Waaah! Kazi nzuri sana kutoka kwenu . Hili ningependa nilitazame Kila usiku kabla ya kulala,Hila @mbwela sijui ni kuchanganyikiwa ama muusika Sasha ana majina 2.kwa maana nimemsikia mara tatu akimuita sanura! Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndanii
mbwela anasauti fulani hivi ya kubembeleza ata km anakwambia kitu cha kuumiza ,,,napenda the way unavoongea una kiutulivu flani hivi huna pupa wala haraka hongera kwa hilo mbwela