie muumba yesu lkn wanampenda yesu Allah awaongoze ila wakiristo wanapandikizwa chuki juu ya uislamu sijui kwa nini yani mimi sometimes moyo hua unaniuma kweli mbona sisi waisilamu hatujengewi chuki juu yao? Allah awalipe kheri masheikh wetu awazidishie afya njema muzidi kuwafikishia dini ya Allah na watambue kwamba uislamu sio uadui
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Год назад
Assalaam alykum... Haqi siku zote ni ngumu sana na yenye kuchukiwa so ikitokea mtu kaishika haki mara nyingi huchukiwa sana!!!! alaf dini yao haiwafundishi namna ya kuishi na wasiokua katika dini yao ndo mana chuki ni kubwa mno.... na Allah anatufunulia katika quran kwamba chuki wanaoidhihirisha nje bas kwenye moyo wao ni kubwa zaid
@sakow747
@sakow747 Год назад
Mashaalah
@zuwenaothman
@zuwenaothman Год назад
Masha Allah,
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Mashallah
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Год назад
Kwakweli unakazi sana kwa hao walevi
@liliankway9861
@liliankway9861 Год назад
Kila mtu atakufa Kwa Iman yake.ukiwa mkristu kamili hauwez kubadili din
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Mashallah Allah ❤❤❤
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Nimecheka sana
@aliwilsonjohn
@aliwilsonjohn Год назад
ukitaka kuja sheikh zanzibar ututaarifu
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
MashaAllah Ustad na Cameraman! Another SOLO mission deep into misconception Land! Na huyu Imam JUMA, ata changamuka lini? 😮 Umem leta kwenye Field karibu na One Year ili a learn just 'a little bit', lakini hako interested! Mitavu tuu! Imagine , hata QURAN hajui kui fungua! Saa hii uki sema kuna PILAU ina pakuliwa, Imam Juma ata kuwa wa mbele KULA! Ndio una ona MITAVU zake zime furaa! Sasa, Wageni wakija kutembelea MSKITINI, huyu Imam JUMA ata wapa DAWAH vipi? Si ni USELESS tuu? Ustad Rama cannot be at Mukurueni ALL the time! Poleni, na Samahani, nime Jam na huyu Imam Juma!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Ni Kweli Kabisa! Imam Jumaa ni Muvivu sana! Ata peyana DAWAH vipi katika MARKAZZ wakati ame KATAA kuji funza tarika ya DAWAH kutoka Ustad Kuria? This means that any visitors to the MOSQUE, while Ustad Kuria is away, will get ZERO info on why they should chose ISLAM, because JUMAA is incapable! I think they should replace Jumaa with an IMAM who is capable and is NOT downright LAZY!
@neptuneplutonium86
@neptuneplutonium86 Год назад
​@@Sai.Mo69 usimhukumu mwislamu mwenzio tafadhali,mpe advice tu ama mhimize tu sio kumkosoa hadharani hivi,so bad indeed,and so sad,kama tutafikia hapo
@bahatikenia39
@bahatikenia39 Год назад
Mashaalah
Далее
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
WAKRISTO WALEVI WATAMANI KUSILIMU ILI WANUSURIKE
52:21
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26
WAKRISTO WASILIMU KISUMU BAADA YA KUONA HAKI YA UISLAMU.
1:40:44
WAKRISTO WAUPOKEA UISLAMU KWA ROHO SAFI HUKO CHEPNYOGAA
1:21:18
DADA MUUZA MATUNDA AMKANA YESU WA TONGAREN  (PART 3 OF 4)
1:03:27