Тёмный

Ukweli wa Maisha ya Kutisha gerezani kwa MFUNGWA anayesubiri adhabu ya KIFO 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 2 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 часа назад
Mwenyez mungu awape moyo wa uvumilivu wafungwa wote waliohukumiwa kunyongwa
@MasterTulo
@MasterTulo Час назад
Ehe mwenyezi Mungu waonee huruma watu si kwamapenz yangu bali ni kwa mapenzi yako
@NasraDadiuba
@NasraDadiuba Час назад
Usikufuru
@AllywapiliAllywapili
@AllywapiliAllywapili 51 минуту назад
Naomba kujifunza. Hapo wapi kakufuru?​@@NasraDadiuba
@MasterTulo
@MasterTulo 2 минуты назад
@@NasraDadiuba iman yangu naww ni tofauti kwahy sijakufuru hapo nimewaomba rehema za mwenyezi Mungu kwa hao wafungwa kama huelewi maana ya neno rehema fuatilia zaidi utajua
@allychilinga1958
@allychilinga1958 30 минут назад
Allah atunusuru na Mitihani itakayopelekea kuishia gerezani na kunyongwa..
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 47 минут назад
Tanzania nyongeni walioua wanarudigi kufanya nini uraiani jamanieeeh 😢
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 часа назад
Mwamba Fredrick bundala ujawahi kutuangusha, Kutoka Gikombaa Nairobi
@thebabilon7
@thebabilon7 2 часа назад
Dah😢😢
@dulakibali
@dulakibali 2 часа назад
Inauma sana aisee mtu anapohukumiwa adhabu ya kifu 😢😢
@Saikalyasi
@Saikalyasi 2 часа назад
Jela kubaya sana Allah atulinde😢
@ZainabJolie
@ZainabJolie 2 часа назад
Jamal april ndo aliipatia hii mada maana aina za mateso kaziadithia sep by step yaani unaiona adhabu yenyewe live kwa kuadithia tu
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Час назад
Uko sahihiii.🎉🎉
@MuhemeliChikoti
@MuhemeliChikoti 29 минут назад
Sasa kwa nini umesikiliza wakati ulishapata ulichotaka kusikia?
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 часа назад
Tanzania waongeze hukumu ya kifo ikiwezekana mana ushenz ni mwigi
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 часа назад
Ww ni pumbafu tena shetan mkubwa mtoa ukumu ya kifo ni Mungu tu, ujui kuna watu wananyogwa kimakosa 😢😢 pumbafu ww mwenyew unawez kunyogwa kimakosa
@MohammadNickodem
@MohammadNickodem Час назад
🎉🎉🎉🎉
@IceCube-o6s
@IceCube-o6s 2 часа назад
Usisahau kutuletea historia ya Soviet Union 😢😢🤦🤦
@BoniphanceAndrew
@BoniphanceAndrew 2 часа назад
Naunga mkono
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 часа назад
Safi
@TajiriMilele
@TajiriMilele Час назад
How death row inmates spend their final days. English version.
@billskeez92
@billskeez92 2 часа назад
Nipo pale wadau nipeni like zenu bas
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 часа назад
Tanzania waongeze hukumu ya kifo ikiwezekana mana ushenz ni mwigi
@MohamedHilali-v4t
@MohamedHilali-v4t Час назад
We tema mate chini huijui kesho yako na staghfiru kwa mungu wako
Далее
Israeli Army Special Forces
1:00:36
Просмотров 476 тыс.