Nimerudi kusikiliza tena huu wimbo mwaka huu 2024 hakika unatia moyo sana kuendelea mbele na Bwana Yesu ni mwema sana katika mapito yote Tunayo pitia hapa duniani
I like this song. It was once one of my best songs while I was in primary school, now am almost finishing my varsity but it still blesses me. Mungu akubariki mama Jenifa. 🇰🇪
Nukuri Jennifer uwutomukunda kundirimbo ziwe ntamunezero yobayaravukanye,kutoka Burundi by shaduraka yaani kiukweli MDA mlefu nasikiliza nyimbo zako jenni, balaka zamungu ziwe kalibu n'a wewe
Mungu azidi kukubaliki dada yangu, asante kwa nyimbo zako zinanitiya nguvu sana tena sana. Ombi langu ni kwamba uendelee kwenye uokovu na uendelee kuubili katika nyimbo zako
Working here in saudi arabia as a domestic worker it's hasn't been easy vumilia moyo playing this song every morning it's make me feel relieve and strong hoping tommorow is going to be better..
A song that addresses the mind not the brain.I feel blessed after passing through thick and thin as I strive to make both ends meet.From Bungoma county,Kenya.