Waebrania 9 27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu. Hakuna dua wala maombi wala sadaka wala kafara yoyote inayo uwezo wa kumtowa mtu motoni, akiwa ameenda motoni. LUKA 16:19 mpaka 31
Hata Firauni alijitia jeur na kiburi kama ivo wewe lakini ukweli ulipodhihiri alisema anamuamini Mungu wa Mussa na Harun....nawewe endelea tu na upuuzi wako hadi siku ufikiwe na siku ngumu sana!!