Тёмный

Mika Chavala wa Swahili Nation: Niliondoka Korea sababu ya ubaguzi, nimekaa miaka 9, ni wabinafsi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mika Chavala Instagram - / mikachavala
Swahili Nation RU-vid - / swahilination

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION 2 года назад
Asante sana Legend! Wewe ni mtu pekee Mtanzania uliyenipokea nakunipa nafasi ya kushare passion yangu na Watanzania. Sitakusahau. Shukrani kwa timu nzima ya @simulizinasauti kwa kazi nzuri mnayofanya. Love you guys! #oneafrica #swahilination
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 года назад
Asante sana Mika na Swahili Nation team
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 2 года назад
Nilikua nikifatilia sana video reaction ulizokua ukifanya na yule msister wa kikorea
@comics3437
@comics3437 2 года назад
Safi sana kijana🔥
@ezekielabel5843
@ezekielabel5843 2 года назад
Namwelewa Sana huyu mpendwa,alinisimamishia Sana Imani,ya kumwamini MUNGU
@mariayoeni6657
@mariayoeni6657 2 года назад
Wewe ni hb
@doramramba5782
@doramramba5782 2 года назад
I love Mika, he is so passionate about Africa and his vission for One Africa inspires me a looot.
@emmanuellusambya7889
@emmanuellusambya7889 2 года назад
I love this Guy Mikka cause, he is the first/Big innoss'B fon,✊💪
@nanaleetz
@nanaleetz 2 года назад
Nlikuwa naipenda sana Skorea ila kumbe ndo hvyo😔duh
@EuniceNgede
@EuniceNgede 2 месяца назад
My brother hood mika❤🎉
@samniza1763
@samniza1763 Год назад
Nilifanya hivyo nilipokuwa Czechoslovakia 1987. Nimeingia kwenye lecture hall ya wanafunzi zaidi ya 300, mwalimu mmoja chini mbali ametoa lecture kiczechoslovakia nimetoka patupu na hiyo ni baada ya kusoma lugha mwaka mmoja, nilitoka pale nikaanza kulia kujiuliza kwa nini kaka kanileta huku???
@SamwelNyangala
@SamwelNyangala 2 года назад
Kaka Sky asante kwa video zako. Ombi: Ukiweka video mbili za interview moja tafadhali kwenye jina weka namba pia ili tujue kwa urahisi ipi ya kwanza ipi ya pili
@mulhtsuleiman3056
@mulhtsuleiman3056 Год назад
Natamani siku moja nifike korea 🇰🇷 inshallah 🙏
@thedon8467
@thedon8467 10 месяцев назад
Ameen
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 2 года назад
Interview nzuri,saf sana
@mkingasana400
@mkingasana400 2 года назад
Big up sana mzee umeupiga mwingi korea ...vip kulwa kanani mlikutana huko??
@Witnessvlog
@Witnessvlog 2 года назад
He is very smart.
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 2 года назад
Tujifunze kuwa wabinafsi kama wakorea
@francepaul7711
@francepaul7711 2 года назад
SWAHILI NATION TO THE WORLD 🌎
@belzylucas7275
@belzylucas7275 2 года назад
Bro sky interview zako zimekaa powa
@mbembelatv
@mbembelatv 2 года назад
Best interview 💪🏼
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 2 года назад
hao wanaija mbona wamepenya kira sehemu?
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 года назад
@10:19 uko right not only in Korea but the whole of Asia wanapenda ufanye kila kitu kama wao .mataifa mengine usipo fanya hate inaingia sorry to say ths but ni racist sana
@daudicharles8818
@daudicharles8818 2 года назад
Kwenye kazi bro umesema kweli na bata kwakweli wanachapa sana kaz
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
nimeipenda sana
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 2 года назад
Presenter una sauti nzuri sana. Watching from Miami USA 🇺🇸
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 года назад
Shukran Kwa niaba
@faithzamani1965
@faithzamani1965 2 года назад
Mume wa mtu huyu
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 2 года назад
@@faithzamani1965 kwani Waume wa watu hawafai kuwa na sauti nzuri. Una akili duni wewe.
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 года назад
Lazima awe proud na vitu vyenu.
@muranisalim3572
@muranisalim3572 2 года назад
Wow
@sugashTv
@sugashTv 2 года назад
Tumekuwa na yeye hapa Seoul kwa miaka zaidi ya 6 Na tulikuwa katika scholarship moja pia
@yohanalukanga6263
@yohanalukanga6263 2 года назад
Nakubali mkali
@allykibatz1556
@allykibatz1556 2 года назад
Kuna Millard Ayo na Erick Bundala sky ndo nyumbani
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 2 года назад
Kweri Kaka Ubaguzi Upo, Ukitaka Kuuona Tembea Europa Ama Asia Ndo Uta Amini na Kuuona Kweupe Ogopa Mzungu 😱😢😡😡🇰🇪
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 года назад
Sizazi Kama mzungu anawashinda watu wa bara la asia
@allahisone6386
@allahisone6386 2 года назад
@@mariamdimosso621 Eeeeeeeeeeh 🙄🤭 Hatareeee
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 2 года назад
Jamaa alikua akipiga kazi mno
@davidmpulumba4039
@davidmpulumba4039 2 года назад
Nipo china 4 yrs unachosema bro kuhusu korea ni the same na ni nacho kiona china huku china bibi kizee wa Miaka 70 anaosha vyoo club na ana mtoto ni boss so naona utafoaut mkubwa xana kati ya africa na Asia
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Duuuuu Korea kama Bangladesh
@mzhsk1386
@mzhsk1386 2 года назад
Ulijiona upo kwenu eeh
@jameskilasa759
@jameskilasa759 2 года назад
mie nauliza asali yuko wapi yule binti mcheshi sana
@bitecastory2137
@bitecastory2137 2 года назад
Hongera sana mhehe og mwezetu kwa kutuwakilisha Wana iringa
@elizabethmasters5998
@elizabethmasters5998 2 года назад
Yule raisi wa Korea kaskazini ni kaksi sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@daudicharles8818
@daudicharles8818 2 года назад
Mi niko Korea mpaka sasa ila ubaguzi sijauona kwa watu ninaojuana nao ni wakalimu na wanaupendo wa kutosha isipokua kwa mtu ambae hujuani nae hawezi kukushobokea kama Tz
@FatimeAmany-ms1ky
@FatimeAmany-ms1ky Год назад
Oy bro sorry lakin natak kufika huko , vp visa itanicost bei gani mzee
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 года назад
Ukitaka kujua hadhi yako kama muAfrika tembea duniani ndio ujielewe vyema!
@minjesha
@minjesha 2 года назад
Hapo kwenye pesa mika amewapiga..😅😅😅 nani akupe milioni 7 uki perfom vijidakika kidogo tu..hapo alipewa laki tatu..ambayo kwa tz shillings ni laki sita..ni hayo tu
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 2 года назад
Sasa adanganye ili iweje
@minjesha
@minjesha 2 года назад
@@smavilifestyle2471 kwamba huamini nachokisema au??
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 2 года назад
@@minjesha najiuliza kwa nn adanganye na kubwa zaid haukuwepo wakat wanapewa..3000 unadhan ni hela kubwa kwa watu wenye hizo hela..jus be positive, hukuepo eneo la tukio
@minjesha
@minjesha 2 года назад
@@smavilifestyle2471 hahaha yani huku mitandaoni mnajiona mnajuaga kilakitu..sasa unavyoongea utasema wewe ni unajua kuliko mimi..navyoongea hivi najua maana naishi huku..yani hata huyo mikka nimekuja kabla yake..hakuna mtu anaweza kukupa milioni saba ukiperfom vijidakika tu..unless uwe star kama kina bts na wengine..mika hawezi kupewa hiyo hela piga ua garagaza..
@faithzamani1965
@faithzamani1965 2 года назад
@@minjesha nataka kuja korea
@marthamayalla1719
@marthamayalla1719 2 года назад
Siungemuoa tuuu jamani
@mzhsk1386
@mzhsk1386 2 года назад
Ulijiona upo kwenu eeh
@lulually5209
@lulually5209 2 года назад
Nenda ww tuone km ni rahisi
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
Dunia yote ni kwetu,ni wewe huwezi kuifanya dunia iwe nyumbani. Wewe unajipangia lakini marekani, ulaya, China wanataka hata unapoishi ni nyumbani kwao. Just get out
@mzhsk1386
@mzhsk1386 2 года назад
@@narrissajackson3869 nani kasema hivyo mungu kila nchi kaweka mipaka kwenu ulipozaliwa ndio maana huwezi pata tabu za kibaguzi kwan ss si tunaish nje ila hatusahau makwetu na wala hatunashobo na mambo yao
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 2 года назад
@@mzhsk1386 kuna watu wanabaguliwa kwao 😂
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
Maisha Korea kusini vs Tanzania,Mambo usiyoyajua
26:48
Просмотров 2,9 тыс.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21