Тёмный
No video :(

MR RIGHT MCHAFU | VIATU VIMEISHA | SIOWEZI KUWA NAE | BORA NIZEEKE HIVIHIVI | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 168 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 5 месяцев назад
Hao wadada wanataka mwanaume mzuri nq mwenye helaa,,,,wenye hela wako kawaidaa sanaaa like my man,,,tuache kudharau wanaumeee,,
@RandB_Channel
@RandB_Channel 5 месяцев назад
Eliza Eliza Eliza hadi unaleta kichefu chefu unazarawu watu sana njomana hawutapataga bwana utazehekeya apo apo mwana mke nitabia wako wanakuona kwenye mitandao kwamba tabiya yako sio nzuri kabisa . Ulipataga vija wanao jiweza wakakupenda lakini si uliwakataaga ww
@DorcasAmos-mv8cy
@DorcasAmos-mv8cy 5 месяцев назад
Atazeeka mara ngap?
@EmJesho
@EmJesho 5 месяцев назад
Eliza hana adabu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 5 месяцев назад
@@DorcasAmos-mv8cyyani kijana atakaye angukiya kwake atapata tabu sana
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 месяцев назад
Yani mimwanamke nimemchoka sijui Hao wanaume wanamuonaje
@issahpaul4510
@issahpaul4510 5 месяцев назад
Huyo Eliza hajaja kutafuta mwanaume hapo kaja kuuza sura tu....anapenda tu umaarufu
@hatmampya4642
@hatmampya4642 5 месяцев назад
Hawa ndugu zetu sasa sijui wanataka nin, kwan mavazi si unambadilisha mkiwa kwenu huko 😢😢
@user-su1nc3uy8j
@user-su1nc3uy8j 5 месяцев назад
Mbna huyo Eliza nmeanza kumuona Zaman na hapati mtu afu ana dharau nngekuwa mm hapo nngeshamnasa vibao kitambo
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BenArchard-yy6qf
@BenArchard-yy6qf 5 месяцев назад
Eliza ni kenge mjane tu😂💔 uyo kaja kua ribu kipindi swez mvumilia huyu bibi
@NetNuggets60
@NetNuggets60 2 месяца назад
😂😂😂
@NetNuggets60
@NetNuggets60 2 месяца назад
anaongea utumbo sana 😅
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 5 месяцев назад
Watu wenye kipato kikubwa wanaume hawawezi kuja hapo,wanakutana na wenza juu Kwa juu pia hawa wadada wanakutana na changamoto sana ya kujua mume sahihi ni yupi saa nyingine Ninavyoona kama huyo mangi yupo sawa ila muonekano na ukweli wake umemponza na wakati muonekano mtu anaweza kubadilika kutokana na mwanamke
@tawhidaabbasi8584
@tawhidaabbasi8584 5 месяцев назад
yani eliza unaboa unachefua kabisa ntamn uwe hup ww kma mzr up perfect mbn adi leo hujtok au upo ap unsbr kuchguliwa chefu kabisa
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 3 месяца назад
Hapo doctor unakazi kubwa sana na wakina eliza
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 5 месяцев назад
Hawa mabinti wanapenda kudanganywa sana kwa sababu mavaz ni kitu gani wanaume weng wataftaji hawapendi kuvaa San ila wanajua San kuvalisha wake zake
@happyyonahoutlook3081
@happyyonahoutlook3081 5 месяцев назад
Aaliya umependeza love
@janetdundul3858
@janetdundul3858 5 месяцев назад
Yani kwaza mwanaume anatakiwa asiwe msafi sana jamani wewe ndio unamfundisha mwezio yani sisi wanawake bwana tunakosaga mengi😢😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Kwanza anakashifa san huyo dada weipe niwake am wadukan aengekuw na rangi kam warangi angeringa
@MuslihYahya
@MuslihYahya 5 месяцев назад
Kenge mjane eliza kiburi kitakuponza hata ukitoka kwenye hio stage hapo bas pia ss tunaojielewa huwez tupata kenge wa rangi ya kijani ww
@sinomiles
@sinomiles 5 месяцев назад
Hao walembo wanakuja hapo kuuza sula ili waonekane tu kwahio show, easpecialy Eliza Amekataa Wanaume wengi hapo ana excuses nyingi, natamani mtuoneshe mwanaume wa Eliza alie mkubari. I always watching this show , some othe those Ladys came up there kuuza sula ili wajulikane., Wanaume sahihi wanawapita machoni mwao. It was Sino Miles all the way from Australia. Garab na team yeke mnatupa show nuzuri 👌👌👌👌👌
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 5 месяцев назад
Kweli
@StellaSanga-wq4po
@StellaSanga-wq4po 3 месяца назад
Kaka mzuri hivi wanamkataa
@user-gc8qo3qc1q
@user-gc8qo3qc1q 2 месяца назад
Jaman mwanaume anaweza kuwa na mapungufu yake Ila huyo mwanamke pia haha tulia
@kutailass6671
@kutailass6671 5 месяцев назад
Elizabeth hayuko kutafuta mume hapo😢 sema yupo tuu kujidhalilisha tu
@SarahKigogo
@SarahKigogo 2 месяца назад
Jamani Eliza jifunze kuw na heshima
@SabrSeleman
@SabrSeleman 5 месяцев назад
Mh Eliza huji kupata mume utachelewa sana mana we nimwehu hujielewi Tena hapo hujaenda kutafta mume umeenda kuuza sura tuu
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 3 месяца назад
Hao wanawake wanapenda wanaume wenye hela
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 3 месяца назад
Huyo Eliza bado yupo huyo atazekea kwenye hizo podiam
@EmmanuelLevi-cd3pq
@EmmanuelLevi-cd3pq 4 месяца назад
Eliza kazingua sana age go akatafute babu kizee anaweza kumuendesha kwa maneno yake ya karaha nimemshusha vyeo ana point hata kidogo jitu nzima hovyo😂😂😂😂😂
@Kakozi-pj6ib
@Kakozi-pj6ib 5 месяцев назад
Eliza anatafuta umaharufu kw show ya mr. Right " jama yuko simpo sana na kipato chake cha k7 kw mwez wee Eliza una dis viatu na kofia kwn ivo ndo enda kula ukiwa nae ???. Funga ilo domo lako dada angu ,,, wala ckuombeeeiii duah chafu but God is watching u 4 really "
@GiftAbduly
@GiftAbduly 5 месяцев назад
Huyu eliza wanampanga😅 maan ana ufala hasa
@mapenzi4813
@mapenzi4813 5 месяцев назад
Kwan mtakula viatubwatu wengine bwana si utamuoshea akikuoa na utamvalisha akae vizuri kama utakavyo
@VeroWayega
@VeroWayega 4 дня назад
Jaman huyu eliza mtoeni stejin atoke
@christainc.5217
@christainc.5217 5 месяцев назад
Kunawatu wanaweza kuja hapo naniwatajiri ira wanajifaa wamasikini sasa hakiri mbovu zawanawake wanashitukiya mwenye amevaa vizuri hizo sihakiri uyo eriza hanadabuu atagandiya hapo simumufukuze
@MiliamNeneka-us5ks
@MiliamNeneka-us5ks 5 месяцев назад
Eliz aondoke anaharibu kipind inaonekan... Km mnachez amuko series majaji mnamfunga
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 27 дней назад
Eliza hafsi Kabisa kua hapo aende kulala,unachsmbua watu kwani wew una kipi hasaaaaa!!!!?
@belnatha0685
@belnatha0685 5 месяцев назад
huyo eliza hajioni hayo mabaka yalomjaa mwilini miguu myembamba alafu anadharau mhh!!
@Styner356
@Styner356 5 месяцев назад
Hivi Eliza hajui km amechokwa au ndo kujitoa fahamu
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 месяцев назад
Huyu dada mbona hamumtowi anajikuta qeen au mbona anamadhalau sana
@gresramadhan
@gresramadhan 5 месяцев назад
Good idea, mmedamshi
@nancyg8664
@nancyg8664 5 месяцев назад
😂leo kitenge day mmependeza
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 5 месяцев назад
Never listen anything from a modern woman........ focus on with your life and good woman will find u there along
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 5 месяцев назад
Hahahaha mi nishasema jamn elizaa anakera na ana kichefu chefu flani unadharau wakak wawatu asa hapo umeenda kutaft nin we kama una hela c ujikalie hela zako acha upumbv wew utajiona mzurii wee utabak na uzuri wako kila mwanaume akija hapo hawez kuw na wew mana ashakuon mtandaoni wew tabia yako ucmdhalilishe mtu umtaki mwache atapata wakwake unaker sana we dem kenyew kabaya kama kabeji mbovu
@yusuphshitabo9813
@yusuphshitabo9813 5 месяцев назад
Siwez kulia kisa demu ase huyo chalii niaje
@SmilingCorgi-pr9bn
@SmilingCorgi-pr9bn 5 месяцев назад
😂😂😂wew ujawai kosaa thus why 😅
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 месяцев назад
DOCTOR KINGONGO KIMEKUCHOMOKA HIKO KITAMU ❤
@RoseNyasa-zi3fr
@RoseNyasa-zi3fr 2 месяца назад
Eliza yaani
@emmamilanzi7821
@emmamilanzi7821 5 месяцев назад
wewe dada mwanaume anaongeshwa anapendeza anafuliwa anakuwa msafi
@stellakatana3643
@stellakatana3643 5 месяцев назад
Huyu Eliza anatakaje kwa mfano sasa unataka mume wakuishi nae au unataka wakwenda nae fesheni? Ukiingia nae kwa ndoa kama mwanamke utamueka vzuli ww mwenyewe Eliza kama huko tayari kuolewa toka hapo umenichosha kujitia mjuaji na uko single ovyoo
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 5 месяцев назад
Mimi nadhani ELIZA ana shida sana kila mwanaume kwake ana shida labda akatengeneze wa kwake
@Mamie286
@Mamie286 5 месяцев назад
Tunako elekea Eliza atatoka hapo na kibogoyo
@EmmaMwanyika
@EmmaMwanyika 5 месяцев назад
Mi nafikir waliopo kwenye pod hz .. wale nao wanaukomo wa mda ...
@pendogasper7846
@pendogasper7846 5 месяцев назад
Yan uyo elza atamalza huu mwaka apo apo
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 5 месяцев назад
Eliza mumfukuzen mwigizaj tu huyo wa kitimutimu
@metrineomega1635
@metrineomega1635 5 месяцев назад
Eliza na zarish 😂😂😂 Yani ndio uzee ushawaingia chubwiii
@happynkya9770
@happynkya9770 5 месяцев назад
msipomtoa eliza hapo anaharibu kipind mno yaan anaboa
@JumaDezombie-cn3yu
@JumaDezombie-cn3yu 5 месяцев назад
Eliza ataondka Lin hyooo vngnevooo atafukuzwaaaaa
@sinomiles
@sinomiles 5 месяцев назад
Juma yes, swali Zuri sana👌
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 5 месяцев назад
Ila eliza wakati mwengine yuko sawa maana kuna wanaume wengine wanadanganya
@ammydaniel8947
@ammydaniel8947 5 месяцев назад
Jaman mmeona mavaz 😃wamepewa somo nn!!😊
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 5 месяцев назад
Viatu binafanya nini wewe Eliza acha kumudharau sisi tunaishi nje ya inchi nguo siyo kitu
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 5 месяцев назад
Mapenzi sio pesa bwana japo pesa inanafasi kubwa kwenye mapenzi, sasa navishangaa hivi vidada jaman
@Hapygideon
@Hapygideon 5 месяцев назад
Kwan huyo Eliza jamani tulishakaa kamati kuwa aondoke Sasa anasubiri Nini hapo,Hadi mnakera jamani anakashifu watu mbwa huyo yeye mwenyewe anajiona mtu katika watu takataka hilo
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 5 месяцев назад
Eliza kahaba 😂😂
@user-on8gx7qc2h
@user-on8gx7qc2h 5 месяцев назад
Yote tisa kumi Eliza kapendeza japo mdomo unamshusha tu
@ajuae-dh4jy
@ajuae-dh4jy 5 месяцев назад
Jamani mume mwema anatoka kwaMUNGU
@berndschneider372
@berndschneider372 5 месяцев назад
Eliza anakipato gani kwa mwezi ? ,maana Kila mahala yeye anaulizia kipato cha mwanaume
@jacobmelody
@jacobmelody 5 месяцев назад
Eliza mpaka leo yupo tu na sura yake ya kifashisti😂
@ericaheddy9796
@ericaheddy9796 5 месяцев назад
Eliza 😂😂😂 cyo poa atabaki kuzeeka bila mchumba ana changua sana kah
@peaceaggysimle7939
@peaceaggysimle7939 5 месяцев назад
Umeonaa
@user-ix9kq6ke2m
@user-ix9kq6ke2m 5 месяцев назад
Eliza ana kere sana
@Justinaombay
@Justinaombay 5 месяцев назад
Jamani Eliza atoke hapo. Atakuwa anadate na mtu hapo na amenogewa hataki kumuacha amkubali wake
@user-qo1xg1xg4g
@user-qo1xg1xg4g 5 месяцев назад
Mmmh huyu eliza ana mashauzi hatari... 😂😂
@danielstephano9723
@danielstephano9723 5 месяцев назад
Eeliza Unataka mme au unataka nguo nzur? Mbona kama bado una utoto mwingii unazingua vibaya mno
@bennylove6021
@bennylove6021 5 месяцев назад
Wachaga huwa wanatafuta sana hela hawa jamaa so poa
@user-oo8kg9qi3i
@user-oo8kg9qi3i 5 месяцев назад
Nmesoma naeee uyuuuu
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 5 месяцев назад
Kwahiyo eliza unataka mwenye hela awe anavaajeeee,,,
@user-hx4eh3cq1n
@user-hx4eh3cq1n 5 месяцев назад
Yaani hawa mabinti wanadharirisha wakati mwingine bora usiende huko yaaani
@neemalema8992
@neemalema8992 5 месяцев назад
Eliza bhana unaboa sana sana hata sipendagi upewe nafasi ya kuongea pia wadada kumpata mwanaume unayemtaka ni wewe kumtengeneza sio aje meahatengenezwa huyo atakuwa sio wako ni wa mtu pia kipindi hakinogi tusipopata couples bhana
@happyBrayt
@happyBrayt 5 месяцев назад
Eliza angeweza kuwa na kauli nzuri angekuwa ashaondoka mpeni ushauli jaman
@glorymanga3650
@glorymanga3650 5 месяцев назад
Heeeee elizaaaa kumbeee bado upoooo
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 5 месяцев назад
Hiv Eliza ungekua unalipa ungejianika kwenye runinga
@noellahgervas90
@noellahgervas90 5 месяцев назад
Eliza anavyoanzaga kama vile ana akili timamu
@jamilaseif3465
@jamilaseif3465 5 месяцев назад
Eliza akili hana hivi unajua kuna mtu anaweza kuvaa vizuri kumbe sio maisha yake niamevaa tu kuja kutafutia mwnamke wewe Eliza ni mshamba sana
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 5 месяцев назад
Zalishy ungejijua umeshakuwa mzee Wala usingekuwa una nyodoa hapo... Yaani aibu yako na limwili lako la ovyooo
@laurian27
@laurian27 5 месяцев назад
Huyu eleza hiyo ofc ni yake au? Hebu weken mwingne bhana huyo malay! Watu wanamchakaza kwa bu3
@gracerichard8145
@gracerichard8145 5 месяцев назад
Halafu hizo nguo ndo zinakuoa acha zarau Eliza msenge ww utazeekea hapo mbwa ww Yan Leo mpaka nimekutukana make nimekuchoka na upuuzi wako
@halidhemed7524
@halidhemed7524 3 месяца назад
Kama nakuona umeongea Kwa uchungu 😂
@user-tr5ld8sv8i
@user-tr5ld8sv8i 5 месяцев назад
yaan uyo eliza sura kama kisigino libayaa kama ninini
@lawrenciamkolwe796
@lawrenciamkolwe796 4 месяца назад
Huyu kaka anamtafuta mke mwema
@lameckjulius8946
@lameckjulius8946 5 месяцев назад
Atazeekea hapo na komwe lake ka upao wa mwiko
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 5 месяцев назад
Ellza anazingua sana
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 5 месяцев назад
Eliza ovyooo kuropoka utaishia kukaa hapo hapo bibi kizee ndo mana majaji wamekwambia ndo mana kuna muda hawakupi nafac y kuongea washakudhsrau
@user-pi1ff6lc3g
@user-pi1ff6lc3g 5 месяцев назад
Af mbona Eliza mbaya to
@managerokwese7882
@managerokwese7882 17 дней назад
uyo Eliza n wa ovyo kabisa
@HedielJohn-xo9ec
@HedielJohn-xo9ec 5 месяцев назад
Mubabaa
@BrightLewis
@BrightLewis 5 месяцев назад
Ila eliza 😂😂😂😂
@peaceaggysimle7939
@peaceaggysimle7939 5 месяцев назад
Eliza anazinguaaa
@user-rj4cd7oc4x
@user-rj4cd7oc4x 5 месяцев назад
Kidogo leo wamevaa nguo
@CosmasSengenge
@CosmasSengenge 5 месяцев назад
Eliza kwa kuchagua atazeekea apo mwishowe mnamtoa kwa MKOPO
@user-zy8th6ou4f
@user-zy8th6ou4f 5 месяцев назад
Eliza mmmhhh mnuko
@user-du5hc8we6p
@user-du5hc8we6p 5 месяцев назад
Eliza mjinga sana
@burtonmwanjela
@burtonmwanjela 5 месяцев назад
Elizaaa we elizaaa 😂😂😂😂
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Huyo dada mjinga san hawajui wachaga hawajui
@israeluronu9958
@israeluronu9958 5 месяцев назад
Eliza usisahau huyo ni mangi, yukotayari avae matambara alemlo mmoja lkn pesa anayoingiza nyoko ww huwezi amini,,, mjini watu wanaishi kwa hakili unaeza kupata wamuonekano na akawa mzigo kwako. Hujishangai umri huo hata hujaolewa buranda ww.
@sinomiles
@sinomiles 5 месяцев назад
Sio Eliza tu , kuna nawengine wasichana hapo wawili, yani kira show razıma tuwaone hawataki kutoka hapo .nawashauli watafute mwanaume sahihi, najua pesa zina umhimu ila Pesa zinatafutwa, Nimemaliza.
@leshyhaule
@leshyhaule 5 месяцев назад
Elizaa n kahabaa to huyuu hnaa lolote kahaba hyoo
@GodfreyAbdallah
@GodfreyAbdallah 5 месяцев назад
Hv kwanini huyuu Eliza msimuondoe jamaniiii tushamchokaaa
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 5 месяцев назад
Mkaka samahani kama nitakuwa nimekukosea, kwa umri wako wa 27 ni bado haujawa na maamuzi sahihi ungesubiri ufikishe 28 or 30. May be your there for needs of short term relationship.
@Tyughcdrbdt
@Tyughcdrbdt 5 месяцев назад
Elizaaa utachundaaa mpk mr right inaishaaaaa😏😏😏
@danielnkholoma3416
@danielnkholoma3416 5 месяцев назад
Uyu Eliza mimi simpendi ananikera yaani sijuwi
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un 5 месяцев назад
Watu wanajiskia sana hapo kwa show
Далее
Linkin Park: FROM ZERO (Livestream)
1:21:01
Просмотров 5 млн
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Просмотров 630 тыс.
Linkin Park: FROM ZERO (Livestream)
1:21:01
Просмотров 5 млн