Тёмный
No video :(

MREMBO ALIYE TEKWA AKIWA MAREKANI, WALINIPA MADAWA, ITAKUTOA MACHOZI ALICHOFANYIWA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 206   
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 5 дней назад
pole sana dea tuliowahi kupitia msongo wamawazo na matukio tunakuelewa Mungu yupo utaka sawa
@naimaabdu8012
@naimaabdu8012 8 месяцев назад
Wazazi; kuna umuhimu sana kufuatilia watoto wetu tunapowapeleka nje. Hela haziwachungi na wala haziwasimamii watoto.
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 8 месяцев назад
Anaonekana she's very smart ila ndio mitihani ya dunia! Pole sana
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 7 месяцев назад
Wapendwa tusimkandamize na maneno makali hayuko sawa kwa mapito alopitia(Chizi anachekesha akiwa sio ndugu yako)
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 9 дней назад
Kweli
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 9 дней назад
@@FaridaKaduguda kabisa coz Kuna watu wanamsemea vibaya na hawajamskiliza mwanzo mpk mwisho
@rendozrendo7804
@rendozrendo7804 8 месяцев назад
Pole sana mwanangu kwa mitihani ya maisha. Cha msingi yalipita na maisha yanaendelea tunakupenda
@KokuToroto
@KokuToroto 10 дней назад
Nakupogeza sana mwanagu na hongera sana kwa ujasili na Mungu ata kusimamia utakuwa sawa wewe ni mshisi😇💝💝💝💝💝💝💝💝💝🌷🌷🌷🌷
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 7 месяцев назад
Sjui hata nisemeje lakini napenda nikushauri to dadaa mrudie mungu amekutoa salama huko kwa makusudi kabisa,..Pole sana
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 8 месяцев назад
Hakika mateso uliyopitia katika mapito yako ni vigumu kulinganisha na ya mtu mwingine yeyote niliyowahi kushuhudia. Pole sana mama.
@P.15540
@P.15540 11 дней назад
😢😢😢 pole Sana,my sister, ulaya usiamini wafirika na warabu huku, WATU huwa wanafurahi, kuaribu maisha ya WATU 😢😢pole Sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 8 месяцев назад
Pole sana Leen Mungu bado anakupenda🙏🙏❤️
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 7 месяцев назад
Mungu wasaidie watoto wetu waepushe na vishawishi vya shetani
@hildegardchafwila5076
@hildegardchafwila5076 7 месяцев назад
Pole sàna Binti. Mungu aendelee kukulinda.
@RachelWangubo
@RachelWangubo 5 дней назад
Jamani watanzania tuna amani kubwa na pia tunawapenda Sana wageni,tunakaa nao Kwa amani Sana, lakini sisi tukienda nchi za watu tuwe makini pia kuto kujichanganya na watu wa huko
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 8 месяцев назад
Kwanza huyu nimuongo pili ni muuza kuma tu sema akijichanganya kwa wahuni eti wanatembea na mapanga wanakatakata watu tena hata police hawafanyi chochote mpumbavu kweli huyu ulaya majitu meusi yafanye usenge wa wazi wazi waachwe kupewa mkong'oto
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 8 месяцев назад
Hiyo ni paukwa pakawa 😅😅
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 8 месяцев назад
Hata mimi hapo sielewi.kweli ulaya nnchi za watu unatembea na mapanga panga??impossible
@Mina.15
@Mina.15 7 месяцев назад
Yes 😂😂😂😂 I live in US 🇺🇸 20 years my whole family members are here too. Police officers everywhere
@Mina.15
@Mina.15 7 месяцев назад
​@@happinessmosala2217nimuongo 😂😂😂 police officers everywhere here
@Hashkan22
@Hashkan22 7 месяцев назад
Umeonaa eeeeee
@user-kg7kt5gq1k
@user-kg7kt5gq1k 8 месяцев назад
Poolee sana dada
@WinWilly4162
@WinWilly4162 7 месяцев назад
Pole sana na Hongera kwa kuvuka hapo Duuh..MUNGU nj mwema
@GeorginaMvungi-d9l
@GeorginaMvungi-d9l 9 дней назад
Kuna watu mnatukana Humu lkin hamjui mtu kapitia nin ila binadamu majanga yaskie kwa mwenzio usiombe yakukute nyie 😢pole sana leen
@user-ic7qf8fl9x
@user-ic7qf8fl9x 9 дней назад
Pole sana dada historian Yako kama yakwangu kasoro madawa na kubakwa
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 8 месяцев назад
Pole sana bint umepitia mengi kuliko umri hata hvyo Una Mungu.ukiingia mikononi mwa hao watu kabisa
@janerosempeta5662
@janerosempeta5662 7 месяцев назад
Sasa jamani mwanetu kutoboa huko pua,mshavu ndo nini😂😂😂😂
@zephanialuangwaeliatosha9723
@zephanialuangwaeliatosha9723 17 дней назад
Hapo huko sirini hatuja jua ila vipini lazima havikosekani😂
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 8 месяцев назад
Ee mungu nakuomba niepushe na shetan wa kutomboa hivo mpaka mwili wangu unasisimka😢
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 8 месяцев назад
POLE SANA DADA! TATIZO LENU NYIE VIDADA MKIENDAGA HUKO MNAJICHETUA NA KUJIONA WAJANJA SANA HASA SISI VIAFRICA MATOKEO YAKE YANAKUWA MABAYA SANA TENA UNA BAHATI WENGINE WANAPOZA MAISHA KABISA
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 14 дней назад
yote umeyataka mwenyewe ndo mjue kutulia Katika nchi zenu ujinga kabisa unazungumza unafanyiwa yote hayo unaka kimya nenda police sehem zingine kama Hao police awakusaidi lolote
@antonywanjiru4971
@antonywanjiru4971 7 месяцев назад
Pongezi sana mtangazaji Lyn kwa kazi nzuri unayofanya.🎉
@madjidfine4295
@madjidfine4295 8 месяцев назад
😂😂😂 mtangazaji rudi shule Cyprus sio marekani ni bara Europe 😅😅 umesikia tu madawa ukacukulia marekani hukujuwa ata ncii alioongelea niipi kasome aca kudanganya watu 😂😂😂😂
@lettyswender7579
@lettyswender7579 8 месяцев назад
Plus in America angekuwa under18 angekuwa chini ya uangalizi wa shule. Alafu huyo baba mwenye mbwa asinge mchukua angepiga 911 lwa police. Alafu kesi ya kutekwa serika wange inunia wenyewe… hii sio America. Uwezi kuripa ada alafu isiebde shule watakufukuza awajari ada yako na wange report uamiaji…. Hii sio AMerika
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 8 месяцев назад
"aca" ndo lugha gani? Maana katika Kiswahili hakuna neno lenye herufi C peke yake, daima C inakuwa na H tunapata herufi mwambatano CH, sasa wewe neno "aca" ni lugha gani ?
@Collokenya
@Collokenya 8 месяцев назад
Nakuunga mikono maana mimi pia sijawahi kusikia Cyprus in America, Cyprus najua upatikana Middle East
@zainabusaidi5982
@zainabusaidi5982 8 месяцев назад
Kwan yy ni Mungu kwamba anajua kila kitu
@azmankiddo8872
@azmankiddo8872 16 дней назад
😅😅 je wewe uwende wapi maaana Cyprus ni Middle East clown wewe
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 9 дней назад
Huyu msichana ni mpole na muoga ndio akawa anaonewa
@EnestoryVerijo
@EnestoryVerijo 5 месяцев назад
Pole sana Tena sana nakujua tangu udogon ulikua shuja ata ulio pitia nahamin wewe nishujaa aika wewe umepitiwa magumu sana pole mdogowangu
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 7 месяцев назад
Ukienda ulaya utakiwi kujiachia sana au kujichanganya na mkundi ukiona mtu wako wa karibu yupo hivyo kaambari nae
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik Месяц назад
Mashallah daa ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@LatifaHashim-rn1ip
@LatifaHashim-rn1ip 8 дней назад
Miaka 13 form four 😳 and form 6 miaka 17…. Interesting
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 4 дня назад
Anaonekana ni muongeaji sana huenda hizi story ni za kutengeneza.
@OSTAZIMEDIA
@OSTAZIMEDIA 8 месяцев назад
pole sana sister
@rahmasuleiman8688
@rahmasuleiman8688 7 месяцев назад
Pole sana kwa mitihani ya dunia,
@huldamichael4445
@huldamichael4445 8 месяцев назад
Mmmh sijui kwann naona kama vile kuna uongo uongo hivi
@Thebaddest255
@Thebaddest255 8 месяцев назад
Acha tuh 😂naona Kama asilima 80 uongo asilimia 20ukweli
@TaarabChannel
@TaarabChannel 8 месяцев назад
Umeona kama mm... Hao wanapewa af ishirini wanadanganya tu.. wamejichokea
@lailaabeid717
@lailaabeid717 8 месяцев назад
Hiii story ilianzia rasmi wasafi fm kama haukupata nafasi ya kuiskiliza basi pole mbengo walimtafuta baada ya kuipata wasafi hiyo story
@specialorderdistribution2695
@specialorderdistribution2695 7 месяцев назад
ATAKUTUNGA HAWEZI UONGO.MTUUUPUUU
@user-om7lv9cj3n
@user-om7lv9cj3n 9 дней назад
Mim niliiona kwa sk kule Hadi mama ake amehojiwa
@florencemlay9333
@florencemlay9333 6 месяцев назад
Hiyo nchi haina sheria? Hv ufanyiwe yote hayo ht usiripoti polisi?Duh si mchezo
@GiftAbduly
@GiftAbduly 7 месяцев назад
Daaaah pole sna😢😢
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 7 месяцев назад
Atoe izo hereni mashavuni,she is so beautiful polee kwa yote
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 4 дня назад
Simulizi yake ya kupona ipo simulizi na sauti
@arafakhamis3336
@arafakhamis3336 9 дней назад
Tufatilie watoto wetu
@hildegardchafwila5076
@hildegardchafwila5076 7 месяцев назад
Pole, Mungu ni mwema
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 3 месяца назад
Aina ya mtu uleamua kuishi nae unastaajabu nini matendo yake? Unatarajia penzi la dhati na caring kwa mtu addicted to drugs? Masihara hayo 😊
@user-mb3xq1do3s
@user-mb3xq1do3s 2 дня назад
Huyu mapenzi ndio yalimpoteza alimpenda huyo teja
@mtei1104
@mtei1104 8 месяцев назад
😂😂😂alafu hawa watumia madawa wanatuchanganya sana
@bhmk7995
@bhmk7995 7 дней назад
Yani mm huwa na shindwa maisha ya ulaya yakikushinda wacha kuchafua nchi ya watu
@therealprincess.1458
@therealprincess.1458 8 месяцев назад
Please change the heading . Marekani is America and not Cyprus . Please stop fooling your audience. Thank you .
@user-yf7mc9ck4l
@user-yf7mc9ck4l 6 месяцев назад
Yesu anakupenda.
@abdisalim7900
@abdisalim7900 8 месяцев назад
Kwani hujui kuongea kiswahili moja kwa moja?ndio mana mnafanywa watumwa wa ngono kwa sbb ya kutokujitambua,Afya zenu za akili siku zote zinawaongoza ktk kutukuza na kuiga mambo ya kigeni
@geez5076
@geez5076 7 месяцев назад
Ila mtangazaji kwa mikofia🙌🏽 na hapo watasema ni Hanang kwenye baridi
@namsamson3443
@namsamson3443 7 месяцев назад
Huyu dada vitu vingi ni Mungu
@RachelWangubo
@RachelWangubo 5 дней назад
Watu wa huko,ni mashetani zaidi ya shetani
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 8 месяцев назад
Nimekupenda mno umejieleza haswaaa
@mohamedmibangura2387
@mohamedmibangura2387 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@josephinesisso6598
@josephinesisso6598 11 дней назад
God d is Good❤
@joyceryoba4813
@joyceryoba4813 4 дня назад
Kwa hiyo mipini mmh
@StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
@StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 7 месяцев назад
Pole sana binti umepitia mazito.
@user-sr3zm7vh1n
@user-sr3zm7vh1n 6 дней назад
Ila akamuone mwanasaikoroj
@user-nm3bg7li9m
@user-nm3bg7li9m 8 месяцев назад
Umejitobooooaaa mpka cyo poa ...cjuhi ndo iliiwe Nini sura yote umeipiga misumari
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 8 месяцев назад
Hivi mnapata wapi mda wa kumhoji mtu wa aina hii jamani??
@esuvathmollel2475
@esuvathmollel2475 7 месяцев назад
Kajitoboa Adi matakoni
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 8 месяцев назад
Pole sana ni mapito
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 8 месяцев назад
Muonekano wa dada mbaya xana mwanamke umekaa kiajabuajabu xana umejiarbuarbumno,
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 8 месяцев назад
Pole sana hata huvyo akili haijakaa sawa
@Mina.15
@Mina.15 7 месяцев назад
😂😂😂😂 ameyatimba
@AnyomblyMgina
@AnyomblyMgina 9 дней назад
😂😂😂😂😂
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 8 месяцев назад
Ivo ulivo usoni miningekuona ningekimbia siwezi kukusaidia uje kwangu umekaa kijambazi
@MatendoKadinde
@MatendoKadinde 7 месяцев назад
Ukome ulikunywa wine za. Nini
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 14 дней назад
ndo mkome kuiga maisha yasio ya kwenu napia jifunzeni jinsi gani ya kua na marafiki sio kila anacho kifanya rafiki nanyie muige mengine sio ya kuiga mbona mie Nimeka na marafiki wa kila aina mbona sijaiga lolote ujinga na ushamba ndo unao wasumbua kama umeona usha ingia humo kwanini usitoke ujinga tu mwarabu wa nchi gani maana warabu wapo wengi
@Leahmjohn
@Leahmjohn 14 дней назад
Pumbavu
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 7 месяцев назад
Dada anapenda "...unanielewe?" Na Uturuki, Cyprus, si Marekani. But it's okay
@nizigiyimanakennedy5427
@nizigiyimanakennedy5427 8 месяцев назад
😢pole sana sister 😢
@user-xz2yu4hv4w
@user-xz2yu4hv4w 8 месяцев назад
Pole sana dada
@paulaugustino3242
@paulaugustino3242 7 месяцев назад
Movie ya kihindi, sali sana mrudie Mungu sasa na utubu
@user-ey1fq6hd9l
@user-ey1fq6hd9l 8 месяцев назад
Hiyo stori ni za uwongo ulaya Sheria ziko vizuri
@Mina.15
@Mina.15 7 месяцев назад
Exactly 💯 kila kona nipolisi I live in US Atlanta Georgia 20 years
@mtupeace8235
@mtupeace8235 2 дня назад
Cyprus sio ulaya
@user-gj5jp7iu1y
@user-gj5jp7iu1y 8 дней назад
Nigerian ubwa yaaan nimashetan yaaaan kwaufup sio binadam wakawaida
@morjanoman5181
@morjanoman5181 7 месяцев назад
Mamae. Zako. Ulijichanganya na wavutaji ndio mana wakakutafuna wezio mjinga wewe kelele acha kula mb zetu
@Atb300
@Atb300 8 месяцев назад
Duu izo Zana usoni sasa😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
😂😂😂😂
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 6 дней назад
10:15 Mtangazaji unaongea broken English hadi aibu. Sio lazima uongee Kingleza ndio mahojiano yako yaonekane ya kijanja
@esuvathmollel2475
@esuvathmollel2475 7 месяцев назад
Pole Sana ila umejitoboatoboaa ni Bora utoe hivyo vipini mashavuni bakisha cha puani
@fatumamaro8726
@fatumamaro8726 7 месяцев назад
Kila kitu cjui unanielewa cjui unanielewa unachosha Mm cjui km nakuelewa naona mavipuli tu kila mahali km ng'ombe za wamasai
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 8 месяцев назад
Malaya mkubwa umejitoba kama shanginginwew umeshindikana umeenda kufirwa uko kwenda zako kahaba mkubwa wew
@TIAMOSCHATZ1
@TIAMOSCHATZ1 8 месяцев назад
UNAMJUA
@ismailmwaka6303
@ismailmwaka6303 14 дней назад
Humjui
@geez5076
@geez5076 7 месяцев назад
Utasema gigy money kabla haja konda
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 8 месяцев назад
Pole dada but umejtoboa xana ungejarbu kupunguza hvo vpini vya uso
@GraceKija
@GraceKija 8 дней назад
Ayo mapini jmn km chizi😅
@hericharles3604
@hericharles3604 7 месяцев назад
Mwanakulitafuta, mwana kulipata. uongo ni mwingi zaidi ya ukweli.
@mohamedmibangura2387
@mohamedmibangura2387 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 7 месяцев назад
Mmmmh nilijua nimeona nakusikia kila k2
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z 8 месяцев назад
Mwongo sana huyu kicheche
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 8 месяцев назад
Yaani bora waende kuwahoji wauzaboga mboga
@samiagewe5684
@samiagewe5684 7 месяцев назад
Anaelezea vzur ila ananikera anavyosema cjui unanielewa 😂
@user-oi9ie5hq2p
@user-oi9ie5hq2p 6 месяцев назад
Nimekukubalii comment yak dada
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 7 дней назад
Anataman uelewe kle amepitia yan anajikuta anataka umuelewe
@KokuToroto
@KokuToroto 10 дней назад
❤❤❤❤
@user-tf1tx5qg8f
@user-tf1tx5qg8f 8 месяцев назад
like muimu Yani mbaka usemi
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 5 дней назад
Amua ongea kiswahili au ung'eng"e sababu unaongea halafu wewe mwenyewe unatafsili unakuwa mkali mani .
@annajoseph9955
@annajoseph9955 9 дней назад
Matobo yote hayo ila urembo ukizid unakua uchafu
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 6 месяцев назад
Polesa jiepushe na dunia nendakanisani mahana ata apatanzania jiazari
@Hashkan22
@Hashkan22 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yanii huyuu anyooshe tu story umalaya+uraibu+uhunii ndio ulio mponza aacha chenga chenga
@Hashkan22
@Hashkan22 7 месяцев назад
Huyu dada ni malaya ila anapindisha story ionekane kama alikua anafanya vitu pasipo kupenda kwake,huyu alikua mhunii akakutana na wahunii aache uongo
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 6 дней назад
Malaya tu
@georgeascona5457
@georgeascona5457 7 месяцев назад
pole sana AIKA kweli nimeumia sana but sometimes having good heart is noon sense
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 7 месяцев назад
23:00 huyu ni muongo jmn kwanza midude hiyo usoni anakera.
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 7 дней назад
Kwann haumjui mtu mnapenda Kusema muongo Jaman hajakuita acha kumsikiliza bundle lako why ukereke
@elioimer8423
@elioimer8423 7 месяцев назад
Merikani na Cyprus wapi na wapi
@MejjaKibanda
@MejjaKibanda 12 дней назад
Msenge uyu
@chany9950
@chany9950 8 месяцев назад
Pore dada towa basi iyo misumari jmn🤣
@RahmaFadhili
@RahmaFadhili 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 14 дней назад
mbona ana tumbo kubwa ana mimba au kaisha za watoto
@TaarabChannel
@TaarabChannel 8 месяцев назад
Mupitie na kwangu wapenzi
@htx1873
@htx1873 8 месяцев назад
Huyu ni Congolese
@user-ys5iu3qu3u
@user-ys5iu3qu3u 6 месяцев назад
Umejiuza uturuki we mtangazaji nitafute nikueleze zaidi nipo na experience. Nimuongo sana police always wanasaidia ukiwa mraibu huna kosa aliuza labda unga. Yupo syprys anaonge na waturuki hayupo sawa huyu dada. Umeshindwa kulipa deni ukaangukia kwa wanaigeria wavuta unga ... Huyo rafiki anao wataja ni malaya wanaojiuza😂 shukuru umerudi😅
@ismailmwaka6303
@ismailmwaka6303 14 дней назад
Hujui unachosema
@bennamush4616
@bennamush4616 10 дней назад
Sasa kumbe na wewe una experience ya kujiuza uturuki Sasa mtangazaji akutaftie nini
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Why did you start on drugs by the way😢
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 8 месяцев назад
Mbona mashavu yamepigwa misumari kama dirisha la mwizi😂😂sijuwi mnanielewa
@chany9950
@chany9950 8 месяцев назад
🤣🤣🤣
@Mina.15
@Mina.15 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mapangaa ya ulaya 😂😂😂 huyu Dada muongo
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 9 дней назад
😂😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 7 месяцев назад
A level at 17? Were you in a British system?
Далее
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 17 млн
BOSS LADY - SIMULIZI MPYA
3:00:01
Просмотров 55 тыс.
NHIF YAFIKA GOLANI (ELIMU INAHITAJIKA)
12:23
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 138 тыс.