RUTO MUST GO. AFTER TALKING IN NADCO MEETINGS, DISCUSSIONS AND REPORT, NOTHING HAS HAPPENED. KENYA HAS NOT MOVED FORWARD. RUTO MEETING GEN Z WILL NOT LOWER THE COST OF LIVING, CORRUPTION. RUTO JUST RESIGN AND GO.
Watu wa coast sisi wa bara tuko nanyi. tutaondoa wote walio tuuza kwa bei ya tumbo zao pia nyinyi twaomba mfanye hivyo. Tushikilvye hapo. Kutoka Meru. upendo wote na makali ya uzalendo.