Тёмный
No video :(

Moshi wa Koko _ Mwinyi Mpeku 

Jufe Film Production
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 525 тыс.
50% 1

Tazama alichokifanya Mwinyi kwenye Sherehe ya Harusi ya Boom Swinger wa JUFE FILM (Dinyo)

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 245   
@salimkibz9967
@salimkibz9967 4 года назад
Wangapi wanamuangalia kiswabi 😂😂🤣🤣🤣 nakusema kumbe yupo vizuri kiswabi gonga like 🤣🤣😂😂😂 kiswabi macho maswali yote yapo kwako
@user-ez2ps2qq4h
@user-ez2ps2qq4h 6 месяцев назад
Ongera mzee mwinyi mashaallah ❤❤💯
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 года назад
Huyu mzee Mwinyi ni mtu wa vipawa vingi sana,ana sauti ya dhahabu,umaridhawa wa ulimi na ufasihi wa maneno yenye mguso na uhalisiya wa maisha..Mashaa Allah hongera sana.
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 5 лет назад
Ma Sha Allah kumbe ww mwimbaji sauti swafi Nakupenda kwajili Ya Allah from saudi Arabia
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 6 лет назад
Hao ndio wa zanzibar bwana mtu mmoja fani kumi kidogo maa sha Allah .ndani yake ina mafundisho matupu kwa kweli meseji imetufikia sote sio dinyo tu na kitatange pia ujitayarishe
@hidayamussa4273
@hidayamussa4273 6 лет назад
Nice song ujumbe umetulia hongera sana kake mwinyi kumbe unakipaji masha Allah
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 6 лет назад
Mzee mwinyi upo sawa babangu nakuogopa miaka 100
@abilityzorla1287
@abilityzorla1287 4 года назад
Mzee mwinyu hauna mweza hongera yako mungu akuzdishie juhud upate kuelimisha zaid na zaid
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 лет назад
Kumbe mwinyi upo vizur sanaa
@abdiiosman6523
@abdiiosman6523 5 лет назад
TEAM JUFEE FILM one love twawapenda sana Wallahy especially MZEE BABA MWINYII NIkiwa DUBAI
@ahmedsule6501
@ahmedsule6501 5 лет назад
Abdii Osman
@ahmedsule6501
@ahmedsule6501 5 лет назад
Abdii Osman
@mamujuma3156
@mamujuma3156 6 лет назад
Kumbe Huyu kiswabi yuko vizuri hivi
@OmarOmar-sx3fp
@OmarOmar-sx3fp 4 года назад
Unaona eeee
@omaribabu4962
@omaribabu4962 4 месяца назад
Hongera❤
@user-jn5gr7ik8s
@user-jn5gr7ik8s 7 месяцев назад
😅😅😅 uyo kiswabi anavocheza😂😂😂
@calimahad9274
@calimahad9274 6 лет назад
Ilipendeza sana kabla ya hawa mabarobaro kupanda jukwaani. Wameharibu kila kitu. Katafuteni kazi vifua vikubwa wacheni kuharibu harusi za watu. Hilo jukwaa lilikua libakie na muimbaji tu.
@mwanatumumwaboza7801
@mwanatumumwaboza7801 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@buthainatommar954
@buthainatommar954 6 лет назад
hongera mwiny uko vizur kwa nashid
@mayasakhatibhaji8598
@mayasakhatibhaji8598 2 года назад
I love you mwinyi unasauti nzuri mno
@halimaali1157
@halimaali1157 6 лет назад
so amaizing. nimeikubali sanaa hongera mwinyi wetu...
@suluissa8697
@suluissa8697 6 лет назад
Mwinyi mpeku kweli wew ni msaniii uliekamilika.hongera
@halimhafidh3355
@halimhafidh3355 5 лет назад
Sulu Issa teynaaaa
@halimhafidh3355
@halimhafidh3355 5 лет назад
Chezea kachar weyeeee unamuez sul issa
@halimhafidh3355
@halimhafidh3355 5 лет назад
Sorry kumb mwiny
@azzahssn3624
@azzahssn3624 5 лет назад
Apana,utunzi wa maulid juma.msanii wakweli haigi nyimbo za wenzake
@amandaantonio5893
@amandaantonio5893 4 года назад
Mashallah waniounga kaka mwinyi,gingers iko juuuuu👍👍👍
@hilwahalawa6605
@hilwahalawa6605 6 лет назад
Hongera sana...umeweza kuchukua mashairi ya mzee wetu #Maulid Juma from +254....big up
@hajiali6097
@hajiali6097 5 лет назад
Hilwa Halawa .
@Rastamuslim
@Rastamuslim 6 лет назад
home sweaty home BIG UP wanangu WA PBA
@yassinsaid5346
@yassinsaid5346 5 лет назад
Assalam aleikum.ndugu zangu waislamu hayo sio mfundisho ya Quran na sunnah ya mtume MUHAMMAD S.A.W. harusi za waislamu hazifai kuwa sawa na za wasiokuwa waislamu.shukran
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 года назад
Usiufanye uislamu mgumu kiasi chicho. Uslamu haujakataza kuwa msifurahi mkaimba kwenye harusi au sherehe zenu. Cha muhimu musiimbe maneno machafu tu. Na hao wanaimba ni wanaume hivyo hakuna ubaya wowote waache waonyeshe furaha zao. Kitu kizuri hao wanaimba maneno mazuri na wala hawachezi kihuni na wala hawachanganyiki wanawake na wanaume. Nadhani sio kosa. Kama una dalili kuwa hairuhusiki kuwaimbia maharusi wako mashairi mazuri basi labda utupe.
@omaryrashidi7023
@omaryrashidi7023 2 года назад
QASWIDA. QAYYAM👋👋👋👋
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 лет назад
Hongera mzee mwinyi
@msramadhan2810
@msramadhan2810 6 лет назад
maa shaa Allah mwinyi mpeku upo vizuri hadi natamani kuolewa pemba
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 4 года назад
Nipo hapa, tupia namba yako
@howardally8330
@howardally8330 6 лет назад
Dah mashaallah mwinyi kweli we unakipaji kikubwa sana tena sana
@fatmamohamedussi3014
@fatmamohamedussi3014 3 года назад
muktadha wakisanaa umejitahidi,na hata kusudio la kisanaa ila akitumia urari wa vina na mizani ktk nyimbo zitapendeza zaidi
@nguzzorajab6380
@nguzzorajab6380 6 лет назад
Love the song. Hao vijana wameaharibu video.
@khadijashoo8970
@khadijashoo8970 4 года назад
Babu maulidi juma hoyeee umeipatia lkn sikama mwenyewe mzee wetu maulidi kutoka mombasa
@rayambarouk9972
@rayambarouk9972 3 года назад
Dongo unajua kucheza mashaallah
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 4 года назад
Nyimbo yetu ya Kenya hii
@charoharrison219
@charoharrison219 11 месяцев назад
Maulidi juma to the world
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 года назад
Heart touching really
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 6 лет назад
Othman kondo nakuona kakaangu chini apo huna wasi fanya ule mchezo wetu umeishia vp binti kipofu mzee msisiri tunataka uendelee part 3
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 4 года назад
Wapi kachars
@neilahomar2307
@neilahomar2307 6 лет назад
Heee babu yangu ba mwinyi naupenda wimbo wako
@tunjewehu9857
@tunjewehu9857 6 лет назад
Neilah Omar wimbo wa Mjomba maulidi juma kilifi Kenya zamani tu sana alipokuja akiimba vry educated one
@AmadKAly-gs8or
@AmadKAly-gs8or 4 года назад
Hujuwi jambo unatiya watu koyaaaaaa
@alirajab3882
@alirajab3882 6 лет назад
Maasha allah ,hongera sana nimekukubali ,heshima kwako
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 лет назад
Zanzibar is so beautiful God bless my country
@ipmalu9947
@ipmalu9947 6 лет назад
Black Son Ismael Yes Zanzibar is beautiful but some people want destroy it
@ebrahimabed1833
@ebrahimabed1833 6 лет назад
Black Son Ismael + you're right I agree with you zanzibar is beautiful island & the origin people of the island are very nice & very kind is start bring a lot of tourists their witch can help & benefits the people of the island .but their is other people who start coming from other places Maite spoiled god bless zanzibar.
@ebrahimabed1833
@ebrahimabed1833 6 лет назад
YUSSUF MAKAME + I visited the island few time the first time was 20 years ago & the last time is one year ago I.find alot of change & development you just take care of the place from stranger who can chase the tourist god bless zanzibar
@ebrahimabed1833
@ebrahimabed1833 6 лет назад
YUSSUF MAKAME + the native people of zanzibar are very nice let's pray for the island to reamin.a.peace full place witch can bring prosperity to the people
@gaonechinago3493
@gaonechinago3493 6 лет назад
Black Son Ismael wallah I wish one day to meet your country coz mwapenda dini MashaaAllah watu ukumbini wote wamejihifadhi vizur
@monamo5244
@monamo5244 5 лет назад
MashaAllahuu umewexea maulidi juma babu hongera saana.
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 4 года назад
Hongera meye mpeku wewe unaweza kuimba hata nyimbo za juma bhalo hapa malindi kenya hakuna atakaye kuweza mashalla swoti yako mimi hamza nime kupasisha 100 kwa 100
@a.856
@a.856 6 лет назад
Wow very nice mwinyi mpeku
@fatmafatma550
@fatmafatma550 5 лет назад
Mashaallah voice
@raudhatrashid5173
@raudhatrashid5173 6 лет назад
Mashallaah mwinyi mpeku had raha
@fixyourself2108
@fixyourself2108 3 года назад
Mwinyi mpeku amefanya cover ya the original song wa Maulidi Juma- mume ni moshi wa koko
@mamalukman5984
@mamalukman5984 4 года назад
kaeni musikizane mahasidi muwashinde zanzibar
@rayambaruku6864
@rayambaruku6864 5 лет назад
Hongera mwinyi mpek umetufunza mashashallah
@mariyammohd4442
@mariyammohd4442 6 лет назад
Hongera dinyo mungu akufanyie wepes kwa kila jambo kwa hatua hii adhim uliyo fikia mdogo wangu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Kumbe Huku pia Wapatikana Mzee Mwinyi Mpeku Hongera sana.,Maneno Mazuri.
@omarjuma2988
@omarjuma2988 4 года назад
Masha allah good san
@raysalalmandhary1713
@raysalalmandhary1713 6 лет назад
Hongera sana Dinyo kwa kufunga ndoa, Allah awadumishe kwa wema katika ndoa yenu. Mwinyi uko vizur sana, Kiswabi na Kitatange nawakubali sana
@rabiahaji
@rabiahaji Год назад
Mwinyi mpekuu pambee mash Allah 😂😂 anaimb kasidaa
@ruweidahabbass7085
@ruweidahabbass7085 4 года назад
Mashallah what song👌👌👌👌
@okellozahara6340
@okellozahara6340 7 месяцев назад
Kumbe mwinyi mpeku miguu yake hiko sawa
@leeafricanfashionanddesign7153
@leeafricanfashionanddesign7153 Месяц назад
😂😂😂nimeipendq hiii
@youngtwite7580
@youngtwite7580 5 лет назад
wanangu wote wa Pemba natak like hap
@maalimsuleiman8076
@maalimsuleiman8076 5 лет назад
maulidi juma mume ni moshi wa koko mombasa oyee
@MaryamJumaOmar-ps4lh
@MaryamJumaOmar-ps4lh 7 месяцев назад
Hongera sana kumbe unaweza
@anwarsaid9579
@anwarsaid9579 2 года назад
Nyimbo ya mzee maulid juma mombasa sio ya wazanzibar
@yuk2012
@yuk2012 6 лет назад
Kiswabi weeèe ckujua vo 😀😁😂
@mariammganga796
@mariammganga796 6 лет назад
Mashallah Zanzibar
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 лет назад
Sawa mwinyi umeonekana uwezo wako ktk Sanaa
@halimajuma5515
@halimajuma5515 6 лет назад
mbavu zangu mieeeee😂😂😂😂 shkamoo mwinyi mpeku
@ramadhanijuma9276
@ramadhanijuma9276 4 года назад
Saluti mwinyi una mfano
@khadijahussen2763
@khadijahussen2763 6 лет назад
Mashaallah Yani nimeipenda bure😘😘😘😘😘
@friesinger0963
@friesinger0963 6 лет назад
Hhaahhahaahahahah Hongeraaa sana mzeee Dinyoo kwa kuchukuwa jiko
@imansaid8020
@imansaid8020 5 лет назад
heee kumbe hii nyimbo kaimba mwinyi mpeku, maaashaaallah
@sankofaman4112
@sankofaman4112 2 года назад
Huu wimbo ni wa Maulidi Juma wa mombasa
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 лет назад
Kithathange Leo smart mashallah
@khadijerbakari5399
@khadijerbakari5399 4 года назад
Oyooooo raha mpaka basi🔥🔥
@zuenasalim7136
@zuenasalim7136 6 лет назад
Mashalah mabruk
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 лет назад
Dah jaman safii saanaaa
@fatmasalum4893
@fatmasalum4893 4 года назад
Mashallah
@mwakajemngumi8436
@mwakajemngumi8436 2 года назад
Maneno mazito hayo,mashaallah
@salimbahlewa4475
@salimbahlewa4475 5 лет назад
Song by Maulidi Juma from Mombasa. Mombasa pia kuna magwiji wa lugha ya kiswahili.
@yuk2012
@yuk2012 6 лет назад
Akaaaa kiswabi kanaonekwa kumbe yupo😃😃😃😃😃😃😃
@nasranassor2333
@nasranassor2333 4 года назад
Umenikumbusha maulidi juma mwinyi wee
@user-qm6si4kz8i
@user-qm6si4kz8i 6 лет назад
Aisee iko poa sana...Hongera sana Dinho kwa hatua mpya katika maisha yako
@saidbakaly5362
@saidbakaly5362 6 лет назад
Abdullah Haroub mzee mwinyi hongera sana shikamo saluti
@saidbakaly5362
@saidbakaly5362 6 лет назад
Abdullah Haroub bg
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 6 лет назад
upo vzr mwiny
@omarkhalfan3643
@omarkhalfan3643 6 лет назад
Na kukubali mzee wa nyumban
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 лет назад
Jamani kithathange mbn kajificha, na mmke nae yuapi jamani wanipunga leo
@mustafasalum2778
@mustafasalum2778 6 лет назад
Aiseeeee big up saaaaanaaa tu
@muhammedomar3169
@muhammedomar3169 6 лет назад
asante mzee mwny tumeikubali kaz yako
@mwanatumuhassan3414
@mwanatumuhassan3414 5 лет назад
Ma shaa Allah sauti kuntu
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 5 лет назад
Qadiria kwann mwinyi munamuacha kwenye kasida kiungo
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
Leo tumekupa nke kipemba hatukiach milele
@aswamsumohd5863
@aswamsumohd5863 4 года назад
sasa tutaachaje lugha yetu na kuiga za watu wakat wenywe tunajikubali
@khadaynafoum1846
@khadaynafoum1846 6 лет назад
mwinyi peku pekula ungoooooo
@abrazakmbarouk6152
@abrazakmbarouk6152 6 лет назад
Nauliza kitatange Yake Lini ?😂😂😂😂😂 Mzee wangu Mwinyi Mpeku uje umuimbie Na Kitatange Hahahahahahahahahahaha Wallah Nimeipend Nyimbo Hongereni Sana
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 лет назад
Mashallah kheir
@fatssshizos5943
@fatssshizos5943 6 лет назад
Mashallah mashallahuù mungu akubariki
@mashallahoman6355
@mashallahoman6355 6 лет назад
mashallah mashallah allaha akubaliqi
@JufeFilmCompany
@JufeFilmCompany 6 лет назад
Tafadhali subscribe na ubonyeze alama ya kengele (notification) ili uwe wa kwanza kupata video zetu
@omarbakar6328
@omarbakar6328 6 лет назад
Jufe Film Production
@wazanzibarwanakuotakikwete9424
ramazani njema maaruus
@aishachambo3293
@aishachambo3293 6 лет назад
Jufe Film Production Tuwekeeni filamu jaman
@friesinger0963
@friesinger0963 6 лет назад
Haaa mmmahaluwa wa wete uyuu ??
@famionlineapdates9371
@famionlineapdates9371 6 лет назад
Jufe Film Production Pamoja sana
@fatumamohammed9101
@fatumamohammed9101 6 лет назад
ma shaa Allah
@binallyali9611
@binallyali9611 4 года назад
Upo vizuri bb
@mariammganga6607
@mariammganga6607 4 года назад
Mashallh 💞🙏👌😘
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 5 лет назад
Wow........ It's very nice....
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 лет назад
Jamani sichoki kuingalia sababu ya kithathange... Na bbke
@gojerojumaa5839
@gojerojumaa5839 4 года назад
Hatari sana mwinyi
@user-em4ov5uh9p
@user-em4ov5uh9p 6 лет назад
Chezea Zanzibar utalalahoi
@hajimatak5082
@hajimatak5082 5 лет назад
نصرى عبدالله gsgdfhgdd
@abdularteta500
@abdularteta500 6 лет назад
Mke ni moshi wa koko usipowaka hufuka
@zainabissa7851
@zainabissa7851 3 года назад
Kumbe kiswabii mzimaa mm nasema madendeee kweli voo🤣🤣🤣🤣
@ayeshasaleh6732
@ayeshasaleh6732 6 лет назад
mashallah hadi raha
@fatmakombo8632
@fatmakombo8632 4 года назад
I lyk it 😘😘
@aishakhamis2313
@aishakhamis2313 6 лет назад
Dash!! Mwinyi bhana unatisha.
@khamispcali8099
@khamispcali8099 6 лет назад
1109
@suadabdulla5229
@suadabdulla5229 3 года назад
Waooo
Далее
Mwimyi na Kachara_ Wamkosha Naibu Waziri wa Vijana
8:02
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 190 тыс.
Dongo/Makunde/Bi Kidecha/Goro_MUALIKO
6:04
Просмотров 133 тыс.
Kitatange awapagawisha watu wa Wete Pemba
9:50
Просмотров 49 тыс.
Mahege Ngozi ft Kaynakshi_NIMROGE (OFFICIAL VIDEO)
3:59
JINA LA MTOTO _ Kachara/Naomba/Kigwaru
13:59
Просмотров 129 тыс.