Maisha haya jamani! Bahati alikuwa mwembamba kweli kipindi hicho. Leo kawa bonge!! Mwenyezi Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Jennifer na Bahati ❤.
Tellement agréable, soyez brutalement bénis grâce à l'œuvre de Dieu que vous accomplissez. Et l'honneur , la gloire et puissance soient rendues à Dieu!!
Daaaaaa enzi hizo kipindi tunavaa mabwanga saivi sasa mwendo wa modo haijalish baba mchungaj wala mtoto mchungaj au mwimbaji ni modo tu aise kweli utandawaz una mengi