Тёмный
No video :(

MSAADA U KATIKA BWANA | D. Nkoko | (official video) 

John Paul II Mbeya choir
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 920 тыс.
50% 1

Kwaya ya Mt John Paul II Mbeya inawaalika wote tutafakari pamoja tukitafakari matendo makuu ya Mungu, yeye tu ndiye msaada wetu wa nguvu
Wimbo: Msaada katika Bwana
Waimbaji: John Paul II Mbeya Choir (JMC)
Production Audio & Video: RAJO Production
#rajoproduction #johnpaulmbeyachoir #nigusebwana

Опубликовано:

 

17 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 436   
@AlbertWilbert
@AlbertWilbert 3 месяца назад
Hakika kama umependa nyimbo hii shusha comment kama zote hapa chini🎉🎉👏👏👏👏
@elielepetit8107
@elielepetit8107 Год назад
Ray Ufunguo kama kawaida 💪💪💪💪💞💞💞💞love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@drbongole
@drbongole Год назад
Familia yangu, tuendelee kumtumainia Mungu msaada wetu u kwake peke yake@johnpauliimbeya choir #JMC
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Amina, Barikiwa @Dr Bongole
@ciirajohn
@ciirajohn Год назад
Dr Bongole hongera pia kwa utunzi wako you have a great talent keep up the spirit i love and always follow your content
@paulmollel142
@paulmollel142 18 дней назад
@@JohnPaulIIMbeyachoir
@user-kk8pd5jh3v
@user-kk8pd5jh3v 6 месяцев назад
Nimejifunza kitu, wimbo ukiwa mzuri haina haja ya kubadilishabadilisha location wala mavazi katika wimbo. Wimbo huu hauhitaji location kama walivobuni waimbaji hawa hongereni sana. Nkoko natafuta namba yake anitengeneze wimbo.
@veronicamshasha2858
@veronicamshasha2858 26 дней назад
Umeona ee, yaani huu mziki unafariji sana, alafu umepambwa na utulivu wa mavazi pia
@veronicamshasha2858
@veronicamshasha2858 26 дней назад
Naombeni nota zake jamanj nipelekee kwaya yetu.
@user-ce4us4wu8p
@user-ce4us4wu8p 10 месяцев назад
Kwa nyimbo hziiWakunitenganisha na ukatoliki sijapata kuona Watunzi wote mungu awabariki na muishi marefu❤❤
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 9 месяцев назад
Amina🙏🙏
@hilimarahinju8619
@hilimarahinju8619 2 дня назад
Nawapenda sana hongereni sana❤❤❤
@EmanuelDanielIrro-ee5eh
@EmanuelDanielIrro-ee5eh Год назад
❤❤ Namshukuru MUNGU ❤❤ MUNGU awe nanyi
@kelvinnganga6316
@kelvinnganga6316 Год назад
This is my favorite 2023 song that I heard so far..congrats mungu awabariki...nimeskiza huu wimbo back to back
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Ubarikiwe pia kelvin
@VictoriaTamba
@VictoriaTamba Год назад
Fact
@conybebkadaz1339
@conybebkadaz1339 8 месяцев назад
Fact ❤❤
@anastaciamuema
@anastaciamuema Год назад
Beautiful choreography🥰! Kazi safi sana👏👏👏🎉🎉 Rajo Productions! 🙌🙌🙌🙌
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Barikiwa sana madam @Anastacia 🙏
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Barikiwa sana madam @Anastacia 🙏
@AlbertWilbert
@AlbertWilbert 3 месяца назад
Mungu akutie nguvu sister Anastacia nakupenda sana sister kwa utume wako🙏🙏🙏💖
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Tunawapenda wote
@geraldthomas7415
@geraldthomas7415 Год назад
Kazi nzuri Sana Shukuran kwa Mungu Shukurani kwa mtunzi Shukurani kwa director Shukuran kwa editor Shukurani kwa wainjilishaji(kwaya) Shukurani kwa washiliki Na wasikilizaji Msaada u katika Bwana aliyezifanya mbingu Na nchi MUNGU NA ATUBARIKI.
@mumomweteeli1552
@mumomweteeli1552 Год назад
Wimbo mtamu na sauti tamu Sana 🥳🥳🥰🥰 hongereni kwa kuinjilisha vyema
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana @Mumo, Barikiwa 🙏
@allyabdul7569
@allyabdul7569 Год назад
Hongereni sana wanambeya mungu awajaze NGUVU
@trizahmatu
@trizahmatu Год назад
Wow!!! What an energetic and cheerful performance!! The costumes, perfect👌👌👌 The choreography, impressive 🤩🤩 Hongereni sana!
@bramwelndeche3778
@bramwelndeche3778 Год назад
siçhoki kuusikiza huu wimbo kila kunapokucha. mzidi kubarikiwa from kenya 🇰🇪
@jacksonvalence7365
@jacksonvalence7365 6 месяцев назад
Msaada u katika Bwana watoka kwake alizifanya mbingu na nchi. Mbarikiwe daima kwa uinjilishaji huu
@user-eg6zy2gu5j
@user-eg6zy2gu5j 9 месяцев назад
Msaada wetu u katika Bwana hakika ndiye aliye zifanya Mbingu na nchi na Jina lake litukuzwe
@johnmutua217
@johnmutua217 Год назад
Wimbo huu hakika naupenda ajabu... Hauchoshi masikio Wala macha kuutazama.. heko sana dear friends... Baraka kwa wingi..
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 Год назад
Amina, Mungu awatunze mzidi katika utume wenu ❤❤❤
@MwenyemaliimanPatrick
@MwenyemaliimanPatrick 22 часа назад
Hongereni sana
@user-bw1qo2uf2w
@user-bw1qo2uf2w Год назад
Mungu wetu ni mwema Hakika yeye ndiye msaada wetu ktk kila jambo limpendezaye,Beautiful song
@holyfamilymedia1325
@holyfamilymedia1325 Год назад
Holy family media take this opportunity to Congratulate you guys.May God bless our dear brother and sisters. Well done maneno matamu sana . Asante Kaka yangu deo nkoko Kwa utunzi .
@sue846
@sue846 Год назад
Am from your page, and you have such a song IPO Tu. I had to listen both of them only to note its two songs with same tunes. Even almost the same voices in both songs. Heko kwa D. Nkoko
@florapeter2567
@florapeter2567 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rechokayange8940
@rechokayange8940 11 месяцев назад
🎉❤❤❤❤❤
@asteriapalapala1738
@asteriapalapala1738 4 месяца назад
❤❤
@JustinaBukwimba-sc1vz
@JustinaBukwimba-sc1vz 19 дней назад
mungu awabaliki kwa wimbo wa mama maria 🎉🎉
@mushimartin4472
@mushimartin4472 Год назад
Salute kwenu kazi nzuli sana 👏👏👏
@PaulinaMlelwa-pv9fw
@PaulinaMlelwa-pv9fw 27 дней назад
Mungu azidi kuwa baliki sana kazi nzuli 🙏🙏
@remigiachale
@remigiachale 2 месяца назад
Nyimbo tamu sana inabariki 🙏mbarikiwe waimbaji
@juliusmutabaruka36
@juliusmutabaruka36 28 дней назад
Wimbo mzuri
@danielmwangi3506
@danielmwangi3506 Месяц назад
Sauti tamu Hongereni,be blessed
@DOTTOFORTUNATUSJOSEPH
@DOTTOFORTUNATUSJOSEPH 3 месяца назад
Asanteni sana kwa wimbo mzuri mno
@petero-enigma4330
@petero-enigma4330 Год назад
Nyimbo zenyu tamu mno,karibuni nchini kenya.
@carolinegichuki702
@carolinegichuki702 6 месяцев назад
🎉
@piussimon7062
@piussimon7062 Год назад
Wimbo mzuri jamn tunaenjoy
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana, Endelea kubarikiwa @pius
@amedengwanaidako2810
@amedengwanaidako2810 Год назад
Hongereni kwa wimbo mzuri huo
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana baba yetu Mlezi, Barikiwa sana🙏
@agneswathogo4859
@agneswathogo4859 6 месяцев назад
Well performed. Niliisikia jana na nimesikiza zaidi ya mara kumi sasa. Very refined voices. Mbarikiwe sana.
@victoriashirima470
@victoriashirima470 Год назад
Hongereni sana kwa uinjilishaji
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 9 месяцев назад
Tunajuwa kweri hayo nimaguma lakini wa Israel 🇮🇱 warivuka ngambo msada ukatika bwana ❤❤❤❤watching USA 🇺🇸 from burundi 🇧🇮 .
@sheikhali2838
@sheikhali2838 11 месяцев назад
God is the only Refuge I know, I'm sooooo pooor,tht whenever I need anything, anything, even the tiniest, I have to ask the Lord, I have to pray for it.
@CyprianLyelu
@CyprianLyelu Месяц назад
Nimewapenda gafra
@LydiaJoseph-eh6li
@LydiaJoseph-eh6li 6 месяцев назад
Hongeren kwa utume wimbo una ujumbe mzur san
@essykemmy9997
@essykemmy9997 Год назад
Napenda hii wimbo from Kenya,,,,,mubarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@lucypeter5605
@lucypeter5605 Год назад
Wimbo mtamu na sauti tamu Sana 🥳🥳🥰🥰 hongereni kwa kuinjilisha vyema👏👏
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana @ Lucy
@petermshana7491
@petermshana7491 Год назад
Hii Kali sana wapendwa mmeupiga mwingi saana...hongereni kwa kazi nzuri ya uinjishaji....nawapenda sana..
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Tunashukuru kwa upendo wako Peter, karibu sana, tunakupenda pia
@patienceg.2942
@patienceg.2942 Год назад
The message, the choreography...on point, msaada u katika Bwana
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 Год назад
💫
@rehamamakali1991
@rehamamakali1991 Год назад
Mungu awabariki mno awape maono zaidi
@danieldeo7769
@danieldeo7769 Год назад
Saf kazi nzur
@danielbaran2546
@danielbaran2546 Год назад
Wimbo mzur sanaaa Mungu awabariki sanaaaa wanakwayaaaa wenzangu
@carolineruguru5294
@carolineruguru5294 Год назад
The song Wonderful hongerenii Sana I love this next time invite me for a shot of another song
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Thank you Caroline,
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Next time if possible
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 Год назад
sure?
@user-wf7qt3eq3f
@user-wf7qt3eq3f 10 месяцев назад
Najua
@andalusianandy
@andalusianandy Год назад
Wimbo mzuri sana.... Hakuna gumu kwa MUNGU.
@KalltuniClassics
@KalltuniClassics Год назад
Amazing! HAtari kuliko danger!
@reginanankana416
@reginanankana416 Год назад
Aisee mbarikiwe sana
@oliviernsabimana455
@oliviernsabimana455 Год назад
Hadi raha ya kuwa mkatoliki
@rophinaleon8772
@rophinaleon8772 2 месяца назад
Jaman mnaimba ninyiii😘
@WanjalaWilfred
@WanjalaWilfred 3 месяца назад
Fundi kweli❤❤❤
@tonnytonito1536
@tonnytonito1536 Год назад
naombeni lyrics za wimbo huu mtamu sana 🙏🙏🙏 Listening from Missouri Usa
@cyrilologe
@cyrilologe 11 месяцев назад
Ninawaenzi si haba kwa kujitolea kwenu na tumbuizo zenu zisizo na mfano. Hongereeni aisee na Mungu awazidishie neema
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 9 месяцев назад
Amina, Tunashukuru sana kwa Kuendelea kufiatilia Nyimbo zetu Ndugu🙏🙏🙏
@edsonsambala4545
@edsonsambala4545 Год назад
Injili isonge mbele. Hongereni sana kwa wimbo mzuri. Msaada wa U katika Bwana.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana, Barikiwa sana @Edson
@Ellybeny
@Ellybeny Год назад
hongereni kwa wimbo mzu wenye mashair matamu
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana @herieth
@JohnChiwaya-xn8br
@JohnChiwaya-xn8br 9 месяцев назад
Hakika wanangu mume weza mbarikiwe kwa sana
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 месяцев назад
Asante baba 🙏👏👏 sifa na utukufu kwakwe Mungu wetu aliyetuwezesha haya
@vickyvictor406
@vickyvictor406 Год назад
Hongereni sana Mungu awabariki sana na karibuni kenya
@mercymukaria3207
@mercymukaria3207 22 часа назад
I have watched more than 10 tymz I say...so mnaimba poa..nyimbo tamu kweli..your dress code..safi kabisa...kindly ntapata wapi lyrics?.I have searched but in vain
@peterwendo3147
@peterwendo3147 Год назад
Mafundi🙌🙌
@user-gv6oq6zh8w
@user-gv6oq6zh8w 4 месяца назад
My Love for this song.
@user-hr2rn4cf5w
@user-hr2rn4cf5w 8 месяцев назад
Mmecheza vizur Kwa kweli na kinanda kipo vizur
@prospernyenye9498
@prospernyenye9498 Год назад
Rajo is best production in Africa. Nkoko huachi kutunga nyimbo ndefu but matamu😍😍😍😍
@sautiyaheri845
@sautiyaheri845 Год назад
Hongera
@gracemutuku2067
@gracemutuku2067 Год назад
Woow hongereni sana wimbo huu ni mzuri Sana na mafundisho yake ni mazuri sana Naupenda sana Mungu awabariki sana🙏🙏🙏
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 Год назад
Nabarikiwa sana
@kwayamtjosephgeitanyankumb758
hongeleni sana watu wa mungu
@raymondkapwa6966
@raymondkapwa6966 Год назад
Hongereni sana JMC Kwa uimbaji mzuri
@venanziomunyaka8826
@venanziomunyaka8826 Год назад
aarrgh, this chorus! Nimeucheza sijui mara ngapi sasa! I am really blessed by this song.
@charlshappe4600
@charlshappe4600 Год назад
Mbarikiwe sana wimbo ni mtaaamu never seen before.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana Charls
@kanisiusnyakaselula5285
@kanisiusnyakaselula5285 Год назад
Hii kwaya haijawaahi kuniangusha. Viva JMC viva asante sana Mwl Nkoko.
@aloysiusrugejuna2804
@aloysiusrugejuna2804 Год назад
Hongera sana wana JMC mko poa sana tangu mwanzo, toka enzi za wana wa mlipk wa sifa nawapenda sana. hongera mr. Nkoko
@paschalsindani5264
@paschalsindani5264 Год назад
Hakika ningumu kuwaelezea yanakosekana maneno jazilizi juu yenu Mungu asimame nanyi daima your my favourite role model RC Choir
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Amina, Ubarikiwe sana Paschal
@fransiscarbrunoh6889
@fransiscarbrunoh6889 Год назад
Hongeren nyote mliofanikisha Kaz hii kwel ña yaubora wa nyota ya juu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Hongereni sana kwa wimbo mzuri na ujumbe mzuri
@user-hr2rn4cf5w
@user-hr2rn4cf5w 8 месяцев назад
Mmeimba vizur kabisa 🎉🎉🎉🎉
@happymahamudu3431
@happymahamudu3431 23 дня назад
Watching Gloria in the middle of ther year ❤🎉
@conybebkadaz1339
@conybebkadaz1339 8 месяцев назад
Amen Luke 1:37 in God All things are possible 🙏🙏
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 Год назад
Nimebarikiwa sanaaaaaa...... speechless
@vivianawuor5185
@vivianawuor5185 Месяц назад
nice song , encouraging, God bless you all, Amen
@patricknjogu2962
@patricknjogu2962 6 месяцев назад
Ujumbe mzuri katika wimbo mtamu. Shukrani ndugu zetu wa Tz kwa nyimbo zenu nzuri. The song is just wonderful, the message, the rhythm, harmony and the video too
@geraldcasmiry4237
@geraldcasmiry4237 5 месяцев назад
The song that bless me more than Billions of Blessings 🎉🎉🎉❤❤
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
Vizuri Sana, mbarikiwe mpaka mshangae,
@joycenguu1426
@joycenguu1426 8 месяцев назад
Amen, msaada wetu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
@radiomarianyeri
@radiomarianyeri Год назад
Kweli msaada U katika Bwana
@franklinekinyua4950
@franklinekinyua4950 Год назад
wimbo mtamu kweli umepangwa ukapangika . kweli msaada uko katika bwana ...........
@CeciliaSelestin-ov3fz
@CeciliaSelestin-ov3fz Год назад
Asanteni sana kwa tafakari nzuri
@janemwangi6065
@janemwangi6065 Год назад
Hongereni wanakwaya wa ST Paul mbeya 11 kwa wimbo wenu mzuri sana msaada wetu ukatika kwa bwana. Mungu aedelee na kuwalida na kuwambariki na msikose chochote mnaomba and bless you with your family's AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
@hezronmwangonda5183
@hezronmwangonda5183 Год назад
wimbo Mzuri sana huu nabarikiwa nao sana .kuna siku nimesikiliza nikajikuta nimezama katika tafakari nikiwa barabarani hadi nikapata ajali badaye nikagundua kumbe umenipotezea umakin, mbarikiwe sana
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Pole sana kaka Hezron, Mungu ni mwema upo salama, endelea kubarikiwa🙏
@lydiaanatory2843
@lydiaanatory2843 Месяц назад
Sooooo nice❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@danmchelsea658
@danmchelsea658 Год назад
St John Paul II never disappoints... hii nayo nimeieka kwa repeat mode hadi majirani wameshinda kuniuliza hiyo ni kwaya gani... hakika hii kwaya ilibarikiwa na waimbaji wenye vipaji... karibuni hapa 🇰🇪 jamani... beautiful choir
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 Год назад
thanks
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante sana Dan, Endelea kubarikiwa na tuombe uzima tuweze fika huko🙏
@richardmutinda3342
@richardmutinda3342 Год назад
Very nice song
@janethsingano9167
@janethsingano9167 Год назад
Nyimbo nzuri mno Mungu awatunze
@philibertlwiwa297
@philibertlwiwa297 Год назад
MUNGU awabariki kwa sauti muruwa🙏🙏
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Год назад
Asante Ubarikiwe pia🙏
@urbantununathan8627
@urbantununathan8627 Год назад
kuna kuimba na kuimbangana....huku ni kuimbangana....salute kazi nzuri
Далее
Мухочирон эхтиёт бошед!
01:31
Просмотров 116 тыс.
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 57 млн
SIMAMA NAMI BWANA | F Shimanyi| (JMC Official Video)
3:55
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
9:11
NIGUSE BWANA -Perfecto Mtuka (Official video)
6:44
Просмотров 407 тыс.