Тёмный

MNYUKANO MKALI: DK SLAA AWAVURUGA CHADEMA - AIBUA MAZITO - CHADEMA WASUBIRIWA KUMJIBU... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@rajabushabanimadeleka8023
@rajabushabanimadeleka8023 2 дня назад
Hamjibu maswali ya watangazaji, mnahasila tu na dr slaa. Jibuni maswali
@MajaliwaLechipya
@MajaliwaLechipya 2 дня назад
Wametumwa maswal yako Waz hawajibu wamajibu yakwao swal kauliza kwanini vikngoz wote sio wachama fulan hapana yeyote Alie kiongoz kwaini akisimama analalamikaa naanakuwa namlalamikia Nani majibu hakuna wanaongea yakwao
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
Hajauliza kitu Amebwata TU Nahic anatafuta pa kuingilia
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee День назад
Dr Silaa hoyeeeee,anaeleweka sana, UKWELI mara nyingi ampendi
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 2 дня назад
Aliyosema Dr Silaa ni kweli tupu anaebisha atoe hoja ya kuridhisha kifuta kauri ya Dr Silaa
@JumaNtwangi
@JumaNtwangi 2 дня назад
Chadema siwaamini tena tanguy wamepewa hela na Lowasa na kumtosa slaa wakati lowasa ni mwizi
@soudyallysaid9487
@soudyallysaid9487 2 дня назад
Ninapenda kuwashauri watanzania wenzangu tusiwe sana tunamapenzi ya hovyo kumpenda mtu bila kuona athari na faida zake ,ni kweli watanzania tumechoka na tunahitaji mabadiliko, lakini swali ni nani kwa dhati na matendo yake yanaonyesha kutujali sisi watanzania tofauti na kujijali yeye na wenzake wachache?, hivi kweli unaweza kumpa nchi Mbowe ? Au Tundu Lisu ? au Zito?nani hasa atakuwa afadhali ya huyu kuliko tulie nane kwa sasa? Hakuna kabisa ni kwamba tukifanya mabadiliko kwa lazima tu kwamba hawa wametuchosha tumpe yeyote litakalo kiwa na liwe ? Watanzania tukumbuke maneno ya mwalimu Nyerere nchi sio ya kufanyiwa majaribio ni hatari tumeshawaona hawa tumewapima kwa ubunge wamefanya nini kweli hayo waliyokuwa waliyafanya yalikuwa na usalama kwetu? Zaidi ya kuhubiri nchi isitawalike maandamano fujo hayo ndio tunataka? Ni bora tuendelee kuwarekebisha hawa iko siku tu atatokea mmoja wa kutetea na kulinda masilahi yetu ,au kitatokea chama chenye misingi mizuri ambayo tutaziona na tutawapa nchi ,HATA FIRAUNI MUDA WAKE ULIISHA AKAJA MUSA NA KUMLEA YEYE MWENYEWE AKAWA MKOMBOZI , TUWE NA SUBRA tuachane na hawa wahuni mamluki wasaliti hawafai hata bure
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 2 дня назад
dah mbona meng mno
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 День назад
Iv kwel wew unajua kuchambua kitu kwel na kama hawa watu uliowataja unaweza kutueleza makosa yao ili na sis utufumbue macho au na wew unaandika andiko la uchawa tu hakuna lolote
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 День назад
Wewe ni mpumbavu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 дня назад
Anajitakasa kwamba yeye ni Mungu. Ni mtu wa kujifanya yeye ndiye. Yeye ni ubongo kuliko . Yeye ndo mwanaume pekee.
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 дня назад
Huyo Silaa Hana msimamo Njaa inamsumbua alishindwa Uparii hawezi Siasa huyo
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye День назад
Msilete uccm wenu anachokisema Dr Yuko sawa kabisa ni wakati wa chadema kuamka na kubuni mbinu mpya zitazowezesha kiikomboa nchi hii.
@HamzaHeri
@HamzaHeri 14 минут назад
HUYO MZEE WENU MIMI SIMPENDI SAAANA NIMNAFIKI VIBAYA SANA HUYO NIJAHANAMU
@kigongolevi5403
@kigongolevi5403 День назад
Dr.Slaa apunguze kuisema CHADEMA, kwa nini asikiseme kile kilichompa kiini macho cha Ubalozi!!!. Au anatumiwa!!!.
@peterbangari4273
@peterbangari4273 2 дня назад
Mwenyekiti wenu anachuki na Mzee silaa
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee День назад
Kabisa, Kwa hili mwenyekiti amekosea kabisa
@peterbangari4273
@peterbangari4273 2 дня назад
Wakakati huko kazi selikali siyo ya chama
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 2 дня назад
Chadema wamejitahidi sana Watanzania ndo hawaelewi. Huu c wakati wa kuwalaumu wamebeba maumivu mengi sana. Wananchi nao wabebe jukumu la kuitetea nchi yao ndo maana wanarudi kwa wenye nchi.
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 8 часов назад
"Kila mtu anauzika mradi ujue bei yake" Nixon
@emanuelgella8201
@emanuelgella8201 День назад
Jamaa mwenye kipara Hana hoja, anasiasa nyingi na chuki Kwa slaah, hajibu hoja Bali anatetea CCM Kwa kutumia lugha ya kifasihi
@omarkapula588
@omarkapula588 2 дня назад
nimeipenda hio kauli wanapigwa vibaya wanashindwa
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r 2 дня назад
Kasema ukweli chadema mwelekeo haupo
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 День назад
Hichi kipindi akili zimepelea😅
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee День назад
Kumbe na nyinyi ni machawa!!??
@Mkrist
@Mkrist День назад
Huyu jamaa ni mjinga kweli😂. Hivi wangapi walihama CHADEMA? Akina Kitila na wengine wengi tu. Kisha unasema hakuna aliyetoka CHADEMA? Guys ninyi ni waandishi wa aina gani?
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 2 дня назад
Chadema niakina kulialia Hawana jipyaa😂😂
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 2 дня назад
Mnawahoji watunwajinga wasio na hata na ufahamu wa mambo. Upuuzi tu.
@ipyanageorge8211
@ipyanageorge8211 2 дня назад
Unapokuwa kiongozi unapoteza sifa ya kulalamika... unatakiwa kutenda katika hoja iliyopo... Vyama kila siku vinalalamika tuu....vinalia lia tuuu..... Tutatatuaje matatizo ya kijamii kwa kulalamika tuu
@estachengula3902
@estachengula3902 День назад
Dokta slaa huyo ni chawa tulifikiri tupo pamoja kumbe amesha kula mpunga ccm ashindwe
@willymdeka6034
@willymdeka6034 2 дня назад
Huwezi kufananisha wakati wa slaa na Sasa hivi sera hazitangazwi ni kulakamika tu Kila siku
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 2 дня назад
Wapendwa njaa mbaya maana inaweza kukufanya mtu mzima ikaonekana debe tupu. CDM muendelee na utaratibu ns mipango yenu wananchi wako nyuma yenu. Tuna mashaka katumwa mtu kuokoa jahazi wakati huu wa uchaguzi ili kupunguza nguvu za CDM. CDM kaeni macho na hekima
@abdulhafidh7749
@abdulhafidh7749 2 дня назад
Kigeugeu mzee wetu halaf ni mchungaji km msigwa yan mm kuwaamini tena wachungaji kwny siasa nimekoma
@AkwilineKawishe-t3d
@AkwilineKawishe-t3d 2 дня назад
Yap!Dr Slaa anayumba!
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
Anayumba Sana tu
@OttoChiduo
@OttoChiduo 2 дня назад
We mtangajiza jibu hoja zake sio kumshambulia mtu !
@why-ir8zl
@why-ir8zl День назад
Nyie mnaozungumza hapo mpo km kina nani?
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 2 дня назад
Lishazeeka na akili zimezeeka hana akili hana sera
@omarkapula588
@omarkapula588 2 дня назад
kama alivyoshindwa Mwabukusi kelele zote zimeisha hata anachosema hakieleweki
@yohanakateko
@yohanakateko 2 дня назад
Na niukweli husio pingika slaa alibeba chama
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 2 дня назад
Mmemwambia ukweli sabab kuna wakati anaguswa na wananch ila na Kuna wakati aguswi akiwa ktk nafasi fulan pia maneno yake yanabadilika kutokana na Hali ya upepo
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 2 дня назад
Njaa anayo mbowe chadema hakuna demokrasia ya kweli? Uongo mwingi 🤣🤣😁
@rajabushabanimadeleka8023
@rajabushabanimadeleka8023 2 дня назад
Hajibu maswali ya watangazaji, mnahasila tu na dr slaa. Jibuni maswali
@challemartin
@challemartin 2 дня назад
Siri zinafichuka kuhusu chadema
@challemartin
@challemartin 2 дня назад
Sio njaa
@jonathansirkintungi3440
@jonathansirkintungi3440 2 дня назад
Huwezi kumeelewa kwasababu we ni chawa tu huoni yanayoendelea
@SalumKombo-sf5gs
@SalumKombo-sf5gs 2 дня назад
Huyoo amesha. zeeka hana. mpyaa akili zimechoka
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 дня назад
Chadema kwa kulalamika shikamoo
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 дня назад
Mimi nadhani tujikite kujibu hoja za Dk. Slaa. Wengi mliopo hapo sina hakika kama mmejibu hoja za Dk. Slaa, wengi mnasema tu kuwa eti kwa nini hakusema alipokuwa huko CHADEMA?
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
Yani Slaa Hana hoja Msaliti kama wasaliti wengine
@estachengula3902
@estachengula3902 День назад
Anaomba ubarozi tena asituchafue watanzaia tumbo lake l8na njas
@EdsonMbuza
@EdsonMbuza 2 дня назад
Kwani yeye silaa hicho anacho fanya siyo kulalamika au nini
@challemartin
@challemartin 2 дня назад
Kila mtu anae lalamika kila siku huwa hafanikiwi
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 20 часов назад
Aaa si lolote. Bado chadema ina nguvu. Ninyi mnajadili mko upande gani, mseme ukweli wenu. Slaa ni nani ktk nchi hii?
@shabanadam4476
@shabanadam4476 2 дня назад
Awkward team 😳
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 2 дня назад
Watanzania wenzangu! dr slaa hizo ndiyo njia zake za kujaza tumbo lake! kila uchaguzi mkuu unapo karibia huwa anabadilika na kuwa kinyonga kwa kuwabagaza wapinzania wa vyama vya siasa ktk nchi hii hasa chadema! anafanya hivyo kwa maslahi yake binafs! uchaguz ukisha kwisha unabadilika tena na kujifanya mpinzani! huyo ndiyo Dr slaa halisi.
@Zaynabahmed-ey4zu
@Zaynabahmed-ey4zu 2 дня назад
Huyu MZEE haeleweki ni ccm huyu
@festomombo5859
@festomombo5859 2 дня назад
Tatizo la CHADEMA ni mbowe
@SmartOfficial-u5j
@SmartOfficial-u5j 2 дня назад
Mbowe ndo jiwe
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
​@@SmartOfficial-u5j Tatizo la Chadema ni usaliti Nae ni miongoni mwao.
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 14 часов назад
Muwe mnatumia akili kidogo...Nyinyi hapo mnaongea kama wakina nani...ndivyo hivyo hivyo Dr Slaa nae anaongea. Chadema ili iimalike lazima iambiwe ukweli ...Dr Slaa ameongea ukweli achaneni na habari za nyuma mbona hata wakina Wasira walikuwa upinzani...kuweni na akili kidogo...Alafu hakuna uchaguzi Tz ulishawai kukubaliwa na wapinzani kuwa umekuwa uhuru na haki na hautokuja kutokea eleweni ili.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 дня назад
slaa njaa inamsumbuwa,alopohongwa ubalozi akasahau mambo ya upinzani!!
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 2 дня назад
Nakukumbusha tu kwamba wakati anapewa Ubalozi. Alikuwa ameshaondoka kwenye siasa na aliachana na CHADEMA 2015.
@ymohammed963
@ymohammed963 2 дня назад
Chuki binafsi silaa yuko vizuri...ila wewe kama musiba
@HappyObass
@HappyObass День назад
Sasa wewe mwenye upala sijui unaongea nni
@ObadiaChengula
@ObadiaChengula 2 дня назад
Jibu maswali hoja yako ni ipi?
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
Hoja ni Usaliti Kaisaliti Chadema akiwa nada I Na sa hiv anaihujumu akiwa nje
@EngelbertMakoye
@EngelbertMakoye День назад
Kufa mtu si hoja awaamsha chadema msiende huko mnakokwenda
@estachengula3902
@estachengula3902 День назад
Ameshachoka dk akalale
@festomombo5859
@festomombo5859 2 дня назад
Mbowe ni gaidi
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 дня назад
Slaa ni msaliti
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 2 дня назад
😂
Далее