Zaidi ya akina mama 140 ambao walikuwa wafugaji wamejitoza katika Kilimo Cha unyunyiziaji maji mashamba eneo la Natoot kilomita 15 kutoka Mjini Lodwar.
10 сен 2024