Тёмный

Msabato ajaribu kupindua maandiko aona moto kimeeleweka leo ni leo moto sana.Feb 11/2024 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@samxx411
@samxx411 7 месяцев назад
Mwl. Salim nakukubali sana
@jamaamaalim6781
@jamaamaalim6781 7 месяцев назад
MashaAllah! Ndugu zetu wote wanaofanya dawah Mola awajalie umri mrefu,siha njema na awalinde na matatizo yoyote inshaAllah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 7 месяцев назад
Allah awajalie masheikh wetu ambao wanatuwakilisha viwanjani na awalipe Jannah Tul Firdaus
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@nancyruguru653
@nancyruguru653 7 месяцев назад
Ameen Ya RABIH
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
AaminaYaarabi
@akonkwojryorondo4504
@akonkwojryorondo4504 Месяц назад
Ameenn
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 7 месяцев назад
Yani ustadh Salim akiwa na Mike mkononi nahisi utulivu moyoni,, barakallahu feekum masheikh.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Alhamdulillah
@saudahassan3804
@saudahassan3804 7 месяцев назад
Mashallah Allah awalipe duniani na kesho akhera
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@abumanshurumusa6015
@abumanshurumusa6015 6 месяцев назад
Mashaallah nafrai sana kwa mawaidha yenu haswa ustadh salim unafunza vizur mambo ya dawaa,ila huyo Ali ako na hasira sana Awe na subira inshaallah
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 7 месяцев назад
Mashallah mafunzo mazuri Asante sana Allah awajarie ma shekh
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
Walykm.msalam.warahamatu.lhah.wabarakatuh..Tunawaombea.mashekh.wetu.siku.zoote.natunawapenfa...kwaAjiliyaAllah.
@aminayunis7545
@aminayunis7545 7 месяцев назад
Waleikum mslm warahmatullahi wabarakt sheikh Salim mungu awabariki ww na sheikh wenzako .Ali na Hassan kwa kueneza dini yetu Allah awaongoze
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 7 месяцев назад
Barakallahu Feek
@MustafaKarama-k3q
@MustafaKarama-k3q 7 месяцев назад
Allah awabarik mashekhe zetu
@shurlaally1686
@shurlaally1686 7 месяцев назад
Maashallah sheikh umefundisha vizri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Alhamdulillah
@guyogalora2736
@guyogalora2736 7 месяцев назад
Waleikum salam warhamatul wabaraqatu sheikh salim
@hanifa9153
@hanifa9153 7 месяцев назад
Mashaallah masheikh zetu allahumma bariki💞💞💞
@dulividuli5237
@dulividuli5237 7 месяцев назад
Mie huwa anankera Ally tu kurushiana maneno na watu wa pembeni kwani hamuoni Shekh Salim anapokuw msomaji anakaa kmyaa kaz yke ni kusoma tu na kusklz.
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 ALLAHU AKBAR najibamba tu na maandiko hustadhi Salim watukip bizi umetufanya tumekuw adikted na maandiko Yani mm nikikosa kusikiza Sina Raha nasema nimalize kazi haraka nije ni sikize maandiko ALLAH awalinde walimu wetu kwakila shari
@Jingajinga64
@Jingajinga64 7 месяцев назад
@12:27 anasema "Ukituma pesa kimakosa nitakula". Hana haya wala aibu. Kisha ameokoka. Hao mimi naona wamepotoka. Angalieni wanaweza kuwachomolea simu zenu. Alhamdulillah kwa neema ya uislamu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Alhamdulillah
@aishaally6602
@aishaally6602 7 месяцев назад
ALLAH ajekumuongoa huyu mkorino aje aione haki anaonekana kuna ukweli unamuuingia kidogo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@ibruzah001
@ibruzah001 29 дней назад
Allahu Akbar ♥️
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 7 месяцев назад
Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Jingajinga64
@Jingajinga64 7 месяцев назад
Assalamu Alaykum. Alhamdulillah,, wabihii nastainu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Allah amfanyie wepesi walim ngu ampe afya njema elimu n hekm mzidi kueneza dini ya haki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Aamiin amiin amiin
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 7 месяцев назад
Ali anashekesha sana .ukimwambiakitu anasemanawatuwaije.sheikh wetu. Asalam alaykum.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
MashaAllah.atamim Nampenda.kwaAjili.YaAllah.Na.Mtume.wake.na.nawapenda.mashekhe.wote.utupatia.Elim.natunafarijika.saana.Naunifurahishaga.saana. Shekh.Salm.anaposemaga.Eti.alitaka.kuwa.Fatha...walah..nacheka..mie
@RashidChidi-pl5ie
@RashidChidi-pl5ie 7 месяцев назад
Adhana ni kelele na fujo kwa wagonjwa na wazima wasojua utukufu wa Allah, lkn ni furaha na faraja kwa wtt wagonjwa na wazima wanaomjua Allah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Ukweli kabisa
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
Hswa.kwAnza.unasthuka.naaulalitena
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 6 месяцев назад
kama kuzungumzia kuhusu kelele,uyo mzee awache kabsaa kuuliza swali ilo,ivi ninacomment hapa,leo ni friday ata watu wamestuka roho zao manake leo kuna ibada ya Wakristo usiku wa leo,ile mziki inapigwa usiku kucha ata wakisto wenyewe majirani zetu wanacomplain,ivi ninaongea kesi ipo kwa chief na waliopeleka kesi ni wakristo wenyewe,watu wanapiga mziki mpaka saa nane usiku
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
Hatamtoto.mwenyewe.akiwa.analia.akisikia.Adhana.muone.utamuonaAnaumakini.fulani.hivi.
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 7 месяцев назад
Huyu jamaa ni mnafiki yaa watu wa Allah kuita haqi, ni vibaya kweli, ati watoto wamelala😂😂
@hanifa9153
@hanifa9153 7 месяцев назад
Waajabu sana kwanza kasema hana dini na ako tu kuongela yesu masaa yote na hana dini😂😂😂
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣anaona.Aibu.syo.diniJinalamtu​@@hanifa9153
@samxx411
@samxx411 7 месяцев назад
Huyo sheikh Ali muwe mnamshituashitua ni mwepesi kureact..anaonekana mwepesi kukasirika, dini ni hekma.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Inn shaa Allah tutafanya hivyo
@oopsm3574
@oopsm3574 7 месяцев назад
Ali anataka awe format na update software mpya , hiyo ya zamani inaleta matatizo.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Hahaaaaaaa
@gakobwaadija7949
@gakobwaadija7949 7 месяцев назад
ماشاءالله تبارك الله
@samxx411
@samxx411 7 месяцев назад
Mie nahisi hao wanaosema hawana dini wakristo ila wameona ukweli ila kuikubali haki pia hawataki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Ndio maanake yani bado kindogo tu wasilimu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
MashewetuNawapenda.kwaAjili.YaAllah..napiamnanichekesha.tuanzeNasheheWetu...ALLY.ANASEMA.ANGALIA.HAPA.🤣🤣.NASHEHE..SALM.SIKILIZA.HABARI🤣🤣🤣🤣
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 месяца назад
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
Shukraani
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 7 месяцев назад
Alhamdulillah ❤
@SalimHumud
@SalimHumud 4 месяца назад
Hao kichwa ngumu hawaelewi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 4 месяца назад
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@sheemaryam
@sheemaryam 7 месяцев назад
Ukiskia sina dini juwa yeye ni mkristo 😂😂😂 wanaunjanja hawa watu Alfu kama yesu alitumwa kwa wengine basi ya Israeli ni uwongo ama inafaa kesho umuulize uyo msabato juu yaonekana ya yesu ni uwongo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Yeah siku hizi wameficha na kusema hawana dini lakini ni wakristo
@sheemaryam
@sheemaryam 7 месяцев назад
Sheikh nawaomba mumtafutie huyo mukurino quran naona akiishika anaisoma tu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Inn shaa Allah tutatafuta
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 месяца назад
Funny hana dini Naa. Ana chukia wa islamu. Ni maini yangu ville Ana ongea lakin Allah. A baite hidaya
Далее
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 1,6 млн
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
Просмотров 19 тыс.
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 1,6 млн