Kweli hongera sana kwa Bernard Mukasa . Hiki ni kipawa, Mungu akulinde uzidi kuandika nyimbo nyingi. Tunabarikiwa Nazo,tunainuliwa, tunafurahishwa, na tunaelekezwa na nyimbo zako. Hongera kwa kwaya hii, mmeimba kwa mpango na na hisia kamili zinazoandamana na wimbo huu....vyombo pia zimepangika sawasawa....Keep it up.
Mahangaiko yakizidi unanifariji, moyo wangu ukielemewa wanifurahisha.... pongezi 👏👏 mtunzi Bernard Mukasa, pia wanakwaya Mt. Theresia wa Avila, Uyole - Mbeya, na wote walioshiriki kwa namna mbali mbali kufanikisha kutuletea ujumbe huu mubarikiwe sana. Wimbo unanitafakarisha kuujua upendo wa Mungu.
Wimbo usio isha hamu ya kuusikiliza mtunzi katenda haki kama wimbo wa yesu ni mwema Bernard Mungu akubariki na ukujaalie uwezo zaidi wa kuendelea kuwa mtunzi wa sala kwa njia ya nyimbo
Mahangaiko yakizidi unanifariji ,moyo wangu ukielemewa wanifurahisha hata ninapoteleza wewe Mwenyezi Mungu hautanitelekeza wala hauniachi ndio mana nakuhitaji kila wakati........EE MUNGU tuliza moyo wangu....BARIKIWA sana kwa wimbo MUNGU azidi kuwatia nguvu katika utume wenu
Hongera Sana Kwaya Ya Avila Uyole Mbeya Wimbo Mzuri Umeibwa Kwa Uzuri, Vyombo Vimepangwa Na Kupangika Vimepigwa Kwa Utamu Woteeee HT Mmenitekaaaaaa Mutongole Agiza Pepsi Kokote Nnakuja Kulipa
Binafsi napenda niseme ukweli, ninaposiliza ubarikio huu, matatizo, mawazo and of course mahangahiko yangu as the song says, maisha yangu hubadirika kabisa. Sauti, vinanda, na kila kitu ndani ya huu wimbo hudhihirisha kabisa imani ya kanisa takatifu katoliki. You always know -- and say -- exactly what I need to hear when I need to hear it