Тёмный

SARAH WA DIAMOND : MPENZI WANGU ALIKASIRIKA NILIVYOITWA, WANAUME WANANITONGOZA 

ST BONGO TV
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 59 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Развлечения

Опубликовано:

 

6 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 155   
@zainakhalid3843
@zainakhalid3843 2 месяца назад
Saraa kiukwel huyu dada akiongea huchoki msikiliza nampenda😍
@daudkondo4069
@daudkondo4069 2 месяца назад
Tafuta meneja akuongoze
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 2 месяца назад
Kati ya watangazaji tangu wameanza kumuhoji sara wewe namba 1 unaijua kazi yako hongera
@aminaali792
@aminaali792 2 месяца назад
Kweli nilitaka kusema the same maa sha Allah 😍😍
@halima_Paulin
@halima_Paulin 2 месяца назад
True
@marthanassari3524
@marthanassari3524 2 месяца назад
P you are bright since mdogo. Keep shining kipenzi. Kati ya walomuhoji da Sarah basi you did the best.
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 2 месяца назад
Kidogo hii Media mmekuja na interview ya tofauti kabisa kwa Sara hongereni
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 2 месяца назад
Sarah Una busara sana ❤
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 2 месяца назад
Mdada mstaarabu nimempenda bure ana hekima heshima anajieleza vizuri anajibu vizuri huchoki kumsikiliza ❤🎉
@user-vr8xv7nc8j
@user-vr8xv7nc8j 2 месяца назад
Mi napenda anavoita jina la Nasiiibu sauti yake mpangilio wa maneno very nice
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 2 месяца назад
Mtangazaji upo vzur umemuhoji vzur kuliko wote ❤
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 2 месяца назад
nimewatazama kutoka Northampton uk Sarah uko humble,calm,respectfull
@umfahad2609
@umfahad2609 2 месяца назад
Mtangazaji nimekupenda saana sauti yako. Na unaongea vizuri sana kiswahili. Hutuharibii lugha. Unajua kuziwajibisha R na L.❤
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 месяца назад
Dada mzuri sana!!! una hekima nyingi na Busara...
@LeilaBilarab-is5sw
@LeilaBilarab-is5sw 2 месяца назад
Hmmm
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 2 месяца назад
Sarah ni mzuri san❤
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 месяца назад
Utu na utulivu busara na pole heshima Hongera sana Sarah ❤
@SishAbcd-gk6df
@SishAbcd-gk6df 2 месяца назад
Mm nimefurai sana kumusikiza sara namupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@rukiachamani1101
@rukiachamani1101 2 месяца назад
Kumbe Sarah wew ni mwislam. Maa Shaa Allah.
@tshibangumunyenza7383
@tshibangumunyenza7383 2 месяца назад
Sarah hummmmm lovely . One love ❤️ watching live from Toronto 🇨🇦🇨🇦 Nasibu mke uyu apa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿she’s beautiful. Si choke kumusikilisa , mama Dangote copyright.
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 месяца назад
Mtangazaji mzuriii ❤❤❤❤❤
@werehere2006
@werehere2006 2 месяца назад
You are so beautiful sara and very polite
@malengalukonga19
@malengalukonga19 2 месяца назад
Watching from Australia 🇦🇺
@shabaninshimirimana5248
@shabaninshimirimana5248 2 месяца назад
Mtangazaji nomasana kamaliza maswaliyote kabissa very nice bravo
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 2 месяца назад
Nampenda da Sarah ❤❤❤😊
@fallymetoo191
@fallymetoo191 2 месяца назад
Beautiful 🎉🎉🎉
@mwambaadijira7190
@mwambaadijira7190 2 месяца назад
Yani wanawake wote wangekuwa km weye duuh uko n'a hekima sana alafu unajuwa nafasi yako kbs❤
@SaidaTulinge-hr2su
@SaidaTulinge-hr2su 2 месяца назад
Asante sara umejibu vzur nakupenda bulee❤
@naomikrause1762
@naomikrause1762 2 месяца назад
SARAH YOUR🙏🙏💪💪♥️ ♥️ BARIKIWA
@ibrahimkarisa-bu1su
@ibrahimkarisa-bu1su 2 месяца назад
huyu dada anafaa kupewa kazi one of these media..anajua kuongea, ako open and social
@zainabumtubwi1055
@zainabumtubwi1055 2 месяца назад
Nimeipenda hii interview Heru R na L zimetumika vizuri sana .unasikia raha kuisikiliza na kuedelea kuiyona
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
❤❤wewe saraha wala usijali hao walikuwa na wivu tu.We songa mbele na biashara.Yaan hapo pa kutuma hapo hata mimi vile mtu nikimtuma nataka ufanye muda huo huo❤❤❤🙏🙏👍👍
@user-dt4te5kd8o
@user-dt4te5kd8o 2 месяца назад
Laaa,njo kuwona musicana wa tanzania anawongeya vizuri. Big up
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Sarah uko vizuri sana,mtangazaji umetishaa❤❤
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 2 месяца назад
Nakupenda Sarah kw kutopaka mkorogo we ulitishaa sana napenda confidence yko unajiamini sana❤❤❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Sara❤❤❤❤❤
@fettymo2055
@fettymo2055 2 месяца назад
Nilikua sijui kama kuna mwanamke mwingine tena wa mondi ila sara mashallah hakika
@ZainabuMohammed-tx9pj
@ZainabuMohammed-tx9pj 2 месяца назад
Simba hakukosea da Sara una utu na utulivu busara umejaaliwa❤❤❤
@herrwin.
@herrwin. 2 месяца назад
unahekima sana sarah ,
@Kakozi-pj6ib
@Kakozi-pj6ib 2 месяца назад
Hapa kuna mtu na nusu """ unajua kujb"" Sarah mda ndo huuu """
@wardamohamood
@wardamohamood 2 месяца назад
Love sarah❤
@user-fv5se6iu9r
@user-fv5se6iu9r 2 месяца назад
Nice Sarah
@marthanassari3524
@marthanassari3524 2 месяца назад
Waooo. Ana busara sana.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 месяца назад
Uyu dada Yuko na HEKIMA na wala hajiskii... MUNGU akutunze Sana📌🙏
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 месяца назад
Sara uko vizuri na una busara,achana na hao wanaotoa mitusi
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 2 месяца назад
Leo umevaa vizuri
@AliceIrankunda-kh7yy
@AliceIrankunda-kh7yy 2 месяца назад
Sarah ❤❤
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 2 месяца назад
Mwanzo sarh na kupenda bure .napia na kuunga mkono kwa cupol ulochanguwa.ni kweli wema na daimond ni cupal ilo fana sana sana.hapo umesema kweli kabisa .love yuuuuuuuuu.sarah
@kindulijumanne7632
@kindulijumanne7632 2 месяца назад
Yan huyu Sarah apewe Kazi kwenye kituo fulan kikubwa cha Tv anajua kujieleza then yuko Social Sana
@bintimohamed2646
@bintimohamed2646 2 месяца назад
Daah Sarah 🤣🤣🤣❤️❤️
@user-kn9yn6xe3m
@user-kn9yn6xe3m 2 месяца назад
Saraaaaa ❤❤❤❤ unaongea vizur
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤sarah
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 2 месяца назад
That is first love
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 2 месяца назад
Media msiweke mdundo kwenye mahojiano
@devothachitamu1528
@devothachitamu1528 2 месяца назад
Yani hafai kuwa mke wa D youko zaidi nasibu mchafuko hafai pesa tu ndio anatumia kwa wanawake
@gladyskanemba1079
@gladyskanemba1079 2 месяца назад
nimempenda mtangazaji na kidole chake cha sita amejikubali yupo huru hafichi kidole na hii ni alama yake, she so is special.
@wamburagrace2432
@wamburagrace2432 2 месяца назад
❤❤❤
@georgeodhiambo870
@georgeodhiambo870 2 месяца назад
I appreciate diamond 4 what he did
@mirnababy5012
@mirnababy5012 2 месяца назад
Uyu dada yupo vizuri sana kwa kuhoji
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 2 месяца назад
❤❤❤❤
@RizikiAssenga-zn5se
@RizikiAssenga-zn5se 2 месяца назад
Natamani Sana Diamond angemuoa mke huyo❤
@user-dm6ww8sw9o
@user-dm6ww8sw9o 2 месяца назад
Sara una hekima kweli yaniiii
@violetkephas7038
@violetkephas7038 2 месяца назад
❤❤anafanana na wifi yake queen darleen
@user-wv8ez1xt7f
@user-wv8ez1xt7f 2 месяца назад
Kumbe umeona na wew me nimeona kitambo nakupenda sarah❤❤❤❤❤❤❤
@user-ml8jd5xg1r
@user-ml8jd5xg1r 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@lilianebitariho8562
@lilianebitariho8562 2 месяца назад
Iko na hekima
@MishiPapalan
@MishiPapalan 2 месяца назад
Saraa ni mwanake wa kuoa haswa sio mshamba kama wengine
@thamani5842
@thamani5842 2 месяца назад
Tena kinachofanya asiolewe nn?
@leonidamachuru5960
@leonidamachuru5960 2 месяца назад
Diamond Unadanganywa zuchuuuuuuuuuuuuuuu ndio mrembo kwako mnaendana sana
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 месяца назад
Mtangazaji ana kidole cha 6 😢 Hongera una maswali mazuri na Sauti yako kwa Mbali kama Aaliyah 😊
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 2 месяца назад
Mhhh.maaaaninaaa acheni uongo na kiki
@benjaminmartin4548
@benjaminmartin4548 2 месяца назад
Nimemkupenda bure upo vizuri sana.nitafute in box please.
@ismah4766
@ismah4766 2 месяца назад
😂😂😭😭
@salyali7807
@salyali7807 2 месяца назад
Sara nampenda anavyoongea
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 2 месяца назад
Waambie waelewe kwamba we sara si mshamba
@user-gb2pl3ln9m
@user-gb2pl3ln9m 2 месяца назад
Penda Sara Sarah jamani
@chimamilion
@chimamilion 2 месяца назад
Ukiletwa mjini tumia fulsa vzr
@annievibes8794
@annievibes8794 2 месяца назад
Yaani wa tz bado tuu mnampa interview huyu dada na wakati ile ni Kiki tuu😢
@ladyG25
@ladyG25 2 месяца назад
Her confidence is my problem ❤❤❤
@christeralicha16
@christeralicha16 2 месяца назад
Sara❤❤❤
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 2 месяца назад
Sarh we ni mstarabu sana.maongezi yako ya kikubwa.napena iyo
@gracekirundwa1812
@gracekirundwa1812 2 месяца назад
Ana mtoto na Nasibu?
@devotaijumba8332
@devotaijumba8332 2 месяца назад
South Africa big up.sarah mpole nyie.ongera
@user-mt2pn4ds9k
@user-mt2pn4ds9k Месяц назад
Ongera sara unabaya
@trizereve3386
@trizereve3386 2 месяца назад
Maskini hana tamaa sarah
@JacqueNiyonzima
@JacqueNiyonzima 2 месяца назад
Et muko na mtoto na daimnd type ukweli
@roseassey5173
@roseassey5173 2 месяца назад
Wangapi wamegundua sarah anaongea Kama diamond
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 месяца назад
Sarah unahekima n'a pia kujibu oke
@sulemanmuyomba3524
@sulemanmuyomba3524 2 месяца назад
Ndo maana Ana ng'ata ulimi kumbe last born.
@allyjuma2574
@allyjuma2574 2 месяца назад
M/mke tafuta pesa alafu ndio uchague wakuwa nae ktk mapenzi...Guuuuud
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 месяца назад
Yupo sahihi
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
Kwa kweli huyu dada anafaaa kuwa mke wa Diamond. Katulia, ana hekima na ni mzuri. Hajisikii, nakupenda bure sarah, I wish ungekuwa wifi yetu wa taifa kwa Diamond
@leonidamachuru5960
@leonidamachuru5960 2 месяца назад
Hamshindi zuhura jameni ata kidogo
@user-ns3so9wv1f
@user-ns3so9wv1f 2 месяца назад
Ss uyo Mtto Sara hamjui babayake halisi ss umuonyeshi mpakalini Naiyo birth ulimsaji Nani Babu yake ama Babamwingine sio sawa.
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 2 месяца назад
We unaesema Salah anasura mbaya kama mkundu nimkundu wako au wamamaako msenge wewe mjjalana Salah ana ubaya gan mbwa wewe
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 2 месяца назад
Sasa Sarah utatembea mitandao yote
@julesngama2508
@julesngama2508 2 месяца назад
Uki Ona mwana damu Ana tukana kiumbe cha Mungu baba uyo ni kiumbe cha Shetani
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 2 месяца назад
Acha waseme wivu tu
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 месяца назад
Sister sarah mbona miwani yenye ncha Kali?
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 2 месяца назад
umeona miwan tu wew
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 2 месяца назад
Uyu dada anatabia za ex wangu
@ashattbooo
@ashattbooo 2 месяца назад
Uyu dada anaongea kwaadabu
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 2 месяца назад
Unajiita saut yamanka wenimsenge unanamtukana Salah kakukosea Nini paka wewe acha usenge mkundu wamamaako
@janetharris7509
@janetharris7509 2 месяца назад
TREND FOR NOW THATS BONGOLAND USHAMBAAA MEDIA NYAMBAFUU
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 месяца назад
Una bahati umepaa wakati Dada wa Taifa kafungiwa, tungeshamjua bwana yako, mimba ngapi ulitoa, danga lako na mengineyo😂😂
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 месяца назад
Wachawi sindio nyie
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 месяца назад
🙌🙌🙌
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 2 месяца назад
wew ndo shetani lione hovyo
@jameskilasa759
@jameskilasa759 2 месяца назад
Chawiiii hili jinga kabisa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 месяца назад
@@saumbliz8983 😊 😁 😁 😁 😁 ebu cheka kidogo kwani uongo
@tatungwele2728
@tatungwele2728 2 месяца назад
Kwaiyo sara anampango wakumaliza media zote za bongo😂
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 2 месяца назад
Wabongo bwana kz kwelix2....
@user-sb7wf2ep7f
@user-sb7wf2ep7f 2 месяца назад
We sara tumekuchoka unavuruga nyumba za watu ..siufuate maisha yako wewe mbona unangangania unajua diamond ana wake wangapi..playboy huyo ..mtoto kama kweli ni wa diamond alikuwa wapi ..sasa unataka umpe mtoto kirahisi tu hivyoo..wewe shortwire nini..
@user-ce9pr3zs6b
@user-ce9pr3zs6b 2 месяца назад
Wapi kasema mtoto wa Dimond.
@barutwanaclaude6319
@barutwanaclaude6319 2 месяца назад
Yani kina Sarah Mungu aritujaalia kabisa, yani saara unanichekesha eti utatafuta mapenzi baada yakua na hela tafuta hela kwanza😅😅
Далее
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 233 тыс.
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
LUNCH DATE - DEM WA FACEBOOK & OGA OBINNA
17:31
Просмотров 284 тыс.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49