Тёмный

Mrembo wa JUX (CAREN BUJULU) afanya maajabu makubwa, aifanya SHUGGA DADDY kuwa Hit Song 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 4 тыс.
50% 1

#jumajux #carenbujulu
Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@stevenmnyawonga3882
@stevenmnyawonga3882 Год назад
Jux anajitahidi sana kuongea kiswahili fasaha. 🤛
@nurdinhassan5455
@nurdinhassan5455 Год назад
Pia maneno Waga❌ au huwaga❌, si Kiswahili sanifu. Tumia neno HUWA☑ kwenye sentensi zako, na wote wanaotumia hayo maneno ya awali. Aidha msiongeze "ga"❌ mwisho wa maneno yaliyokamilika. Mfano Nakupenda ☑ sio nakupendaga❌. anakujaga❌ wakati inatakiwa kusema huwa anakuja☑, kama hilo neno nasemaga❌, usahihi wake "huwa nasema" ama "mara nyingi nasema au mara kwa mara nasema ☑n.k
@ramadhanhusein5612
@ramadhanhusein5612 Год назад
Wewe nawe unataka kiswahili kifanane ? Hicho ni kiswahili cha Arusha usifanye ujuwaje , Lugha yeyote Huwa inabadilika kadri zama zinavyoenda
@Joshua-gl1pe
@Joshua-gl1pe Год назад
Wa kwanza naomba likes zenu jaman
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 Год назад
Unafanyia nn likes 😅😅😅😅
@Joshua-gl1pe
@Joshua-gl1pe Год назад
@@chocolatevivian830 😂🤣😂
@Joshua-gl1pe
@Joshua-gl1pe Год назад
@@chocolatevivian830 nazitaka tu
@pendonoor8869
@pendonoor8869 Год назад
Minauliza, Mtoto wa Kajala Paula atasema nini kuhusu midomo hio ya Jux! Jamani asijaribu kumudete!
@nurdinhassan5455
@nurdinhassan5455 Год назад
Wasanii mnatakiwa kuongea lugha sanifu, hasa kwa hilo jina lenu la kioo cha jamii, Nakusahihisha "si nyimbo inafanya vizuri" ulitakiwa kusema "wimbo unafanya vizuri". Nyimbo (nyingi) ni wingi wa neno Wimbo (mmoja) Hapo dakika ya 2:11 nakusikia umechanganya maneno yote mawili kwa maana moja. Yani hujafahamu tofauti ya hayo maneno. Hebu jamani tujitahidi kunyoosha kiswahili chetu, sisi Watanzania ndio wenyewe linapokuja suala la lugha hii adhimu, watu wa nchi jirani na duniani wanajifunza kutoka kwetu.
Далее
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.
Outsmarted 😂
00:20
Просмотров 2 млн
FUN DINNER DATE WITH 2 MBILI - Dem wa Fb
14:07
Просмотров 12 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.