Тёмный
No video :(

MOTRA THE FUTURE amchana WAKAZI kuwa NI MUOGA/"KHALIGRAPH AMEIKUBALI NGOMA YANGU"/"NILITAKA KUJIUA". 

Rick Media
Подписаться 872 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Baada ya kuachia DissTrack kali maalumu kwaajili ya 'Kaligraph Jones' inayozungumziwa sana mtandaoni 'Motra The Future' ameweka wazi jinsi Wakazi alivyojaribu kumshawishi kutoachia Didd Track hiyo kutokana na woga wake,Kaligraph alivoikubali Diss Track hiyo,maisha yalivokuwa magumu mpaka akafikia hatua ya kufikiria kujiua.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@swedish_james
@swedish_james Год назад
Lakini Motra mi Kama mkenya 🇰🇪 nilikukubali kutokea zamani tu nna nyimbo zako zote kwa tenjee
@kennohg6152
@kennohg6152 Год назад
Motra elewa bro hiyo ilikua beef ya kibiashara don't take it personal bro am your fun to the fullest ngoma zako kali.... Hivyo ndio wakenya tulivyo, Much luv from malindi Kenya..... ARAP MOI IMEUA ILE MBAYA na naiskiza sana mwana
@user-fb7bv9ln8y
@user-fb7bv9ln8y Год назад
Moi jnr hiyo imeenda 🇰🇪
@lavoste007
@lavoste007 Год назад
Piga show Kenya tutaku support bro . Kuja Mombasa kutana na ukoo flani
@albertpike5893
@albertpike5893 11 месяцев назад
Mkitaka kusikika imbeni ngoma zenu na kiswahili but mkitaka kusikika ulimwenguni itabidi mrudi shule mkajifunze kiingereza as for the Kenyans we good and we ain't sorry for that . Tanzania's songs will remain loud in some parts of East Africa and nothing else. NO HARD FEELINGS
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Год назад
Montra we ni jasiri kinoma We ni mtu wa fact sana Ila mpe moja bro Wakazi hana mpango
@cavinjohn-9648
@cavinjohn-9648 Год назад
Salute my brother
@TonnyKimario-ii7ot
@TonnyKimario-ii7ot Год назад
Nakubali mbajo langu ujawaiii bonga ushamba ata kidogo kwxhaa mbajoo wew ndo hip hop na uyo wakaz akafany tu kazi wasaf mahan mtu anay fanya hip hop awez ogop kufany hip hop mung akuwek mkon mbajoo wew ndo unaibeb arush aaaaaa
@samuelmwatsuma4462
@samuelmwatsuma4462 Год назад
Kijana uko vizuri... respect the OG
@angelangombalu8609
@angelangombalu8609 Год назад
Brave man
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 Год назад
Wakazi sio mwana hip hop… mjinga yule.. big up Babako.. umetisha sana babu
@shotbyregaaTV
@shotbyregaaTV 9 месяцев назад
A town ni A list for sure
@pekelemilele5331
@pekelemilele5331 Год назад
Sikua namjua but shuot out motra ..iliweza OG ni OG
@albertpike5893
@albertpike5893 11 месяцев назад
Khaligraph Jones Ni sawa na 20 tz rappers bro this is the game of entertainment don't take it personally but the fact will remain OG MUST BE RESPECTED. Have listen to some of your tracks uko vizuri but you have no match with KHALIGRAPH JONES THIS DUDE IS A BEAST
@lukeabiero879
@lukeabiero879 Год назад
Motra usibadilike. Maintain miko ya hiphop
@erickbwai4123
@erickbwai4123 Год назад
Bado kwa og hufiki hata robo
@abulhamidjuma3617
@abulhamidjuma3617 Год назад
OG these dudes ni mkali aki .... please kama shabiki fanya ngoma na uyu jamaa
@benardmbithi6341
@benardmbithi6341 Год назад
From Kenya. Uyu jamaa ni hatati. Sikua namjua lakini from iyo disstrack yake.... tutamfuata
@khamisyaa6927
@khamisyaa6927 Год назад
Respect OG sai tumekujua kenya
@tamimumzamilu2726
@tamimumzamilu2726 Год назад
Mawenge namkubli sema kawa matako kuogopa kutoa distrack.... Big up motra..... Arusha hakuna fala
@erickkagaruki4047
@erickkagaruki4047 Год назад
💥💥💥sema nn umeua kinoma, siku zote endelea kusimamia kweli
@andrewkitaly6003
@andrewkitaly6003 Год назад
presenter yupo vizuri anakitu
@franklinakiba7880
@franklinakiba7880 Год назад
Beef ndio Hip Hop culture Montra ..Hip hop bila beef hamna culture lazma nikutukane ndio ujulikane ndio sanaa ivume...umejipa spotlight Kenya ngoma yako ni kali mimi kama mkenya lamza nisubscribe chanel yako uko juu bro..
@alexnatembea6639
@alexnatembea6639 Год назад
💯
@jamesafrica4656
@jamesafrica4656 Год назад
🇹🇿 Motra ndo rapper mnoma sana ambae anaweza kutoboa kimaTaifa kwa wepesi sana cz anayo content sana kwenye kazi zake alfu mshapu na atuliza akili kwenye ajenda zake Tz this is bleesing
@djcleff3720
@djcleff3720 11 месяцев назад
motra kutoa diss imefanya nikujue wachana na wakazi amezungua
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Год назад
Motra nimekujua, hekma uko nayo sana
@capitalshymes
@capitalshymes Год назад
sai nikubaya sanaa but wakazi sio mwana hihop kabisa
@westcijosh
@westcijosh Год назад
Wakazi aspo angalia stress ztamuua
@kelvinkevoo4541
@kelvinkevoo4541 Год назад
Babako xi mamb mbaya
Далее
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 89 тыс.
Mkasi | S11E04 With Wakazi - Extended Version
55:50
Просмотров 14 тыс.