Тёмный

Mrisho Mpoto - Asanteni Kwa Kuja (Official Song) - Waite 

MrishoMpoto
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 278 тыс.
50% 1

Buy it from iTunes: geo.itunes.apple.com/in/album...
Watch and share "Asanteni Kwa Kuja" song by Mrisho Mpoto. SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/1uNJIXi
#LISTEN | #LOVE | #SHARE

Видеоклипы

Опубликовано:

 

9 ноя 2014

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 143   
@clementbasil5656
@clementbasil5656 6 месяцев назад
R.ip my brother Hussen hii ndio ilikuwa nyimbo yetu kuu kwenye 113 Scania tukiitafuta cobgo 🇨🇩
@sweamlekwa4091
@sweamlekwa4091 3 года назад
2020 November still looking it who is else looking like me, drop your like and comments here
@moviedipdozen550
@moviedipdozen550 9 месяцев назад
Huu ni Wimbo wa huzuni, Maneno ya marehemu siku ya Msiba wake.
@khamiskhamis7649
@khamiskhamis7649 3 года назад
Kama umeangalia hii ngoma 2020 gonga like
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 лет назад
huyu jamaa noma ina utaji akili sana kuelewa nyimbo zake hii moja ya nyimbo bora sana muda wote toka kwake hongera mrisho
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 лет назад
Mjomba mimi nataka unifunze kiswahil basi
@user-nm5kx1we8q
@user-nm5kx1we8q 3 месяца назад
Napenda ubeti WA mwisho mrisho Asante apo ushagonga ndipo❤❤❤
@justuskalori7322
@justuskalori7322 6 лет назад
Huu ndio ufundi wa fani za Kiswahili. Ujumbe mkuu na mapigo mazito ya ala za kiswahili. Heko Mrisho nakuonea gere kwa moyo mzuri.
@mzeewahisia9959
@mzeewahisia9959 3 года назад
We ni pacha wa jina langu
@mwambamarekebisho9499
@mwambamarekebisho9499 4 года назад
Mrisho Mpoto-mara ya kwanza Mimi kuskia nyimbo zako ni takriban miaka kumi ilopita nikiwa matembezi maeneo ya Taita Taveta -Kenya ,nikiwa nimetokea maeneo ya Magharibi-Kakamega.tangu wakati huo nimebaki kuenzi kazi yako "Mjomba kila kukicha heri ya Jana..... "
@pendaeliimma
@pendaeliimma Год назад
Kumbe tuko pamajo
@yomyoelfaustinomwenda738
@yomyoelfaustinomwenda738 4 года назад
December 2019 Nan anaangalia mwaka huu
@saidandosi9963
@saidandosi9963 8 лет назад
Tanzania big up kaka
@harryching7976
@harryching7976 3 года назад
Ango I'm from Nairobi Kenya I like you music
@kayhflo1238
@kayhflo1238 3 года назад
I have seen Mrisho on stage.....he is a gem 💎. I'm excited everytime I come across his work. Hongera Mrisho kazi nzuri kilawakati.🇰🇪
@emmanuelkilongo9928
@emmanuelkilongo9928 2 года назад
naisikiliza tena hii nyimbo yenye mafundisho...mwaka 2021...tarehe 28 mwezi 12....
@boniphacemabele4502
@boniphacemabele4502 3 месяца назад
2024 bado ujumbe mzuri sana
@jobngera3892
@jobngera3892 7 лет назад
Mimi namkubali mjomba mpoto kwa mashairi ya mafunzo
@nicodemusekesa5872
@nicodemusekesa5872 3 года назад
Baba napenda huo utunsi
@gustavemandela1241
@gustavemandela1241 5 лет назад
A colabo between these guy na nyashinski will be an anthem
@lonnelmuta635
@lonnelmuta635 6 лет назад
.hongera pana sana Mjomba..wazo zito la kutafakari .
@pikutunyi
@pikutunyi 8 лет назад
Mpoto, U mjomba kweli. Unafundisha kwa mashairi haya.
@enockheche5917
@enockheche5917 6 лет назад
Anaelewa maana ya huu wimbo anisaidie manake nausikiliza sielewi Mjimba anasema nini ila nahisi kama nikiusikia napata huzuni kutokana na hii ala ya wimbo
@shakurfaith
@shakurfaith 5 лет назад
Anaongelea hukusu mauti. Safari ya kifo!
@estonsanga9355
@estonsanga9355 4 года назад
Nyimbo zake mpk sizonje ni mpangilio,hapa yupo safarini kwenda kwa mjomba,hapa ni baada ya kupata nauli,wazazi wanapima uwezo wake kama ametosha kusafiri peke ake,wanajua sasa amekuwa,anaweza kuufikisha ujumbe kwa mjomba,hata yeye anafurahi sana kuona siku ya safari imefika,ajabu lipo kwenye wimbo unaofuata,anakuta mjomba haambiliki,lkn angalau anawaza kuongea na Adela,anaamini Adela ataongea na mjomba,mjomba ambaye ni msiri wa Adela,bado hats Adela hakufikisha ujumbe,basi namna ikafa,ikabidi zichochewe kuni,labda mjomba aondolewe tu,ameshindwa kutusaidia wajomba zake,atoke tu,,lakini mwisho ni sizonje(sizo za nje)jmn ni baada ya mjomba kutupisha hata hivyo amefeli na alitakiwa Kuwaita kwenye WAITE awaite wenzie ambao alishirikiana kuharibu na kujinufaisha wakiita vijisenti walivyoiba,okay nimalizie huyu sizonje ni mgeni kwenye nyumba ya vyumba vinne,ni mtu ambaye wenye kuiendesha nyumba hawajamwelewa bado,lakini hata hivyo wanamshawishi wamjue ili sauti zilizo zoeleka zimrubuni,hata hivyo anaonywa sizonje asiingie kwenye chumba hicho,hiyo ni 2016.
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 4 года назад
@@shakurfaith haaaahaaa kwani sialisema akipata nauli sasa zilichangwa sasa ndo anasindikizwa safari yake hivo anawashukuru waliokuja kumsindikiza safari ya kwenda kwa mjomba wake
@charlesamri5461
@charlesamri5461 4 года назад
Sawa sawa mhenga
@mbonde_afripoetry9670
@mbonde_afripoetry9670 7 лет назад
Mjomba ni shida tisha sana
@user-yd6cv8ft1u
@user-yd6cv8ft1u 7 месяцев назад
Nayakumbuka majibu yangu kupewa..
@shabanissa2027
@shabanissa2027 7 лет назад
mjomba nakukubali xana
@amanimwidowe4632
@amanimwidowe4632 4 года назад
2020 nakushukuru mungu kuona siku kama ya leo
@wemamsele4669
@wemamsele4669 9 лет назад
Napenda sana kazi zako kaka mrisho tena huu wimbo wa tukutane octoba nime upenda sana hongera kwa kazinzuli ya kuerimisha taifa
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 8 лет назад
acha ushamba tofautisha kati ya li na ri
@hadijashabani2686
@hadijashabani2686 6 лет назад
👏👏mjomba☝☝☝💃💃🔥nyimbo zako zimaana sana zimejaa methari😢👏💪
@doublekip7504
@doublekip7504 Год назад
I always tell myself the Day I will be flying out of Kenya 🇰🇪🇰🇪 and I have a congregation to address, I Will Play this song to them out of love 💕
@eliassuleimany5145
@eliassuleimany5145 Год назад
the meanimg of this song is defferance you think hapa alikua akizungumzia siku ya kifo listean carefully
@austinmabele3132
@austinmabele3132 4 года назад
Kweli nakupenda ewe mrisho,
@zachariajuma9533
@zachariajuma9533 4 года назад
Kabeba Mara sita ( kabeba jeneza)
@duncanwandati2111
@duncanwandati2111 4 года назад
Fasihi simulizi kwenye kazi fasaha
@isaacmpongano6874
@isaacmpongano6874 6 лет назад
Hongera sana Mjomba kwa nyimbo nzuri zinazofundisha!.
@petermaghembe5363
@petermaghembe5363 7 лет назад
namkubali mjomba mpoto
@salummbaruok9408
@salummbaruok9408 4 года назад
Nyimbo hii had leo cjpt maana yake
@michaelkalunga5305
@michaelkalunga5305 4 года назад
Kifoo ichoo nd maana yake
@shamcahmad5146
@shamcahmad5146 7 лет назад
Namkubali sana mjombaa
@magdalenapaul5222
@magdalenapaul5222 7 лет назад
mjomba upon vizur
@emman3009
@emman3009 3 года назад
Nampenda Sana huyu mwrisho. Kuanzia kwa Ala za muziki. Huu ni uhifadhi WA utamaduni. Anafaa awe kwenye maktaba zote zonkuhifadhi histori
@kingzito31
@kingzito31 8 месяцев назад
Huu ndio wimbo wangu Bora wa muda wote kutoka kwako kaka,una hisia kali sana
@abdullatifmbago5990
@abdullatifmbago5990 2 года назад
Alioaikiliza nyimbo hii 2022 tujuane
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940
Hewala! zidi kupaa gwiji. Upo juu tu sana.Najivunia kuwa Mwafrika.
@youngeric9928
@youngeric9928 4 года назад
Poleni sana kwa kuja...
@mabestmabest7906
@mabestmabest7906 8 лет назад
wafunza mjomba big up
@edwinewanyonyi1503
@edwinewanyonyi1503 4 года назад
Mjomba mbona huleti nyimbo zako hapa nchini kenya
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 года назад
Video nzuri
@jobngera3892
@jobngera3892 7 лет назад
big up uncle mrisho, mpoto for your great contribution in poetry industry.
@allysaid4912
@allysaid4912 6 лет назад
Job Ngera hongera Anko mrisho nakukubali Sana
@selinapaul2529
@selinapaul2529 6 лет назад
wao nimeamini kuwa shairi ni lugha ya busara yenye maneno ya hekima. ila kukuelewa inahitajika uelewa wa ziada
@emmaculateatieno8823
@emmaculateatieno8823 5 лет назад
Mpoto una mafumbo 😱akili kichwani.
@jumamayeji9031
@jumamayeji9031 Год назад
Mimi ni mmoja wa wale waliozaliwa kwa kutanguliza miguu Ina maana hatuna adabu? Amenikwaza Sana.
@freythadea9318
@freythadea9318 5 лет назад
Kazi nzuri yenye kuelimisha
@lacksonisibhu7736
@lacksonisibhu7736 3 года назад
Naomba mpunguze mwendo, mzee Mpili siwezi kumlaumu Maana umri umepita Sasa, naomba msiende mbio mtamuacha wakati na yeye ana nia ya dhati kushuhudia safari yangu ...... 😂😂😂😂😂 2021 baada ya kuona Instagram post
@williamemanuel3514
@williamemanuel3514 5 лет назад
Upo vizur mrisho mpoto
@bonaventurethomas3989
@bonaventurethomas3989 7 лет назад
upo vizuri mjomba big up mkuu
@lucynjoki4322
@lucynjoki4322 3 года назад
Ukweli mtupu mjomba,nazipenda Sana nyimbo zako 💜💜💜
@mutembeinguthy9865
@mutembeinguthy9865 5 лет назад
Ongera kaka ingawa Kiswahili chanipita
@emanuelimarseli1299
@emanuelimarseli1299 4 года назад
Huyu jamaa anaongeaga ukweli mtupu
@adamrashid4658
@adamrashid4658 8 лет назад
Mjomba nakupa heko
@silasirufungulo5418
@silasirufungulo5418 5 лет назад
nampenda sana mjomba
@hassanaliali1117
@hassanaliali1117 8 лет назад
mrizo unatishaa
@user-qi6ql1lp9k
@user-qi6ql1lp9k 2 месяца назад
Imetulia mno
@simonmerinyo5060
@simonmerinyo5060 7 лет назад
safi sana kaka mpoto!
@kibzz1
@kibzz1 8 лет назад
Shairi zuri sana Mrisho kazi yako nzuri. "ama kweli ukiona paka kakubali kulala chali aanza kuomba ruhusa kazini."
@bonifacejackson
@bonifacejackson Год назад
Maana yake nn huu msemo kiongozi?
@flavianamwaunga1310
@flavianamwaunga1310 5 лет назад
Ulianza kutoka miguu baada ya kichwa yaani huna adabu mmh!!! Umetisha uncle
@saidmailo8491
@saidmailo8491 11 месяцев назад
Kichaa mwenye vituko Mapema afungwe kamba,akizidi sokomoko. Tena sio ya mgomba,ataleta tetemeko. Ovyo ovyo kutuchimba,na kutafuna mbeleko. Kichaa mwenye vituko,mapema at iwe kamba. Huku dua tukiomba atulie chokochoko. Tusimwache anatamba,vitapotea vicheko. Shairi atutaimba ,na kucheza mdundiko. Kichaa mwenye vituko,mapema at iwe kamba.
@99graphix
@99graphix 8 лет назад
Katika miondoko ya Lizombe na Chitoto...!
@adbulmande7011
@adbulmande7011 5 лет назад
Wengine watakwambiya kaanza kutoka miguu maana yake hauna adabu axante mjomba
@conrado.
@conrado. 2 года назад
Kenya we love u
@leahlongino7903
@leahlongino7903 7 лет назад
nakukubali sana mjomba
@mahesenitunduma2438
@mahesenitunduma2438 9 лет назад
uko vizur kaka mpoto
@mohamedkaka653
@mohamedkaka653 7 лет назад
mjomba unamafunzo nakubali
@graceamran326
@graceamran326 Год назад
Mrisho kaka nakupenda sana yani nizaidi ya wosia mzuri sana
@vignykakule7346
@vignykakule7346 4 года назад
Big up uncle!!! Toka DRCongo.
@kisakawafula7217
@kisakawafula7217 3 года назад
I like your style coz you keep it Africa thank you
@norascombedule1057
@norascombedule1057 5 лет назад
Asanteeni
@saitotivictor3545
@saitotivictor3545 3 года назад
Bado nasikiza 2021 may14
@ayoubshaibu7147
@ayoubshaibu7147 3 года назад
may 2021
@samuelogola2922
@samuelogola2922 5 лет назад
my favourite song ever
@christophermwambwiga1452
@christophermwambwiga1452 Год назад
Ni zaidi ya darasa
@jobmwakayoka9876
@jobmwakayoka9876 8 лет назад
Nice song.
@mawazojames9729
@mawazojames9729 4 года назад
Huwa nakuelewa sana live longer
@adijahomar7987
@adijahomar7987 4 года назад
hongera kaka
@ezrambilinyi6788
@ezrambilinyi6788 3 года назад
Me cjaelewa kituu khaa uyu jamaaa dahhh 😂😂
@sidadkimbwelu5955
@sidadkimbwelu5955 6 лет назад
Baba kaja na swali mama kanipa jbu
@kevinnasibu7284
@kevinnasibu7284 Год назад
Mrisho you deserve respect💯💯
@vinianfwalo7644
@vinianfwalo7644 6 лет назад
Yan kujua maana ya mashairi ya mjomba lazima ufikirie Zaid ya Mara 1
@twahaibrahim2767
@twahaibrahim2767 4 года назад
Ukielewa haraka ujue hujaelewa
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 4 года назад
Huwezi kuelewa kirahisi hivo
@norascombedule1057
@norascombedule1057 6 лет назад
poleni
@singlemother4936
@singlemother4936 7 лет назад
asiejua maana haambiwi maana na ukimuambia maana atasema unamtukana, wanao dislike nyimbo za mjomba hawajielewi
@stephenmutiso731
@stephenmutiso731 Год назад
Hongera Mjomba
@desterianonchari4131
@desterianonchari4131 8 лет назад
gwiji.
@shadrackdamiani1418
@shadrackdamiani1418 3 года назад
Like za 22 5
@icapaoffice1592
@icapaoffice1592 2 года назад
axnt xn mjomba kwa style yako ya kipekee maana hauna mpinzani, one love from Burundi
@user-zb9wn5ui7k
@user-zb9wn5ui7k 8 месяцев назад
Kazi zote nilizo sikia za kwako zinanijenga
@mangaramark5627
@mangaramark5627 Год назад
Ni maneno inayotia mutu nguvu
@thomasmnangat6819
@thomasmnangat6819 3 года назад
Nice
@daisyesilaba5962
@daisyesilaba5962 6 лет назад
I just found this channel and I can't help but awe!!! This is so different and inspiring. Ahsante mjomba
@kush_kidy97
@kush_kidy97 3 года назад
2021 👂
@mwitaadah3649
@mwitaadah3649 3 года назад
2020❤️
@atleyutonga6131
@atleyutonga6131 4 года назад
Kwa Mwenye kujua kitu tafsiri ya wimbo huu jamani. maana mashiri ya Mjomba yahitaji kichwa kikubwa katika Fasihi, na kama mjuavyo Fasihi haina maana moja.
@hamadimahimbo7689
@hamadimahimbo7689 Месяц назад
Inazungumzia Siku Ya Yake ya Mwisho, (Kufa na Kuzikwa).
@issahassan8749
@issahassan8749 4 года назад
2019
@omarysalum6140
@omarysalum6140 2 года назад
God mjomb
@marythobias3824
@marythobias3824 3 года назад
21/3/2021
@bonifacejackson
@bonifacejackson Год назад
2022 Bado nakuskiliza japo sielewi maana yake ila mashairi ndio yametulia kusema kwel
@juliemongi6620
@juliemongi6620 4 года назад
2019 November 🔥
@sweamlekwa4091
@sweamlekwa4091 3 года назад
November 2020 bado naicheki nani mwingine
Далее
Salamu Mjomba
5:29
Просмотров 47 тыс.
Darassa Ft. Winnie - Nishike Mkono (Official Video)
5:24
Linex - Wema Kwa Ubaya
4:42
Просмотров 513 тыс.
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
Msodo Ngoma Music Band Mtanikumbuka Official Video
7:48
MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
5:34
Nikipata Nauli
6:21
Просмотров 1,5 тыс.
Басстер - Салони BMW | 2024 | comeback
3:49
YULDUZ USMONOVA -AYAMAY(PREMYERA)#2024
3:17
Просмотров 708 тыс.