Wallah watanzania mmebaatika sana na hizo fursa mnapata za daawa. mpaka vijiweni 😢😢😢 msikubali kuzipoteza kizembe,sisi kwetu Rwanda haiwezekani.Allah azidi kukulinda kila libaya sheikh.
Pia hongera Sana kwa Tim ya kishk wallahi Allah awahifadhi wakipatika mashekhe wenye msimamo kawa huo kutia elimu ya dunia mbaka vijiweni wallah uislam
Modern advanced integrated Daa'wa inayooneshwa na sheikh kishki hapa ni ya hali ya juu.... Wallah tutakuwa mashahidi siku ya kisimamo kwamba ulifikisha na ukatufata hadi vijiweni
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh! Ahsante, sana sheikh wetu kishki Nurudini, Allah akuhifadhi na akuliilimishe zaidi kama alivyo wailimisha mitume wake, Aamiin, Ni mimi Cishahayo Ali, Aliyekusomea qur'an Minnesota, inchini U.S.A ( marekani) Kwa sauti ya sheikh Abdurahmani sudais, je, unakumbuka?
Maa Shaa Allah Alhamdulillah sheik for that reminder I wish if I can also get that book Request please teach us more about mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa
Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Nashukuru Sana Kishki Online Tv Kwa Kazi Nzuri Ambayo Munaendelea Kuifanya Kwa Ajili Ya Allah, Nitazidi Kuwaombea Kwa Allah Ili Awajaalie Afya Njema Hapa DunianibNa Kesho Akhera, Piah Muwe Na Khusnul Khat’ma.