Тёмный
No video :(

Mrembo avunja UKIMYA "DIAMOND kanigombanisha na HAMISA MOBETTO/Kanuna/ANISAMEHE naomba" 

Rick Media
Подписаться 863 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Mrembo Priska Kishuda amemuomba radhi mwanamitindo na mfanyabiashara Hamisa Mobetto baada ya Hamisa kumkasirikia kisa kuwa karibu na Familia ya Diamond Platnumz. Priska anasema kuwa hapo awali alikuwa mtu wa karibu sana na Hamisa ila ukaribu huo ulikufa baada ya Hamisa kujua kuwa mrembo huyo ameanza kuwa karibu na familia ya Diam
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
#HamisaMobetto #DiamondPlatnumz

Опубликовано:

 

8 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@vickykapama8386
@vickykapama8386 2 месяца назад
Huyu binti anahitaji sana kujiweka na MWENYENZI MUNGU KTK IBADA., ili ageuze TABIA YK YA KUCHANGANYA MAADUI. PRISCA UNACHOTAKIWA NI KUELEWA KUWA TAMAA YK ITAKUFIKISHA KWENYE MAUTI😢🙄
@swalehehamza9636
@swalehehamza9636 2 месяца назад
Uyo miss ana udugu na mzee wa utopolo? Yule shabiki wa yanga😂😂
@user-kg7yq3on9j
@user-kg7yq3on9j 2 месяца назад
Akili ni Mali nimemaliza 😅
@fetty_sarah__
@fetty_sarah__ 2 месяца назад
Sasa aliomba msamaha wa nini kama hajui kosa? Kuna tatizo mahali hapaa
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 2 месяца назад
Inaonyesha kuna shida
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 месяца назад
Elezea vizur ww, kwann waficha ficha
@user-et6tc2wt8m
@user-et6tc2wt8m 2 месяца назад
Mnafiki huyo alimwambia hamisa mtoto sio wadai
Далее
Это iPhone 16
00:52
Просмотров 924 тыс.
I Built 3 SECRET Rooms In School!
33:34
Просмотров 13 млн