Naam vijana wanakuja namna hiyo! Wanapita njia zilezile hizo zote ni athari nzuri za Mwalimu wetu swahiba wetu Othmani Maalimu ... Allah atujaalie Mwisho mwema..
Mpe heshima yake kiogozo wetu Mtume wetu S.A.W usilitaje jina tupe sio kiumbe wa kawaida kama mimi na wewe rudia hata mara 1000 najua ni kuhafilika bado mpya ila tunakumbusha ndugu yetu sheikh wetu Allah akuhifadhi kwa kila baya Inshaa Allah
Sham Zone ما شاءالله Mwenyezi Mungu Mkubwa kamjaalia huyu kijana kuweza kuhifadhi Mawaidha ya Sheikh Othaman Maalim pamoja na Sauti. Allah amjaalie fahamu zaidi Aamiyn
Mashallah ,Hakika nimefarijika kuona matunda ya shekhe Othman Maalim. Ama watu wa Kenya walipombeza shekhe Othman nalukimbilia zanzibar. Visiwa vyetu adhimu vimefaidika.na haya ndio matunda yake. Allah ampe umri mrefu kijana huyu na ampe ulinzi. Amiin
ماشا الله عليك يا شيخانا الله يبارك فيك دائما ويجعلنا من الذين يستمعون القول ويتبعون أخسنة اللهم هدنا في صراطك المستقيم اللهم رزقنا رزق حلال طيب مبارك فيه دائما في بلدنا /// اللهم هدي شباب المسلمين// اللهم زدنا علما ورزقنا فهما/ واللهم أنزل علينا بركات في بلدنا
Mashallah usipite bila kusema amiin yaliomo rohoni ni mengi Allah awajalie vijana na sote atuogoze Allah awalipe kheri🙏🙏 naomba Allah anipe mume wa kheri na mwenye maadili ya dini na kumcha Allah subhanallahu wataaala na mtume Muhammad swallahu alaihy wasallam . shukran itikia dua inshallah🙏😁🙋 احبكم جميعا ايها المسلمون
Uthman maalim kwa Taarifa yako nataka nikupe habar leo Tanzania nzima Upo peke YAKO KWA KUWA NA LAFUDH NZUR KTK DAAWA NAOMBA ALLAH SIKU MOJA NIWE KAMA WEW