Pole sana, kuruani ni kitabu kilichonukuliwa kutoka biblia, na imeanzishwa na mfanyabiashara kati ya uarabuni na Israeli Muhamedi mwaka 630 baada ya kristo.
Uzima wa milele haupatikani kwa kuamini dini dini ni vikindi vya kutukusanya pamoja katika kujifunza kumtafuta mungu na uzima wa milele unapatikana ndani ya yesu kwa imani
Yesu ni mtume wa 24 kati ya mitume 25 wa mwenyezi Mungu.Acha Yale mengi aliyosema kuhusu baba yake mfano wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba yangu pale alipoomba kucha nzima kama yeye ndio Mungu alikua anamuomba nani ? Hivi Mungu alitahiriwa jamani?!?! Haya ni maajabu eti Mungu kazaliwa halafu kauawa na aliowaumba hivi ni vichekesho. Mungu hakuzaa hakuzaliwa hana mshirika hafananishwi nachajatairiwa wala hana jinsia. Hiyo ni elimu ya juu juu na tosha kabisa. Yesu ni mtume tu alitumwa kuwakomboa wana Israel.
Iko siku utaomba ubatizwe Tena lkn utakuwa umechelewa, YESU KRISTO ni yeye yule Jana leo na hata milele, na yeye ndie jibu, rejea kusoma Ufunuo wa Yohana utakuta kumbe na wewe umo kwenye utabiri ule!!
Na wale walioishi kabla ya kuzaliwa Yesu?!?? Lakini hats Wayahudi alikotumwa Yesu kuwakomboa hawamwamini na walimuua msalabani. Huoni kama mawazo yako ni finyu.Amini tu kwamba mitume walikua jumla 25 Yesu alikua mtume wa 24. Hayo ya umungu ni ya kutunga na upotoshaji pia uchakachuaji uliotoka katika baadhi ya vitabu zaidi ya 66 vilivyotumika kuandika biblia. Yesu alifundisha Injili ambayo ni maneno ya Mungu baba yake. Yesu alifundisha neno LA Mungu hakufundisha yake
Unaona wanajichanganya wenyewe wasemapo bila kupitia kwa Yesu hutamuona Mungu au kupata uzima wa milele,. Wanakariri tu hawaelewi wala kujiuliza hata mambo ya wazi
Yakobo 1:26-27 [26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai. If any man among you seem to be religious, and bridleth not his tongue, but deceiveth his own heart, this man's religion is vain. [27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.
Mwanzo 21:14 umegusia sawa Nashaka Hapo kwenye"wakristo ni jina lililo itwa na kupangwa na wapagani" halipo na sijaliona zaidi ya neno lenyewe la Matendo 11:25, hili hilo neno limetoka wapi?
Ukristo una amani ndiyo maana Mashehe wanahudfhuria kwa Wakristo, lakini huwezi ona Wachungaji wameingia Msikitini au Makusanyiko ya Kiislamu. Mashehe wanatisha muda wowote wanaweza jaa jazba.
Utamtenga mkristo kwa kipi?. Sisi atuna Shida na ninyi ninyi. Ninyi ndiyo mnaangaika na sisi. Angalieni maisha yetu minyi. Mwamposa amekua mwiba kwenu. Tuombe uzima mwakani WAKRISTO TUTAFANYA MENGI SANA TENA YA MAKUBWA. PENDENI AMANI NINYI. AMEN.
Nyie hajui lolotebukristo ndo dini yamungu mwaipopo hunalolote na uislamu ni dini ya kichawi mtume kasena mjifunze kwa waliowatangulia waulizeni waarabu na hakuna kitabu alipewa mhamadi dini ya uongo hiyo subirini Yesu awatokee na kuwashugulikia kama paulo uta
Wewe unaongea Mungu yupi na nani majina yake? Mungu ni cheo,hata muimba mziki wa matusi anasema amepewa kipaji na mungu. Wewe tuambie huyo mungu wako anaitwa nani? Hata wachawi wanamuomba mungu wao. Tuambie majina ya huyo mungu unayemtaja.
Wakristo sisi waislamu tukikaa kimya bila kuwaambia kwamba ukristo sio dini ni vigumu sisi kupata uzima wa milele kwa sababu..tumewaacha mkapotea yesu hakuwa mkristo cristo ni jina lake sio dini tumieni akili
Kwenda huko fuata dini yako kama unaiona ndio sahihi. Achana na ukristo,/wakristo inakuuma nini? Kama dini yako itakufikisha peponi kwa imani yako endelea. Achana na Biblia achana na wakristo . Tusubiri fainali.
Fainali mtahukumiwa kwa kumdhalilisha Mungu kwa mambo ya ajabu eti Yesu ndio Mungu. Hivi Mungu alitahiriwa jamani? Looh Mungu alibebwa mimba kazaliwa halafu kauawa na aliowaba huu unafanana na utani na dharau.Mungu kazaliwa bandani? Mtahukumiwa kwa kutomuamini Yesu kwani Yeye kila kitu alikua akifanya na kusema wazi wazi kwamba kuna baba yake ndio kila kitu na si yeye na hats alipopatwa na matatizo alimkumbuka baba yake Mungu hata pale aliposema baba mbona unaniacha, wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba na aliomba kucha nzima kwa baba yake. Yote haya hamuamini mnamngangania tu Mungu Mungu. Yote hayo mtajibu. Mtajibu kwa nini wote hamtahiriwi kama yeye kwa nini hamvai mavazi kama yake hata alisali kwa kusujudu