Тёмный

PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. Ukiwa na maoni au mapendekezo au hata maswali usisite kuwasiliana nasi kupitia nambari zilizopo kwenye screen yako. ‪@StraightPathDawah‬ tunajitahidi kufikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@Shabalala99275
@Shabalala99275 Год назад
Nafrahi sana kila nionapo notification ya straight path inaingia katika sim yang napend sana kuskiliza hii Chanel
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Год назад
Very clear picture Sheikh! ❤
@daru2549
@daru2549 Год назад
Ustadhi Asalamu Aleikum Warahmatulullahi Wabarakatuh,,pia ningependa upitie busia na malaba InshaAllah
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu mabruk masheikh wetu
@fahimabeid6953
@fahimabeid6953 Год назад
Masha Allah shukran jahzaka Allahu kheir sheh Ramadan
@abdallaali7535
@abdallaali7535 Год назад
Thanks ramadan kuria for the videos i like the way you deal with this people may ALLAH protect you and guide you and give you janatul firdowsa for the hard work you doing
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Thank you too, Allah bless you
@alinuribrahim4216
@alinuribrahim4216 Год назад
MashaAllah shiekh..tuko mapoja na ww kila suku. in sha Allah
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 Год назад
Jazaka Allah Kheira Mwalimu Ramadhan pamoja na team yako
@tahlil2015
@tahlil2015 Год назад
Mashaa Allah Sh. Ramadhani my Allah give you the best in Dunya na Aqiira...in shaa Allah ☪️ 🕌 🕋
@Idysalim
@Idysalim Год назад
MashallAllah sheikh, kazi nzuri. Walahi Ramadhan njooni huku kilifi shariani wa mama wengi huku wameuwacha uislamu wanaenda kuombewa makanisani
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰
@ummuhammad7571
@ummuhammad7571 Год назад
Iko sawa sasa Alhamdulillah
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Год назад
Masha Allah,,, sheikh Ramadhani
@Aminedanisman76799
@Aminedanisman76799 Год назад
MashaAllah.sheikhe Ramadhan Allah akufanyie wepesi kwa kazi yako ya daawa
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Masha ALLAH kazi kaz km dawa
@JamalaMahamudu
@JamalaMahamudu 6 месяцев назад
Mimi naona ndugu zetu Bora tuwe pamoja katika imani❤❤❤❤❤❤❤
@Fauzfakikhamis5281
@Fauzfakikhamis5281 11 месяцев назад
Masha'allah kazi iendeleee shekh wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
Assallam aleikum mashekhe wetu Allah barik
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 Год назад
Kazi nzuri sheikh Ramadhan,Ma sha Allah.
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
Yani shida ya wakristo wanafanya ibada kwa maoni yao sio kwa kupitia maandiko ndio uwauliza baadhi yao kwaio hii biblia haina faida kwenu? hata mkiitia moto inamaana mtajiongoza tu na fikra zenu?
@ggv866
@ggv866 Год назад
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh Ustadhi Ramadan
@alyumar4657
@alyumar4657 Год назад
Pole na kaz ustadh Ramadhan Allah atakupa ujira mkubwa kwa kazi ngumu unayo fanya ila leo umekutana na watu wabishi sjawah ona Allah akupe subra na awaengezee katika njia iliyo nyooka
@YashkhanDae
@YashkhanDae 2 месяца назад
Mashallah.... May Almighty Guide and Help you guyz On this important Journey of straight path Dawah..... Nimefurahi sana
@Omar_Abdullahi
@Omar_Abdullahi 11 месяцев назад
Masha Allah 🤗 MUNGU akubariki sheikh wangu 🙌
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@aminadughow9812
@aminadughow9812 Год назад
Mashallah may Allah protect you and bless you❤❤
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Год назад
Maashaallah ustadh ramadhan mungu akuhifadhi
@user-er4ph5jz9l
@user-er4ph5jz9l 7 месяцев назад
Mashallah Sheikh ramadhan may Allah bless.
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Niwashidani but wameelewa shekh❤❤❤
@kijakaparare2074
@kijakaparare2074 Год назад
Mungu akupe nguvu yakuzidi kuelimisha watu wajue opi nidini yakweli nawajue nini maana ya wislam mungu akulinde mchana na usiku na akupe afya isiyo na kikomo
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh. Masha ALLAH ❤ ❤ ❤
@fatimafff3065
@fatimafff3065 Год назад
Walaikm Salam warahmatulai wabarakatuh
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Год назад
Allah akubarik sheikhe Ramadan
@abdiarera3209
@abdiarera3209 Год назад
Allahu Akbar
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Год назад
❤❤❤❤Allah atujaalie kheri sheikh Ramadhan 🙏🙏🙏🙏
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Wa Allah mitihani 👏🏾👏🏾😥
@AbdulrahmanSeif
@AbdulrahmanSeif 7 месяцев назад
Sasa hiyo ndio maana ya UKWELI ukidhihili UONGO hujitenga.shekhe jazaka llahu khairan
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Год назад
Masha Allah Ustaz Kuria
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 Год назад
Alhamduililaahi kwa neema ya uislamu pia Alhamduililaahi kwa siku ya leo Allah Akbar
@MaaoudMasoud-xd3hj
@MaaoudMasoud-xd3hj 11 месяцев назад
Allah akbar mungu akupenguvu shekhe
@shafiiabdallah1088
@shafiiabdallah1088 Год назад
Mashaallah dawa iendelee
@MustakimaMuhammad-fy5ij
@MustakimaMuhammad-fy5ij 4 месяца назад
Nafurahi kutuilimisha jazaa yako.iko kwa Allah mungu akupe nguvu
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 Год назад
Assalam alleykum warakhmatu-LLAH wabarakatuh. MBONA HAINA SAUTI? AMA NI KWANGU TU?
@hassadube225
@hassadube225 Год назад
Mash Allah
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Masha allahy . Masheikh wetu Allahy Azidikuwapatia Nguvu zamafundisho bora kwa Watu wote
@useniiabuu9930
@useniiabuu9930 Год назад
Jadhakallah kheri
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Ramadhan kuria vituko unaogopa😂 kugongwa na hilo gari ila ni ringilake ni kubwa limekufikia urefu kazi kaz mungu mkubwa na mungu akubariki
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Ustadh Ramadhan naomba uwafunze kutumia bblia yesu si Mungu n simwana wa Mungu.kwan Mungu hazai Wala hana mke
@ggv866
@ggv866 Год назад
Ustadhi Naomba tembelee moi' bridge upande wa Kaptien
@husseinjarso5676
@husseinjarso5676 Год назад
Masha Allah
@FarajiSalimu
@FarajiSalimu Год назад
Maashallah
@HADIJATON-mi7st
@HADIJATON-mi7st Год назад
Mashallah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Hapa kazi ipo.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 Год назад
Wanaelewa ila ni ukaidi tu. Allah awaongoze wao na sisi pia
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Год назад
Makafiri,,,,,, makiristo ni makaidi sana
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Washajua ukweli
@amiinyare7481
@amiinyare7481 Год назад
Hamuna saoti
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 Год назад
Sheikh kazi ngumu walakini walikuwa hawajuwi
@lilianowti5477
@lilianowti5477 10 месяцев назад
True fasting that OurAlmighty recognises is helping the needy not fasting of omitting food yet your deeds are filthy in the sight of God.
@ummuhammad7571
@ummuhammad7571 Год назад
Hamna sauti
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Hawa Kichwa Ngumu, wame DANGNYIWA na Ma PASTOR, ya kwamba BinAdam yesu, ni "mwana wa mungu' kwa sababu yaku itisha SADAKA! WASIPOM fanya yesu kuwa DIVINE, basi HAWATA w3za ku itisha SADAKA, "in the MIGHTY Name of jesus"! Au wata itisha Safaka hivi: "Panda BEGU kwa Jina TUKUTU jina, la yesu kristo, mwana wa mungu"! BILA kum ELEVATE yesu kuwa 'DIVINE', HAWATA weza ku itisha SADAKA! It is ALL about STEALING Cash from People, "in the MIGHTY name of jesus krist, OUR LORD"!
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Kweli Kabisa! Well said! Wajanja naWaongo! Brainwashrd by5he Wazungu!
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Год назад
MashaAllah kazi nzur mwalim wetu kula hiyo 🍌
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
😂
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Mashalla 😂😂😂
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Год назад
Injili imetangulia sio Bibila.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 Год назад
Barakallah fikum
@mariamally8548
@mariamally8548 Год назад
Mimi nauliza kitu kimoja naona muda mrefu sana hatumsiki Suleiman Mazinge,na Yussuf wambugu.
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 Год назад
1:09:43 yaani ni kama time za yesu. Wanajifanya wanaamini lakini wakiulizwa wanaamini nini wanahepa. Na wakamkana yesu walupouluzwa kama wao ni wafuasi.
@AshamMussa
@AshamMussa Год назад
Anahepa jawabu sahihi
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Год назад
Kweli mapasto niwapotovu yaani kuongea na kukubali ukweli inakua shida astagafrulah
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Waluya niwashidani kweli
@mush337
@mush337 Год назад
Yesu ni mungu aliyeacha uungu mbinguni akazaliwa kama mwanadamu. Yesu sio mingu lakini mwana wa mungu ni Mungu. Yesu aliyekuja duniani ni ule aliyeacha umungu akawa mwanadamu 😊
@LoveStory-ne2ee
@LoveStory-ne2ee Год назад
Tupe andiko usituletee maongezi mengi atuso kuelewa tatizo lenu wakristo mnaacha maandiko mnaaza kujieleza ninyi wenyewe
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Kisha alikuwa anamuita Nani huko juu?
@mush337
@mush337 Год назад
@@StraightPathDawah Kabla ya yesu kuwa mwanadamu alikuwa anaitwa neno,sehemu ya mungu iitwayo neno,Kuna sehemu ingine inaitwa roho. Kwa mfano wewe uko na sehemu tatu,mwili,roho na neno litokalo kwako
@mush337
@mush337 Год назад
@@LoveStory-ne2ee Warumi 9:5 5 Wao ni wa uzao wa mababu wa kwanza, na katika taifa lao Kristo alitoka kama mwanadamu; yeye ambaye ni Mungu aliye juu ya vyote, atukuzwaye milele! Amina
@Adm9464
@Adm9464 Год назад
Ajabu how can Jesus be God and man at the same time. He has to be one or the other unless he is schizophrenic where he has two different personalities.
@isaa_ogutu
@isaa_ogutu 7 месяцев назад
Dealing with incompetent people is very difficult weh😂😂😂😂😂.....this pastor need proper teachings 😅😅😅
@42HUSNA38
@42HUSNA38 Год назад
Asalam Alykum sheikh Ramadhan. Hii video haina sauti jamani. ama ni upande wagu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
NI kwako, jaribu tena
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Niupande wako
@lilianowti5477
@lilianowti5477 10 месяцев назад
Injili ni ya Mungu sio ya Yesu,wacheni kupotosha watu.Gospel belongs to God period ,those u r mention were servants of God entrusted with the work of God for learning more.
@Ramadhankadenge-t2l
@Ramadhankadenge-t2l Год назад
Endelea kaz nzur Ramadhan
@AshamMussa
@AshamMussa Год назад
Huyo ni mchungaji anopoteza kondoo wake siku zote
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 Год назад
50:27 hapo kumaliza wangepatiwa wana wote wa mungu waliotajwa ndani ya biblia ili wachague ni yupi tena.
@ggv866
@ggv866 Год назад
Uko si kufunga maana vingine mwala
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 11 месяцев назад
Wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii innalillah wainna illahi rajuon
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Год назад
please kaka nasisi watanzania tunahitaji kuchangia fedha je tafuta namba japo ya airtel
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Vodacom 0748999008
@jumahamad9463
@jumahamad9463 Год назад
MAA SHAA ALLAH LAKINI NDUGU SIO WEWE TU MSIKILIZAJE YAANI YATAKA WOTE SISI WASIKILIZAJI PIA KUCHANGIA KUSUDI DAWAH EWAFIKE PIA WASIOJUA
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Toa neno Tanzania hapo jitaje wewe usiingize nchi kwenye ujing
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Ai, hii group ya WaLuhya ni WARONGO mnoo! WaJamaa, Hawa TAKI kabisa, ku sema UKWELI, KHususan huyu PASTOR! Hii ni kwa sababu, HAWAJUI kabisaa, Mwenyezi Mungi ni NANI! Wao wanam tabua MUNGU SAMBUSA, wa UTATU! Hawa MaKafiri wata kwenda ku KA'ANGWA kama Sambusa, siku ya Kiyama! This is how USHAKA HOLA evolved, due to Insincere people like these, who willfully TWIST the Words, to suit them! Very INSINCERE bunch of people!
@millicentwawira1779
@millicentwawira1779 Год назад
Remember to like,sure, comments,
@hassanodiwa
@hassanodiwa 11 месяцев назад
Astagfirullah,hawa wangwana ni wangumu aki
@mutomubaya
@mutomubaya Год назад
Kabla ya kuomba tunahitajika kumjua Mola wa Ulimwengu na kuamini kwamba yeye, yupo na ni mmoja.....
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk Год назад
Umechekesha umeangalia mala ya kwanza ukapotezea badae"afu we unacheza kamali eeeh."
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
Wameelewa
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Pastaaaa 😂😂😂kimya kingi mbona
@AshamMussa
@AshamMussa Год назад
Darssa zikiwaingia hutlia wakasikiliza mwanzo tu ni jazba yakutaka unga wao usimwagike Ustadh Ramadhan tuko pamoja Mimi mzenj mahubiri tunayapata vizuri Mana unaenda nao kifrend kabisa watelewa tu kama watafatilia.
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Год назад
Hao hawana elimu
@Mamursal5
@Mamursal5 Год назад
I wonder who prgramme them like this!
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 7 месяцев назад
😂😂😂Kawaida, Wachungaji (Pastor) Ikisomwa ukweli ktk Biblia yao, huanza ubishi na kelele nyingi kuvuruga mada halisi. Mwishowe hutimua mbio. (Kwa nini hao Wachungaji hupendelea kutosema ukweli uliomo ktk Biblia !!??) TATIZO WANAHOFU SADAKA ITAHARIBIWA.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 11 месяцев назад
Sheikh Ramadhan ukipatana na vichwa vigumu kama hivyo we achana nao tu hawa bana hawaelewi wala hawataki kuelewa 😅😅 .. unawapa mfano pia hawataki kujibu.
@AthumanMkilindi-yf3bg
@AthumanMkilindi-yf3bg Год назад
Pambana shehe
@Hi_20206
@Hi_20206 Год назад
Mpaka kichwa kimeniuma..kusema tu ndani au njee ni ngumu
@seifissa9705
@seifissa9705 25 дней назад
Wakirsto wagumu kuelewa imenibidi hata nicheke
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk Год назад
Hao kichwa ngumu
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Год назад
Anacheka😂😂😂, yesu mtu, wacha wajue haqi
@jumamsembe1213
@jumamsembe1213 Год назад
Yeswa anaelewa lkn sasa kusudi tu asumbue watu....😂
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 Год назад
51:04 yesu ni mtu au si mtu?
@lilianowti5477
@lilianowti5477 10 месяцев назад
Dont be deceived by people who are after their fame,stick to your faith not someones interest.
Далее
PASTOR YAKOBO ASEMA UKRISTO SIO DINI, ASHANGAZA WAUMINI
1:04:43
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AKANA ANDIKO LA BIBLIA
1:21:20
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
WANA KIJIJI WASHANGAA KUSIKIA YESU /ISA (AS) NI MUISLAMU
1:47:15