ilikuwa wakatii was baba mwinyii baba ruhusaa mzee akingiya mzee mkapaa ndio ilibebaa gari baba plz angaliya kumbukumbu za cc TV utapata ukwelii pia kama hainaa pia angaliyaa document itaoataa uthibitisho mumu nikomfamiyee plz
Ila we jamaa Ni mnafiki Sana,njaa mbaya,kumbuka una kaburi lako ktk kipande Cha ardhi. Shairi lako la ikulu ya chamwino na huu wimbo unakuonyesha jinsi mdomo wako unakaa la Moto. Acha unafiki,acha unafiki,acha unafiki MUOGOPE MUNGU.