Mawasiliano: JUGO MEDIA, Sokoine Drive, Posta P. O. BOX 34014, Dar es Salaam. For Bookings and other Enquiries Phone Number +255757560764/657790405 #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
Hongera za kipekee pia zimwendee huyo dada aliyeimba kibwagizo cha 'Bwana wangu fungua sikio lako sikia..ah...ooh.. fungua macho yako.. utazame ... niongoze bwana wangu... Big Up Sister, keep it up.
Enhe Mungu wangu naomba unisikie kilio changu natamani San kuimba kwaya Ila Sina uwezo, nafarijika sana kusikiliza kwaya hongera sana Wana kwaya maana kuimba ni Mara mbilii ya maombi , nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu👏👏
Huu mwimbo ni mzuri sana lakini ulipoimbwa sio mahala pake, hapa ni mahali pa sherehe zingeimbwa nyimbo za furaha kama mapambio sasa huu mwimbo ni wa huzuni sana ndio maana hata akina mama wanashindwa kucheza Kanisa la roma ni lazima lijifunze kwenda na wakati Nyimbo za huzuni zinapigwa kwenye sherehe?
TYK, tamaa ya moyo wangu ni kuona Wakristo woote tunaungana na kushinda maovu hapa duniani, tusiruhusu kwa namna yoyote Ile kufumbwa midomo ktk kutetea Haki, ili hata tunapomwimbia MUNGU nyimbo za sifa na maombi Yeye aione tafsiri halisi miyoyoni mwetu, Sifa na Utukufu zimwendee Yeye Pekee,....Asanteni kwa uinjilishaji.
What a nice song for such an occasion! The Burial Ceremonies of the President of the Third Phase Government of the Republic of Tanzania, His Excellency B. W. Mkapa.