Тёмный

MKUTANO WA INJILI, IDARA YA UINJILISTI, JIMBO-12/10/2024 

AMM tv
Подписаться 211
Просмотров 63
50% 1

Karibuni katika Kanisa, TAG, Sayuni, Isamilo, Mwanza, ibada zetu za wiki ni Jumatano, ibada ya watu wote, Ijumaa ni Ibada ya maombi na maombezi na Jumapili, ibada ya kwanza inaanza saa 1:00 asubuhi, na ibada ya pili inaanza saa 4:30 asubuhi, popote ulipo unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia ukurasa wetu wa kijamii facebook, bila kusahau ku like page yetu ya facebook na RU-vid,:- AMM.tv, kwa njia ya imani yote yanawezekana (Marko 9:23), umbali sio kizuizi, ukiamini utapokea muujiza wako katika jina la Yesu Kristo, usisahau kualikia ndugu jamaa na marafiki, Kwa ushauri, maombi na maombezi, wasiliana nasi kwa namba 0754637982, Mungu akubariki sana.

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@RenardBasobile
@RenardBasobile 11 дней назад
amen
@RenardBasobile
@RenardBasobile 11 дней назад
amen
Далее
KUSUDI KUU LA KANISA-22/09/2024
40:45
Просмотров 26
bwana yesu by joel fundi k
2:10
Просмотров 349
Life in Mugumu Serengeti Tanzania
4:54
Просмотров 1,3 тыс.
Tuwapee vijana wetu wa utamaduni kibao mbele
11:44
Просмотров 3,2 тыс.