Тёмный

MRADI WA MKOMBOZI KUKOMBOA WAKULIMA 16,000 

National Irrigation Commission
Подписаться 287
Просмотров 96
50% 1

Zaidi ya wakulima 16,000 wa vijiji sita ikiwemo Itunundu, Boliboli pamoja na Pawaga vya tarafa ya Pawaga iliyopo wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa watanufaika na kilimo cha umwagiliaji mradi wa ujenzi skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi wenye thamani ya shilingi bilioni 55, ambapo jumla ya hekta 6,000 zitafaa kwa kilimo cha umwagiliaji.
Kufuatia utekelezaji wa mradi huo wakulima hao wameishukuru serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa kuwa utekelezaji wa mradi baada ya kukamilika utawasaidia wakulima kulima zaidi ya msimu mmoja na kuwa na kuwa na kilimo cha uhakika.
Kukamilika kwa mradi wa ujenzi skimu ya Mkombozi utaongeza uzalishaji na kwa kuongeza usalama wa chakula katika mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla pamoja na kuinua kipato cha wakulima.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Tufuatilie kupitia mitadao yetu ya kijamii
Instagram: www.instagram....
Facebook: www.facebook.c...
XTwitter: x.com/nirc_tz?...
LinkeInn: / tume-ya-taifa-ya-umwag...
_______________________________________________________________________
#01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #story #storybook #ikulumawasiliano #DktSamiaSuluhuHassan #Rais #agriculture #agranews #agranewstoday #agricultural #agronomia #agroecologie #agriculturelife #agriculturalmachinery #kilimoufugaji #agrieconomy #kilimo #trendingtanzania #ikuluzanzibar #ikulutanzania #ikulu #ccm #ccmtz #chamachamapinduzi #agrfilms #agrf2023 #cnbctv #cnbcnews #kbcchannel1 @TBC_Online @ikulutanzania5474 @globaltv_online @kilimotv1730 @millardayoTZA @uhondotv5210 @WatchTanzania @Channeltenonline @CLOUDSMEDIA @chamachamapinduzi-official2767 @CNBC @CNN @bbcswahili7924

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
SIRI YA KULIPA RENT NI MOJA! | MTUMISHI
8:19
Просмотров 3,7 тыс.
How India Is Failing Its Educated Youth
8:22
Просмотров 399 тыс.
KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho "SAA NANE"
6:59
Current affairs: how batteries will green the grid
23:43