Тёмный

Mpenzi wako hakuachi kama ukiyajua haya,..Darasa la bure. 

The XO
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 749 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 603   
@roseriakituku9750
@roseriakituku9750 5 лет назад
Asante kwa ushauri Nitajaribu kabiza kwa maneno n.a. vitendo. God bless me with a happy family,I Pray in Jesus Christ name.
@fatmawema572
@fatmawema572 3 года назад
Nampenda sana huyu mama anamafunzo mazuri ubarikiwe mama
@glorywalter6895
@glorywalter6895 5 лет назад
😂😂😂😂😂🤣🤣kama umemuelewe twende sawa
@elizabethelizabeth4369
@elizabethelizabeth4369 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥😜😜😜👌
@emmisalum2055
@emmisalum2055 5 лет назад
Duh nimecheka
@angelamarlow510
@angelamarlow510 4 года назад
Glory Walter mm Cjaelewa
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 4 года назад
😂😂😂😂😂
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
💃💃
@dorineoyako4800
@dorineoyako4800 5 лет назад
😂😂😂😂wa kulia unakula,wa kushoto unakula🙌🙌🙌🙌
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
😍💃💃
@davidnziku2492
@davidnziku2492 6 месяцев назад
Nimekubal sana
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 5 лет назад
Nitaufanyia kazi ujumbe wako Bibi,ila Waume wasikuizi mitihani,wakutawamfanyia yote ayo,, na bado hakuthamini Wala hakujali,Ndoa Ni mitihani xikuizi.mwenyez" Mungu a2hifadhi.
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 года назад
Kwakweli my
@AsendeAndre
@AsendeAndre 6 месяцев назад
Thank you very much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ asante sana mama tunayafanyia kazi ubarikiwe
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 5 лет назад
eti jangwani una pita pita 😀😀😀 I love u da ma hamisa natamani kipindi hiki mke wngu awe anakitazamaga maana kuna vitu vya nyongeza humu...mwarabu anasema ziada
@zainabumohammed8334
@zainabumohammed8334 5 лет назад
mama Angu Upo Sahihi But now Wanaume Wassaivi Ukiwafanyia Hivo Utaulizwa Kwani Vipi Unataka Kuniomba Nini Mbona Mbwembwe
@rithamdoe7272
@rithamdoe7272 5 лет назад
Hahhahhahahhaha mweh
@khaniphaayubu6174
@khaniphaayubu6174 5 лет назад
zainabu mohammed hahahahah Yani dadangu acha kabisa
@godblessanna7174
@godblessanna7174 5 лет назад
Hahahahahaha unaulizwa unashida gani
@happykasike8834
@happykasike8834 5 лет назад
Hahahaaha
@magreth7981
@magreth7981 4 года назад
☝️🤣🤣🏃‍♀️
@MwanaidyRashidy-i2k
@MwanaidyRashidy-i2k 3 месяца назад
Mungu akuweke nimekupenda bure ❤
@halimaomar8087
@halimaomar8087 2 года назад
Asante mama japokua cjaolewa ndio nakaribia kuolewa bac nimejifunza kitu asante sana
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 5 лет назад
Mama nimekuelewa jmn nakupenda Burr asante kwa somo kungwi wangu
@ednafiloteus5216
@ednafiloteus5216 5 лет назад
uwahiiiiiiiiii, mama unatufundisha mazuri tunayapenda kazi tunayafanyia ila kwa kweli hawa wanaume wa sasa uaminifu kwao ushapitwa na wakat kuchepuka kwao ndo kipaumbele Sijui hata wana nini uwiiiiiiiiii Mungu atuepushe tu STI'S
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 года назад
wanaume km 👉🐓Ata uwawekee mchere ktk Sinia Ili wasichepuwe namchanga lakini SAWA nabureee🙆lazimaaa Atataka aparure nachini Mweeee🙄wamenishinda tabia❌
@jacklinebenjamine3936
@jacklinebenjamine3936 Год назад
😅❤🎺mama asnteee😆
@SidiAm-wn4vb
@SidiAm-wn4vb Год назад
Mmmmmmhhhhh mama hayo n kweli ila Hawa ndugu zetu sio
@rahimaessa2552
@rahimaessa2552 Год назад
❤❤❤❤❤ Ahsante 👏 kipenzi Chang 🥰🥰🥰🥰
@abimelekifabian4047
@abimelekifabian4047 Год назад
​@@rahimaessa2552😮😊😊😅😅😅plol lkkkkkkkkkkkkokkklklopopn
@salomegeorge7027
@salomegeorge7027 5 лет назад
Mwanamme hata umkunie nazi .umalaya wao huishi duniani..hata umpikie mkate wa sinia..tabia zao zile zile
@bettinajohn4985
@bettinajohn4985 5 лет назад
Jamn mama wafundishe maan sikuiz wanawk wanatak px xio kufundwa
@mgendimussa7224
@mgendimussa7224 5 лет назад
Nyie ndo hamfanyi hayo matokeo yake mbayaona maisha magumu na ndoa mby
@japharymsumule6550
@japharymsumule6550 5 лет назад
Salome George mhh
@davidnziku2492
@davidnziku2492 6 месяцев назад
Kaa sio sio wote dada
@juliusmatilya4025
@juliusmatilya4025 5 лет назад
Hongera sana Mama, kweli mwanaume Dhahabu kwa huduma hiyo! VIVA MAMA
@lordbroly2642
@lordbroly2642 Год назад
😂😂😂😂
@rhinakiza
@rhinakiza 5 лет назад
Mashauri matamu kwa sisi abao atujaolewa😘
@Switielie
@Switielie 6 месяцев назад
Umeona eeeeeh
@Zubeda-zx7wt
@Zubeda-zx7wt 3 месяца назад
Kwr shaa apo kama unahakili utajifunza kitu from🇧🇮🇧🇮
@tommytyga4417
@tommytyga4417 5 лет назад
I love this kipindi naitwa Tommy Tyga... Salute Dada Tira
@sintasmarty4974
@sintasmarty4974 5 лет назад
Du tommy sasa ujuzi umeshaujua nitakufanyiaje
@tommytyga4417
@tommytyga4417 5 лет назад
@@sintasmarty4974 0688455787 it's MA no.
@majaliwamtemele4102
@majaliwamtemele4102 5 лет назад
Sio hawa wanawake watoto wa siku hizi maana unaweza ukawaoa woote na ukawaacha siku moja maana wao wanaume zao ni simu tu (smart phones) muda woote kwenye simu kujua umbea ya watu asiowajua wala kumjua tena walivyokuwa hawana adabu wanataka kukushirikisha na wewe kwa usiowajua.
@gloryavelin2583
@gloryavelin2583 5 лет назад
Majaliwa Mtemele kaka siyo wote wako hivyo
@chibochibz9917
@chibochibz9917 5 лет назад
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@moshiraelqady9513
@moshiraelqady9513 3 года назад
😂😂😂😂
@dorislema2465
@dorislema2465 4 месяца назад
Nyie wanaume mnajikutaga nani vile?mwanamke siyo mtumwa wako kama akikufanyia ivo na wew mfanyie ivo hakuna mtu ambae apendi raha
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 месяца назад
​@@dorislema2465😂😂😂😂😂😂
@sitatinaomi5942
@sitatinaomi5942 2 года назад
Mama nakuamini....tira hongera Kwa kumleta kwigi
@annahkimani344
@annahkimani344 4 года назад
Haaahhh kali hio,but you only do that kama ako na shilingi....akija mkono mtupu tuna angaliana tu😅😅
@brigitteyamungu3396
@brigitteyamungu3396 5 лет назад
Hahaahah😃😃😃 jamani nimecheka 😄😄 adi machoz yananitoka. Asante sana mama kwa mafunzo haya.
@Giveness-ce3hy
@Giveness-ce3hy 2 месяца назад
mama nimeipenda iyo
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Wallah Mama mumenifurahish 🙌😍👍👌
@vipvip-zv7xv
@vipvip-zv7xv Год назад
Shuqran jazzilah khery mungu akujalie umri ili uwez kutuelimisha inshallah..❤
@zeyanaali5746
@zeyanaali5746 5 лет назад
Nataka ukande ukikunja siku ya kuachwa ikifika unamwagwa tu 😂😂
@growrich2332
@growrich2332 5 лет назад
Shikamo dadaa
@mohamedkhamis1140
@mohamedkhamis1140 5 лет назад
Uyo dada mtangazaji nampenda sana sijui nitamuona wapi
@MtuSafi
@MtuSafi 5 лет назад
mohamed khamis clouds media ni department music clouds FM.
@yunicejames4263
@yunicejames4263 5 лет назад
Mmmh je wamezetu wanalud saa6 uck tunafanyaje kuondok asubuhi kam upo pamoj namim gonga like twend sawa
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 5 лет назад
Hahahhaha
@salomestanley323
@salomestanley323 10 месяцев назад
Tupo wengi kipenz
@leticiamwamwaja1866
@leticiamwamwaja1866 8 месяцев назад
Bora wew saa 6 mm saa 10
@stelaNyerere
@stelaNyerere 6 месяцев назад
🎉
@NajimachogogweNajimachogogwe
@NajimachogogweNajimachogogwe 4 месяца назад
amini kipenz
@hamidhamiyanji
@hamidhamiyanji 5 лет назад
Waschna wa oshe mume mgu mume akitoka viyatu atoke kazini bibi yuko kwa mamake sagapi socks zi tolewe
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 года назад
Wanawake wa sasa ni jeuri, wabishi, wajuaji, mapenzi hawayawezi, wanawaza pesa muda wote utawasikia kwa kauli zao, eti mwanaume hata umfanyie nini anatoka tu, huo wote ni ujinga wa kuongozwa na hofu ya kuachwa. Wajibikeni na mjiamini.
@JacklineAlistides
@JacklineAlistides 2 месяца назад
Kweli kabisaaaaa
@lazizerujanabose8802
@lazizerujanabose8802 4 года назад
Mafunzo yahuyu Mama poa ila tatizo wanake wasasa wamekua wanaume kwa tabia ,sababu wakorofu saana na kusingizia sherti za haki na kusema, na wawo wanahaki na sio slaves, na ndio Mana mapenzi leo shiida.
@FrançoiseByiringiro
@FrançoiseByiringiro 7 часов назад
Asante nashukuru saana
@elizabethzephania6057
@elizabethzephania6057 2 года назад
Aiseee!!!! Patamu hapo hongera mama Kwa mafunzo mazir 🌺
@SamilyLove-bt6qr
@SamilyLove-bt6qr Год назад
Wao
@rizikihasan2198
@rizikihasan2198 Год назад
Wow nimependa sana nakufatiliy sana namimi nikijaliwa ndoa ntafatish ushaul wako ❤mung akulinde
@HappyCrescentMoon-ws8vj
@HappyCrescentMoon-ws8vj 4 месяца назад
😅kumbe nina wezangu tunawo sikiliza halafu hatujaolewa
@aminachiziamina
@aminachiziamina 7 месяцев назад
Asante sana mamake kwa usaha urii huoo
@furahamudende6316
@furahamudende6316 5 лет назад
Ahsante kwa maongezi,am learning
@shtatsalfa1668
@shtatsalfa1668 5 лет назад
Hahaaaa asante mamaaaa!! Nakupenda bureeeee
@wycliffendege7785
@wycliffendege7785 4 года назад
njoo kwetu kenya ujionee maajabu hivo mnavyo zungumza ni ndoto kwetu sie hatutambwi bora umwage uende ukabet
@hasnatimazigo3492
@hasnatimazigo3492 Год назад
Mafunzo mazuri sana hakuna group la watsap jmn ili kupata hayo mafunzo zaidi
@thexoshowtira
@thexoshowtira Год назад
Mafunzo ni kuwasiliana na nyakqnga mwenyewe.ila huyu hayupogi tena
@rahmabenedicto6838
@rahmabenedicto6838 5 лет назад
Si kwawanaume wasasa hata ukifanya nn lazima litatoka tu
@juliethhenry2374
@juliethhenry2374 5 лет назад
Nilifanya yote mume anagubu
@joymasaki1657
@joymasaki1657 5 лет назад
Acha tuu kama wamerogwa wamevaa roho mbaya kama maibilisi utadhan amelazimishwa akuoe
@ibrahimamey3990
@ibrahimamey3990 5 лет назад
yafanyeni kweli muone atatoka mnasema tu
@jupiterbibi9630
@jupiterbibi9630 5 лет назад
Hata ukafanya nin kama hataki kuekwa at aenda tuu🙄🙄
@sophiashomari7896
@sophiashomari7896 5 лет назад
Yn
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 5 лет назад
Ahsante sana kwa mafunzo mazuri ya kiufundi 😘😘
@tunnaika
@tunnaika 5 лет назад
Si Mapenzi tena hayo ni bizness na politics 🤪😀😀😀
@hawamtonyole9682
@hawamtonyole9682 5 лет назад
haya
@reenvictoria
@reenvictoria 5 лет назад
Mama hayo mafunzo ni mazuri ila sio kwa karne hii kila mtu Yule busy kufanya kazi kupata chapaa hiyo muda kuosha miguu za kunuka hatuna,mijanaume yenyewe ya now days haina shukrani,hata upige acrobatic and be a porno star to him still litatoka tu kwenda kucheat.kwa kifupi mapenzi now days ni kama bongo flavor music siku mbili zimechuja..peee tusichoshane
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 лет назад
😀😀😀😀😀kweli kabisa zamani sio sai
@salomegeorge7027
@salomegeorge7027 5 лет назад
Hahahaha ha-ha aise I like yua point ...mme mmoja wanawake 20..na misuruali zafunguliwa zip na kila jangili
@fahmsaidi1010
@fahmsaidi1010 5 лет назад
Cyo kosa lako hujakutana tu na mwanaume ambaye anakupenda kiasi kwamba hata akiona wanawake wengine anawaona ni malaya tu! Au akawaona ni wabaya kwa jinsi anavyokupenda na wapo wengi sana ila kinachotokea ni bahat tu yakukutana nao
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 лет назад
Mh WW
@manasejames8404
@manasejames8404 5 лет назад
Sio wote
@cissegabriel3074
@cissegabriel3074 Год назад
Jambo dada umeonge maneno sahihi Mungu akujalie nauendelee
@halimanindi8055
@halimanindi8055 5 лет назад
Dada nakupenda na nitazidi kukupenda zaidi sijaingia kwenye ndoa lakin mashaaala
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 6 месяцев назад
Cha kwanza Mungu Sara na kazi ukikazana kumpetipeti mume bila kujua kuwa ndoa iliubwa bado kuachwa pamoja na hayo utaachwa
@agathanyaguthii8034
@agathanyaguthii8034 5 лет назад
Volume iko👌👌👌👌👌👌
@Ester-fp3pk
@Ester-fp3pk Год назад
Mhh mama ujakutana na wanaume wenye asila ata uwe wazi kias Gani jogoo hapand mtung, hata mfanyanye sio Hawa wanaume wa Sasa labda wazamani
@madamgrory8320
@madamgrory8320 5 лет назад
Wanao yaweza yaliyosemwa hapo nyosheni mikoko...utamaliza yote malipo atapokea mchepuko
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 5 лет назад
Kwani uongo
@jescamaro6226
@jescamaro6226 5 лет назад
Dada tira nakipenda sana kipindi chakoo... ❤❤
@kaksridi6403
@kaksridi6403 4 года назад
Mamisaaa wewe muhuni sanaaa but Naku hishimu sana mama nta mwambiya mkee wangu ajee umufunze
@HappyMathayo-t8n
@HappyMathayo-t8n 2 месяца назад
Haya mafunzo yananikosha Sana natamani Sana ndo angekuwa ananishauri Mimi Kila siku ubarikiwe mama
@luqmanmwinyi7953
@luqmanmwinyi7953 4 года назад
HAAHAAAHAAHAA haaaaa hee Mhh huyu kweli Mamamisaaa
@kaksridi6403
@kaksridi6403 4 года назад
Maximum respect mamisaaa ndo kwamana na hishimu sana mwanamkeee
@aminatradjabu6392
@aminatradjabu6392 5 лет назад
Mubarikiwe ila ungeongeza sauti kuna baadhi yamaneno hayaskilizikani wamama wanguvu
@sitihassan9439
@sitihassan9439 4 года назад
🤣🤣🤣🤣 Hongera sn bb kama namuona kungwi wng
@farhatsuleymaan5625
@farhatsuleymaan5625 5 лет назад
Kwa ninachokiamini mimi "Hakuna mkate mgumu mbele ya supu" Sasa dadazangu tusilamu tu wanaume wa karne hii Je sisi wanawake wa karne hii je? Mi naamini kila kitu kinawezekana wanawake tubadili mienendo yetu.... Nawatakia kila la kheri wanandoa Sio wapenzi maana wanandoa ndio wanapendana wapenzi tunadanganyana
@ridiamwainunualsee7495
@ridiamwainunualsee7495 4 года назад
Farhat Suleymaan Nimekukubali mpenzi
@khadijaidd7514
@khadijaidd7514 4 года назад
Shida kubwa wanaume wengi hawakufunzwa
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 года назад
@@khadijaidd7514 ndio my saaa iv twahara wanakatwa hosptal atafunzwa saa ngap
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 года назад
Na hawawekwi jandon
@gloryjane4147
@gloryjane4147 5 лет назад
Nan kasikia chama kikongwe gonga like twende sawa😂😂😂👆
@na0m1fes51
@na0m1fes51 5 лет назад
jane mbwilo 😂😂😂
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 6 месяцев назад
Haaaaaaaha asante mama nakupenda mnooo❤
@monicaalute1777
@monicaalute1777 5 лет назад
Chama chetu cha mapinduziiiiii.....aisee bibi umenipa somo
@SbahHiai
@SbahHiai 4 месяца назад
Nimependa sana mafunzo❤❤❤❤❤❤❤❤
@malaika4158
@malaika4158 5 лет назад
Hii pia imepitwa na wakati mum. sasa ni pamoja 00254 hatuwezi make hahaha lakini heshima kwako mama.
@jemimahtopista9434
@jemimahtopista9434 5 лет назад
😂 ndoto
@samwelmagodi753
@samwelmagodi753 2 года назад
😄😄😄😄 Kuna wanaume vichwa mama wewe hata ubaki uchi kama umenivuluga nakuvuruga kweli
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Год назад
😅😅😅😅
@bshrkkz
@bshrkkz 2 года назад
Wow 👍👍👍👍👍 vp
@mulhatjamal6678
@mulhatjamal6678 5 лет назад
Sadkta ...nmefurahi kwamawaidha mazuri...ahsanthum
@FlorenceKenaz
@FlorenceKenaz 6 месяцев назад
Mashalaaa ww m bomba san mam nmejifunza
@missjudytuwei3900
@missjudytuwei3900 5 лет назад
😄😄😄 you made my day
@jenipherclement2103
@jenipherclement2103 4 года назад
Uko vzr mama ahsante kwa maneno mazur
@lovenessmathew7170
@lovenessmathew7170 6 месяцев назад
Responsible man au mwanaume yeyote anapaswa kufanyiwa hivi 😂
@joycemdoye8555
@joycemdoye8555 2 года назад
Asante mama mahaba niuweee
@sarahdebaba2255
@sarahdebaba2255 5 лет назад
Asante mama mafunzo mazur sn
@lovemonjemonje5777
@lovemonjemonje5777 5 лет назад
Onyesha mzigo😂😂😂😂😂😂😂
@ndaganoanastazia2658
@ndaganoanastazia2658 5 лет назад
Hayo ni ya bongo tu... kwa huku mko wote kazini mwatafuta hela ...hayo kwa huku mwanaume ndie ananiandalia...😆😆😆😆
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Год назад
Something now...jmn mama unavituko wallah 😅😅😅😅
@fahmsaidi1010
@fahmsaidi1010 5 лет назад
Wanawake wa siku hiz hawaamin kama kuna wanaume wanawapenda na hawacheat kwenye mahusiano kabisa na hili ni tatzo sana ambalo linawafanyaga wanaume wacheat kwasababu tu yakutoaminika kwa mke wake au mpenz wake lakn wanawake wangekuwa wanaweka iman ya kuwaamin wanaume wao hata mwanaume mwenyewe akifanya hvyo roho yake itamsuta sana na kujutia
@airatkiyange3078
@airatkiyange3078 11 месяцев назад
❤❤asantee viva mam nakupenda sana mam
@Jc-wl6yf
@Jc-wl6yf 5 лет назад
Chama chetu cha mapinduzi🤣😂😅
@UpendoEmanuel-cu5zu
@UpendoEmanuel-cu5zu 6 месяцев назад
Asanten imepenyaaaa iyooooo
@rizikisamwel9904
@rizikisamwel9904 5 лет назад
Huyo mama yupo sawa
@hadijabashil2680
@hadijabashil2680 5 лет назад
Yupo sawa lkn wanaume was sikuhiz ukiwafanyia HIV si watasema umetumwa na mganga
@abdizuu7156
@abdizuu7156 5 лет назад
@@hadijabashil2680 hahaha
@ednafiloteus5216
@ednafiloteus5216 5 лет назад
Hadija Bashil Uwiiiiiiiiii n kweli shoga angu uyasemayo Jana tu Nimemwambia mme angu namfanyia bed bath akanijibu ndo namfunga ili asipendwe kwa wengine
@ednafiloteus5216
@ednafiloteus5216 5 лет назад
Hadija Bashil nmerudia tena kucheka Huhuhuhuhuhuh H😀😀😀😂😂😂😂
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Год назад
Sio kwa wanaume wa kibongo 😂
@cutemagemage4956
@cutemagemage4956 Год назад
Mhmh Sasa Hiyo kazi kwa walioolewa watafanya Mpaka lini na Bado hapo watoto wanakungoja 😢haya ni mafunzo mazuri kwa Wale wadangaji ama Ma slay Qween 😢😢
@sponsor7882
@sponsor7882 5 лет назад
SOMO ZURI KWA SLAY QUEENS
@CatherineUpendo
@CatherineUpendo 4 месяца назад
Ushauri mzuri tatizo wote wapambanaji hayo utayafanya saa ngapi
@thexoshowtira
@thexoshowtira 4 месяца назад
Inaweza ikawa Mara moja moja sio lazima kila siku
@annyrutty657
@annyrutty657 5 лет назад
😂😂😂 Chama chetu Cha Mapinduzi 😂😂😂
@SelestineBiyake-dg8nn
@SelestineBiyake-dg8nn Год назад
Mama Karne hii ya 23 hatuna wake wa hivo
@violetgeorge5521
@violetgeorge5521 Год назад
Kkkkkk ila mama nime kupenda Bure from malawi
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 5 лет назад
Nimewapenda kweli
@imeldabwire6628
@imeldabwire6628 5 лет назад
nimeelewa asante kungwi
@rajabusamsimba7150
@rajabusamsimba7150 5 лет назад
vzr san mam la mama
@djoharrylilidjoharrylili1500
@djoharrylilidjoharrylili1500 2 года назад
Asante mama yangu mieeee
@febroniamichu9046
@febroniamichu9046 5 лет назад
Ahahaa,hayo nahisi yalikua yazamn,wacku izi niziro tu..naumpate wakumfanyia hayo ,sasa mwanaume kukupigia cm au kukutumia msg nimala moja kwa mwezi,au akiwa nashida flan ndo anapiga kuuliza,hawezi kukumbuka kwamba huko nyuma nimemuacha mke wangu ngoja nimuandae mapema kwa vimeseji flan hivi vya mahaba,,sasa wewe hunifanyii hayo unafikili mi ntakufanyia.
@dativakyaruzi8769
@dativakyaruzi8769 5 лет назад
Hizo story niza kwenye kitchenparty tu,ureality haupo
@Kennedy-g6r
@Kennedy-g6r 2 месяца назад
Hongara mama kwa mafunzo
@lucyjoseph6017
@lucyjoseph6017 4 года назад
Ilikuwa rahisi kabla sijapata watoto, ila duuu saivi mtoto anafata kila kona mmmmh hahahaaaaa
@djrobie24
@djrobie24 5 лет назад
👀🔥hawajui visosi maslay queen aahahahhah #chama chao cha mapinduzi😇😇
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 3 года назад
Kungwi yupo vizuri 😂😂😂
@marymaomar7592
@marymaomar7592 5 лет назад
😂😂😂nakukubali
@jescajoseph3419
@jescajoseph3419 5 лет назад
ukute ana hasira zake kutoka kwa hawara ake..hilo teke au jicho utakalopigwa...hahahaaaa.....sio karne hii
@hijrakassim304
@hijrakassim304 2 года назад
Tuungieni group jmn❤❤
@nasrairunga7730
@nasrairunga7730 5 лет назад
Karneeeeee hiiii ht umnawishe kinyeo na ulimi ni kazi burrrreee😆😆🤦‍♂️
@charleskabuchu7632
@charleskabuchu7632 5 лет назад
Hahaha hapo kweli
@catherinematoke2559
@catherinematoke2559 5 лет назад
Utaanza kumkanda kwenda kwa vidole akuite mchawi 😂😂😂 wanaume wa hekaya hizi ni tofauti sana na enzi zako mama
@borashabani729
@borashabani729 5 лет назад
Cathy Kwamboka hahahaaa
@irinendubi5813
@irinendubi5813 5 лет назад
Asanteni sana
@emaemasy627
@emaemasy627 5 лет назад
unalifanyia hivo ukimariza tu anakwambia nakwenda mpilan huo mpila sasa utaisoma namba
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 5 лет назад
Hahahahaha ndo zao
@felicianadaud5938
@felicianadaud5938 5 лет назад
Ema Emasy umenifurahisha
@georgebundala4609
@georgebundala4609 4 года назад
Mwenzio yupo kitandani wewe unaangalia tamthilia kwa nini na yeye asiende kuangalia mpira!
@Laura-l6f
@Laura-l6f 2 месяца назад
Jaman na😂 mpenz lakin gafula yup biz naumia San
Далее
Maamisa chuma,
12:20
Просмотров 91 тыс.
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 389 тыс.
MKE NI MPISHI JIKONI NA MALAYA CHUMBANI
19:24
Просмотров 97 тыс.
KITOMBO KITAMU,,KUWA MALAYA KITANDANI
17:05
Просмотров 111 тыс.