Тёмный

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Mrisho Mpoto 'Mjomba' alipofunguka 'ya kutosha' kuhusu sanaa na soka 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Ni msanii mahiri wa mashairi na nguli mwenye staili ya kipekee ya kughani, Mrisho Mpoto almaarufu 'Mjomba' ndio mgeni kwenye #NyundoyaBaruanMuhuza.
Unajua kuwa Mpoto ni shabiki wa Simba SC 'kindakindaki'?Unajua kuwa licha ya kufeli darasa la saba lakini usanii umempeleka kusoma kwenye vyuo vikuu vingi duniani?
Unamjua 'Mjomba? aliyekusudiwa kwenye nyimbo yake ya 'Salamu'?
Gwiji huyu amefunguka yote hayo kwenye #NyundoyaBaruanMuhuza na ameendea mbali zaidi kwa kuweka ahadi dhidi ya Yanga SC.
Tazama mahojiano haya mazito.
Nyundo ya Baruan Muhuza ni kila Alhamisi saa 1:00 usiku, Azam Sports 2.

Спорт

Опубликовано:

 

20 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@husseinzaidi6059
@husseinzaidi6059 5 лет назад
Safi sana Mrisho mpoto, wewe ni dira kwa vijana
@medardjustinian5223
@medardjustinian5223 5 лет назад
Katika Nyundo zote,hii ni superior, hakika
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Elimu ni muhimu lakini sio kila kitu ndani ya maisha. Commitments and determination is the real life goal.
@jamesadrian4557
@jamesadrian4557 5 лет назад
Baruan upo vzr sana...bonge la kipindi nakipenda sana
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 лет назад
Wanaokubali kuwa hii ndo nyundo bora kabsa gonga like za kutosha hapa
@mwenemaseko4921
@mwenemaseko4921 5 лет назад
barwan is one of the best,maswali mazuri sana watangazaji wengi vijana you need to learn from him.
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 лет назад
Leo walikutana manguli na magwiji kweli kweli.Kwangu mimi ngoma drooo wote.Majadiliano bora kabsa wala hutamani yaishe ila mpoto kichwa sn japo hajasoma elimu rasmi
@chidiomari.65
@chidiomari.65 5 лет назад
Kwangu mimi, mpoto ni mtu muhimu sana ktk nchi yetu, pia jamii inawahitaji wakinampoto. Kiswahili ni lugha yetu lkn tumeshindwa kukiishi lkn mpoto anaishi uhalisia wa kitanzania na uafrica pia.mpoto ajue kwamba tupo tunaemfuatilia na anatuelimisha sana sana na pia mpoto ni mzalendo wa kweli....Mjomba tupo pamoja mi nakuelewa sana.
@medardjustinian5223
@medardjustinian5223 5 лет назад
Muhuza Leo umekutwàaaaaa,raha sana hii nyundo
@mikenjeru9699
@mikenjeru9699 4 года назад
mrisho mpoto motooooo fani sugu hapa Kenya
@chrismutisya
@chrismutisya 5 лет назад
Jamani, Mrisho ana jajiriba na weledi mwingi katika ushairi.
@yassinudd4422
@yassinudd4422 5 лет назад
baruani, show moja nzuri sana.
@abdumnubi2877
@abdumnubi2877 5 лет назад
Mpoto ana vitu vingi sana
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 года назад
best of Burhani...great interview
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 года назад
bright guy ....Mpoto
@paulineochami578
@paulineochami578 3 года назад
From kenya namuenzi sana Mrisho mpoto
@punchmalcom106
@punchmalcom106 5 лет назад
Baruan kweli Leo umekutana na kichwa , katika vipindi vyako vyote ninavyokufatilia hapa leo nimefurah sana
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 Mpoto ni mtata saaaana,Hataki habari za bangi
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 5 лет назад
safi sana azam tv tunapata burudani kupitia youtube ila muwe mnaweka pia za racing shows maana miezi miwili sasa hamjaweka youtube
@mrishomzelela4627
@mrishomzelela4627 5 лет назад
nice program
@joachimlema3299
@joachimlema3299 5 лет назад
Kweli hii ni nyundo
@amananassor524
@amananassor524 5 лет назад
nipo jeddah saudi arabia upo pamoja
@paulomrisho19
@paulomrisho19 3 года назад
Mrisho mpoto 💥💥💥💥
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 5 лет назад
Jambo la uongo likirudiwa saaana litaaminika na kuwa kweli mstar huu nimeukubali
@ylosvijevana6815
@ylosvijevana6815 4 года назад
Mpoto ana Hasira
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Ukiwa unajua kusoma na kuandika, umepata mafanikio na unaendelea kupanua mafanikio yako kifedha, kiroho na huna matatizo yoyote kimaisha, kwanini unataka kurudi tena skuli? Just focus on your music business going back to school now, it is not too late but it will set you back somehow.
@hamisimashaka4899
@hamisimashaka4899 3 месяца назад
MJOMBA ni kiongozi yoyote yule anaepewa Majukumu ya Kuwatetea wananchi wake
@eliapendakileo4787
@eliapendakileo4787 5 лет назад
Dah baruan we nimkali dah hyu jamaa alikuja arusha alitujibu kiutata balaa ila leo kajibu yote ila kwakinyumenyume
@jryoungsolderp4397
@jryoungsolderp4397 4 года назад
Ok
@alexfrance5486
@alexfrance5486 5 лет назад
Kutembea peku ni dawa kitaalamu inaitwa foot massage( Reflexology)
@mussalila4547
@mussalila4547 5 лет назад
Mamae jamaa anamaswali magum mpaka MTU unataman kuomba poo
@enjoychristopher3863
@enjoychristopher3863 5 лет назад
tunakukubali mjombaa pongez kwako
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Kupitia hii interview leo ndio nimejua harusi ya mpoto keki ilikua boga na madafu 😂😂😂wallah nimecheka eti kisamvi namihogo😂😂
@tchinhonacir9222
@tchinhonacir9222 3 года назад
Jamani naomba jibu kwanini mrisho Havai viatu?
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 5 лет назад
Nimekupata mjomba, unaweza kutukumbusha mwalimu aliyekwambia wewe ni hamna kitu tuondolee maladhi? Na kama bado yupo je? yeye ni nani kwa sasa? Kwamaana ya kwamba anafanya kazi gani? "KUFELI KWA MASOMO SIYO KUFELI MAISHA "
@ramsonilkamafa3162
@ramsonilkamafa3162 3 года назад
anae jua anajua tu.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 лет назад
baruani wewe hunamfano kabisa kaka
@nurudinmwakisale1509
@nurudinmwakisale1509 Год назад
Pesa ndgu zangu
@mbojehamis4933
@mbojehamis4933 5 лет назад
Duuh... Mjomba uko vzur... ila miguu imekomaa kha..
@team_JosKenya
@team_JosKenya 2 года назад
Busara tupu kutoka kwake mrisho mpoto..
@ramsonilkamafa3162
@ramsonilkamafa3162 3 года назад
hivi Baruan Muuza umewahi kutana na mahojiano ya namna hii( magumu,utata,hasira,swali kua jibu la swali lako?)
@rashidimasoud558
@rashidimasoud558 4 года назад
😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@malikihemfaume3906
@malikihemfaume3906 5 лет назад
Mjomba usiwasahau wazaz ambao ni bibi na babu ( )
@elizabethotto1218
@elizabethotto1218 4 года назад
malikihe mfaume
@wisehood0417
@wisehood0417 3 года назад
Sir we need hormonize on your table
@jonahbosita8792
@jonahbosita8792 2 года назад
baruan napenda jinsi unafanya mahojiano yako,una busara isitoshe napenda kazi ya mrisho mpoto.
@johnceamos7504
@johnceamos7504 5 лет назад
Mpoto kama hana nyusi vile
@andersonchibule4761
@andersonchibule4761 5 лет назад
Heheheeee. Peku nayo
@mbwanahassan3371
@mbwanahassan3371 5 лет назад
mrisho mpoto mambo anayoyafanya ni kweli ndivyo alivyo nimeishi nae alikuwa rafiki yangu wa karibu toka anatoa shairi lae titi la mama ni tamu pale mabibo namkubali sana
Далее
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 8 млн
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 14 тыс.
MRISHO MPOTO :ACHA KUTEMBEA PEKU MZIKI WAKO NI WAWAZEE
22:38
Nerd TOYS with Defender’s ANKLES
0:40
Просмотров 15 млн
Тренируй дриблинг😁🤣
0:11
Просмотров 556 тыс.
Мбаппе, ты где?
1:00
Просмотров 670 тыс.