Chama asidanganywe akaondoka Simba, kwa umri alionao sasa uwezo nao unapungua haitachukua muda hao yanga watamuweka benchi. Ni vyema akamalizia pale aliko anzia, akumbuke kuwa walipo ondoka yeye na mwenziye Luis Miquison kwenda uarabuni mambo yaliwa haribikia mapema na waliporudi viwango vilishashuka!😂😂😂
Kama pesa ipo Tajiri karidhia mwache abaki hata bench akae tu😂.. Maana Kuna watu roho zinadunda duu juu ya chama... Kama kwenda aende kama kubaki abaki 50/50