Тёмный

MREMBO huyu wa KOREA atakushangaza anavyokijua KISWAHILI, afunguka anavyompenda DIAMOND 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 291 тыс.
50% 1

Subscribe channel ya Ushindi kwenye kubonyeza link hii chini:
bit.ly/2O8sxqf

Опубликовано:

 

5 мар 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@user-zt1iw4bf7l
@user-zt1iw4bf7l 3 года назад
Nakushukuru sana. Nilifurahi kufanya mahojiano pamoja na Fredriki. Kiswahili changu ni haitoshi lakini nimejisikia furaha sana. Namshukuru na Nakushukuru wote.😆 #swahilitotheworld
@alexanderraphael5537
@alexanderraphael5537 3 года назад
Tunakupenda Tanzania.wellcome back😊
@samchonjo4598
@samchonjo4598 3 года назад
Tunakupenda sana
@sweetspir3t744
@sweetspir3t744 3 года назад
Sarangeheo! ☺unni 💜
@sumbawangatanzania8961
@sumbawangatanzania8961 3 года назад
Woyoo mkorea tunakupenda sana😇😇😇☺️☺️☺️🥰
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Manshallah 💃💃❤👍👌
@mnenedrogba1218
@mnenedrogba1218 3 года назад
Wow I love the lady.she just speaks fluent swahili and I am in love with it. She speaks perfect and with confidence. Pass my greetings to her.love madam Ushindi 👌👌💜💜💜👍👍👍
@byaombemwenda2093
@byaombemwenda2093 3 года назад
Ndiomana huwa napenda saaaana SNS, 4 true stories. Keep it up brothers.
@rozadaniel9068
@rozadaniel9068 3 года назад
Hey I find kiswahili very interesting, impressive from south Africa ila I stayed in Tanzania for 3 years and now I speak swahili fluently
@LEARNSWAHILIWITHPATRICIA
@LEARNSWAHILIWITHPATRICIA 3 года назад
Mimi kama mwalimu wa Kiswahili..nafurahi kumuona Ushindi akiongea kiswahili vizuri sana.Hongera sana Ushindi...
@methiewbatholy8513
@methiewbatholy8513 3 года назад
nimependa sana ushind
@rukiyarashid9170
@rukiyarashid9170 3 года назад
Nimewaonyesha familia yangu hii interview na wamempenda Sana ushindi wakati aliimba ule wimbo wa sanura ...majanga😅...she is a super woman 😍.
@Anonymous00018
@Anonymous00018 3 года назад
Nani km mm amekuja kuangalia interview baada ya kuona diamond platnumz anahusika? Tujuwane 😂😂😂
@mohamednamungu4113
@mohamednamungu4113 3 года назад
Tuupo mzee
@olivermika3841
@olivermika3841 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@Wiz_greecho
@Wiz_greecho 3 года назад
me nimojawapo🤣🤣
@chrispinimkanda7127
@chrispinimkanda7127 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@neemapili8497
@neemapili8497 3 года назад
Mimi hapa 😂😂😂😂😂😂nikjua Diamond platinumz kisha fanya mambo yake 😂😂😂😂😂😂😂
@sophiajj2296
@sophiajj2296 3 года назад
Nakupenda Sana ushindi kalibu tena na tena Tanzania na Africa Kwa ujumla your welcome ❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mikefuraha2281
@mikefuraha2281 3 года назад
I have really liked this conservation... Proud of you @Fredrick Bundala
@ramasonkalujefa4620
@ramasonkalujefa4620 3 года назад
Bro sky ni meipenda hii coz anatutagazia luga yetu ya Est africa kiswahili to the world, thank bro sky one love from czech republic
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 3 года назад
Lugha
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
😂😂😂😂💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥inshallah Allah atasaidia mashaallah
@ashurasalum4843
@ashurasalum4843 3 года назад
Jamani nimefurahi Sana
@sabbob574
@sabbob574 3 года назад
Good interview. Much respect to you Ushindi. Lovely name.
@estherpaul9550
@estherpaul9550 3 года назад
Ushindi upo on trending tz ....welcome back
@meshackkiumbu2768
@meshackkiumbu2768 3 года назад
I'm so happy to listen this interview God bless you ushindi
@liciab5551
@liciab5551 3 года назад
Wewe ni mjanja sana unajua kiswahili vizuri, Tanzania tunakupenda♥️
@gracioushamweene4526
@gracioushamweene4526 3 года назад
I wish I can speak Swahili like her. Diamond is making us learning swahili
@realscholarships-bolde.2344
Come and i teach you
@emmymalawaga4888
@emmymalawaga4888 3 года назад
Nimempenda bure Yuko free kuitangaza lugha yetu,,,Mungu akubariki mrembo ushindi
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 года назад
Jamani mwanamke mcheshi sana 😍
@beatricefrank4767
@beatricefrank4767 3 года назад
Sanaaaa nimeenjoy sana ❤️😂😂😂😂
@mshahahamzmdmd5942
@mshahahamzmdmd5942 3 года назад
Mashallah
@amanichidyboy2900
@amanichidyboy2900 3 года назад
Mambo vp
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 года назад
MashaAllah
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 3 года назад
MashaAllah
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 года назад
ushindi park amenifurahisha sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 aka bachuchu mombasa
@peterjohn9074
@peterjohn9074 3 года назад
This is my best interview ever in this channel kwakwel, nmependa sanaaaaa, Saraghae
@mnenedrogba1218
@mnenedrogba1218 3 года назад
Madam Ushindi u are amazing mama.u gonna be more perfect in time.i think u should find a guy from this sides.much love from mombasa Kenya
@machoziivony4730
@machoziivony4730 3 года назад
Nimefurayi kusikiya mkorea anahongeya kiswahili nimependa sana😍😍😍😍
@milkapaul4308
@milkapaul4308 3 года назад
She so humble, I like her 💓💓💓
@mariamelly1206
@mariamelly1206 3 года назад
USHINDI kalibu sana TANZANIA wewe ni mwanamke mcheshi sana karibu sana
@godfreyeliabu2582
@godfreyeliabu2582 3 года назад
Sky you doing the best job nafikili unachokifanya ni kama tathimini ya ukuaji wakiswahili maana wote ulio ongeanao walio olewa huko lazima waumezao watakuwa wana tamanikujua lugha ya wakezao
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 года назад
Sky wewe Bingwa wa Interviews.. Msaidie dada huyo akutane na Simba! 😄👏👏👏
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 года назад
Waw!☝️❤️🙏nice one Asante sana Kaka Fredy na Baby Sky 💕💕💕💕💕🙏.
@jumamlako1886
@jumamlako1886 3 года назад
Wow very impressive mama c utafute mtu huku East Africa...big ups from KWALE KENYA.
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 года назад
Leo nimecheka sana 👌👌👌❤❤😃
@dianalyanga1486
@dianalyanga1486 3 года назад
Jamani jamani nmekupenda ushindi natamani uwe rafiki Yangu. Alafu uko peace Sana.. Tabasamu muda wote. Kiswahili chako unakizungumza vizuri Sana. Ushindi nikupe hongera zako uje tena Tanzania jamani
@user-zt1iw4bf7l
@user-zt1iw4bf7l 3 года назад
Nakushukuru saana!
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 года назад
Mmmh jamani aah aah
@pastorlameckchahoa7876
@pastorlameckchahoa7876 3 года назад
@@user-zt1iw4bf7l MUNGU akutunze Sana Dada yangu
@twilureuben2535
@twilureuben2535 Месяц назад
@@user-zt1iw4bf7lukija Tz next time nitakuhost iringa karibu sana❤❤❤❤
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 года назад
Kama mwalimu wa Kiswahili, nimefurahi sana! Yani this makes my heart very happy! Her effort, her love for TZ is sooo pure!
@mashaali2409
@mashaali2409 3 года назад
Mwalimu wa kiswahili kachanganya lughaa acheni tutukuze lugha yetu jmn
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 года назад
@@mashaali2409 haha hiyo swanglish ni lugha pia hahahahaha
@hearlychunga545
@hearlychunga545 3 года назад
She's so lovely and humble 😍😍😋
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 3 года назад
Good interview, I really Love madam Ushindi_Park
@cooperoman7879
@cooperoman7879 3 года назад
Mashallaah tunakupenda kalibu Tanzania 🇹🇿 ♥ ❤ 😍
@anordgerison8639
@anordgerison8639 3 года назад
Nime watching mwanzo mpaka mwisho ... Interview nzuri
@amoscatherine217
@amoscatherine217 3 года назад
hey dada tunaweza kuwa marafki nmekipenda sana
@reginapantaleo9861
@reginapantaleo9861 3 года назад
Nakukaribusha Sana Moshi I love you ♥️♥️
@hearlychunga545
@hearlychunga545 3 года назад
Eti Mimi karibu na mbongo sindio Daahh she's so funny
@carolinebenedict7164
@carolinebenedict7164 3 года назад
Waoohh!! Jamaniiii anachekexha Sana kiswahili kizuri sana
@martinonetv
@martinonetv 3 года назад
Huyu mkorea katisha sana gonga like hapa
@aishanassor8130
@aishanassor8130 3 года назад
Najivunia kuwa mtanzania, siku zote nimekuwa nikisema kuwa mgeni yeyote anaekaa tanzania hata miezi michache lazima ataondoka na lugha ni tofauti na nchi nyengine utakaa hata miaka minne lakini usiondoke na hata neno moja, hii ni kwa sababu ya ukaribu na upendo wa watanzania kwa wenyewe kwa wenyewe lkn pia kwa wageni. Kiswahili kukijua ni wepes sana, muhimu uwe tu na lengo la kujifunza. Sasa SNS tulitamani umuulize kiswahili anakijua kwa kuzungumza na kuandika au ni kuzungumza tu? Btw, tunakushkuru kututambulisha mtanzania mwenzetu mwenye asili ya kikorea 😂na kwa vile umetuwekea contacts zake tutamtafuta. Ubarikiwe
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 года назад
Anajua ata kuandika maana kakoment hapo chini
@footballtriangle355
@footballtriangle355 3 года назад
Umeme inakata maji haitoshi 😀😀4:39
@athumanibrah7559
@athumanibrah7559 3 года назад
Apa angekua mtanzania alafu anajarib kuongea kiingereza kam huyu dada anavyoongea kiswahili basi angechekwa sana ila huyu kila mtyu anamsifia kwamb amejitahid basi tusiwe washamb kwa hili mtyu akikosea kiingereza usimcheke sababu sio lugha yake tubadilike wabongo
@juliussanane1860
@juliussanane1860 3 года назад
Kweli kaka
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 2 года назад
Hakika
@AllyDetty83
@AllyDetty83 3 года назад
Sky kaka yangu umepatikana mwaka huyu nakwambiya.. Sindiyoooowwwh
@malikihassani1185
@malikihassani1185 3 года назад
😂😂😂😂
@rosemarylukasho2638
@rosemarylukasho2638 3 года назад
Jamani najiskia raha sana kusukia unapenda diamond jaman❤️❤️❤️
@charleswaraka821
@charleswaraka821 3 года назад
Safi sana tunapenda ujue kiswahili zaidi ya hapo rafiki utakuwa mwalimu mzuri sana wa lugha ya kiswahili
@bahati21
@bahati21 3 года назад
Wow,sijachoka kuskiliza hii interview 🇧🇮 mimi mjanja 😂
@egideniyonkuru9705
@egideniyonkuru9705 3 года назад
Wabony naw
@annea3036
@annea3036 3 года назад
Kunomaaa 😅😅😅
@amanichidyboy2900
@amanichidyboy2900 3 года назад
Habari zakwako
@chogomaster3542
@chogomaster3542 3 года назад
Mambo baby
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Год назад
Iyo interview nimeipenda sana much love 🙏💪👍❤️❤️❤️👏👏👏
@Avventuraconsanta
@Avventuraconsanta 3 года назад
Wow amazing ushindi big up💪👏👏👏👏👍
@mariamumuniss1338
@mariamumuniss1338 3 года назад
Kumb na uko mathematics ni ngumu sio bongo tu🤣🤣🤣😂🤣kweli esabu kiboko
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 3 года назад
🤣🤣🤣😂
@julietjotham8812
@julietjotham8812 3 года назад
Nampenda Sana Ushindi 💓👌
@salhasaid9667
@salhasaid9667 3 года назад
Ma Sha Allah...
@dianalyanga1486
@dianalyanga1486 3 года назад
Waoooooo.. Nmependa sana.. Ushindi kweli wewe ni mshindi
@nlylyn1443
@nlylyn1443 3 года назад
she's amazing 😂😍❤❤🙌😘
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 года назад
@21:50 “Nakuonea wivu Baba MKWEEEE”😂😂😂😂😂😂😂
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 года назад
🤣🤣
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 года назад
@@sadiyakb8498 Nasubiri kid wa KiKorea🕺🕺😂😂😂😂😂
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 3 года назад
Asante dada upo vizuri sanaa ktk maongezi yako tunakupenda sana watanzania karibu Tena
@lswai6777
@lswai6777 3 года назад
Beautiful interview!
@AllyDetty83
@AllyDetty83 3 года назад
Nani amegunduwa anazungumza kama ebitoke nadhani ni dada yake ebitoke
@zuenanyutwa6043
@zuenanyutwa6043 3 года назад
Ha! Yani wewe noma mi nilikua sijagundua
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 года назад
😁😁
@aminasjoekitchen7959
@aminasjoekitchen7959 3 года назад
😂😂😂😂
@saidibrahim2375
@saidibrahim2375 3 года назад
Hahahahaha
@alainsypamuhindo1450
@alainsypamuhindo1450 3 года назад
Diamond ni levo zingine Big up diamond babalao 🔥🔥 Simba babalaooooo
@khalfanifarisy7398
@khalfanifarisy7398 3 года назад
Endeleeni kuwashobokea Freemasons mkachomwe moto
@maryamnandoz7218
@maryamnandoz7218 3 года назад
Zcun
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 2 года назад
@@khalfanifarisy7398 Atakayechomwa huenda ikawa wewe ju hujui nafsi yake ilivyo na unamwita Freemason. Kama wewe ni mtakatifu sana, mbona hukumbuki kuwa hufai kujudge nafsi ya mtu. Unafaa uilinde yako. Kama hujawai mwona akiabudu shetani usiongee hivyo na kama ushawaimwona, wewe ulikuwa unafanya nini naye kama sio the same thing? Linda nafsi yako na uhusiano wako na Mungu wako, ya mwenzako achana nayo ju ukimsemea na iwe wongo adhabu yako ni kubwa sana
@fatmahamisikipindura6640
@fatmahamisikipindura6640 3 года назад
Safi Sana frendi mshind mungu akujalie Sana kujuwa Kiswahili ilove you somuchi 😍😍😍
@isongetv4199
@isongetv4199 3 года назад
Wao USHINDI uko vizur sana Dada yangu
@mwalimunyerere
@mwalimunyerere 3 года назад
Great interview.
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 3 года назад
Upo vizuri Sana ushindi nimependa interview yako hii😊
@milamila5594
@milamila5594 3 года назад
Aki nilikua natabasamu tu nikitazama hii interview 😆😆😆.l really enjoyed it 💃💃👍👏👏👏
@pascalkenga3068
@pascalkenga3068 3 года назад
Wonderful ushindi I love it
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 года назад
mimi mjanja sindio akisema hivo woow asante sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 aka bachuchu mombasa
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 3 года назад
Kazuri mashallah so cute ❤❤❤🙏🙏
@Kenny-fk4ir
@Kenny-fk4ir 3 года назад
cf
@maliyunibakari4742
@maliyunibakari4742 3 года назад
❤️❤️❤️
@hollojuma9538
@hollojuma9538 3 года назад
Ushindi nakupenda sana♥️♥️
@aljimmykabumbabinazam9904
@aljimmykabumbabinazam9904 3 года назад
Kweli iko jina nzuri iyo, tumu pe like zetu jamani
@khaashfarfarid4221
@khaashfarfarid4221 3 года назад
Hongera sana ushindi😍😍
@jackierama1817
@jackierama1817 3 года назад
Hatimaye sky umetuletea huyu mt maana navompenda ongea tu😍
@hawatognola4022
@hawatognola4022 3 года назад
We mimi nakupenda vele wawongea ki swahili brava .nakupa salamu kutoka hapa Ticino swis .💪💪
@stivejdamosjd1857
@stivejdamosjd1857 3 года назад
Nimependa ucheshi wako Sana sister Ushindi.
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 года назад
Mashallah maboork kiswahili kizuri mashallah 😍😍💕
@naashabani1574
@naashabani1574 3 года назад
Wanasalimia mdhaa mrefuuuuu🤣🤣
@ericarevocatus6068
@ericarevocatus6068 3 года назад
Huyu mdada Yuko vizuri Sana kwanza anajiamini Sana Halafu anafulahisha sana
@alesnema9596
@alesnema9596 3 года назад
Verry nice uyu musichana wa of korea nimemupenda🇧🇮🇦🇪
@hmk..
@hmk.. 3 года назад
VERY GOOD INTERVIEW... "kumbe umeme umekata tena !" 4:46
@alexaiddan979
@alexaiddan979 3 года назад
Kazur sana
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Mashallah this girl is amazing, keep up bro kazi nzuri kwakweli hii interview ni nzuri sana.
@hermansasuri9743
@hermansasuri9743 3 года назад
So amazing kabisaaa ,nimefurahi saana aiseeee ,maongezi mazuri
@dr.swagztv3559
@dr.swagztv3559 3 года назад
Woow 💚 great #SNS Ur the bext
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
Nataka kukuua (kukuoa )🙄 but tumeelewa 😉 kiswahili 👍💪❤🇹🇿🇨🇭
@homeaccount1683
@homeaccount1683 3 года назад
🇨🇭 wo?
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 года назад
😃😃We bhana
@rukiakipande186
@rukiakipande186 3 года назад
😂😂😂😂😂
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
amejitahidi sana, ni mjanja sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
@@homeaccount1683 st.gallen
@husnaallyomary8003
@husnaallyomary8003 3 года назад
Karibu sana ushindi ❤❤watanzania tunakupenda sana mm mmoja wapo
@jlsxini7931
@jlsxini7931 3 года назад
😊 Safi sana👍
@sadahmzee2916
@sadahmzee2916 3 года назад
Mm SAADA nimempenda Sana Ushindi
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Manshallah 😁👍👌
@lumumbasankara6388
@lumumbasankara6388 2 года назад
Mashallah anujua kiswahili mpk anakera ❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 3 года назад
🙏🙏🙏🙏 appreciate
@anerymunyu6673
@anerymunyu6673 3 года назад
Mama yanguuuuuu unampenda kaka chibu walah utatuletea mbegu ya kikorea muda c mrefu🤣🤣🤣🤣
@mundhiraliy1307
@mundhiraliy1307 3 года назад
🤣🤣🤣
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@Saidkhel
@Saidkhel 2 года назад
😂😂😂
@lizburton9833
@lizburton9833 3 года назад
Hongela i like this interview
@stephenemganga3604
@stephenemganga3604 3 года назад
Unaweza mtongoza kwa kumwambia nataka nikuoe akakukataa maana anaskia unasema nataka nikuue😂
@zaharatoto8004
@zaharatoto8004 3 года назад
Jamn kazuriiiiiii na kanaogeya vzur saaana❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@esthermoraa6648
@esthermoraa6648 3 года назад
She's so cute and humble
@magrethmussa8308
@magrethmussa8308 3 года назад
Nimekupenda bure Ushindi hongera san
@farajangomongo6315
@farajangomongo6315 3 года назад
Ushindi wewe mjanja Sana, hongera, karibu Tena Tanzania, tutakupatia mchumba uolewe huku.
@hellenashely2167
@hellenashely2167 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Ooh my God me nmecheka sana lol
@mdingineema7225
@mdingineema7225 3 года назад
Mwenyewe nimecheka sina mbavu jamaniiii 🤣🤣🤣🤣🤣
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 3 года назад
Natamani kuja bongo nitembeye...I can't wait to visit TANZANIA
@gracepatrick647
@gracepatrick647 3 года назад
Welcome dear
@mayvisleonard7544
@mayvisleonard7544 3 года назад
Karib
@gracepatrick647
@gracepatrick647 3 года назад
Hahahah asbtee
@user-xg9cs9xc3o
@user-xg9cs9xc3o 3 года назад
Karibu watanzania ni wakarim
@rehemacornel8889
@rehemacornel8889 3 года назад
Utakuwa mgeni wangu
@nattybongo1039
@nattybongo1039 3 года назад
karibu Africa ushindi,Africa ni kuzuri sana
@isayamgaza7716
@isayamgaza7716 3 года назад
An nyung ✋✋ karibu LUSHOTO TANGA,, 🌷🌺🌷 kijiji cha Goka, Fuizai
@hawahkhalfan9257
@hawahkhalfan9257 3 года назад
Nice girl kwa miez michache lakin umeweza kuongea kiswahil kwa kias fulan ambacho unaelewea vizur sanaaa
Далее
Lava Lava - Magufuli Baadae
2:51
Просмотров 898 тыс.
Elden Ring DLC - ПОДОЖГЛО ПОПУ!
07:26
Просмотров 407 тыс.
Kala Jeremiah ft One Six - Wosia
3:20
Просмотров 173 тыс.