MOYO MTAKATIFU ni wimbo utunzi wa Njoolai Laizer Ulioimbwa na kwaya ya Mt. Gregory Mkuu ya Parokia ya Mt.Gaspar Del Bufalo-Kigango cha Mt. Isidori Mkulima Dodoma-Makulu. Wimbo huu umeandaliwa Maalum kwa ajili ya Vyama vya Moyo mtakatifu wa Yesu Tanzania.
Karibu uweze kubarikiwa kwa kuutazama wimbo huu.
Audio by BLUE STAR RECORDS
Video by BLESSING STUDIOS
CONTACT US:
0655 601 513
0759 601 513
TUNAPATIKANA DODOMA-MAKULU
#kwayakatoliki #jesus #song #kwaya#moyo
12 окт 2019